ความคิดเห็น •

  • @vincentashiembi
    @vincentashiembi ปีที่แล้ว +3

    umefanya vizuri kumjibu mwalimu, angeona wakristo wetu waalimu ni kuropokwa. Mungu akupe nguvu siku zote kupitia mwanawe Yesu kristo

  • @aliemdogo
    @aliemdogo ปีที่แล้ว +2

    Mwalimu mungu anakupenda usikate tamaa sema ukweli uwaume tunakupenda❤

  • @Gesareh-v4d
    @Gesareh-v4d ปีที่แล้ว +2

    Mwalimu, aliye juu yako ni mkubwa kuliko wa duniani ..injili mbaka yesu arudi

  • @kephasteven5947
    @kephasteven5947 ปีที่แล้ว +1

    Mwwalim mungu akubariki sana kwa kazi nzuli

  • @noelnjementi8511
    @noelnjementi8511 ปีที่แล้ว +1

    Nakupata from tz dar salam

  • @HellenaMky
    @HellenaMky 4 หลายเดือนก่อน

    Anao mkataa YESU niwaislamu. Sisi tunaamini YESU yupo naanatulinda Hadi sahiii. Kwahiyo wao wanamsubili aje. Ahukumu Dunia Kisha afetena nimaskitiko Sana kwa waisilamu😮

  • @ezronkabungu-ub1de
    @ezronkabungu-ub1de ปีที่แล้ว +1

    Mtumishi wa BWANA usirudi nyuma katika utume wako.tunakupenda Sana .unaweka wazi na unafundisha ukweli.hao waje na hoja sio vitisho

  • @paulnyakxx
    @paulnyakxx ปีที่แล้ว +1

    Ukweli huhitaji hasira. Kila mtu anaweza kuuona tu.
    Isitoshe, haya, tuseme wao wanataka kumuua Ishamail Kwa ajili ya Mungu wao, ili iweje? Mimi nilidhani Mungu ndiye hulinda waja wake wala sii watu kumlinda Mungu wao? Kwa tabia hii, imetosha kutudhihirishia kuwa waislamu ni wakuu kumliko mungu wao. Huenda hata mungu wao ni sanamu, kiwete, na ndiyo sababu hana uwezo wa kujitetea mwenyewe.
    Poleni lakini. Ukweli ni ukweli, hata msipouamini

  • @noelnjementi8511
    @noelnjementi8511 ปีที่แล้ว +1

    Mwalim Ismaili naswali 1 je yesu kama co mwanawamngu je kwanini aje kuhukumu wario hai na wario kufa

  • @BernardMwaipopo
    @BernardMwaipopo ปีที่แล้ว

    Wewe ni.mkweli ubarikiwe

  • @noelnjementi8511
    @noelnjementi8511 ปีที่แล้ว +1

    Nilifatilia mwalimu mbogo Yani inaonekana ajasoma kbs kwani seem nyingi alikuwa akifosi uku akijichanganya tu

  • @noelnjementi8511
    @noelnjementi8511 ปีที่แล้ว +1

    Yamkini mwalimu ismahil tuseme TU ukwer mwenyezimngu nabwanawetu yesu kristo wamekusimamia aswaha adi una nga'ara kwajina layesu

  • @Gesareh-v4d
    @Gesareh-v4d ปีที่แล้ว +2

    Waislam msipigane vita vya mwili bali vya kiroho maana vitabu vyenu ndo mwalimu anasoma,nanyi someni biblia wacha makasiriko ..72 virgins u will get in hell nt heaven..hata mohamad anangoja hukumu kutoka kwa YESU

  • @kennah03m
    @kennah03m ปีที่แล้ว +1

    Mwalimu following...

  • @noelnjementi8511
    @noelnjementi8511 ปีที่แล้ว +1

    Kwanini nduguzetu wakiislamu awaamini iyo TU kazi aliyopewa yesu namwenyezimngu kuwa TU uyo yesu co kiumbe chakawaida

  • @Enemyofallah-y4u
    @Enemyofallah-y4u ปีที่แล้ว

    Unge wataja tu

  • @noelnjementi8511
    @noelnjementi8511 ปีที่แล้ว

    Je uyo yesu wanae muita ISSA kwanini apewe KAZI iyo namwenyezimngu au mwenyezimngu cku iyo atakuwa yeye mngu Yuko wapi

  • @NgameshaGidion
    @NgameshaGidion ปีที่แล้ว

    Mbogo ni Muuza daws haliyejificha uislam

  • @daudimichael7338
    @daudimichael7338 ปีที่แล้ว +2

    Mwaipopo alijaribu kukutisha akagundua wewe ni maji marefu yatamgharikisha akaogopa akakukimbia. Mbogo atakuweza?

  • @MuniraShughuli-kc7vj
    @MuniraShughuli-kc7vj ปีที่แล้ว

    Astaghafirullah rudi kwenye dini yako ya Haki kabla ya mauti Mzee wangu😭

  • @godwinmsuya6080
    @godwinmsuya6080 ปีที่แล้ว

    Mwalimu achana na huyo mtu, anzia Mithali 7: 6-22, kachagua Mithali 7:16 ili kuukimbia ukweli...

  • @HellenaMky
    @HellenaMky 4 หลายเดือนก่อน

    Minguwao nimuhamadi. Nayuko kaburini adileo halafu wanamwombea maajabu🙄

  • @ezronkabungu-ub1de
    @ezronkabungu-ub1de ปีที่แล้ว

    Huyo mbogo ni nani hasa? asome Aya kwa Qur'an zinazokanusha Aya hizo na tafsir za maimam wake.

  • @ezronkabungu-ub1de
    @ezronkabungu-ub1de ปีที่แล้ว

    Kafir Ni mtu asiyekuwa na dini.wewe una dini yako tayari

  • @noelnjementi8511
    @noelnjementi8511 ปีที่แล้ว

    Mwali ismahiil

  • @hajinkulunge8493
    @hajinkulunge8493 ปีที่แล้ว

    wewe ni kafiritu

    • @prosperjohn2047
      @prosperjohn2047 ปีที่แล้ว +1

      Njoo na hoja, Acha upumbavu,, hasira hukaa kifuani Mwa mpumbavu 🤣🤣🤣🤣

    • @hamisijuma3276
      @hamisijuma3276 ปีที่แล้ว +1

      Njoo usome korani yako tuone Kama inasema tofaut utupe haya, acha ukali na ubishi usio na mashiko

    • @aliemdogo
      @aliemdogo ปีที่แล้ว

      ​@@abdallamkwaju6102waislam hawajielew hata shehewenu wamchongo mwaipopo amesema mnapelekeshwa