3. UPONYAJI KWA WALIOVUNJIKA MOYO | Mwl. Isaac Javan
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 7 ก.พ. 2025
- Hili ni somo la uponyaji wa moyo uliovunjika. Moyo wako ni kiungo muhimu cha maisha yako ya sasa na ya baadae. Maisha yako baada ya kufa, yanategemea hali ya moyo wako.
Katika somo hili, utaenda kujifunza vitu vinavyosababisha moyo uvunjike, lakini pia utaenda kujifunza mambo ya kufanya ili uweze kupokea uponyaji pale ambapo moyo wako umevunjika.
Mungu akubariki na kukupa amani.
Isaac Javan | +255 745 76 45 72
BWANA YESU asifiwe. Mafundisho haya yanapatikana Boomplay. Unaweza kudownload kwenye simu yako kupitia link ifuatayo:
bit.ly/3vGOFdH
Ameen Ameen baba barkiwa
Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU, usisahau kuungana nasi hapo baadae tunapoendelea na mafundisho haya.
Nafikiri huu ujumbe Mungu amekupa kwa ajili yangu, kuna mambo yamenivunja moyo sana kwenye maisha yangu lakini naamini Mungu aliyekupa kutufundisha somo hili ataniponya moyo wangu na mimi nisogee mbele kwenye maisha yangu. barikiwa sna
Mungu atupe ujasiri na kuganga moyo tuweze kusonga mbele be blessed pastor 🙏
Amen mwanangu ubarikiwe sana na YESU akuponye. Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU, usisahau kuungana nasi hapo baadae tunapoendelea na mafundisho haya.
Amen mwanangu, Mungu akubariki sana, na YESU akutetee na kukushindia. Usisahau kuungana nasi hapo baadae tunapoendelea na mafundisho haya.
Amen powerful teachings God bless you
Amen my daughter, God bless you and don't forget to join us later as the teaching continues.
Amen i receive in Jesus name amen
Amen my daughter God bless you forever
Amen amen asante Yesu kwa neno na maombi haya nasikia napata amani moyoni mwangu
Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU, usisahau kuungana nasi hapo baadae tunapoendelea na mafundisho haya.
Mungu akubariki mtumishi. Asante kwa kutulisha neno la Mungu
Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU
Yaan kama umeniona vile Mungu akubarki sana baba
Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU, usisahau kuungana nasi hapo baadae tunapoendelea na mafundisho haya.
Baba ubarikiwe sana jioni hii kuna jambo limeniumiza sana naweza kusema limenivunja moyo kabisa but kumbe Mungu ameniandalia uponyaji. Mungu akubariki na azidi kukutumia
Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU, usisahau kuungana nasi hapo baadae tunapoendelea na mafundisho haya.
Amen.Mwalim
Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU, usisahau kuungana nasi hapo baadae tunapoendelea na mafundisho haya.
Ubarikiwe sana mtumishi
Amen Amen ubarikiwe sana na BWANA YESU milele yote
Amen Amen
Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU, usisahau kuungana nasi hapo baadae tunapoendelea na mafundisho haya.
Umetumwa kwangu ubarikiwe sana.
Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU, usisahau kuungana nasi hapo baadae tunapoendelea na mafundisho haya.
Amen glory 2God
Amen mwanangu God bless you forever
Ameen ameen asante Yesu!!
Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU, usisahau kuungana nasi hapo baadae tunapoendelea na mafundisho haya.
🙏🙏🙏
Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU milele
Amen Amen
Amen Mungu akubariki