KUNENA KWA LUGHA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ก.พ. 2025
  • Je, karama ya kunena kwa lugha ndiyo udhihirisho pekee wa kuwa na Roho Mtakatifu?
    Je, kunena kwa lugha ni kuzungumza lugha ambayo haitambuliki kwa mzungumzaji na hata msikilizaji pia?
    Karibu ujifunze ukweli huu ambao Mungu ametupatia kwa ajili ya wokovu na usalama wetu juu ya hila za Muovu Shetani
    Pia usisite kusambaza link hii kwa Ndugu, jamaa na Marafiki ili sote tupate Kuokolewa
    Mungu akubariki

ความคิดเห็น •