MAMA TAFUTA HELA MUME WAKO AKUPE HESHIMA NA ASIKUPIGE / HAKUNA MTU ANAWEZA KUPIGA BANK"PASTOR MGOGO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ส.ค. 2024
  • Kuendelea kupata mafundisho yangu mazuri yanayohusu mahusiano yako na Mungu,Utakatifu,Uchumi na Biashara kupitia mitandao yangu kila siku kama ifuatavyo:-
    Facebook: Daniel Mgogo / revdanielmgogo
    Instagram: Pastor Daniel Mgogo / pastordanie. .
    TH-cam : Pastor Daniel Mgogo www.youtube.co....
    #PastorDanielMgogo#ImaniYaKweli#InjiliYaKristo

ความคิดเห็น • 61

  • @marielouis2767
    @marielouis2767 ปีที่แล้ว

    Nime kupa sheriya kwa ma mahubiri. Juu na me kwisha hishi take maisha. Hata si kupigwa. Ila nilijibiwa mabaya mingi sana.

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 ปีที่แล้ว +3

    Mchungaji uko sawa.Mimi ni mwanamke wa shoka.Ninakuelewa❤

  • @user-wo5bj8wm4y
    @user-wo5bj8wm4y 8 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @premillahmwanigha1735
    @premillahmwanigha1735 ปีที่แล้ว +8

    Nimependa huu ujumbe sana...ahsante Mungu kwa kunipa nguvu na akili ya kujitaftia kipato changu mimi mwenyewe

    • @EnocBahaya-bs4rs
      @EnocBahaya-bs4rs ปีที่แล้ว +1

      Jambo bingi mzuri

    • @traineesmbwilo3559
      @traineesmbwilo3559 ปีที่แล้ว

      Mchungaji nimelielewa sana somo lako nipo vizuli kupambana vikoba navikizi vikundi kama vyote navikundi chakununuliana maitaji yandani kwaiyo mtumishi ubalikiwe kwasomo nzuli

    • @traineesmbwilo3559
      @traineesmbwilo3559 ปีที่แล้ว

      Kwamwanamke wasasa ambae yupo tuu amekaa nyumbani ametulia mungu awainue

  • @RobaiMusiiko-co2cb
    @RobaiMusiiko-co2cb ปีที่แล้ว +3

    Nashukuru kwa ujumbe mzuri. Barikiwa sana poster❤❤🎉

  • @JenifferRichard-tc5oj
    @JenifferRichard-tc5oj ปีที่แล้ว

    Mchungaji Mungu akusaidie jua single mother ni wengi na watoto wasio na maadili ni wengi

  • @juliusmoivana9844
    @juliusmoivana9844 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki mtumishu kwa elimu unae tuelimisha

  • @selphermurunga7338
    @selphermurunga7338 ปีที่แล้ว +3

    True pastor tell them to style up

  • @annemremy8107
    @annemremy8107 ปีที่แล้ว

    Upendo hautafuti hayo. Upendo WA kweli haupo kwenye vitu pastor

  • @irineotieno8682
    @irineotieno8682 ปีที่แล้ว +2

    Ni kwel mchungaji🙏🙏🙏

  • @olivianyamboke208
    @olivianyamboke208 ปีที่แล้ว +2

    Amen kweli kabisa

  • @CarineNyota-ly3xl
    @CarineNyota-ly3xl ปีที่แล้ว +1

    asate pasta

  • @ggfghh6220
    @ggfghh6220 ปีที่แล้ว

    Amina Amina ubarikiwe sana pastor kwa mafunzo mazuri inanipa nguvu ya upambanaji wa kutafuta maisha Amina

  • @jenifamtima9325
    @jenifamtima9325 ปีที่แล้ว +1

    Sikatai kusemwa ila kuwe na staa utakuta Mchungaji anabwabwaja kama mwalimu wa zamu bila ya kukuvuta pembeni ,,,anakuaibisha Mbele ya kanisa ,,,ila kuna kundi apo apo kanisani au familia fulani inaeshimiwa na Mchungaji ata wafanye nini utakuta anawachekelea tu yaani,, na akacha kuhubiri akaanza kusifia hiyo familia,, nyinyi ni binadamu baana sio Yesu munakwazaaa kweli kweli yaani. Munajikuta muko raiti wakati woote kana kwamba Mungu mjomba yenu...ninachojua ni kutenda mema tu baasiiii ,, maana ni sehemu ya ibada....kanisani tunawaachia ..kwasababu kwa Mungu akuna Mchungaji wala askofu,,,someni Biblia inaeleweka kirahisi tu Acheni kusikiliza wachungaji....wanaongea saana kuliko kufundisha .

  • @KyarusFrimon-io3nf
    @KyarusFrimon-io3nf ปีที่แล้ว +1

    Ni ukwel mtupu mtumish mungu akuzidishie nguvu

  • @marianajoseph1892
    @marianajoseph1892 ปีที่แล้ว

    Mungu anawaheshimu wale wanayoieshimu kazi yake, pia uwainue.❤❤🔥🔥👏🏽👏🏽

  • @phillipoloo895
    @phillipoloo895 ปีที่แล้ว

    Ahsante mchungaji kwa ujumbe ,,,,unafunza ukweli kabisa na maisha tunayoishi.

  • @MourineIkhoni
    @MourineIkhoni ปีที่แล้ว

    Very true pastor

  • @damarismakau6017
    @damarismakau6017 ปีที่แล้ว

    Amen ,mafunzo mazuri

  • @sylviaatego3992
    @sylviaatego3992 ปีที่แล้ว

    Amen i love your preaching i help alot

  • @SaudaIngairo
    @SaudaIngairo ปีที่แล้ว

    Asante kwa mahuburi❤

  • @agatamsitu1121
    @agatamsitu1121 ปีที่แล้ว

    Hakika❤ nashukulu

  • @magdalenakusaga7270
    @magdalenakusaga7270 ปีที่แล้ว

    Barikiwa sana mtumishi

  • @jessicamasepo8320
    @jessicamasepo8320 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe sana, Baba Mchungaji.

  • @furahaangelique775
    @furahaangelique775 ปีที่แล้ว

    Nikweli Baba

  • @leahrutto7123
    @leahrutto7123 ปีที่แล้ว

    Asante mchungaji

  • @purityrose6714
    @purityrose6714 ปีที่แล้ว

    Aki this message is mine,,I get panicked easily and I rarely take corrections without feeling offended

  • @wambuievelynwaithira
    @wambuievelynwaithira ปีที่แล้ว +2

    Be blessed pastor for powerful sermons. I really learn alot from this channel

  • @henryambaya7907
    @henryambaya7907 ปีที่แล้ว

    Be blessed my hero

  • @LoizerThobias-yx2wm
    @LoizerThobias-yx2wm ปีที่แล้ว

    Umenisaidia sana pakubwa mchungaji

  • @liddydeSalt4773
    @liddydeSalt4773 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂 Wow nice acha nitafute hela🎉

  • @RafikiYona-ub2qk
    @RafikiYona-ub2qk ปีที่แล้ว

    Huo ndio ukweli umasikini ni dhambi

  • @winniekaari1951
    @winniekaari1951 ปีที่แล้ว +4

    Lakini pastor mumewangu ananinyima freedom ya kutoka kutafuta nifanyeje?

    • @annakishai
      @annakishai ปีที่แล้ว

      Huyo anataka ukose pakushika umnyenyekee yeye tu. Fungua akaunti yamalenge jiwekee akiba. Anajua ukitoka utabebwa atakupoteza.

  • @igira8758
    @igira8758 ปีที่แล้ว +5

    Sikuungi mkono 100 0/0 pastor .Hii inaweza kuwa sehemu Moja ya kupiga wanawake siyo Kila mara wanandoa wanaweza kuwa maskini lakini wakavumiliana nyumbani.Kilichomuhimu sana ktk ndoa ni Mapenzi kati ya wanandoa vingine hukuja badaaye

    • @BMboss108
      @BMboss108 ปีที่แล้ว +2

      Ni wanaume wa siku hizi wanataka kusaidiwa majukumu ndio wanadharau wake zao...malezi ya watoto na nyumba yanachosha na ni kazi ngumu sana

    • @vanjestastaphord
      @vanjestastaphord ปีที่แล้ว +1

      Asant kwa neno nzur

    • @Manishimweelvis
      @Manishimweelvis ปีที่แล้ว +1

      Napende sana sikutakuja ukukwetu ntafurayi sana 🇧🇮🇧🇮

    • @victorreveta
      @victorreveta ปีที่แล้ว +1

      Tafuta pesa upendo unakujaga automatically na hisia zinakuja automatically....wote tafuten hela kwa njia halali wanawake kwa wanaume

    • @jacqueeydelia
      @jacqueeydelia ปีที่แล้ว +1

      Na bila pesa mtaweka mapenzi kwa sufuria mkule😂😂kutafuta ni laxima the best weapon of a lady is her wallet

  • @AmenKimaro
    @AmenKimaro ปีที่แล้ว

    Ukwel navuka mahali

  • @user-yl8ni9wn4t
    @user-yl8ni9wn4t ปีที่แล้ว +1

    Asante, lkn hubiri injili ya mbinguni yaan njia za kuokoa wanadamu kuona ufalme wa mbinguni maana parapanda imekaribia, sio pesa every time.... Taften ufalme wa mbinguni vingine mtazidishiwa Biblia inasema.... 🙏

  • @aishaz1
    @aishaz1 ปีที่แล้ว +1

    Ndo maana ndoa nyigi zimevunjika kwasababu bibilia inasema mwanaume atafanya kz kwa jasho na mwanamke atazaa kwa uchungu..sikuiz wanawake wengi ndo wamegeuka kuwa baba sasa wacha kutoka nje y mada mchugaji f

    • @zachariahekal2452
      @zachariahekal2452 ปีที่แล้ว +1

      Wee ndio uko nje y mada...jifunze kutafuta hela hueshimiwe na mumeo

    • @hellendaniel3809
      @hellendaniel3809 ปีที่แล้ว +1

      Endelea kulala utashangaa

    • @sarahgaula2220
      @sarahgaula2220 ปีที่แล้ว +3

      Naomba nikusaidie sifa za mwanamke mwema mithali 31:10 -31
      1. Kinywa chake chapita kinywa cha marijani
      2.Moyo wa mumewe humuamini
      3. Hatakosa kupata mapato
      4. Hutenda mema wala si mabaya
      5. Hutafuta Sufi na kitani
      6. Hufanya kazi Kwa mikono yake Kwa moyo
      7.Afanana na merikebu ya biashara
      8.Huleta chakula chake toka mbali
      9. Huamka kabla haujaisha usiku
      10. Huwapa watu wake chakula na wajakazi sehemu zao
      11. Huangalia shamba akalinunua Kwa mapato ya mikono yake hupanda mzabibu
      12. Hujifunga nguvu kiunoni kama mshipi hutia mikono yake nguvu huona kama bidhaa ina faida
      13. Taa yake haizimiki usiku
      14. Hutia mikono yake katika kusokota
      15. Huwakunjulia masikini na wahitaji mikono yake
      16. Watu wa nyumbani hawana hofu mana huwavika kitani
      17. Hujifanyia mazulia ya urembo
      18. Mavazi yake ni kitani safi
      19 mume wake hujulikana malangoni pa wazee
      20. Hufanya nguo za kitani na kuziuza
      21. Anaucheka wakati ujao.
      So mwanamke si kuzaa tu ukasubiri uletewe kila kitu. Ikitokea mume amefariki itakuwaje? Ama we ndio Una uwezo ama mafikira ama bidii zaidi ya mwenzio?

    • @SARAHHALIFA-wm2kg
      @SARAHHALIFA-wm2kg ปีที่แล้ว +1

      Wewe uko karine Gani mjomba?

    • @salmamlokela1987
      @salmamlokela1987 ปีที่แล้ว

      Dada jiandae kwa lolote kuna leo na kesho leo mume yupo kesho mume hayupo kabisaa utaishi vp na watoto jiandae kwa vita usijibweteke ila tu heshima iwepo kwa mumeo tafuta ela

  • @Allyamanzi-jt8us
    @Allyamanzi-jt8us ปีที่แล้ว +1

    ?

  • @kasaranimrudi7310
    @kasaranimrudi7310 ปีที่แล้ว

    😂😂

  • @khadijamwenda1851
    @khadijamwenda1851 ปีที่แล้ว

    Unapotosha watu mchungaji gan wewe unataka watu wawe busy na pesa kuliko kutafuta wokovu??? Jukumu la mume ni nini??? Vitabu vitukufu vimeeandika mume ni kichwa cha family lazima ahudumie family ni jukumu lake

    • @user-yb6ut9in5c
      @user-yb6ut9in5c ปีที่แล้ว

      Wewe ndy hujasoma mandiko kasome mithar pastor yukosahihi

    • @musakaphu4581
      @musakaphu4581 ปีที่แล้ว

      ​@@user-yb6ut9in5cachana nae huyo mvivu tu wa maisha ndomana yuwaona kama pastor anakosea😂😂