2. UPONYAJI KWA WALIOVUNJIKA MOYO | Mwl. Isaac Javan
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 7 ก.พ. 2025
- Hili ni somo la uponyaji wa moyo uliovunjika. Moyo wako ni kiungo muhimu cha maisha yako ya sasa na ya baadae. Maisha yako baada ya kufa, yanategemea hali ya moyo wako.
Katika somo hili, utaenda kujifunza vitu vinavyosababisha moyo uvunjike, lakini pia utaenda kujifunza mambo ya kufanya ili uweze kupokea uponyaji pale ambapo moyo wako umevunjika.
Mungu akubariki na kukupa amani.
Isaac Javan | +255 745 76 45 72
BWANA YESU asifiwe. Mafundisho haya yanapatikana Boomplay. Unaweza kudownload kwenye simu yako kupitia link ifuatayo:
bit.ly/3vGOFdH
Amen 🙏 please pray for me and my family i receive in Jesus name amen
Amen Amen my daughter
Ameen baba
Haleluya.
Amen Amen mwanangu ubarikiwe sana na BWANA YESU. Karibu tena uungane nasi kwenye muendelezo wa somo hili hapo jioni
Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU milele. Karibu uungane nasi kwenye muendelezo wa somo hili
May GOD BLESS YOU for this teachings
Amen mwanangu, GOD bless you and don't forget to join us later as the teaching continues
Ubarikiwe sana mwalimu kwa somo nzuri.
Amen Amen ubarikiwe sana na BWANA YESU milele yote
Nabalikiwa sana.Nawe Mwalim Mungu azidi kukutumia
Amen mwanangu zidi kubarikiwa na BWANA YESU milele. Karibu uungane nasi tena hapo baadae jioni tunapoendelea na somo hili
Amen napona ,Hili ni Hitaji limenitesa mnoo,
Amen mwanangu, Mungu akubariki na YESU akutane na haja ya moyo wako. Usisahau kuungana nasi hapo baadae jioni kwenye muendelezo wa somo hili
@@IsaacJavan Amen yaani toka nijue huu ukurasa ,naanza kuwa tofauti ,maombi nayopata hapa na ufunuo Mungu akubariki Baba ,hujui Tu maumivu yanayotusumbua na mapito makali
@@mercysamuel9281 Amen mwanangu jina la BWANA YESU libarikiwe sana. Mungu ni mwaminifu sana. Nami nakuombea YESU azidi kukuonekania na kukushindia katika mambo yote. Ushindi upo
@@mercysamuel9281 Zidi kubarikiwa zaidi na BWANA YESU milele yote
Amen 🙏🙏 ubarikiwe sana
Amen mwanangu ubarikiwe sana na BWANA YESU. Karibu uungane nasi hapo baadae tunapoendelea na mafundisho haya
Amen
Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU milele
Amen ...
Amen my daughter, God bless you and dont forget to join us later as the teaching continues
Aman
Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU
Shallom baba
Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU milele yote. Karibu tena uungane nasi kwenye muendelezo wa somo hili hapo baadae