- 221
- 367 239
RJs BeautyCare
Tanzania
เข้าร่วมเมื่อ 14 เม.ย. 2013
A channel dedicated to personal care and growth.
Get to know more about haircare, skincare and peronal development.
Welcome aboard.
Get to know more about haircare, skincare and peronal development.
Welcome aboard.
makosa 9 unayofanya kwenye nywele zako za dawa yanayo zifanya kuwa mbaya na jinsi ya kuyarekebisha
Hi Darling,
Nimekusikia darling wangu na nimeona nikuletee kabisa video kuhusu nywele zako za dawa yaani relaxed hair.
Kwenye video hii, nakueleza mambo 9 unafanya bila mweyewe kujua kuwa ni makosa yenye kugharimu na kuaribu nywele zako.
Kwenye kila kosa, nakuelekeza nini ufanye badala yake. Ukifanya darling wangu, nywele zako zitakua na kurefuka na kupata afya.
Enjoy.

มุมมอง: 327
วีดีโอ
Uongo na ukweli kuhusu matunzo ya nywele- Usidanganywe Tena!
มุมมอง 234หลายเดือนก่อน
Najua umekua ukisikia mengi mno kuhusu matunzo ya nywele, Darling wangu, sio ila lisemwalo ni kweli. Mengine ni dhana tu. kwasababu hii, kwenye video hii nakueleza dhana 5 potofu kuhusu nywel na matunzo yake. Nakueleza pia kipi ndo ukweli na nini kinahitajika haswa katika utunzaji wa nywele kuweza kufikisha malengo ya afya na urefu wa nywele zako. Usiishie katikati Darling wangu, angalia mpaka ...
Hakikisha una hivi vitu 9 kama unataka kukuza nywele kwa urahisi
มุมมอง 1742 หลายเดือนก่อน
Hi Darling! Kama lengo lako ni kukuza nywele zako kwa urahisi bila kupoteza pesa kwasababu ya kununua kila unachokiona kinashauriwa basi uko sehemu sahihi. Kwenye video hii, nakueleza vitu 9 ambavyo ndo muhimu kwa matunzo ya nywele. Sijakuacha hapo tu bali nakueleza na faida pamoja na matumizi yake pia. vitu hivi ni basic. Na uzuri ni kuwa vinapatikana kwa bei nafuu na kwa urahisi pia. Enjoy da...
Moisturizer 4 nzuri kwa ngozi ya mafuta
มุมมอง 2582 หลายเดือนก่อน
Hi Darling, kwenye video hii naongelea moisturizer 4 unazoweza kutumia kama ngozi yako ni ya mafuta. Ila pia sijakuacha uhangaike, nakueleza pia vitu vya kuangalia na kuzingatia wakati unapo chagua moisturizer yako, Hivyo, hata kama hujafanikiwa kutumia hizi nilizo zitaja kwenye video hii, bado unauwezo wa kupata moisturizer nzuri kwaajili ya ngozi yako ya mafuta, Kama una swali zaidi kuhusu ma...
Zijue Aina kuu 3 za Conditioners na jinsi ya kuzitumia kupata matokeo kwa haraka
มุมมอง 2333 หลายเดือนก่อน
Hi Darling, Ushawahi kujiuliza kama matumizi yako ya conditioners, steaming na mask ni sahihi? Darling wangu, kwenye video hii, nakueleza kuhusu aina tatu za conditioners pamoja na kazi zake na matumizi yake sahihi. Sijakuacha hapo tu darling wangu, nimekueleza pia vitu muhimu unavyopaswa kuepuka wakati wa kutumia bidhaa hizi. kama unapenda mada hiziz na nyingine za urembo, usiache kulike na ku...
Mambo 5 unafanya yanayo KUHARIBIA ngozi yako bila kujua
มุมมอง 3803 หลายเดือนก่อน
Hi Darling, kuna vile vitu ambavyo huwa tunafanya kwa mazoea tu au kwa kupenda bila kujua vinaharibu sana ngozi. Utashangaa tu, unanunua product za bei ghali na kusifiwa na wengine zinafanya kazi lakini kwako hazikupi matokeo. mwisho wa siku unabaki huelewi shida ni nini. Kwenye video hii, nakueleza mambo matano ambayo unayafanya na yanasababisha usione matokeo yoyote ya utunzaji wa ngozi yako....
Kuza Nywele ndefu, zilizo jaa na zenye afya kwa kutumia Rosemerry
มุมมอง 4514 หลายเดือนก่อน
Hi Darling! Unapenda kutumia vitu asilia katika matunzo ya nywele zako? au ungependa kuboost ukuaji wake na kuzifanya ziwe ni zenye afya? Kwenye video hii, utapata kujua faida za rosemerry pamoja na jinsi ya kutumia mmea huu kukuza nywele ndefu zenye afya. nakuonyesha pia jinsi ya kutengeneza chai ya rosemerry pamoja na mafuta yatakayokupa faida zake zote. kujua njia mbali mbali za kutumia mafu...
Sababu kuu 6 ngozi yako inawasha baada ya kuosha nywele Pata suluhisho la Haraka!
มุมมอง 2524 หลายเดือนก่อน
Hi Darling, Kama hii hali imekukuta basi unajua kero yake, yaani nywele zako ni safi, umeziosha juzi tu lakini zinawasha mpaka unahisi kuchanganyikiwa. kwenye video hii, nakueleza mambo 6 ambayo yanaweza kuwa sababu ya ngozi yako kuwasha. Sijakuacha hapa darling wangu, nimekueleza pia ufanyaje ili kutatua changamoto hii. Tuko pamoja darling wangu,
Siri ya kukuza Nywele haraka: Jinsi ya kupambana na nywele zilizogoma kukua
มุมมอง 1.7K5 หลายเดือนก่อน
Siri ya kukuza Nywele haraka: Jinsi ya kupambana na nywele zilizogoma kukua
Jinsi ya kulinda na kutunza nywele kama unaishi sehemu yenye maji ya chumvi (Magadi)
มุมมอง 2435 หลายเดือนก่อน
Jinsi ya kulinda na kutunza nywele kama unaishi sehemu yenye maji ya chumvi (Magadi)
Jinsi ya kuepuka na kuzuia nywele kukatika kipindi unanyonyesha.
มุมมอง 3545 หลายเดือนก่อน
Jinsi ya kuepuka na kuzuia nywele kukatika kipindi unanyonyesha.
Njia 10 za kuzuia nywele kukatika na kuzifanya kuwa ndefu zenye Afya
มุมมอง 4.5K6 หลายเดือนก่อน
Njia 10 za kuzuia nywele kukatika na kuzifanya kuwa ndefu zenye Afya
Dalili 10 Unahitaji Mapumziko ya Kujitunza Dhidi ya Wasiwasi
มุมมอง 1669 หลายเดือนก่อน
Dalili 10 Unahitaji Mapumziko ya Kujitunza Dhidi ya Wasiwasi
faida kuu tano (5) za Kufanya steaming kwenye nywele zako
มุมมอง 4539 หลายเดือนก่อน
faida kuu tano (5) za Kufanya steaming kwenye nywele zako
Jinsi nilivyo ondoa madoa sugu ya chunusi usoni kwangu na kuwa na ngozi yenye rangi moja
มุมมอง 2.3K9 หลายเดือนก่อน
Jinsi nilivyo ondoa madoa sugu ya chunusi usoni kwangu na kuwa na ngozi yenye rangi moja
Jinsi ya Kutengeneza na kutumia hina kukuza na kujaza nywele
มุมมอง 2.8K10 หลายเดือนก่อน
Jinsi ya Kutengeneza na kutumia hina kukuza na kujaza nywele
Serum Nzuri Kwa Ngozi ya Mafuta: Jinsi ya kucontrol Mafuta usoni kwa Haraka!
มุมมอง 2.6K11 หลายเดือนก่อน
Serum Nzuri Kwa Ngozi ya Mafuta: Jinsi ya kucontrol Mafuta usoni kwa Haraka!
Jinsi ya Kukabiliana na Msongo wa Mawazo kwa Njia ya Urembo
มุมมอง 190ปีที่แล้ว
Jinsi ya Kukabiliana na Msongo wa Mawazo kwa Njia ya Urembo
Jinsi ya Kukuza Nywele za dawa Zilizo na Afya kwa Urahisi
มุมมอง 6Kปีที่แล้ว
Jinsi ya Kukuza Nywele za dawa Zilizo na Afya kwa Urahisi
Jinsi ya kutibu chunusi kwa urahisi na kupata ngozi yenye kung’ara
มุมมอง 15Kปีที่แล้ว
Jinsi ya kutibu chunusi kwa urahisi na kupata ngozi yenye kung’ara
Mambo matatu 3 ya kuzingatia unapochagua mtindo (style) wa kusuka nywele
มุมมอง 185ปีที่แล้ว
Mambo matatu 3 ya kuzingatia unapochagua mtindo (style) wa kusuka nywele
Njia sahihi ya kutumia mafuta ya kukuza nywele itakayo kuza nywele zako kwa haraka
มุมมอง 2.1Kปีที่แล้ว
Njia sahihi ya kutumia mafuta ya kukuza nywele itakayo kuza nywele zako kwa haraka
Jinsi ya kutumia aloe vera gel kukuza nywele ndefu zenye afya. Zijue na faida zake.
มุมมอง 7Kปีที่แล้ว
Jinsi ya kutumia aloe vera gel kukuza nywele ndefu zenye afya. Zijue na faida zake.
Hizi ndo sababu unapata chunusi. ya 5 itakushangaza
มุมมอง 3.3Kปีที่แล้ว
Hizi ndo sababu unapata chunusi. ya 5 itakushangaza
Hauko peke yako. Mambo 4 ya kufanya unapohisi kukata tamaa
มุมมอง 174ปีที่แล้ว
Hauko peke yako. Mambo 4 ya kufanya unapohisi kukata tamaa
Fanya mwenyewe ujionee vile ngozi yako itaglow na kuwa rangi moja mwili mzima
มุมมอง 621ปีที่แล้ว
Fanya mwenyewe ujionee vile ngozi yako itaglow na kuwa rangi moja mwili mzima
Vitu hivi vinaharibu nywele zako bila wewe kujua
มุมมอง 1.1Kปีที่แล้ว
Vitu hivi vinaharibu nywele zako bila wewe kujua
Tofauti ya matunzo ya nywele zenye dawa na nywele asilia/natural
มุมมอง 314ปีที่แล้ว
Tofauti ya matunzo ya nywele zenye dawa na nywele asilia/natural
Vitu vikuu vitatu (3) vitakavyo kuza nywele zako kuwa ndefu
มุมมอง 2.5Kปีที่แล้ว
Vitu vikuu vitatu (3) vitakavyo kuza nywele zako kuwa ndefu
Uunapatikana wapii kipenzii maana siyo kwa chunusi hizi
Makemiko hayo marazi mengi
Dawa Sasa ya chunusi
Jinsi ya kutumia
Nywele mbele pote zinanyonyoka 😂😂
Ditoksi ndio nn jaman 😂
Ahsante kwa darsaa darling wangu 🎉
Kama hutaki tena nywele y dawa unaweza kufanyaje ili zirudi kuwa natural bila kuzikata?
Unaweza ku-transition darling wangu. Unakuza natural . Zinavyoenda zinarefuka unapunguza za dawa Kidogo kidogo mpaka zinaisha
Et dada naondoaje dawa kwny nywele
Okay asantee
Mm naomba unielekeze jinsi ya kuwa mweupe zaidi
Asante kwa elimu👏🙌🙏❤️
Karibu darling wangu
❤❤❤
Zangu zimekatika,mbele
Ongeza sauti hawajasikia doc ❤
Zina ng,oka
Nisaidie dada angu
Me naomb namb yako
Habar my dear naomba unisaidie nywele yangu inakatika sana pia nanyonyesha yani mbele zimeisha msaada please
Nafanye aje ili nywele zangu zijae?
Zingatia matunzo yako, lishe yako na afya yako darling wangu
Nazipataje izo dawa mi nasumbuliwa na chunusi sana
Dawa ipi specific? Maana zipo utakazopata pharmacy na zipo utakazopata kwenye maduka ya cosmetics
Nimejaribu nimeshindwa zinazidi uongoka. 😢😢
Umeshinfwa nini darling?
Asante sana kwa mafunzo mazuri ❤❤
Karibu darling wangu
Vitamin a na c ni tabs au
Serums hapo naongelea
Karafuu nini
Kalafuu siyeliwi Nini please
Dada hzo kofia zinauzw wp
Asante dada
Dada me nashid nywele
Mm nywele yangu muda wote ninaochana zinakatika tuu nifanye nini zisikatike
Ni sahihi kupaka mafuta ya mgando kwenye nywele natural..?
Kupaka kwenye nywele baada ya kuzipa unyevu ni sawa. Kupaka kwenye ngozi (kama ni petroleum based, mineral oil) ni noooo
Namimi huwa navaa
❤❤❤
Kweli kabisa
Nywele zangu ni kipilipilina nikakavunitumie mafutagani kipenzi
unapakaje haya maji ya karafuu
Nimetumia karafuu Kila siku lakini ywele inakatika sana pia huwa naichana ikiwa imelowana sio kavu nisaidie my dear
Pia dada hapo kwenye product sahihi naomba ufafanuzi zaidi ili niweze kujua ipi ni sahihi kwa kwele zangu, nywele zangu ni za asili, sijui chochote kuhusu hizo product, msaada tafadhali
Darling wangu, hapo mpaka tufanye consultation ili nizijue nywele zako na nizione
Shukrani sana dada , sasa nimejua vitu muhimu kwenye Safar yang ya utunzaji wa nywele, naanza kupata tumaini jipya juu ya ukuaji wa nywele zangu kwa elimu sahihi kutoka kwako, thank you
Your welcome darling wangu 🥰, kwa chochote, usisite kuniuliza
Mm naomba nisaidie
Rosemary yanauzwa wapi jmn nipate kujua
Naweza tumia kila siku darling nijbu bas
Samahan aunt naweza loweka kwa siku tatu then nikachuja nakuanza kutumia pia itakuwa na matotokeo sawa na kuchemsha
Zangu. Ni nyepesi. Kbs. Tena. Nikavu kavu. Sana. Mpaka zinawasha. Nazina ongoka sana
Living condition ni nn
Living conditioner ni nini
Vipi kuhusu nywele zenye dawa dada ukitaka zirudy kuwa za asili bila kunyoa kipara je inawezekana zikarudy
😮😮unatakiwa uziache ziotee had dawa iishe usi retachibl tena suka uwezavyo huwa zinakatika zenyew juu chin zinabak natural
Asante sana Dada nimekuelewa vizur 🙏🙏
Asante sana
Nywele zangu nikitumia mafuta ya maji nafny mba, vidonda nifanyeje
Nipo na nywele chotara ila sio refu
Ndio
Ile shea butter inakuw siagi or