EXCLUSIVE: NDOA YA MTANZANIA ILIYOZUA GUMZO MTANDAONI "SIJAMPENDEA HELA, SIO HELA ZANGU"
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 9 ก.พ. 2025
- David Masha ni mtanzania ambaye alipata ajali mwaka 2007 baada yakuomba lift ambapo dereva aliyekuwa anaendesha gari alikuwa amelewa nakuanguka nakumsababishia kushindwa kusimama tena peke yake,lakini amezua gumzo mtandaoni baada yakufunga ndoa na mke wake nakupelekea watu wengi kudai kwamba mke wake alifuata fedha na sio mapenzi kutokana na hali aliyonayo.
David anasema amesoma na mke wake na walikubaliana kuoana muda mrefu na hana fedha kama inavyodaiwa na kwamba harusi yake iligharimu million tisa ambazo alichangiwa na ndugu jamaa na marafiki zake na kwa sasa ameajiriwa kama afisa ustawi wa jamii katika wilaya ya Bumbuli.
"sijampendea david hela hana hela kama wanavyofikiria,miguu yake haikuwa sababu yakusema hapana usiogope mtu Mungu akupi unachokitaka anakupa unachostahili"-Mke wa David
Huyu mtangazaji ni noma Sana anaibua habari kali Sana hasa za kijamiii milady usimuachie sio wale wengine ni za udaku tu kama unamkubali gonga like
MUngu akubariki uwe na upendo wa kweli ukimtunza kwa kweli nayeye atakutunza
Natoa unabii, cku zijazombele huyu ndugu atatembea kama awali. Nini kitatokea MUNGU atatengeneza njia. GOD IS GREAT
"nimeomba mwanaume mwenye hekima na atakaye nimependa si kuomba mwenye miguu au vipi" Mungu akubariki Dada.... There's a purpose in every thing... God bless you guys.
Qqqqqqqqqqq
Kwl kbx S B, Ata me uwa namuomba mungu anipe mwanaume mwny hofu ya mungu na mwny upendo wa dhat. Mungu awabariki
Dada unaimani naunamjua mungu niwanawake wachache sana mpende mumeo
Huyo ndio mwanamke wa kweli, Mungu awalinde na awatie nguvu 🙏🙏🙏
🙏🙏🙏
Asante tuko Jesca wachache Sana wenye moyo huu
So emotional kwa kwel siku ya kwanza kuwaona nililia hakii, Mungu awazidishie Upendo wa dhati👏👏
Uyu jamaa nilikuwa nasoma nae Chuo Kikuu..Ni mshikaji Moja Bomba sanaa...ni mtu mmoja mtulivu atari sanaaa afu mshikaji. Na Abarikiwe yule jamaa ambae alimuudumia pale chuo. Dha long time bro. Asante miradi for updates...All the way from Brussels
Waooooh. Anaonekana ht anavoongea ni mtu poa
Thanks to his classmate
Hongera sana kwa kusoma nae chuo kimoja
Huyu jamaa ni wa mtaani kwetu kimara baruti ni mpole mno asee
jambo jema sana maishani watu kukupa sifa nzuri
Dada umepata mume mzuri mtunze mumeo
Real love. Hongereni
Kabisa
Tena handsome! Nasikia sauti ya Nikki wapili
Huyu Ni wa kwake peke yake no stress
Be blessed my sister
Wangapi wameona bwana david ni mzuri gonga like hapa 😂😂😂😂😂😂
Licha ya ulemavu uko mzuri kinoma na mkeo naye rangi ya tenga mola awabariki katika safari yenu ya ndoa 🥰🥰🥰❤🔥🇰🇪
David Masha is a gentlemen. Nimefanya Naye kazi ofisi 1 Bumbuli. He is a very good man, he is very social man. Hongera sana kaka. Mungu awajaalie ndoa idumu
Amen 🙏
Huyu dada anafanana na Wema....😍😍MUNGU Awatunze
Kimbe umeonayeee😄😄😄
Kweli aisee
Nilifiki peke yangu kafananae
Umewaza Kama mm
Kumbe umeona nawewe daah😁
Dada MUNGU wa mbinguni akubariki pia MUNGU amponye mme wako apone awe Kama mwanzo katika jina la YESU KRISTO Amen
Jamaa nmemkumbuka akiwa udsm,,,ni mtu flan anajipenda sana afu mtu wa watu alikuwa na kampan kubwa sana wherever you find him
David umepata mke mzuri wa sura, umbo na tabia. Hongera sana.
Hongereni sana dada usijebadilika usijesikiliza watu ukaona Mungu kakupa mume anajua kwanini na kaka mpende mkeo usije badilika Mungu awe dereva wenu
Mbona kama huyu kaka namfahamu sijui yupo Bumbuli sehemu gani Natamani siku moja nikawaone Mimi nipo Bumbuli mission Daaaah Huyu dada Mungu amuongoze ampe moyo huo huo inshallah
With this mind set, you are all set to conqure many things...May the Lord continue to bless you all more and more. 🙏❤
Mshikaji mmoja poa sana,very socialized, tulipishana sana kwenye corridors za udsm, alikua charming
Jesca unatuwakilisha vyema wanawake , wapo wachache Karen hii 💖 tuwasiliane tuweze kunyanyuana kama wanawake wa nguvuuuu nimekupenda toka ndani ya moyo wangu
Ubarikiwe dada wewe ni mke bora
Mi nimewapenda sana hawa wanandoa,mbarikiwe mnooo,watanzania lazima wajue kila mtu ana haki ya kupendwa na kupenda pia.
Hongeleni sana wa pendwa mmefanya k2 cha kumpendeza mung emung uwape masha mazur
Yote.yanawezekana.kwamwanamke.au.mwanaume.
Jeska ni mwanamke na nusu 🥰🥰🥰... Pia David anapendeka bana he is so humble.
Upendo unafunika kila kituuu
exactly my sister
Dev hela utapata maana watu wanaona una hela so yasemwayo yapoo,hongera sana see you as a Don 😄😄
Hongereni sana mungu awatanguliye kwenye maisha yenu kwanza kaka hensam kweli hongera dada umepata mume wa kweli
Mume mpend sn mkeo kwani ameijuwa thamani yako ilo ulijuwe. Mung awabariki mdum ktk ndoa yenu ❤❤❤❤❤❤❤
💞💞💞💞💞💞💞
Kabisa
Jaman Mungu awabariki sana jaman nimewapenda
Nimewapenda!!
Ninampongeza huyu Mwana Dada kwa kuweza kukubali kuolewa na Mwanamume ambaye amepata ulemavu .Mungu atamlipa kwa hilo.Na mm ninawaombea kwa Mungu waishi maisha mema ya upendo.Na wapate watoto wema.
Hongreni wanandoa
Kila mtu na ubavu wake hata ukiwa una nini upendo upo ndani ya moyo si kwa macho. Huyo dada kampenda bro pia bro kampenda dada na MUNGU awajalie ktk maisha yenu.
Kabisa
Hwz bagua mwadamu makusi ya Mungu
Mungu awabariki amani na upendo vdumu
Amen 😰 am soo insecure nina jicho moja bovu naogopa sana
@@Jacklinez kwann uogope
Huyu kaka lazima atarud kwenye hali yake ya mwanzo! The miracle is coming for u
Amen in Jesus name ikawe kwao nawapendaaa yani kwakweli nawapendaaa I see true love kwao
That it's true coz miujiza mingne inaletwa na mwanamke au mwanaume mwenye upendo wa dhati
Ameeeen. So shall be the
AMEEEEEN,🙌🙌
In Jesus name atatembea, hata Mimi namuona anatembea muda si mrefu.
May God bless this marriage 🙏..... lots of love from Kenya
Huyu dada mungu atampa palipo pungua hakika umeonyesha mfano mwema sana mungu awabariki dav na mkeo mpate hitaji la mioyo yenu
Uyu kaka jamani Ni bonge la handsome,mungu Ni mwema cku moja atatembea yupo humble Sana💟
Hongereni Sana wapendwa, Mungu kila mtu amempatia wa kufananae. Na Nina waombea Mungu awajarie maisha marefu yenye furaha na amani. Na pia kwa mamlaka ya Jina la Yesu ninakutamkia uponyaji maan kwa kupigwa kwake sisi ni wazima
Ameen kwa Jina la Yesu atatembea na watu watashangaa
Mungu awabariki na mpate watoto Mimi binafsi machozi yamenitoka Dada hongera sana mm nimekuelewa hio kazi yako ndo kazi ya mwenzangu hapa ndani Dada anaupendo na Mungu awatangulie pia ndoa yenu ikawae na amani
Mungu awasaidieee katika ndoa yenu awainue kila hatua mnayopitia katika maisha yenu muwe wenye furahaaa na amani Amina
Kumbe ni wa nyumbani wapare wasambaa piga like zenu
Waparee juu
David ni muhandsome buanaaa❤️
oooooh what a beautiful couple.!! Mungu atawabariki sana na huo utajiri mtaupata.
Nimewapenda sana
poleni sana
Mwenyezi Mungu awajalie afya njema muishi kwa Amani na Upendo❤️
Utatembea inshaallah
Hongereni sana kwa kutimiza wajibu wenu yaliyobaki Mungu awazidishie Mara mia pia awajalie watoto wetu
Mashallah hongera sana kwa kupata mke mwema
Nilichokiona ni upendo wa dhati mwanamke anamoenda sana mume wake na mume anampenda sana mke wake basi mungu azidi kuwatunza na kudumisha upendo wenu na mpate watoto wazr kutoka kwake Ameen
Hongera kaka mungu akawe ngao yenu kwenye maisha yako mapya ya Ndoa, mie ni mmoja wapo niliuliza kuomba historia yake nimefurahi sana kujua historia yake
Hakika Mungu awalinde katika ndoa yenu nimefurah Sana kuona majabu ya Mungu akika ametenda majabu juu ya ndoa yenu kila lenye kher mungu awazidishie mabaya awaeopushie mdumu daima amen
Mungu ni mwema awajalie maisha yenye amani na upendo.
Pole.kaka
Dada umepata mme handsome na ni very brilliant mtunze vizuri na usisikilize maneno ya watu.
Mungu awasaidie xana, huyu Dada anajielewa na anasifa ya kuwa mama. Hongereni xana.
Ila kaka David pole saana na changamoto Mungu mkuu kaka atazidi kukutendea miujiza. Mungu aibariki ndoa yenu. ❤️❤️❤️❤️
Mungu ndo mpangaji wa kila kitu,kukosa kutembea ndo chanzo cha ww kua hapo mshuklu mungu kwa kila jambo
Unaweza ukawa na mtu anayetembea,kesho akawa hawezi kutembea.Ukiyajua maisha utaona Ni jambo la kawaida.
Kabisaaaaa yaniii
Hakika
Ww ndie umeongea point
Tayari umekuwa Don aisee...u.will be transformed..believe me..God ways are shocking
Mungu ni mwema, hongereni sana
Barikiwa dada,ninaiman mumewako atakua sawa kwa jina la yesu
Pole sana devi pamoja na yote bado unaendelea kumshukuru mungu mwenyezi mungu aendelee kukuimarisha namuomba mungu awatangulie kwenye ndoa yenu na ndoa yenu ibarikiwe iwe mfano wa mbigu ndogo
Maa shaa Allah tabarakallah dada mwenyezi Mungu atakulipa pia mumeo atajaa mapesa
Daah! hongera sana bwana DAVID, Mungu am bariki sana huyu jamaa, alikuwa mcheza mpira mzuri sana kipindi hicho, habari zake za ajali zilinistua sana
Ongera dada nimekupenda sana na mungu awabariki sana
Nice
Ivi WANADAMU kwanini hamamini kua Kuna watu Wana upendo wa kweli..acha nimwambie upendo wa kweli upo na Kuna watu wanampenda mtu sio kwa sababu ya vitu Bali kwasababu kampenda..na pia msipende kutazama watu walipo tazama walipo toka ndio useme unachokisema kua dada alimpendea Ela..ipo siku nitasimulia Mana halisi ya ichi nachokisema ndio utajua kua bado Kuna watu wenye upendo wa kweli na hatufwatagi pesa Mana pesa tunaweza tengeneza wenyewe..weka LIKE Kama umebarikiwa.🧡🧡👍👍
mmmmh sawa bhana
Sawa mama kwa ushauri
Pole sana bro hakika hujafa hujaumbika wanadam tuwe na moyo wa upendo
Hongela San Dada yang mungu aendelee kukup nguv chamsing upend
Mashallah, Kaka wa watu handsome, hongereni sana kwa kufanikisha hili 🙏 Allah akusimamieni kwa kila hatua 😘
Hongera Davi, hongera sana Mungu awatunze kwa kweli. Nawaombea maisha mema. Nakumbuka sana siku uliyopata ajali. Mungu ni mwema sana.
Mwenyezi Mungu awatunze mdumu kwenye ndoa yenu ❤
This is a really love 💕💕💕💕 n wachache wanawake km hao aisee
Hongereni sana Mungu aliyewakutanisha awape haja za mioyo yenu dada mpende sana mumeo na mume mpende sana mkeo ndoa ni agizo la Mungu tunawaombea.
Ujue watanzania fikila zetu ni za kimbumbu sana mnashindwa kuelewa kwamba kila mtu anahaki ya kupendwa na kuolewa hii ni kawaida mwanamke na mwanaume wametimiza haki hyo mungu awabariki katika vizazi vyao watakavyopata
Hakuna kitu kizur kama kujikubal.Kaka ameikubal hali hake yuko happy sana...Mungu awabariki katka ndoa yenu, wale wanaotoa comments za kuwa hamtafika mbali ni uhuru wao kutoa maoni.Lakin all in all Mungu awape upendano daima.🙏
Kuna watu wapo kama mashetani yaani kazi yao ni kuombea watu maajabu na magumu ktk maisha hasa wapendanao. Mungu awe nanyi daima.
Kwakweli pongezi kwa brother au mtani wng
Mwanamke amechagua fungu.Hongera sana na Mungu atawasaidia
Mungu awatangulie muishi maisha ya furaha amani na upendo.apatae mke apata kitu chema kadhalika apatae mume apata kitu chema,kbw ni Upendo🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Kuna watu hasa wajinga kwani devi c binadamu kama wengine kwaiyo hasitaki kupata mke hayo nimambo ya muungu
Kilema siyo kifo na zaidi ulemavu mbaya ni ule WA kichwa lkn David alivo yeye anajitambua na wala yy km yy hakuomba kuwa hivo na nampongeza mkewe ni mwenye upendo WA shati kbsaaa kwani jasiri haachi asili hongera sana kipnz Mungu hawezi kuwaacha ktk historia Tu kwani Mpnz wako ulemavu kaupatia ukubwani wala msihofu daima mtapata Maisha mazuri Tu mzidi kuwa ndani ya Be atawatendea Tu ! AMEN
Mungu awabariki sana kikubwa ni upendo katika maisha pesa haileti furaha upendo ndio kila kitu MwenyenziMungu awape maisha marefu yenye Amani ❤❤
Congratulations sana ndugu David,pamoja na mke wako.
Waoh ,MUNGU atukuzwe kwa ajili yenu na azidi kuwabariki maradufu, nawapenda sana nitazidi kuwaombea.
Huyu dada ana akili Sana pia mtabarikiwa sana KTK maisha yenu 🥰🥰🥰... mheshim Sana mmeo,ana akili kubwa Sana..... shetani akae mbali na ninyi BWANA YESU awafunike siku zote
Aki mtangazaji anamaswali kama police lakini Masha Allah huyu Kaka Anajielew kweli kujibu maswali pamoja na Dada yetu.......kweli m2 akipenda awezi kuangalia ithilafu ya m2 na upendo uwota Mahala popote pale bora moyo upende 2......nawapenda kwa ajili ya Allah☝️Mungu akujalie Dada usibadilishe moyo wako uzidi kumpenda mumeo ndo inavyo takiwa❤️❤️❤️❤️💕💕
Duhh
David Hongera sana Mimi ni Robert Msuka kutoka USA. nakumbuka tumeshare sana samaki Lomwe high school
USA mwenzako ni @pesa_mjini_heshima na @masipety
Kama watu wanasema unapesa usikataye, maana unachokiri ndicho kitakachokuwa. Amini hizo pesa utapata
Hongera mwanangu mungu atawatia nguvu muwe na upendo .na amani
Mwenyezi MUNGU awabariki sana, kila jambo ni maamuzi tu. Hongereni sana, nimefurahi sana kiukweli.
Hongera pia maisha mema Dada uyo ndo wako amani na furaha kiwe chakura chenu Sikh zote
Kumbe sisi wa 198.... bado tunavitu wanaume wanahitaji,hahaha hongera brother na Jesus Mungu awafunike na kuwabariki
Kilicho ndani yenu ndio kinatoka nje.....Ni kweeeli mna amani na furaha ndio sababu tunawaona mnafuraha katika sura zenu wapendwa....iendelee hivyo siku zote za maisha yenu
Pole sana kaka Mungu azidi kuitunza ndoa yenu neema na baraka zitawale nyumba yenu 🙏🙏🙏
Dada mzuri sana, hongereni sana pia Mungu awatangulie sana
Mungu muweza ya yote.Midomo inaumba.Na muwe matajiri wa Roho na mwili mpaka watu washangae.Mapenzi ya Mungu yatimie.Hongera sana Jesca na David.
Hongereni Sana Mungu awatunze mfurahi daima
Hongera sana brother and your wife may almighty continue bless you 🙏
Ashukuriwe Mungu atujalie kushinda,
Ukiwa unamuomba Mungu kwa kumaanisha lazima atakupa wa kufanana nae
Safiii sana nime ipenda iyoo ata ivyo Dada ume pata mwanaume mzuli na ana akili nyingi sanaa
Mwenyezi MUNGU akubariki Sana Jesca mpende Sana Mumeo upate baraka zake I'll MUNGU azidi kukubariki. Maana kama ulivyosema miguu ya Devi haikukusumbua. Ni kweli maana hakuna anaejua hata dk moja iliyo mbele yake. MUNGU abariki nyumba yenu mzae watoto watakao kia faraja kwenu.
Devi mpende Sana mkeo ni Amri ya MUNGU mkeo ana hekima alimwonya MUNGU ampe mine mwenye hekima na kumpenda. Ndie wewe chaguo la MUNGU kwake! MPENDE SANA SANA
MUNGU wa mbinguni awasimamie.
Ewe Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema nakuomba uibariki ndoa yao shetani asiiguse kamwe kwa jina la Yesu Kristo
Hongera sana dada mtunze mme wako wako pekeako
Yaani peke yake kweli lakini na kuomba umpede huyu kaka usimsaliti jamani ataumia Mno please
Ni kwel mungu awasaidie upendo uzid
May God bless you both wherever you are 🙏🙏🙏Amen.
Huyu kaka mzuri mno na ana busara, hata angenitokea mm wala nisingemkataa.🙈❣
Kwani yy nijini?
umeonaa margaretha Lyimo@umewaza kama mm
@@tausiramadhani4908 hamna aliyesema ni jini,
Sasa anaetokea watu ninani kama sio Jini!
Woww hongera sana Mungu akazidi kuwabariki apatae mke mwema ... Mungu ni mwema sana mta barikiwa sana wote mmaendana sana nyumba yenu ijae upendo siku zote. Tunawapenda sana na tutazidi kuwaombea
Hongereni sanaaa mungu awatangulie ndoa yenu iwe paradiso , Nawapenda sana ,
Hongera sana dada nimetani laiti ningekuwa ni mm nimepata hiyo bahati .Mungu awatunze
Aki mi nimeoenda sana Mungu awatunze na ndoa yenu idumu, 🤲🤲🙏🙏
Soon unarudi ktk hali yako kaka yng. Mungu anakwenda kukuponya ktk jina la Yesu pokea muujizaaa wako
Huyo Dada ana Upendo wa kweli . Harusi ilikuwa ya kawaida sana kaka amesema kweli
Dada mshukuru Mungu una mume mzuri sana Huna haja ya kusikiliza walimwengu
Safi sana mwenyezi mungu awape umri mrefu wana ndoa
Mungu atakuenua tena kakangu,,Ni mitihani tu ila najua ushaishinda Amen
Love 💕 is Powerful!! Hongera Sana wapendwa
Jamaan Jeska Mungu akupe moyo huo huo na wapo Bumbuli sehemu gani Natamani nikawaone mie nipo Bumbuli Mission huku Mungu awape furaha kwenye Maisha yenu ya ndoa nafikir huyu kaka nilishawah muona sura siyo mpya sana kwangu
Jmn mm nimewapenda bure kaka uko vizuri siku zote
Kwenye maisha ni upendo wa kweli mungu wasaidie muwe na maisha marefu
Ogehara san Dada kwaupendo mkubwa mungu hakubariki san
Hongera classmate.....Kwakweli Davie ni mtu wa watu
Jamaniii daah niliona video yao machozi yakanitokaa nikasema Mungu analokusudi katika kila linalotokea kwa mwanadamu,baraka za Mungu wetu zitembee nanyi
Amina
Pole sana kaka angu mwenye Allah awadumishe kweny ndoa yenu awape maelewano na kizazi chema❤
Nawaombea kwa mungu aibariki ndoa yenu 🤲