Hauko peke yako. Mambo 4 ya kufanya unapohisi kukata tamaa

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ธ.ค. 2024
  • Uhalisia ni kua sisi kama wanaadamu kuna muda tu unahisi kuchoka na kila kitu na kukata tamaa.
    Hii ni hali ya kawaida wala usiogope darling wangu.
    Kwenye video hii nakueleza mambo manne ambayo yamefanya kazi kwangu na yatafanya kazi kwako kama utayakumbuka na kuyafanya unapohisi kukata tamaa.
    Usiache kuangalia mpaka mwisho kwani kuna affirmations zangu nazosemaga kama bonus ya video hii.
    #biashara #lifestyle #delta #ujalanewslive

ความคิดเห็น • 2

  • @JeniferMoses-sy5vr
    @JeniferMoses-sy5vr ปีที่แล้ว +1

    Dada nimekuelewa vizuri sana lakini kuna majaribu mangne yanakua mazito Zaid na yanakufanya ukate tamaa kabisaa!!

    • @rjsbeautycare
      @rjsbeautycare  ปีที่แล้ว

      Ni kweli unachokisema kipenzi. Ila kama Mungu wako amekupa hilo jaribio amini kua unaliweza na utatoka salama. Ni maswala ya muda tu