Huyu hakuwa mtu wa kawaida katika kupuliza saxaphone, na hatatokea mwingine kama YEYE, hakuwa anapiga saxaphone bali alikuwa anaongea na saxaphone R.I.P TWAHIR
Hii ni moja ya nyimbo bora kabisa ndani miondoko ya MASANTULA. Marehemu Twahir aliitendea haki Saxaphone yake kwa kuwaongoza vizuri akina King Kiki, Kababa na wengine.
katika nyimbo nyingi za safari sound huwezi kukwepa kuutaja huu " mwaka wa watoto" umepangwa na ukapangika....asante Twahir kwa saxaphone ambayo kwa hakika ni kama inaongea...!!!!!
Hakikaa Marehemu Twahir Ally Mohammed alikuwa na uwezo mkubwa wa kupulizaji Saxophone; tena kwa muda mrefu kwenye wimbo mmoja, nadhani ni vile alizaliwa katika nchi za dunia ya tatu, laiti angezaliwa Ulaya au Amerika angekuwa ni Mpuliza Sax ngazi za Kimataifa. Mungu aipumzishe roho ya Marehemu Twahir mahala pema peponi! Amiin!
Nkomba Kababa!!! Safi sana tunawashukuru sana kwa kazi zenu nzuri. Gaby pia kulikuwa na Gaby Banangenge sijui kama ndio wewe. Banangenge walikuwa pale Savanna Resort palipokuja kuwa White House nyumbani kwa OMACO.
+Wakale La Arusha Siyo mimi wa bana ngenge, wakati nilifika DAR! bana ngenge bali kuwa nacheza safari resort! kusubiri kufika kwetu, Na wa kati tulifika,Tu lichukuwa mpini.AKSANTI WAKALE:
King Kiki huu wimbo haukuwa wake aliukuta ulikuwa ni wimbo wa Mbombo wa Mbombo Kamunembu, ambaye ndiye aliyekuwa muanzilishi wa Orch. Safari Sound na mtindo wa "Pegout 604". MbomboKa ndiye aliyeutunga wimbo huu akafukuzwa bendi kabla hajaurekodi Kiki akaukuta akaubadilisha badilisha maneno lakini ni beat ile ile ya Mbomboka. Ukweli siku zote hutuweka huru.
Wakati huo muziki ni muziki kweli,sikia Saxophone ya Twahir Mohd,kweli aliitendea haki, ah Masantula Ngoma ya Mpwita, kweli vizuri havidumu,wakati huo kikii bado kijana mbichi kabisa, nafikiri akisikia,akikumbuka alliokuwa nao ambao wengi ni marehemu anabaki analia,pole king kikii
Nilikuwa mdogo kipindi hicho, nakumbuka kampuni ya bora ilitoa toleo la viatu vya laizoni kwaajili ya mwaka wa watoto nami nilinunuliwa, ukweli huu wimbo umenikumbusha mbali mno nikiwa bado mdogo.
Ni kweli huyu bwana alikua na sifa kubwa na umaaru mkubwa wa saxophone kama Verckys Kiamangana. Ali was the best in East afrika. I myself remember his good work and say kizuri hakidumu. Sorry
Daaaah....Huu ni miongoni mwa nyimbo bora hapa nchini...R.I.P TWAHIR....Baraka Sunga
Twahiri Ally Mohamed - RIP, this man was one my favourite saxphonist of the time
HE WAS A MAN BWANA...DAH, Twahiri Ally Mohamed - RIP, this man was one my favourite saxphonist of the time for sure.........PUMZIKA KAKA TAM
Ni kweli kabisa, Hata alipokuwa Simba Wanyika Original alifanya kazi nzuri sana...Simba wanyika alikuwa anaitwa mafuta ya Zanzibar.
I am glad he played in one of my songs. A gospel song. RIP Twahiri
Huyu hakuwa mtu wa kawaida katika kupuliza saxaphone, na hatatokea mwingine kama YEYE, hakuwa anapiga saxaphone bali alikuwa anaongea na saxaphone
R.I.P TWAHIR
Hakika alikuwa ni Mwamba kweli kweli, kupuliza chombo kigumu kama Saxophone kwa muda mrefu ndani ya wimbo mmoja!
Jamani Twahili aliutafuna MUWA UNAVYATAKIWA HASA
Hii ni moja ya nyimbo bora kabisa ndani miondoko ya MASANTULA. Marehemu Twahir aliitendea haki Saxaphone yake kwa kuwaongoza vizuri akina King Kiki, Kababa na wengine.
katika nyimbo nyingi za safari sound huwezi kukwepa kuutaja huu " mwaka wa watoto" umepangwa na ukapangika....asante Twahir kwa saxaphone ambayo kwa hakika ni kama inaongea...!!!!!
kwa kweli saxfone limeshugulikiwa sana humo. amelitendea haki haswa mungu akusamehe madhambi yako.
Naupenda sana wimbo. Hata nikisikiza kutwa sichoki. Shukrani aliyeutuma hapa.
mwaka wa watoto ilitulia Sana inanikumbusha miaka mingi iliyopita
Apumzike kwa amani, TWAHIR MOHAMED!
Solo: Sammy Makassa
Rhythm: Matuka Mwenda Bijou
Sax: Twahir Mohammed
Trumpet: Mpoyo Kalenga, Kaumba Kalemba & Ngenda Kalonga
Bass: Singa Singa
Mtunzi: Nkomba Kababa
Hakikaa Marehemu Twahir Ally Mohammed alikuwa na uwezo mkubwa wa kupulizaji Saxophone; tena kwa muda mrefu kwenye wimbo mmoja, nadhani ni vile alizaliwa katika nchi za dunia ya tatu, laiti angezaliwa Ulaya au Amerika angekuwa ni Mpuliza Sax ngazi za Kimataifa. Mungu aipumzishe roho ya Marehemu Twahir mahala pema peponi! Amiin!
Nkomba Kababa!!! Safi sana tunawashukuru sana kwa kazi zenu nzuri. Gaby pia kulikuwa na Gaby Banangenge sijui kama ndio wewe. Banangenge walikuwa pale Savanna Resort palipokuja kuwa White House nyumbani kwa OMACO.
+Wakale La Arusha Siyo mimi wa bana ngenge, wakati nilifika DAR! bana ngenge bali kuwa nacheza safari resort! kusubiri kufika kwetu, Na wa kati tulifika,Tu lichukuwa mpini.AKSANTI WAKALE:
Nalia mimi😥kipindi unatoka huu wimbo hata shule cjaanza mimi 😥niliokua nao kipindi hicho sasa hiv hawapo tena jamani😥
PUMZIKA TWAHIR, PUMZIKE MLIOTANGULIA...KAZI MMEIFANYA-BARAKA SUNGA....2023
Nakumbuka mbali sana enzi redio dudu proof au 277
WIMBO BORA KABISA HUU.....TAFADHALI TUWAENZI WALIOCHEZA / WASHIRIKI WOTE KWA KUTAJA KIKOSI KIZIMA HAPA.
Old is Gold. Period!
King Kiki huu wimbo haukuwa wake aliukuta ulikuwa ni wimbo wa Mbombo wa Mbombo Kamunembu, ambaye ndiye aliyekuwa muanzilishi wa Orch. Safari Sound na mtindo wa "Pegout 604". MbomboKa ndiye aliyeutunga wimbo huu akafukuzwa bendi kabla hajaurekodi Kiki akaukuta akaubadilisha badilisha maneno lakini ni beat ile ile ya Mbomboka. Ukweli siku zote hutuweka huru.
Ni kweli kabisa na huhu wimbo haikuwa wa Mbombo Kamunebu ulikuwa wangu mimi aksnti!
Aliyeutunga ni Kababa Nkomba na siyo Mbombo wa mbomboka
Asante Kwa taarifa
Nakumbuka mwaka 1982 nikiwa LY
Mwaka 80 ilikuwa Dar inazizima
Abbas Salum haswa huyu twahir alikuwa balaa hapo kwenye saxphone
da song is called mwaka wa watoto not kata tama.. The late Twahiri on saxaphone
This song is called mwaka watoto with late twahiri on saxphone
HAPANA, nafikiri unaitwa MARIE JOSE au kifupi MJ
Wakati huo muziki ni muziki kweli,sikia Saxophone ya Twahir Mohd,kweli aliitendea haki, ah Masantula Ngoma ya Mpwita, kweli vizuri havidumu,wakati huo kikii bado kijana mbichi kabisa, nafikiri akisikia,akikumbuka alliokuwa nao ambao wengi ni marehemu anabaki analia,pole king kikii
Kazi nzuri sana sana, kweli siku hazigandi waliofariki mola awapumzishe vyema waliobaki mola waape wepesi kwa kila jambo!!!!!!!!
Tuna shukuru sana!!!
twahiri sax na pulukutu wabanduki motoo walifanya kazi nzuri sana !
Nilikuwa mdogo kipindi hicho, nakumbuka kampuni ya bora ilitoa toleo la viatu vya laizoni kwaajili ya mwaka wa watoto nami nilinunuliwa, ukweli huu wimbo umenikumbusha mbali mno nikiwa bado mdogo.
Nani kapiga solo guitar wimbo huu?
Jina lake aliitwa Makasa ni yeye alipiga solo na alikuwa na bana ngenge
kababa nkomba habari za sweden?
Nzuri sana
@@nkombakababa5959 NAFURAHI HATA KUSOMA TU ULICHOANDIKA...
@@sunriseradiotz Aksanti nani nashukuru sana
@@nkombakababa5959 mkuu
Mwaka wa watoto 1979
nkomba kababa uko wapi?
Mimi na ishi sasa Sweden!!
Nipe Whatsapp yako
yeah da song is called mwaka wa watoto
Nasir Ally
ASANTE KWA MASAHIHISHO
Ni kweli huyu bwana alikua na sifa kubwa na umaaru mkubwa wa saxophone kama Verckys Kiamangana. Ali was the best in East afrika. I myself remember his good work and say kizuri hakidumu. Sorry