My dear hapo naongelea mvuke. Unapopaka product hizi deeo treatment utafocus kupaka zaidi kwenye nywele na sio ngozi. Kwavyovyote vile kuna inayogusa hata kidogo japo hii sio focus unayokua nayo
Okay. Ntajitahidi kufanya hiyo video. Ila ni rahisi naosha nywele, napaka treatment au saa nyingine sipaki. Navaa shower cap kisha navaa steaming cup na kusteam. Ni hivi tu
Uko vizuri kipenzi!! Sasa mfano product za dukani haupaki kwenye ngozi sasa inawezaje kupenya kwenye ngozi ya kichwa???
My dear hapo naongelea mvuke. Unapopaka product hizi deeo treatment utafocus kupaka zaidi kwenye nywele na sio ngozi. Kwavyovyote vile kuna inayogusa hata kidogo japo hii sio focus unayokua nayo
@@rjsbeautycare nimekuelewa my💖💖💖
Ukisteaming tuelekeze namna unavyofanya kwa video