Ex Imam Tv
Ex Imam Tv
  • 536
  • 338 275
Mikakati Ya Kuanza Injili Mtaani.
Mikakati Ya Kuanza Injili Mtaani.
มุมมอง: 145

วีดีโอ

Weee! Kumbee Riziki Iko Chini Ya Kivuli Cha Mkuki!!
มุมมอง 3217 หลายเดือนก่อน
Weee! Kumbee Riziki Iko Chini Ya Kivuli Cha Mkuki!!
Je, Ni Wachawi? Na Ukislimu...!!!
มุมมอง 6217 หลายเดือนก่อน
Je, Ni Wachawi? Na Ukislimu...!!!
Pete Ya Muhammad Ilikuwa Na Siri!!
มุมมอง 5857 หลายเดือนก่อน
Pete Ya Muhammad Ilikuwa Na Siri!!
Yesu Hakuleta Upanga.
มุมมอง 3378 หลายเดือนก่อน
Yesu Hakuleta Upanga.
Bwana Yesu! Nirudishe Shambani Mwako.
มุมมอง 80310 หลายเดือนก่อน
Bwana Yesu! Nirudishe Shambani Mwako.
Upasuwaji wa macho.+254725508108
มุมมอง 21211 หลายเดือนก่อน
Upasuwaji wa macho. 254725508108
Ndiyo! Ndiyo! Ndiyo!
มุมมอง 385ปีที่แล้ว
Ndiyo! Ndiyo! Ndiyo!
Hii Ibada Ya kuua Ni Ya Nani? +254725508108
มุมมอง 781ปีที่แล้ว
Hii Ibada Ya kuua Ni Ya Nani? 254725508108
Ni Mjukuu Wa Waongo?? Jibu Kwa Ukweli Wa Uislamu Tv.
มุมมอง 619ปีที่แล้ว
Ni Mjukuu Wa Waongo?? Jibu Kwa Ukweli Wa Uislamu Tv.
Tangazo La Dharura!
มุมมอง 432ปีที่แล้ว
Tangazo La Dharura!
Pt-3. Ni Isaka Wala Si Ishmaeli. Masahaba 7, Wathibitisha.
มุมมอง 354ปีที่แล้ว
Pt-3. Ni Isaka Wala Si Ishmaeli. Masahaba 7, Wathibitisha.
Pt-2. Ni Isaka Wala Si Ishmaeli Aliyekusudiwa Kutolewa Kafara. Vitabu Vya Kiislamu Vinathibitisha.
มุมมอง 563ปีที่แล้ว
Pt-2. Ni Isaka Wala Si Ishmaeli Aliyekusudiwa Kutolewa Kafara. Vitabu Vya Kiislamu Vinathibitisha.
Ni Isaka Aliyekusudiwa Kuchinjwa Si Ishmaeli. Vitabu Vya Kiislamu Vinathibitasha Pt1.+254725508108
มุมมอง 802ปีที่แล้ว
Ni Isaka Aliyekusudiwa Kuchinjwa Si Ishmaeli. Vitabu Vya Kiislamu Vinathibitasha Pt1. 254725508108
1 Korintho 15:18.Je,Wakristo Tumepotea? +254725508108
มุมมอง 401ปีที่แล้ว
1 Korintho 15:18.Je,Wakristo Tumepotea? 254725508108
Q 36:13. Waislamu, Hii Miujiza Mnaijua? +254725508108
มุมมอง 737ปีที่แล้ว
Q 36:13. Waislamu, Hii Miujiza Mnaijua? 254725508108
Eti Mwislamu Hawezi Akaacha Dini!! Waongo Wakubwa.+254725508108
มุมมอง 1.1Kปีที่แล้ว
Eti Mwislamu Hawezi Akaacha Dini!! Waongo Wakubwa. 254725508108
Waislamu, Mnalijua Hili? Tukichinja Kwa Jina La Yesu, Ni Sawa kabisa. +254725508108
มุมมอง 713ปีที่แล้ว
Waislamu, Mnalijua Hili? Tukichinja Kwa Jina La Yesu, Ni Sawa kabisa. 254725508108
Mbogo!!! Pt-2. +254 725508108
มุมมอง 783ปีที่แล้ว
Mbogo!!! Pt-2. 254 725508108
Mwalimu Wa Kiislamu Mbogo!!!+254725508108
มุมมอง 1.3Kปีที่แล้ว
Mwalimu Wa Kiislamu Mbogo!!! 254725508108
Je, Qur'an Imekamilika? Pt3. Haya Ni Maneno Ya Masahaba. (+254725508108
มุมมอง 534ปีที่แล้ว
Je, Qur'an Imekamilika? Pt3. Haya Ni Maneno Ya Masahaba. ( 254725508108
Je, Qur'an Imekamilika? Pt2 Maneno Ni Ya Allah Ama Ya Umar? +254725508108
มุมมอง 549ปีที่แล้ว
Je, Qur'an Imekamilika? Pt2 Maneno Ni Ya Allah Ama Ya Umar? 254725508108
Ja, Qur'an Imekamilika? Na Sura Gani Ya Kwanza Kushuka? +254 725508108
มุมมอง 592ปีที่แล้ว
Ja, Qur'an Imekamilika? Na Sura Gani Ya Kwanza Kushuka? 254 725508108
Waislamu Wasiwadanganye Juu Ya Hizi Nchi. +254 725 508 108
มุมมอง 872ปีที่แล้ว
Waislamu Wasiwadanganye Juu Ya Hizi Nchi. 254 725 508 108
Yuko Tayari Kuslimu Akipewe Ksh, 20,000...! Injili Mtaani. Pia Kupeana Vitabu.+254725508108
มุมมอง 482ปีที่แล้ว
Yuko Tayari Kuslimu Akipewe Ksh, 20,000...! Injili Mtaani. Pia Kupeana Vitabu. 254725508108
Ka'ab Alikuwa Mkatoliki, Lakini Akasilimu. Injili Mtaani: +254 725508108
มุมมอง 841ปีที่แล้ว
Ka'ab Alikuwa Mkatoliki, Lakini Akasilimu. Injili Mtaani: 254 725508108
Muhammad Alikuwa Nimwenye Kukasirika Sana Akiulizwa Swali.+254725508108
มุมมอง 553ปีที่แล้ว
Muhammad Alikuwa Nimwenye Kukasirika Sana Akiulizwa Swali. 254725508108
Je, Uislamu Ni Dini Ya Haki? +254 725508108
มุมมอง 788ปีที่แล้ว
Je, Uislamu Ni Dini Ya Haki? 254 725508108
Je, Muhammad Alikuwa Akipenda Ngono (sex) Sana? +254 725508108
มุมมอง 745ปีที่แล้ว
Je, Muhammad Alikuwa Akipenda Ngono (sex) Sana? 254 725508108
Shetani Anavyowachezea Waislamu. +254725508108
มุมมอง 863ปีที่แล้ว
Shetani Anavyowachezea Waislamu. 254725508108

ความคิดเห็น

  • @nassorsharifu9837
    @nassorsharifu9837 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Unaishi kwa propaganda

  • @UswegeJohn-ov3ym
    @UswegeJohn-ov3ym 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    WEWE NI BINGWA WA QURAN kuwashinda hata masheikh! ASANTE SANA KWA KUTUFUMBUA MACHO KUHUSU UOVU NA USHETWANI WA.UISLAM.

  • @allialbusaid
    @allialbusaid 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Naona unaupofu wa kiakili.unapose yesu kasema amani yangu nawaachia .jee wenye imani ya kikristo hawaja wahi kuuwana ?

  • @allialbusaid
    @allialbusaid 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wenye akili watafute wenye kuifahamu kurani kwa hizohizo aya unazo wasomea .wasibebe ushabiki wako

  • @allialbusaid
    @allialbusaid 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mtumishi mwenye tamaa binafsi ya kuupenda zaidi matakwa ya maono yako . Kwamtazamo wako mitume wote ni maono yao binafsi

  • @GSaleh-xr3vn
    @GSaleh-xr3vn 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Jitaid san upate wafuasi wengi bad bad jitaid

    • @nassorsharifu9837
      @nassorsharifu9837 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Wapo makondoo anawapata

  • @AMINGULAMRASUL
    @AMINGULAMRASUL 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    ACHA KUWADANGANYA WATU NIMESHAJUA MBINU ZAKO UNAMOKWENDA WAPI WAMETIA MKATABA WAPI WEWE WEWE EPU MUOGOPE MUNGU ACHA KWAPOTOSHA BINADAMU . NA MAANDIKO GANI IMESEMA MSAHABA WAMEUWANA WAO KWA WAO

  • @HellenaMky
    @HellenaMky 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Shetani. Yupo kazini. Anataka kuudharirisha ukirsto. Lakin. Ukirsto syo jengo bali upondani ya mtu.hatutaogopa hata kidogo. YESU yupo upande wetu

  • @HellenaMky
    @HellenaMky 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mwlm waislamu hawana Akili kweli. Maana kunakijiostadhi. Kiwana alwakemea wakirsto wasimmuite YESU Mungu. Halafu mitume wao hawamuelezei maishayaje watu wakajya Kama nimtume kweri wanaficha maovu yake yakutoa mtoto😂😂 mohamadi hawezi kuwa nasifa zayesu hataiweje. Mtampambatu buretu.lakini hawezi fanana. Na Alfa na omega wakwanza nawa mwisho huyo ndiye YESU kirsto kirsto

    • @thekingdragon8358
      @thekingdragon8358 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      kwa hyo mungu wenu ana ukoo na wanadamu

  • @richardsalala9147
    @richardsalala9147 วันที่ผ่านมา

    Najifunza mengi sana kutoka kwako mtumishi wa Baba

  • @frankathanas
    @frankathanas วันที่ผ่านมา

    😂😂😂 hajui ulifata nini kwa kristo aliishi kuangalia matendo ya waumini wenzio na sio kujifunza kwa kristo

  • @thekingdragon8358
    @thekingdragon8358 วันที่ผ่านมา

    Kiufupi wakristo walipigwa kitu kizito sidhani ka kunae pastor ama mkiristo yyte anaweza jibu hayo maswali kama yupo ajibu wengne wafaidike

  • @OmarSaid-cm3nf
    @OmarSaid-cm3nf วันที่ผ่านมา

    Hata majina kama daudi, Suleiman,is-haka,yakob , Ayoub, Ismail, Zakaria, Haroun ,Moussa, Issa ni majina ya kiislam, Wakiristo majina yenu ni pitter John, Johnson Michel Ni majina ya kizungu

  • @OmarSaid-cm3nf
    @OmarSaid-cm3nf วันที่ผ่านมา

    Hata majina kama daudi, Suleiman,is-haka,yakob , Ayoub, Ismail, Zakaria, Haroun ,Moussa, Issa ni majina ya kiislam, Wakiristo majina yenu ni pitter John, Johnson Michel Ni majina ya kizungu

  • @OmarSaid-cm3nf
    @OmarSaid-cm3nf วันที่ผ่านมา

    Hata majina kama daudi, Suleiman,is-haka,yakob , Ayoub, Ismail, Zakaria, Haroun ,Moussa, Issa ni majina ya kiislam, Wakiristo majina yenu ni pitter John, Johnson Michel Ni majina ya kizungu

  • @ZabronMagufwa
    @ZabronMagufwa 2 วันที่ผ่านมา

    Ndugu wakristo, YESU alishawaambia jihadhalini,,,,Hao wenzenu wanaabudu kitu tofauti kabisa.yesu wao anakuja kuoa na kuzaa na kufa.kuweni Makini na nawasihi someni vitabu vyA Roho ya unabii kamwe huyo shetani hataweza kuwadanganya.maana amejificha ili kulaghai.Hao ni washitaki wenu kama alivyo ibilisi.Tambueni nabii wa kweli hawez kutofautina na manabii waliotangulia.roho ya unabii inasema shetani atamwigiza kristo Kwa kiwango cha juu.lakini hatarusiwa kuigiza asilimia mia,ivo wanaosema maandiko watamtambua hila zake.

  • @dunstanmluge2383
    @dunstanmluge2383 4 วันที่ผ่านมา

    Q

  • @BEREADYALWAYSTVMtumishiMeshack
    @BEREADYALWAYSTVMtumishiMeshack 6 วันที่ผ่านมา

    Iko wapi full video ya hii?

  • @HamisiSafari-vk3mr
    @HamisiSafari-vk3mr 8 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂😂😂😂

  • @HamisiSafari-vk3mr
    @HamisiSafari-vk3mr 8 วันที่ผ่านมา

    Pasta hebu niambie hayo maombi ume omba umetoa kitabu gani nipe andiko

    • @DawdyMzingula
      @DawdyMzingula 8 วันที่ผ่านมา

      Anajitungia tu hana alijualo Ila wakristo kweli wamaepotele

  • @FahmyBuy
    @FahmyBuy 9 วันที่ผ่านมา

    Tatz watt tunawapandikiza chuki na kuwasomea aya kipande ila mtu mwenye akili timam kwel basi atafata uzima wa milele mfano wa issa bin maryam sawa sawa na adam ni neno tu chakwnza chapili mungu hawezi kuwa mzaifu wa kulala na kutahiriwa pmj na kula na mambo mengi mengi issa nabii alikuwa anafundisha dini ya kiislam km ivo vitabu vinavo sema kabla ya ibada kwanza unawe halaf mungu yuko kila cku sio siku mbili ikiwa wewe kwa cku unakula mara3 kusoma hujui basi ata picha huoni. Allah wajaalie upeo kwa wasiojuwa maandiko na wanao potosha maandiko kwa maslahi yao basi mwenyewe anajuwa,waalykum msalam

  • @FadhiliMagana
    @FadhiliMagana 11 วันที่ผ่านมา

    NI njaa Tu uyu

  • @JanethAnton-fx1mk
    @JanethAnton-fx1mk 13 วันที่ผ่านมา

    iv mwalimu kwanini wewe huwa hufanyi misahalo ya hadhara kama kina mwl Ndacha na wengine

  • @JanethAnton-fx1mk
    @JanethAnton-fx1mk 13 วันที่ผ่านมา

    iv mwalimu kwanini wewe huwa hufanyi misahalo ya hadhara kama kina mwl Ndacha na wengine.

    • @RapaFata
      @RapaFata 13 วันที่ผ่านมา

      Angalia channel yake hii ya Ex Imam utaona. Midahalo mingi tu tena utafurahi.

    • @DawdyMzingula
      @DawdyMzingula 8 วันที่ผ่านมา

      Muoga anajificha na kupotosha wasiojua kitu hususan wakristo

  • @josphatfondo6499
    @josphatfondo6499 15 วันที่ผ่านมา

    Shehe wangu nakuomba uurekodi tena huu ushuhuda, ni mzuri sana ila mimi sijaupata vizuri

  • @adamkamaze9888
    @adamkamaze9888 15 วันที่ผ่านมา

    Ukafiri tu

  • @NASSORMUYUGUMBI
    @NASSORMUYUGUMBI 18 วันที่ผ่านมา

    Yani wewe ex imamu uanamini kabisa utaizima nuru ya uislam aliyokuja nayo mbora wa VIUMBE kitabia, kimtazamo, kielimu, n.k, ambaye NI mtume Muhammad swallallaahu alayhi wasallam, Kama hivyo ndivyo nakupa pole Mara 2; 1. Pole kwa kushindwa, na hautaweza hate hivyo. 2. Unaukokea Moto ambao utakuja uchomwe endapo utae delea na kazi uliyojichagulia. Hivyo utafeli kwenye mpango wako pia utakuja uchomwe Moto TU mwishowe. HIVYO NACHUKUA FURSA KUKUNASIHI UTUBU NA UREJEE KTK DINI YA M/MUNGU AMBAYO NI UISLAM ALIYOTUCHAGULIA.

  • @NASSORMUYUGUMBI
    @NASSORMUYUGUMBI 18 วันที่ผ่านมา

    Mtume Muhammad swalawaatullaahi alyhi wasalaamuh, NI ntume wa M/mungu, siyo NINYI TU mnaokana na kumfedhehesha ila swali ninalouliza NI kuwa: mbona kadri mnavyofanya hayo watu NDO wanazidi kusilimu??? FANYENI tathmini.

  • @mwatimampagama1779
    @mwatimampagama1779 18 วันที่ผ่านมา

    Umesahau namba.

  • @mwatimampagama1779
    @mwatimampagama1779 20 วันที่ผ่านมา

    Zingatien mada.

  • @UswegeJohn-ov3ym
    @UswegeJohn-ov3ym 21 วันที่ผ่านมา

    Muhammad S.A.W ni mtume wa ngono na mbakaji wa vitoto !!

  • @JacobManeno
    @JacobManeno 21 วันที่ผ่านมา

    H

  • @allialbusaid
    @allialbusaid 21 วันที่ผ่านมา

    Jiombee. usiombee. Sikuleta amani duniani bali upanga.

  • @ZayyanaBamuni
    @ZayyanaBamuni 21 วันที่ผ่านมา

    Wewe ndio unaemtukana mtume Muhammad S.A.W, ole wako uje ufe bado upo kwaio dhambi

    • @issahemed383
      @issahemed383 21 วันที่ผ่านมา

      yaani wewe nikipofu naujuwi kusoma kama Muhammad

    • @isaackmlayy6228
      @isaackmlayy6228 11 วันที่ผ่านมา

      tahira ww

  • @vintandaudi1891
    @vintandaudi1891 21 วันที่ผ่านมา

    Barikiwa sana kaka, nakufatilia hapa nikiwa safarini Pemba nchini Mozambique

  • @HellenaMky
    @HellenaMky 21 วันที่ผ่านมา

    Nahivyo vitabu watavikataaa. Mwl niwakati wakuvinunua Sasa ili wasje wakabadirisha.

    • @eximamtv926
      @eximamtv926 21 วันที่ผ่านมา

      @@HellenaMky! Kwa sasa wameanza kwa kasi sana kuvificha na kuandika viengine

    • @allialbusaid
      @allialbusaid 21 วันที่ผ่านมา

      Vitabu hua haviondoki vitakuepo tu ila mwalimuwako ajiongoze kwenye kusomesha kwani dunia ya leo . dunia nikijiji. Taluma ipowazi .wenyekutafuta elimu wata itafuta .ila kundi la wakaidi waliobeba upofu wtakua ni wenye kushanglia tu .watbaki.na upo tu . M/Mungu atabaki na sheria zake tu kama alivyo zipanga. Kwani mungu ni moja tu

    • @allialbusaid
      @allialbusaid 21 วันที่ผ่านมา

      24:08

    • @allialbusaid
      @allialbusaid 21 วันที่ผ่านมา

      Wnakufuatilia kwajina la yesu. Ila wasomeshe kwenye elimu ilionyoka .usiwangoze kwenye upofu .kwani mwanaadau anaakili na ufahau .wakikuona ni mwalimu mongo watakulaani kwa

    • @allialbusaid
      @allialbusaid 21 วันที่ผ่านมา

      Myaka ni namba .nenda kwenye taaluma ya mumbaji kwa anayo yaumba ya kimiujiza kwa uweza wake .jee hakunauwezo wa kiukuaji kimaumbile .

  • @HellenaMky
    @HellenaMky 21 วันที่ผ่านมา

    Huyu cyo mutume. Huwezi fuatanjia yagiza kamali. Maana kiongozi mwenyewe. Nigizatupu. Waislam hamuoni haya. Acheni dini ya ushabiki. Chunguza vitabu mnazo ziamini.

  • @ezekiandolla2741
    @ezekiandolla2741 21 วันที่ผ่านมา

    Mungu akubariki sana 3:38

  • @UswegeJohn-ov3ym
    @UswegeJohn-ov3ym 21 วันที่ผ่านมา

    Asante sana Mtumishi kutufumbua macho kuhusu uchafu wa mtume wa waislam! Kama angekuwepo leo hii angefunguliwa kesi ya ubakaji.

  • @NASSORMUYUGUMBI
    @NASSORMUYUGUMBI 22 วันที่ผ่านมา

    Yani wewe ex imamu kabisa akili yako inakubali kama unaweza kupambana na uislam alafu uurudishe nyuma!!!??? Haya fanya fanya utumie na kiingereza pamoja na lugha nyinginezo ili wakusikie vyema

  • @NASSORMUYUGUMBI
    @NASSORMUYUGUMBI 22 วันที่ผ่านมา

    Huwezi kuzuia haki ex imamu, wewe kama umeamua opotovu ni sawa maana dini hulazimishwi, ila unachokitafuta ktk kumtukaba mtume swalawaatullaahi wasalaamuhuu alayh, utakipata tu maana haitapita hivihivi, kwani waliyomtuka a mtume siyo wewe tu, kama unavyoomba utumike kama chombo cha upotovu wako, ndivyo hivyo utatumika kama kigezo cha watu kutambua nafasi ya mtume, Allah hachezwi shere.

    • @UswegeJohn-ov3ym
      @UswegeJohn-ov3ym 21 วันที่ผ่านมา

      Kweli nimeamini leo mtume Muhammad alikuwa ni Malaya sana!

  • @bakarimakomola
    @bakarimakomola 22 วันที่ผ่านมา

    Hapa amna kitu😂😂😂😂😂 Kiarabu chenyewe nusu ang'ate ulimi

  • @AkonkwaProductions
    @AkonkwaProductions 23 วันที่ผ่านมา

    Bwana Yesu asifiwe, Niko tayari darasani, mwalimu wetu Mungu akubariki Sana.

  • @alhadajjmohammedsmith9042
    @alhadajjmohammedsmith9042 24 วันที่ผ่านมา

    Elewa Waja Wema Walotangulia (Mitume/Manabii na Maswahaba) Walikuwa Wacha Mungu wa kweli/Wavitendo na Mungu akawajaali/akawapa Karma Kubwa Kwa UchaMungu wao. Sisi Leo/Zama zetu UchaMungu wetu wa Mashaka (tunakual/tunakunywa vya Haramu, tunavaa vya Haramu nk) Unategemea uwe na Uwezo/Karama kama Dhul Qarmain/Waja Wema Walotangulia (Mitume na Manabii) Wakti Uwongo/Uzushi (Upotoshaji/Ushaiytwan) Umekujaa?! Ukimuasi Mungu (Allah) Mola Muumba basi naye Allah hakufunulii/hakuonyesihi Mazuri anakuwacha Upotee tu Ili Ukaangamizwe Siku ya Hukmu/Siku ya Kiyama

  • @alhadajjmohammedsmith9042
    @alhadajjmohammedsmith9042 24 วันที่ผ่านมา

    Msome Mwana Astronomia ARISTACHUS (310-230 KK) amegundua "Dark Muddy Spring" Angani. Qura'an imeyathibitisha na Kuyasema hayo tangia Karne ya Saba (7) wewe unapotoshwa !!!

    • @RapaFata
      @RapaFata 8 วันที่ผ่านมา

      @@alhadajjmohammedsmith9042 hayo ni mawazo ya waislam. Yani sayansi ya kuran inasubiri watu hao hao walioandika waisthibitishe. Hivi ukiwa muislam unakuwa mjinga kabisa unashabibkia hata ujinga. Yai kitabu cha mungu kinasubiri kushuhudiwa na wanasayansi hawa hawa wanaosema wewe umetokana na nyani

  • @alhadajjmohammedsmith9042
    @alhadajjmohammedsmith9042 24 วันที่ผ่านมา

    Tatizo lako/Tatizo lenu Makadiri (Wafuasi wa Ibilisi/Mashaiytwan wa KiBinAdam) mpo Ktk Kupotosha Watu wasotaka Kufanya Utafiti wa Kujiridhisha na hili la Kupotosha Watu halijaanza Leo na ndomana Mungu Mola Muumba akawa analeta Mitume na Manabii na Vitabu (Mtume na Nabii wa Mwisho ni Muhammad SAW amepewa Kitabu Cha Mwisho ambacho ni Qura'an Tukufu) kutuongoza Watu na Viumbe wote -BinAdam na Majini/Waislamu na Wasokuwa Waislamu -Wakeisto nk. Mungu (Allah) Mola Muumba humpa Mtu/Kiumbe amtakaye. Kama tunavyosikia/tunavyosoma Historia za Waja Wema waliotangulia (Mitume/Manabii, Maswahaba nk). Dhul Qarmain ni Miongoni mwa Waja Walopewa Uwezo/Karma Kubwa Kutoka Kwa Mungu, wewe usifananishe na Dhul Qarmain!🙌 Hapo Jua (Qura'an 3 : 86) inaelezea Juu/Angani (Mbinguni). Soma Sayansi Wacha Kupotosha Watu kwa Ujinga wako/Wenu Kwa Tamaa ya Duni na Viivyomo! Vituo Vya Sayari (Sayari ya Mars). Je, unakubali/Unajuwa kwamba Angani/Mbinguni ipo Milima, Maji, Vumbi, Tope? Mfano; Mlima wa Olympus Mons-Mlima wa Volcano, Mrefu zaidi Ktk Mfumo wa Jua. Hivyo Dhul Qarmain ameona Angani/Mbinguni na sio Ardhini kama unavyodhani na Kupotosha.!!!🙌 Je, umeshawahi Kuziona Nguzo zinazoishikilia Mbingu ? Na kama hujaziona/hazionekani hizo Nguzo Ndo hazipo? Biblia inatwambia zipo Nguzo zinazoishikilia Mbingu nazo zatetemeka , zinatishika anapozikemea (Kitabu Cha Ayoub 26 : 11) Sasa iweje Ushangae/Upotoshe eti Jua haliwezi Kutua kwenye Tope?! Hapo (✍️ Qura'an 3 : 86...) inaelezea Angani/Minguni na si Ardhini. Wacha Ujinga/Ukafiri wako.!!🙌🤫🙆

  • @alhadajjmohammedsmith9042
    @alhadajjmohammedsmith9042 24 วันที่ผ่านมา

    Waelezee Makafiri wenzio na Historia/Hadithi ya Umar Bin Hatwabi Jinsi alivyokuwa Kabla ya Kuuhama Ukafiri/kabla ya Kusilimu.

  • @issahemed383
    @issahemed383 24 วันที่ผ่านมา

    hongera sana kaka Mungu akuzidishie afya njema

  • @charlesmakuri792
    @charlesmakuri792 24 วันที่ผ่านมา

    Ndacha kwa nini huwa hamchukui na huyu mtu ni msaada mkubwa ikipigwa combination kazi itakuwa nzuri

  • @alhadajjmohammedsmith9042
    @alhadajjmohammedsmith9042 24 วันที่ผ่านมา

    Inshaallah tafuta Siku Utusomee/Utufafanulie na Qur'an 3 : 85