Mimi ni Muislam. Imani yangu hainiruhusu kuonyesha nywele zangu kwa watu ambao sio mahrim zangu. Hofu yako ni ipi? Huamini ninayo yasema??? Ni hivi.. haya ninayo yasema wako wengi sana wameyafata kuyafanya na sasa wananishukuru maana yamewasaidia. Sisemi tuu. Bali nasema kutokana na ujuzi, experience na back up reviews za kutosha. Unaweza kujaribu mwenyewe ukajionea. Hutopungukiwa kitu kwa kujaribu
Asanteee sana mamy ,ntafanyia kazi ushaur wako,asantee kwa elmuu mamy
Karibu mpenz
Asante kwa somo zuri hakika nimelipenda mno!!
Karibu darling wangu. Usiache kusubscribe ili kuzidi kupata mambo mazuri
Asanteee Dada kwa somo zuri 🙏🙏
Karibu mpenz wangu
Ahsante sana hayo mafuta mbona hukutuonesha vizuri naomba namba yk
Namba yangu ni 076894552 dear
Nywele zangu nikitumia mafuta ya maji nafny mba, vidonda nifanyeje
Nipo na nywele chotara ila sio refu
Asant san my love nimekuelew
Asante kwa kunielewa mpenz
Jina la mafuta dear
RJs hair growth oil
Je mafuta mazuri Ni yapi
Mpenz mafuta mazuri yatategemea na unachokitaka kukipata. Hapa ndo tutaweza sema yapi yatakua mazuri
mafuta Hata huo neshi vizuri
Mafuta yanaitwa RJs hair growth oil darling. Ni mafuta ya brand yangu mpenz
Dada nashukur kwa ushaur naomba unitumie majina ya mafuta hayo unayotumia
Karibu mpenzi. Hayo mafuta ni RJs hair growth oil mpenz. Ni mafuta ya brand yangu
Asante sana sasa mimi nywele zangu wazikuwi nitafanyaj ili ziwe ndefu???
Karibu mpenz. Fanya hivi na jitahidi kuwa unazifanyia steaming pia. Zitakua
@@rjsbeautycare asante sana mutu wangu mungu azidi kukulinda nakupenda💕💕💕
Dada mimi natumia coconut oil,,,naweza tumia vipi yani kwa siku mara ngapi
Unaweza kutumia kama hivyo nimeeleza kwenye video mpenzi. Kupaka mafuta kwenye ngozi mara kwa mara bila kuosha sio salama
@@rjsbeautycare thank you mum
Mm natak jina LA hayo mafut
Hayo mafuta ni RJs hair growth oil. Ni mafuta ya brand yangu. Karibu mpenz
@@rjsbeautycarenawaz kuyapat vip na nishingap Niko mbeya
Oh kwa hivo unatangaza biashara yako
Tuonyeshe nywele zako tuone
Mimi ni Muislam. Imani yangu hainiruhusu kuonyesha nywele zangu kwa watu ambao sio mahrim zangu.
Hofu yako ni ipi? Huamini ninayo yasema???
Ni hivi.. haya ninayo yasema wako wengi sana wameyafata kuyafanya na sasa wananishukuru maana yamewasaidia.
Sisemi tuu. Bali nasema kutokana na ujuzi, experience na back up reviews za kutosha.
Unaweza kujaribu mwenyewe ukajionea. Hutopungukiwa kitu kwa kujaribu
Shingapi nawez kupat vp
17,000 mpenz. Tuwasiliane kwa WhatsApp number +255768945552 uweze kuyapata