Nilikuwa na kusubiri kwa hamu kupata elimu zaidi kuhusu Isack ama Ismail kupitia channel yetu tuipendayo natazama ni kiwa saudi boder ubarikiwe mwaalimu kwa mafundisho mazuri tunayo ipata pia twamuombea MUNGU akupe ulizi paoja na familia yako na ashushe baraka kwa nyumba yako tuko pamoja ndungu katika KRISTO YESU
Kisa chochote siyo uislamu ndugu Yang Allah SWT katika suratul Bakara Aya 2:1-4 Anasema kumwambia MTUME wake Muhammad s.a.w.w. ..... Na wale wanao amini yaliyo teremshwa kwako tafadhali siyo kwa wasomi. Kila mdomo tunampima na QUR'ANI na tafadhali Sana KISA SIYO UISLAMU. Wala Allah hatotuuliza habazi za Nani yoyote. Na kama hauamini soma Suratul Muumin.. Anasema Allah wamefaulu waumini ambayo Swala zao wansziswali kwa ushuh. Ismaili ama Isack katika Uislamu NI manabi wote wawili. Wewe kama mukiristo unaamani YESU NI MUNGU usijifiche. Mkiristo hauamini Nabi ama Mtume yoyote . Kuanziya mwanzo hadi Zakaria.
Habari za Ibrahim, Ishmael na Isaka nani aliziandika ktk kitabu chenu cha Koran maana kabla ya Koran kulikuwepo vitabu vilivyo tangulia lakini Koran yenu imekuja baadaye na kucopy na mengi imepindishwa ili kuficha Ukweli
Ubarikiweh mtumishi wa mungu
Nilikuwa na kusubiri kwa hamu kupata elimu zaidi kuhusu Isack ama Ismail kupitia channel yetu tuipendayo natazama ni kiwa saudi boder ubarikiwe mwaalimu kwa mafundisho mazuri tunayo ipata pia twamuombea MUNGU akupe ulizi paoja na familia yako na ashushe baraka kwa nyumba yako tuko pamoja ndungu katika KRISTO YESU
Kwahiyo Quran na Hadith zinafanyiwa marekebisho mara kwa mara?
Kisa chochote siyo uislamu ndugu Yang Allah SWT katika suratul Bakara Aya 2:1-4 Anasema kumwambia MTUME wake Muhammad s.a.w.w. ..... Na wale wanao amini yaliyo teremshwa kwako tafadhali siyo kwa wasomi. Kila mdomo tunampima na QUR'ANI na tafadhali Sana KISA SIYO UISLAMU. Wala Allah hatotuuliza habazi za Nani yoyote. Na kama hauamini soma Suratul Muumin.. Anasema Allah wamefaulu waumini ambayo Swala zao wansziswali kwa ushuh. Ismaili ama Isack katika Uislamu NI manabi wote wawili.
Wewe kama mukiristo unaamani YESU NI MUNGU usijifiche. Mkiristo hauamini Nabi ama Mtume yoyote . Kuanziya mwanzo hadi Zakaria.