ความคิดเห็น •

  • @daudimichael7338
    @daudimichael7338 ปีที่แล้ว +1

    Nimefika darasani Mwalimu, barikiwa sana Mwalimu wangu

  • @mj.tv.forpeople992
    @mj.tv.forpeople992 ปีที่แล้ว +1

    Asante tuombeane Zaid Sana tuwaombee ni ndugu zetu kimwili

  • @felixgitonga6783
    @felixgitonga6783 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwa mwalimu katika jina la jesu kristo jina kuu kuliko majina yote

  • @POVELSPORTS
    @POVELSPORTS ปีที่แล้ว +1

    Nipo darasani

  • @davidmghanga8502
    @davidmghanga8502 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe mwalimu kwanza hiyo qrn 2:97 imeshajisemea ilitoka kwa nani na Alie ileta tunasikitika kama MUNGU anaweza tuma kitu chake kiletwe na adui tena shetani???

  • @stevenmponzi8168
    @stevenmponzi8168 ปีที่แล้ว

    wale ambao tunahitaji kuchangia vifaa vya mtumishi List mbona siioni