IMANI POTOFU YA UMIZIMU || SOMO LA 9 || KWELI ZA BIBLIA
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 9 ก.พ. 2025
- Je, umizimu nini?
Je, ni mambo yapi huashiria ibada ya umizimu?
Karibu ujifunze ukweli huu ambao Mungu ametupatia kwa ajili ya wokovu na usalama wetu juu ya hila za Muovu Shetani
Pia usisite kusambaza link hii kwa Ndugu, jamaa na Marafiki ili sote tupate Kuokolewa
Mungu akubariki
#bible #biblia #sermon #testmony