Zijue Aina kuu 3 za Conditioners na jinsi ya kuzitumia kupata matokeo kwa haraka

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 4

  • @kalubanzengula1735
    @kalubanzengula1735 2 หลายเดือนก่อน

    Shukrani sana kwa maelekezo mazuri ndugu, unapatikana wapi na napataje product zako tafadhali?

  • @RachelKingu-tx3lf
    @RachelKingu-tx3lf 3 หลายเดือนก่อน

    Hzo product bei na pakuzpata plz

  • @JeniferMoses-sy5vr
    @JeniferMoses-sy5vr 3 หลายเดือนก่อน +1

    Wewe ni mwalimu mzuri sana, lakini naona watu wengi salon wakikuosha nywele wanapaka deep condition mpaka ngozi na wanakumasage ndio unakaa kwenye stima kumbe ni mbaya?

    • @rjsbeautycare
      @rjsbeautycare  3 หลายเดือนก่อน

      asante darling wangu. sio sawa kuipaka kwenye ngozi ya kichwa kwa kusudia kabisa. ni muhimu kujitahidi kuipaka kwenye nywele tu. wakati ukisuuza kuna uwezekano wa yenyewe kugusa ngozi na kwavile unasuza haitokua na madhara ila sio ya kupakwa kabisa