Shukrani sana dada , sasa nimejua vitu muhimu kwenye Safar yang ya utunzaji wa nywele, naanza kupata tumaini jipya juu ya ukuaji wa nywele zangu kwa elimu sahihi kutoka kwako, thank you
Pia dada hapo kwenye product sahihi naomba ufafanuzi zaidi ili niweze kujua ipi ni sahihi kwa kwele zangu, nywele zangu ni za asili, sijui chochote kuhusu hizo product, msaada tafadhali

Your welcome darling wangu 🥰, kwa chochote, usisite kuniuliza
Ni sahihi kupaka mafuta ya mgando kwenye nywele natural..?
Kupaka kwenye nywele baada ya kuzipa unyevu ni sawa. Kupaka kwenye ngozi (kama ni petroleum based, mineral oil) ni noooo
Pia dada hapo kwenye product sahihi naomba ufafanuzi zaidi ili niweze kujua ipi ni sahihi kwa kwele zangu, nywele zangu ni za asili, sijui chochote kuhusu hizo product, msaada tafadhali
Darling wangu, hapo mpaka tufanye consultation ili nizijue nywele zako na nizione