Huu wimbo hakika umekamilika kwa Kila idara , ni nyimbo zenye kuelimisha ukiacha hz nyimbo zetu za miaka hii ya 2024 , pumzikeni kwa amani nyote mliofanikisha kuupata huu wimbo. Ahsante
Hii kweli ni Sikinde Ngoma ya Ukae. Uimbaji na Ala za Mziki ( Muziki) zimepangwa na kupangika. Kassimu Rashid amepiga gitaa la solo la aina yake ndani ya wimbo huu. Hawa ni Vijana wa Kitanzania walloutendea haki Mziki (Muziki) wa Dansi.

Good music and message. A real Sikinde melody.
Yeah hii yenyew kabsaaa
Mzee wa kazi
Hii kweli ni Sikinde Ngoma ya Ukae. Uimbaji na Ala za Mziki ( Muziki) zimepangwa na kupangika. Kassimu Rashid amepiga gitaa la solo la aina yake ndani ya wimbo huu. Hawa ni Vijana wa Kitanzania walloutendea haki Mziki (Muziki) wa Dansi.
7:16
Sjui kwann mmezitoa video aise 🤔