5. KUTAMBUA WITO ULIOITIWA | Mwl. Isaac Javan
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 7 ก.พ. 2025
- Hili ni somo muhimu linalolenga kukusaidia kutambua wito wako. Watu wengi katika dunia hii hawajui wito wao ni nini. Si hivyo tu, lakini pia watu wengi hawajui kwa nini wapo duniani, na hawajui ni kwa nini walizaliwa.
Mungu anafanya mambo yote kwa sababu maalum. Hujaja hapa duniani kwa bahati mbaya. Mungu alikuleta hapa duniani kwa sababu maalum. Unaposikiliza na kujifunza somo hili, utapata majibu ya maswali ya maisha yako. Utajua ni kwa nini Mungu amekuleta duniani, na utajua ni kitu gani Mungu alikuumbia kukifanya hapa duniani.
Nakuombea, somo hili lifanyike msaada na baraka kwenye maisha yako. Mungu akubariki sana. Amen!
Isaac Javan
Phone | +255 745 76 45 72
BWANA YESU asifiwe. Asante kwa kufuatilia somo hili. Mungu akupe kuweka kwenye matendo kile ulichojifunza.
Somo hili linapatikana Boomplay. Unaweza kusikiliza na ku-download kupitia link ifuatayo:
cutt.ly/C14N2Fz
Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu. Ni mara yangu ya kwanza kukutana na channel yako na nimebarikiwa sana. Natamani ningeijua siku nyingi lakini najua Mungu ana kusudi lake. Asante sana hili somo ni langu kabisaaa barikiwa sna
Amen mwanangu, karibu kwenye Channel hii na familia hii. Mungu akubariki sana na akutane na mahitaji ya moyo wako
Thank you for your powerful teaching be blessed teacher amen 🙏
You are so welcome. God bless you forever
Nazidi kujifunza kitu kipya baba, barikiwa sana YESU akutunze
Amen mwanangu zidi kubarikiwa sana na BWANA YESU milele yote
Amen 🙏
Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU milele
Amen
Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU milele
Ameeen baba asanteee ubarkiwe
Amen mwanangu ubarikiwe sana na BWANA YESU milele
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏💛💛💛💛💛💛💛💛🌷🌷
Amen mwanangu ubarikiwe sana na BWANA YESU milele