Mungu tupe ushindi kwa hizi nyakati za mwinzo waitaji kuwa na moyo mukuu wenye Imani Ya musimamo mmoja kumutasamiya Yesu tuu liweliwalo Kwa mazuri na mambaya yoooote Yako mbele yetu Mungu tusaindiye kukujua wewe Mungu wa kweli
Injiri maalum kwa watu wotee na anaesikia na azidi kusikia na anaeona na azidi kuona yaliyo nenwa zaman sasa tuna yaona kwa macho na kuyasikia Mungu atusaidie kwakweli Mungu akubariki mtumish kwa Elimu hii na injiri hii
Nirehemu Mimi mwenye dhambi Mungu nisamehee Yesu nisaindie mwokonzi Yesu niongoze Imani Yesu nisaindie mwokonzi Yesu niongoze Imani Yesu nisaindie mwokonzi wetu nipate kukutumainia wewe Yesu Kristo wanasareti mwana wa Mungu aliye yuu saaana
Mungu abariki huu mtumishi sana tena sana kutupa habari hizi za siku za mwiho maana wengi wetu makanisa hatufundishwe habari za kunyanguluwa ili kanisa tubaki chonjo! tena Mungu abariki mtumishi sana.
Mchungaji asante sana kwa mafundisho Mazuri MUNGU Akubariki Ila nawasihi musiwe munakata mafundisho asa wakati wamaombezi munatuhiumiza. Sana Sisi ambayo tunafatiliya mtandaoni Mungu akubariki
Amen 🙌
Asante sana Kwa mafundisho haya.Mungu akubariki Sanaa
Amen may God bless you reach many souls in Jesus watching from kenya Lamu island.you really help me to understand scripture easily . Ashe oleng.
Amen. Barikiwa Rabbi. Asante Kwa Injili ya kurudi Kwa KRISTO YESU
Mungu tupe ushindi kwa hizi nyakati za mwinzo waitaji kuwa na moyo mukuu wenye Imani Ya musimamo mmoja kumutasamiya Yesu tuu liweliwalo Kwa mazuri na mambaya yoooote Yako mbele yetu Mungu tusaindiye kukujua wewe Mungu wa kweli
Hallelujah injili ya wakati kamili kwa kurudi kwa Yesu ubarikiwe sana bishop kwa ujumbe mzuri sanaaaaaa
Amina Amina ujumbe muhimu kwa siku hizi za mwisho...Bwana uturehemu
Injiri maalum kwa watu wotee na anaesikia na azidi kusikia na anaeona na azidi kuona yaliyo nenwa zaman sasa tuna yaona kwa macho na kuyasikia Mungu atusaidie kwakweli Mungu akubariki mtumish kwa Elimu hii na injiri hii
Nirehemu Mimi mwenye dhambi Mungu nisamehee Yesu nisaindie mwokonzi Yesu niongoze Imani Yesu nisaindie mwokonzi Yesu niongoze Imani Yesu nisaindie mwokonzi wetu nipate kukutumainia wewe Yesu Kristo wanasareti mwana wa Mungu aliye yuu saaana
Mungu atukuzwe kwa kuwa nimekufata tena, Kristo atukuzwe zaidi sababu muda ujao nitapata nafasi ya kukuona macho kwa macho kwa mukutano inayo fata.
Waaah!! Haki nimependa hii
Mungu abariki huu mtumishi sana tena sana kutupa habari hizi za siku za mwiho maana wengi wetu makanisa hatufundishwe habari za kunyanguluwa ili kanisa tubaki chonjo! tena Mungu abariki mtumishi sana.
Amen for God be the glory
Naanza Tena kuhubiri Kwa nguvu,Asante kwa kunishtua mtumishi
Amen Muchungaji tunakufata kutoka Africa kusini ni mupendwa wenu justin
Amen men 🙏🙏
Amen! Neema ya MUNGU izidi kuwa kubwa maishani mwetu
Mchungaji asante sana kwa mafundisho Mazuri MUNGU Akubariki Ila nawasihi musiwe munakata mafundisho asa wakati wamaombezi munatuhiumiza. Sana Sisi ambayo tunafatiliya mtandaoni Mungu akubariki
Ameeeeeen ameeeeeen ameeeeeen
Hallelujah
Amen Barikiwa sana RABI
NAMI Nita yakuliwa na yesu Niko tayari
Aminaaaaa aminaaaaa aminaaaaa ❤❤❤
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu
Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu kwa mahubiri mazuri.
Tunashukuru kwa mahubiri yenye kujenga mioyo na imani zetu kwa Mungu.
Naam Àmina ❤
Ameeen ujumbe moto❤
Ameeeenn
Neema ya mungu iwe nawe rabbi pia na sisi pia amen
Amina
Fufuwa kazi Yako ndani Tena Yesu nisaindie Yesu nisaindie mwokonzi.nitakaze
Mungu wa Israël atukuzwe kwa upendo wake mukubwa kwa ajili yetu.
Amio