jamani naomba msaada nina mwezi sasa kila nikitaka kuangalia ujumbe au video ambazo zimeshatumwa na huyu mtumishi wa MUNGU inaanza vizuri ila baada ya dakika tano inagomba inaandika hivi "could not play this stream" sijajua shida nini au sim yangu sijui imebonyeza wapi masomo yananipita mwenzenu msaada tafadhali.
kweli kbs Asante sana
👍🙏🙌
Ntawezajee kuwaa na mpenzii mmoja