Nakukumbuka sana Mr John kitime kwenye mkesha wa mwenge pale community centre iringa 1988,ukiwa na tancut,oooh nilienjoy sana,Kari sana Sumbawanga,mimi kiwonde wa imgama
Nadhani umesahau kutuambia sababu ya kuondoka kwa Orchestra Mambo Bado kuwa ilitokana na kuumwa sana mkiwa kwenye treni na jamaa hawakujali hali yako...
Wanamuziki wachache sana qaliobakia ambao watakupa uhalisia wa historia ya Muziki wa Tanzania.
Big up Mzee wangu .
Asante sana ngoja nijitahidi
Nakukumbuka sana Mr John kitime kwenye mkesha wa mwenge pale community centre iringa 1988,ukiwa na tancut,oooh nilienjoy sana,Kari sana Sumbawanga,mimi kiwonde wa imgama
lohh zamani sana, nimeshapiga kwenye mikesha ya mwenge mara nyingi mpaka nimesahau
Kasaloo kyanga na kyanga songs wale pema peponi,nimewahi kuwaona 1990,tancut club kihesa
Amina
Nadhani umesahau kutuambia sababu ya kuondoka kwa Orchestra Mambo Bado kuwa ilitokana na kuumwa sana mkiwa kwenye treni na jamaa hawakujali hali yako...
Mambo mengine bora kusahauliwa
@@zamaziletanzania Hahahaha kwa kweli
Kazembe wa kazembe namkumbuka mwaka 89 Mwananyamala kwenye baa ya sun light walikuwa na bendi walikuwa mazoezi
Huo wimbo uliouweka hapo chinichi ingekuwa vizuri du nilikuwa kwetu nachinga bado 😂
Sio sh 300 ni sh 3 ukisema sh 300 unatukosea mashabiki sababu night yetu kila siku ni sh 10 kwa mwezi sh 300 haya
Ok