Wimbo ni "TABU" na si "Ni Wewe Kipenzi"... Wanachama walikuwa: Juma Ubao Hassan Bitchuka Kassim Rashidi Suleiman Mwanyiro Athumani Manicho Kasola Rajabu Hao ndio wenyewe hasa wa SIX MANYARA!
Innalillah wainairaihi rajiuun, nyimbo hii inanikumbusha aliyekuwa mpenzi wangu TABU BINTI RAMADHANI mtoto wa kipogoro alikuwa akiishi mbrahati National housing.
Juma ubao.SOLO, kasimu Rashidi ,RIDHIM, Suleiman I mwanyiro ,BASS, Rajab kasola .TUMBA, Athumani manicho DRUMS ,waimbaji ni HASANI BICHUKA na JUMA UBAO
Six Manyaraaa... Zing zong band iliokuwa na wanamuziki lukuki kutokea sikinde pamoja na wakongwe kama Juma Ubao aliekuwa kiongozi wa kundi hilo. Hassan Bitchuka kwenye mic
Wimbo ni "TABU" na si "Ni Wewe Kipenzi"...
Wanachama walikuwa:
Juma Ubao
Hassan Bitchuka
Kassim Rashidi
Suleiman Mwanyiro
Athumani Manicho
Kasola Rajabu
Hao ndio wenyewe hasa wa SIX MANYARA!
Muddyb Mwanaharakati huyu juma ubao km sikosei kwa jina lingine ni king makusa muimbaji mahiri akisaidiana na bitchuka hii sio mchezo mkuu
@@najmasaleh9231 Hatari kubwa sana, mama. Hili lilikuwa bonge la Zing-Zong lililowahi kutokea!
King makusa yaani ni King makusanya alikuwa anapiga vyombo karibia sita kwa wakati mmoja huku akiimba alikuwa na uwezo wa hali ya juu kabisa
Innalillah wainairaihi rajiuun, nyimbo hii inanikumbusha aliyekuwa mpenzi wangu TABU BINTI RAMADHANI mtoto wa kipogoro alikuwa akiishi mbrahati National housing.
Naupenda sana wimbo huu mpaka Leo hii
Kwakweli huu wimbo naupenda sana Bichuka aliutendea haki
Dah...gitaa la Mwanyiro hilo balaa tupu
daah......imenikumbusha mbali sana.....marehem bibi yangu aliitwa tabu....r.i.p
Good memory
Weka mbali na watoto wa 90
Kibao kimetuliasana penda six manyara
Zinakumbusha mengi,nazipataje
NAFURAHIA SANA MIZIKI YA DANSI YA ENZI HIZO. TAFADHALI NAOMBA LIST YA SIX MANYARA, WAKINA NANI waliounda bend hii. Nakumbuka ilkuwa ni ZIGZONG
Juma ubao.SOLO, kasimu Rashidi ,RIDHIM, Suleiman I mwanyiro ,BASS, Rajab kasola .TUMBA, Athumani manicho DRUMS ,waimbaji ni HASANI BICHUKA na JUMA UBAO
Bitchuka alikuwa ana balaa kubwa
Very romantic song
Old is gold
Nawezaje kupata nyimbo ingine ya The six mayara inaitwa "macelina",?,silioni you tube🙏
Usije ukawa unausikiliza huu wimbo wakati unavitu kichwani unaweza ukajitundika kitanzi bule
Six Manyaraaa... Zing zong band iliokuwa na wanamuziki lukuki kutokea sikinde pamoja na wakongwe kama Juma Ubao aliekuwa kiongozi wa kundi hilo.
Hassan Bitchuka kwenye mic
Yeboooooo pendasana six manyara