Hakika kila lenye heri lina mwisho mwema! R i p tupo tunaendelea kuyaenzi mema yako yote daima nimejifunza kuwapenda wote walio chini ya uwezo wangu na kuwajali pia.
Huu wimbo umeishi kuniliza sana JPM alikua ni binadamu ambae alitambua thamani ya wenzake bila ubaguzi,alikua na sura zote,hakika KIFO daaah#R.I.P mzee Tz inakukumbuka sana hasa wanyonge
Baba toka ulipoamua kurudi kwa muumba wako mambo hayajawahi kuwa yalivyokuwa! Yanasikitisha tunakukumbuka kwa mema yote kama ulivyosema! Naumia kwa kuweka saini ya malaika wa zamu kurudia mavumbini! Baba endelea kupumzika kwa amani! Tutakuja badae!. Bado tulikuhitaji kuna wengine walikufata nyuma yako ulipoondoka
Mbarikiwe kwa wimbo mzuri! Kwa kipindi hiki cha huzuni katika taifa🇹🇿 letu Mungu azidi kututia nguvu. Muhubiri 3:14-15
Hakika kila lenye heri lina mwisho mwema!
R i p tupo tunaendelea kuyaenzi mema yako yote daima nimejifunza kuwapenda wote walio chini ya uwezo wangu na kuwajali pia.
Umetuacha wapweke Magufuli wetu tutakukumbuka sanaa
Wimbo mzuri sana inauzunisha mno
Daaah mmeimba vizuri mnoo, sauti zimetulia. Kwakheri mzee wetu..
Nimependa Sana Sana huu wimbo dah Sana hasa kipindi Hiki cha huzuni R I P RAISI WETU TUTALUKUMBUKA DAIMA
Lovely song and voices....may y'all be blessed...this song gives us comfort and strength in this hard time...RIP legend
Mmeimba vizuri Sana. I love it. Jina la Bwana lihimidiwe. RIP JPM
Pumzika kwa amani president Mr MAGUFULI may soul rest in better and peaceful place 🙏🙏🙏
Huu wimbo umeishi kuniliza sana JPM alikua ni binadamu ambae alitambua thamani ya wenzake bila ubaguzi,alikua na sura zote,hakika KIFO daaah#R.I.P mzee Tz inakukumbuka sana hasa wanyonge
Good song but we are in sorrow 😢
Wimbo unahuzinisha dah kweli umetuacha wapweke, kwaheri shujaa wetu JPM.
AIC , higoma
Amen
Hatuna budi kukubaliana na hili 😭😭😭
wafilipi 1.19
RIP Magufuli
Rest in pease Mr president
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
🕯️🕯️🕯️🕯️🕯️🕯️🕯️🕯️
RIP
Baba toka ulipoamua kurudi kwa muumba wako mambo hayajawahi kuwa yalivyokuwa! Yanasikitisha tunakukumbuka kwa mema yote kama ulivyosema! Naumia kwa kuweka saini ya malaika wa zamu kurudia mavumbini! Baba endelea kupumzika kwa amani! Tutakuja badae!. Bado tulikuhitaji kuna wengine walikufata nyuma yako ulipoondoka
Amen
Mungu Baba nirehemu hasa Kwa moyo wangu kukataa kukubaliana nahili, mpaka leo nashindwa kuamini kuwa Raisi magufuli hayupo Tanzania naduniani.
Amen