Mapenzi bana apo kuna vitu kibao havijasimuliwa stor ya miaka mi 3 haiwez kua fupi ivo😂 apo lazima kulikua na mabonde na milima! Na hiz clip ndo zinazowatamanishaga watu mbaka wanakulupukia ndoa wakijua ni jambo rahisi tu! Anyway nawatakia ndoa yenye baraka na upendo 😍
@@japhetkyarukambaaristides8698 amin yaani, apo unaweza kuta wali date wakaachana ata mara kadhaa ila hawawez sema😂 stor ya miaka mi 3 usimulie ndan ya dakka 15 kwel 😂
Hongereni Sana wajukuu zangu kwa kuweka msingi wa Neno ktk ndoa yenu. Kama Kuna wife material Basi hata husband material nao wapo. Wakati mwingine watu wanashangaa incest spirit inatokea wapi ktk familia, umesahau kuwa ulifunga ndoa na mkeo akiwa mjamzito. Hii NI mbaya Sana. Vijana acheni kula bila kunawa.
Mungu au Kwakua Mimi sijasoma sijui sema mungu nisaidie sikupata wakunisomesha jamani mungu nisaidie kila siku nipo nahangaika na matoroli mungu wangu nakuomba popote alipo
Kama mm kabisa tangu 2018 mwez wa 12 mwaka huu nimemtambulisha kwetu na alikomaa jmn hakukata tamaa huu mwaka mwez wa 7 th26 ndy kapeleka barua mungu muache aitwe mungu 🙏
Jack!!! Historia yako inafundisha vijana wasianze kitu chochote bila Mungu. Bi harusi kabla hajakubali alimshirikisha Mungu.
mi siwez aiseee....i cant ..mbona mwamba alikua king'ang'aniz....siku akipigwa na kitu kizito...hata amin maisha yake
Mashaallah wapendanao utawajua tuu nyuso zao zinafuraha kedekede allah alilinde penzi leo nawapeeendaaaaaaa
Amin
Mm pia kweli naona mapenzi ya mtandaoni nimatamu sana
Nakupendaga sana Mr gara b ...natamani sikumoja uwe mc kwenye harusi yangu siku mungu akinipa mume mwema ...mungu akutunza sana wewe na familia yako
Unataka awe kwa arusi yako wakati huna ata mume
Tunaanza lini kusuka mipango?
Noma sana mc garab nakukubl kinoma daaah hy stry imefunika
wana ume uwa na Roho mzuri Ata ukimwambia usikuje kuje penye niko yeye bora ame thamiriya 😳😳😳 Wana ume Hoye 😄😄😄 Aki Mubarikiwe Sana. Blessd🙏🙏
Wanakuwa na roho nzuri ya kinganganizi wakati wanataka lakini wakishapata heeee utakiona cha moto🤣
@@fatmaabdallah7709 kweli daa😆😆😆😆😆
Mr Willy anaonekana ni mume mtaratibu sana...
Mmmh🙆
Mashaallah
Jack nimekupenda bure historia yenu nimeipenda mwanaume mvumilivu hongereni sana
Hakika Mme akiwa wako atakuvumilia tu Mungu awabaliki Sana na awape watoto wazuli na wenye hofu ya Mungu
Kina dada Anna nyie mungu awabariki😍🙏
This is great na mmependezana sana aki 😍
Looooo nimekupenda dada😍🥰na story yako
Bby boy na bby girl wazuri wote mmependeza sana. Chombo hatari
Mapenzi bana apo kuna vitu kibao havijasimuliwa stor ya miaka mi 3 haiwez kua fupi ivo😂 apo lazima kulikua na mabonde na milima! Na hiz clip ndo zinazowatamanishaga watu mbaka wanakulupukia ndoa wakijua ni jambo rahisi tu! Anyway nawatakia ndoa yenye baraka na upendo 😍
Kwamba vitu kibao viko skipped 😂😂😂😂🙌
@@japhetkyarukambaaristides8698 😄😄😄
@@japhetkyarukambaaristides8698 lazima
@@japhetkyarukambaaristides8698 amin yaani, apo unaweza kuta wali date wakaachana ata mara kadhaa ila hawawez sema😂 stor ya miaka mi 3 usimulie ndan ya dakka 15 kwel 😂
@@trio9911 😂
So Nice...... I like zc. Good relationship. God may bless Ur life.
Mashoga zangu kazi wanayooo🤣🤣🤣🤣 watanipost wajuteeee 💃🏾💃🏾💃🏾💃🏾💃🏾💃🏾
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Wajii kaopoa jiko
Umeonaeee
😀😀😀😀😀😀
🤣🤣🤣🤣🤣 uuwiiii
Hongereni Sana wajukuu zangu kwa kuweka msingi wa Neno ktk ndoa yenu. Kama Kuna wife material Basi hata husband material nao wapo. Wakati mwingine watu wanashangaa incest spirit inatokea wapi ktk familia, umesahau kuwa ulifunga ndoa na mkeo akiwa mjamzito. Hii NI mbaya Sana. Vijana acheni kula bila kunawa.
Story nzuri sana hongereni mungu awe nanyi kila wakati
Wow wow that's awesome❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉
Nimependa brother yupo very cool
Mwanamke mzur
Wow such a lovely story 😊💕❤️💝
Nzuri sana Mungu akawe kiongozi wenu
Mungu akipanga hakuna wa kupangua tena
Hahahah, kweli connection! Love is so wonderful thing
Nakupenda sn we Mc lkn unanipa raha kwenye jua kali😍
Aiseee am so happy I wish nami one day iwe hivi
Mume wanguuuu....mume wanguuuiu 😂 hongera dear kwa kupata mume wakooooooooo
Mumewake
Ni kweli
@@magrethsimtenda926 😂
Congratulations Willy, kweli he is a good guy.
This guys are so real n special to each, ooh my God... love u all.
So passionate to each other and natural
Story nzuri hongera Jack
Hongera sn somo mungu adumishe ndoa yenu nam naamin mungu atatenda kwngu
Nawaombea Mungu muishi salama lkn msijezoeana mkaanza kuwapa penzi wale wazamani tena
Ukiongea ukibakiza mamaa Kuna watu humu wanamachungu wanakusikia oooooh shauri yako usije ita maji mmaaa
Wow lovely couples wishing you all the best in life❤
Ongera sana mpenzi
Nimekupenda sana jack unafuraha sana enjoy jack
Congratulations guys.
Jaman like kwa wanaume wenzangu tulio pata wake na wachumba mtandaon kwan mapenz popote haijalish mme kutana wapi 1❤
Wengi wasanii
@@lindajohn2156 ndio lakin tupo wanaume kama sisi hatun mamb meng
@@mbunah255 hongera
@@lindajohn2156 sante☺
Hongera kaka
Hongeren
Aki nimelia, mungu awaongoze!!
😂😂😂umelia nn ww
Hongereni saaana wajukuu zangu
Jamani Mungu atuhurumie kwa mavazi ya namnahii niuchi
Safi,nimewapenda wote,,,nice couple!!!
Uko vema mc. Galb. Mc nkoba Tukuyu mbeya
Wow I love this
Woow amaizing 😍
Dada anafaha kuwa MC anasauti nzuri masharaah...😘
Shoga angu mambo ya mashallah waachie watu wa pwani
@@joycechaz2840 🤣🤣🤣🤣😂
😂 😂
@@azzaalmaamry5817 😊
@@joycechaz2840 hahahaeeeee mbavu zangu c kwa masharah hyo
Mwamba kateseka miaka mitatu...mimi mwezi mmoja tu nataka kukata tamaa aseee acha nikomae ....
Consistency is a key!💪
😂😂😂Komaa
😀😀
😂😂😂😂😂
😄😄😄
Kazama kaka
So nice 😍❤
Wow nice oneee
Mungu au Kwakua Mimi sijasoma sijui sema mungu nisaidie sikupata wakunisomesha jamani mungu nisaidie kila siku nipo nahangaika na matoroli mungu wangu nakuomba popote alipo
Nice.... Wapi likes zoo...
Mmependeza
More nice it's a good story
Mmependeza sana
Sauti kama marehemu boss martha
Yes...jmn daaah
Really
Kwel kabisa
Kweri
Unasikiliza kwa .makin
Very nice story
Kaka natumaini umepata mke ikitokea tatizo mvumilie tu kwani nae nimwanadamu
Unawafaham kama unawafaham niambie wanatumia majina gan Instagram nimewapenda jaman
Dada mzuri sana hongera
wooow. ...!!!💞💞
😂😂😂 Mm nawekwaa zaid yaaa maraa 50 lkn ataa no awaombii jmn 😂😂🤣mung nimkubwa sana
Mimi bado sijakuona
🙄🙄🙄
😁
@@aminaabdulla8568 wacha na mm nisubr baraka za mungu maana kupitia stts nimepata marafk weng endeleen kunipost ndug zang siku ntatoa ushuhuda😅😅😅
Mwapendeza Mungu Awabariki
Hongera sana wa jina mtangulize mungu kila hatua
Mmependeza
Mashallah yaan mpaka raha
Mwapendeza
Daaa am so happy for you 😢
Karibuni ndoani sasa
Mungu akiamuwa kukupa anakupa tu🤣🤣Daah status ikasababisha Leo iyi umekua mkewe
Hongera sana jack huu ulikuwa mpango wa mung
Nice couple muwe maisha marefu
Kweli kapiga kitu Co kwa kucheka huku alafu watu na nyonyo zeeeetu
God bless your marriage more and more
Mwacheni Mungu aitwe Mungu
Mtandao unatuozesha mi mwenye we nip chuo nimepata mchumba online nampenda sana anaitwa fetty means fatuma
Mubarikiwe
Tulioolewa kwa njia Ya mitandao na bado maisha yetu yako Bombaa gonga Like
Jman na mm nimepata mchumba fb nimeshatambulishwa kwako bando ndoa kumbe mapenz ya mtandaon matamu hivo 😂😂😂😂
@@sadamussa3162 🤣🤣🤣🤣 yaan wale unaowaamin ndyo matapeliiii nimefunga ndoa mwak jana saiv nina mtoto wangu wakike yan full burudani
@@sadamussa3162 hongera
@@habibatyntosso1436 hongera mwaya
Hahaha
Beautiful ❤️❤️❤️ Love story
Ooh God am still waiting for a day like this,.. nothing is impossible to you when time comes I believe you wanna do the same to me 🙏🙏🙏🙏🙏
He's always on time
Yess dear
@@winifridalukansola sure
@@vailetheanyambilile9749 yup
Pray for me too
Story nzur
Congratulations Guys 👏👏👏God bless your Marriage
Mpende saaaassna
Mm mwenyew mpnz wangu alinion kwny status ya rafik yngu na niko nae hd leo nampend saan
mavazi yetu wanawake ndo huwa yanatuangusha sio vyema kuacha viungo vyetu wazi
Kweli mm veli na manyonyo ije hapan kwa kweli
Mungu nimkuu sana
Siku ya mungu ikifika haipingiki kbs
Jaman wanaume wanaolia wako wachache jmn
Mmh, yaan umesimamisha msafara unasimulia tu! Hatari
Njoo nikuoe bc
Yaani hii story km yangu tu😂😂😂
Kama mm kabisa tangu 2018 mwez wa 12 mwaka huu nimemtambulisha kwetu na alikomaa jmn hakukata tamaa huu mwaka mwez wa 7 th26 ndy kapeleka barua mungu muache aitwe mungu 🙏
Lovely
Kifua hicho jamani mbona sasa tumekifaidi sote
wadada wangekua wanajitmbua Kama hyu ingekua Tanzania hakuna usaliti Wala kucheet 😭😭😭😭😭 imenifundisha kitu hii story
Vizuri sanaa
Masha Allah
Wooooow nice 💫 🥰🥰, congrats to wajina
Namesake
Yes dear
Hadi raha jmn
Mkubwa wangu kama unaona hii plz cheza kama wewe 🤣🤣🤣niweke status jamani aaahh🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂😂😂
🤭🤭
Tatzo mume wako hataiview🙈🙈🙈🙈🙈🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Waambie wakuweke tukuone😜
Mnaongeaji sasa
Beautiful
Wow🥰🥰🔥
Hata mie nilipata mtu kupitia stori kama yko 🤣🤣
Jaman hadi mm
Jamani na mume wakeeee jmn wazuriiii, good love story, goog voice
Mko vzuri ila umezingua kwenye kuchanganya lugha, hapo kuna wazee wasiojua kizungu
Naangalia Mara kumi kumi I love it
Kama movie😂😂😂😂