ความคิดเห็น •

  • @justinendizeye714
    @justinendizeye714 ปีที่แล้ว +1

    Fundisho nzuri mwlm, unazidi kutuelimisha, Shalom 🙏

  • @aliemdogo
    @aliemdogo ปีที่แล้ว +2

    Waislam wamebebeshwa mzigo mzito wauongo na wameuamini kuliko kile kinachosema ukweli

  • @peterngeri9442
    @peterngeri9442 ปีที่แล้ว

    ubarikiwe mwaalimu channel inayo nifariji kwa mafundisho mazuri,je qur'an imekasirika,aya ipi ya kwanza mnakaribishwa ndangu katika KRISTO YESU

  • @omarisaid7318
    @omarisaid7318 ปีที่แล้ว

    Wewe huelewi

  • @peterngeri9442
    @peterngeri9442 ปีที่แล้ว

    Tuko pamoja ndungu katika CHRISTO YESU somo zuri,ni kweli Quran iliandikwa baada ya kifo cha Mohammed miaka 150 nani kurasa zipi zilizo chomwa na zipi zilizo liwa na munyama huji fanya wameifadhi Quran bona hadi leo hazijulikani zilikuwa zaongelee hakuna neno la MUNGU litapotezwa hapo kuna mengi yalifichwa,Yesu hata wasio kuwa wakristo waliandika habari zake bibilia ni neno la MUNGU la kutengemewa,hata habari za mitume walikopi kutoka kwa bibilia ati Mohammed ilifunuliwa habari zilikuweko kabla ya Mohammed kuzaliwa

  • @georgekimasaofficial1629
    @georgekimasaofficial1629 ปีที่แล้ว +1

    ILI KUTAMBUWA KUWA MALAIKA GABRIEL SI WA PURUKUSHANI KAMA WAISLAM WANAVYO DAI NA KUMSINGIZIA NDIYE ALIYE MKABA MUHAMMAD MAPANGONI NA KUMPA UTUME.
    Tusome Danieli 10:12
    Ndipo akaniambia, Usiogope, Danieli; kwa maana tangu siku ile ya kwanza ulipotia moyo wako ufahamu, na kujinyenyekeza mbele za Mungu wako, maneno yako yalisikiwa; nami nimekuja kwa ajili ya maneno yako.
    Katika andiko hili JUU 👆 tunaona MALAIKA GABRIEL akimwambia Daniel USIOGOPE.USIOGOPE.
    Lakini pia hata alipo mtokea Mama wa Yesu kabla ya ujauzito alimwambia USIOGOPE.USIOGOPE.
    Luka 1:30
    Malaika akamwambia, Usiogope, Mariamu, kwa maana umepata neema kwa Mungu.
    Hivyo swala la Muhammad kutokewa na MALAIKA GABRIEL na kumkaba huu ni uongo mweupe kabisa kuwahi kutokea na inawezekana aliye mtokea alikuwa ni SHETANI 2WAKORINTHO 11:13 - 15 SHETANI hujigeza nakuwa kama MALAIKA. ndiyo maana hata Muhammad alihisi kuchezewa na shetani na kumwambia mke wake

    • @paulmushi2428
      @paulmushi2428 ปีที่แล้ว +1

      Ni kweli kabisa Malaika Gabriel hajawahi kumvamia mtu pale alipotumwa na Mungu kutoa ujumbe wa wema kwa mtu!! Hata Mungu Mwenyewe hakumpa ujumbe Nuhu wa kutengeneza safina Kwa kumminya MWANZO 6: 12-14 Hata alipompa Ibrahim ujumbe wa kutoka katika nchi aliyozaliwa Mungu hakumminya MWANZO 12: 1-3 hata Musa hakuminywa MWANZO 3: 4 - 6 na wengine wengi

  • @hamiarseif7299
    @hamiarseif7299 ปีที่แล้ว

    KAtafute dume akupande uko

  • @protusmuliro2796
    @protusmuliro2796 ปีที่แล้ว

    Huyu sio mkristo Wala muislam Bali yy ni murtad

  • @hamiarseif7299
    @hamiarseif7299 ปีที่แล้ว

    KUMAMAYO MBWA MMOJA HUNA LOLOTE WE UMERITADI WEE MBWA MWEUSI KAFIRWE UKO

    • @Hshshsueue
      @Hshshsueue ปีที่แล้ว

      Ndugu yangu mbona matusi?

    • @joelakello8335
      @joelakello8335 ปีที่แล้ว

      Matusi ya nini kaka?nikama mwalimu ameguza kidonda sasa umechemka kweli😁😁😁

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi7377 ปีที่แล้ว

    Habari kaafir ww!
    Allaha akuongoze ,
    Mimi nmekusikikiza vizıri mwanzo mwiaho, kukuelimisha hapa ni vigumu sana nahic huwez kuelewa .
    Kiufupi Qur'an haisomwi kama Biblia ukijihic nisome bas usomee laaaaa,
    unatakiwa ukae chiniii darasani .
    Ndio maana Qur'an hata muarabu anayejua kiaranu kama lugha mama hawez Tafsri Qur'an mpka asomee akae darasan sıo chın ya mıaka 3+..
    Ww unaangaika na kiarabu hali yakuwa kiarabu kenyewe maneno yako unayakosea sanaa , n hatari ktk hilo maana kiarabu ukıkosea herf moja tu , umekosea maana!
    Lkn ww kinachokushghulisha ww hujui
    1-AYA ni nini?
    2-SURA ni nini?
    3-Qurani ni nini?
    4- Furkaani ni nini?
    Kasome Biblos kaka , hii Quran itakuhaibisha .
    Kwanza unasoma kitu halafu unatafsri tofauti kaka!
    Kwa wema tu ! Achana na hii ,
    Itakuhaibisha na kukupotwzea wafuasi wako. Ww komaa na kanisa lako huko .
    Eti Yesu aliye hai ! Na yule aliyekufa msarabani Mungu hakuona uchungu mwanaye anatandıkwa mijerred msarabani???
    Polee sanaaaa

    • @hamisijuma3276
      @hamisijuma3276 ปีที่แล้ว

      Usiumie bro! Ukweli ndy huo

    • @charlesmapunda5905
      @charlesmapunda5905 ปีที่แล้ว

      Hapo ndo mnakosea kukomaa na uongo mlopandikizwa we mambo karibu yote wametoa kwenye Biblia alafu yakageuzwa geuzwa kisha mnadanganywa eti Muhammad kaambiwa na Mungu wakati Biblia ilikuwepo miaka 2600 mpaka Muhammad anazaliwa hatakufikiria japo kidogo huo uongo ulotungwa kuandika Quran.

    • @sylvestersamwel8210
      @sylvestersamwel8210 ปีที่แล้ว

      Jibu hoja kwa aya sio maneno mengi yasiyo na mantiki!!