RAIS SAMIA AMEZINDUA TUME YA ULINZI WA TAARIFA BINAFSI/"HATUNA DENI, TUMEKAMILISHA".

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ก.ย. 2024
  • #samiasuluhuhassan #wanawake
    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizindua Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi pamoja na Mifumo ya Usajili na Malalamiko ya Ukiukwaji wa Misingi ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi leo tarehe 03 Aprili, 2024 katika Ukumbi wa JNICC, Dar es Salaam.

ความคิดเห็น •