AJALI MBAYA, GARI LA WALIMU LAPINDUKA NA KUWAKA MOTO, WATU SITA WAFARIKI WOTE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 67

  • @HGvv-bh1ig
    @HGvv-bh1ig 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Polen sana walimu wzt nitakukumbka daima brother john

  • @LEVOCATUSMKUYU
    @LEVOCATUSMKUYU 2 วันที่ผ่านมา +2

    Mungu azilaze ROHO za marehem mahara pema peponi

  • @SwahiliSister-o5v
    @SwahiliSister-o5v 2 วันที่ผ่านมา +2

    Kafara hilo Kila mwisho wa mwaka kujitahidi kutulia majumbani mwenu na kumuomba M/Mungu tuondoke kwa Amani hapa Duniani

    • @hilsalboy4118
      @hilsalboy4118 2 วันที่ผ่านมา

      Acha fikra potofu

  • @CatheGiann
    @CatheGiann 2 วันที่ผ่านมา +5

    Mnaolaumu kwanini alierekodi akwenda kuokoa...swali wewe kama wewe ungeweza kusogea apo kwenye gari wakati moto ukiwa unawaka..kama siku yako ya kufa imefika ata iweje utakufa tu ...tuache kulaumu watu

  • @MagariUsed
    @MagariUsed วันที่ผ่านมา +1

    Wito namba 1 ni kuwakataza wasitumie pombe kwa namna yeyote ile wawapo barabarani na pia nje ya barabara

  • @KijojiBoy
    @KijojiBoy 2 วันที่ผ่านมา +3

    Hakika sote ni wa Allah na kwake tutarejea

  • @MatiasNdimbo
    @MatiasNdimbo วันที่ผ่านมา

    Poleni sanna kwa wote walioguswa na msibahuu bwana ametwaaa jina lake liimidiwe milele😂😂😂😂

    • @lailaoman3856
      @lailaoman3856 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kinacho kuchesha

  • @ThadeiAndrea
    @ThadeiAndrea วันที่ผ่านมา

    Mwenyezi Mungu azilaze roho za malehemu peponi Amin

  • @AgnesHalla-m2j
    @AgnesHalla-m2j 2 วันที่ผ่านมา +2

    Dah ndug yangu domi ,😂😂😂😂😂

    • @JulianaNyamhanga
      @JulianaNyamhanga วันที่ผ่านมา

      Edit futa emoji zako za kicheko

    • @NeemaMasala-o7c
      @NeemaMasala-o7c วันที่ผ่านมา

      Mbona unachrka msenge wewe

  • @AbdulSeleman-ti9rg
    @AbdulSeleman-ti9rg วันที่ผ่านมา +1

    Kabisa afande watu wanatakiwa watoe msaada so kuangalia na kupost tuuu watoe msaada Kam Kuna uwezekano wa kuwaokoa so kuangalia na kupost

  • @SabbyFrank
    @SabbyFrank วันที่ผ่านมา

    Mungu uturehemu 😭😭😭

  • @rahmarashid9904
    @rahmarashid9904 วันที่ผ่านมา

    Allah tusamehe tulipokosea hali imekuwa ngumu wallah😢

  • @zumakataya2670
    @zumakataya2670 วันที่ผ่านมา +2

    Daaaah inauzunisha sana huyo mwl namba 5 John Mtuhi nilisoma nae na ajira yake ni mwaka 2022 ni kijana mdogo sana. Inauma sana.
    Hakika kwa mwenyezi mungu ndio marejeo yetu.

    • @mathiaszakaria7052
      @mathiaszakaria7052 วันที่ผ่านมา

      Mungu amrehemu

    • @mathiaszakaria7052
      @mathiaszakaria7052 วันที่ผ่านมา

      Dahhh ajali mbaya sana poleni wafiwa.
      Ifike mahali hivi viajira vya mpito kuachiwe wasyo na ajira wafanye maana wasomi ni wengi mtaani,ona Sasa tumepoteza watumishi kwa vitu vidogo badala ya kwenda likizo makwao walikuwa wanasubiri ajira ya kuandikisha.
      JPM aliwapa nafasi wasiyoajiriwa wafanye vikazi vidogo Kama hivi lakin saiv mambo yamerudi kila kakazi ka serikali za mitaa kanapewa watumish hasa walimu wanatumika sana ona sasa janga limetokea .R.I.P

  • @masikitikomwakyonde1259
    @masikitikomwakyonde1259 วันที่ผ่านมา

    Atulaumu bwana ila angejitahido hata kupiga kelle

  • @JosephBWAGIZO-fs5ig
    @JosephBWAGIZO-fs5ig วันที่ผ่านมา

    Yote 9 tukiacha mwendo kasi ajali nyingi tunaweza kuziepuka

  • @shukranmsukwa
    @shukranmsukwa วันที่ผ่านมา

    Jaman walimu wote huzuni sanaaa

  • @fatmafatu1128
    @fatmafatu1128 2 วันที่ผ่านมา +1

    Inna lilahiy wainna ilayhi rajiun 😢😢

  • @BarakaStephanio
    @BarakaStephanio 2 วันที่ผ่านมา +2

    Serikali mgetunga sheria kuwa wat wanao post pich bahada y kuokoa wakatwe

    • @hassanrashidi1267
      @hassanrashidi1267 วันที่ผ่านมา +1

      Kuokoa inahitaji ujasiri wa mtu na roho ngumu, bora hata aliyerekodi tumepata hata nini kilitokea,

    • @IddiMohamedi-i4z
      @IddiMohamedi-i4z วันที่ผ่านมา

      So uokoe moto unawaka acha bangi Kuma wew unaokoa nn apo tena porini

  • @falysahlyimo8626
    @falysahlyimo8626 วันที่ผ่านมา

    Eee Mungu tunaomba mwisho mwema

  • @mpefu_4936
    @mpefu_4936 วันที่ผ่านมา

    Mh ajari Kila Kona mungu tusaidie

  • @JosephMisana
    @JosephMisana 2 วันที่ผ่านมา

    Mungu walaze maala pema peponi

  • @HamisMghuna-fj3vz
    @HamisMghuna-fj3vz 2 วันที่ผ่านมา +1

    Kisangaa asee,

  • @SwahiliSister-o5v
    @SwahiliSister-o5v 2 วันที่ผ่านมา +1

    Inna lillahi wanna ilayhi Rajiun

  • @paulabelleghe451
    @paulabelleghe451 2 วันที่ผ่านมา +1

    dah mapepo yapo njiani nazitakasa barabara zote kwa Damu ya yesu

    • @IddiMohamedi-i4z
      @IddiMohamedi-i4z วันที่ผ่านมา

      Yesu ndy mungu acheni zenu nyie walokole

    • @vannyk-jz7tf
      @vannyk-jz7tf วันที่ผ่านมา

      Kama yesu hakuhusu nyamaza mbona nyie mnamtaja mohamadi hakuna anayesema lolote mtuachie yesu wetu kwani aliwakosea nini.
      TUNAACHILIA DAMU YA YESU HATA KWA WALE WANAOJISKIA VIBAYA KUONA WENZAO WAMEANDIKA YESU.

    • @paulabelleghe451
      @paulabelleghe451 วันที่ผ่านมา

      @@IddiMohamedi-i4z Mchawi mkubwa wewe

  • @zainab8251
    @zainab8251 วันที่ผ่านมา

    Innalillah wainnaillah rajiun

  • @masikitikomwakyonde1259
    @masikitikomwakyonde1259 วันที่ผ่านมา

    Dah inaumiza mno MUNGU AZILAZE PEMA ROHO ZAO na uko waendako MWENYEZI MUNGU WASAMEHE DHAMBI ZAO.Tupo pamoja katika maembolezo zaidi dah na watu wanachukua video zaidi kuliko kutoa msaada kweli dunia ipo mwisho.

  • @rashidmaulid7312
    @rashidmaulid7312 2 วันที่ผ่านมา

    Inna lillahi wainna ilayhir rajiun

  • @rukiyamohammed2945
    @rukiyamohammed2945 2 วันที่ผ่านมา

    Mungu wangu😢

  • @jumannejoseph8986
    @jumannejoseph8986 วันที่ผ่านมา

    Raha ya milele uwape ee bwana na mwanga wa milele uwaangazie wapumzike kwa amani

  • @gairofilmmedia
    @gairofilmmedia วันที่ผ่านมา

    akuna kumlaumu mchukua video 🤣🤣 sasa sisi tungeonaje ilo tukio😅, yan dunia ya saivi ukipata janga watu wanatafuta kwanza views ndipo wasaidie

  • @KiriaKipara
    @KiriaKipara 2 วันที่ผ่านมา

    Jamani poleniii sana lkn tupunguzeni kuchukuwa picha badala kuokowa

    • @CarlCare-yl4wi
      @CarlCare-yl4wi 2 วันที่ผ่านมา

      We unaokoaje chuma ndo ishawaka mzee

    • @DevothaJuma-s2y
      @DevothaJuma-s2y 2 วันที่ผ่านมา

      Ungekuwa wewe ungezama kwenye moto kuokoa

    • @mishimtambo4684
      @mishimtambo4684 2 วันที่ผ่านมา

      Sana inaumiza kwa kweli

    • @salamasaidi6620
      @salamasaidi6620 วันที่ผ่านมา

      Ww ungeona tukio bila wao kurekodi?

  • @delsonandrea5223
    @delsonandrea5223 2 วันที่ผ่านมา

    Kuna jamaa limeuliza et kuna watu ndan kwa hiyo gar ilikua inajiendesha

    • @BarakaStephanio
      @BarakaStephanio 2 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂nacheka kma mazr yn ndugu kunawa tu wanakel n wajinga ivi kwel iliswali kweli????

  • @khadija5761
    @khadija5761 วันที่ผ่านมา

    😢😢😢😢😢

  • @festohaule9716
    @festohaule9716 วันที่ผ่านมา

    Iwepo sheria ya watu kuchukua Videos badala ya kutoa msaada!!! Mtu anarekodi anasema ndugu zetu wanakufa bila kuwasaidia!!!Mbaya kabisa na ujinga wa viwango vya juu!!!!!

    • @neemagamba3268
      @neemagamba3268 วันที่ผ่านมา

      Hv kwa uwo moto angefanya nin

  • @AyubuJulius-z5h
    @AyubuJulius-z5h 2 วันที่ผ่านมา

    Polen sana

  • @thabitdaudi9815
    @thabitdaudi9815 2 วันที่ผ่านมา +2

    Hawa walioacha na kurecord hatuwez kuwa kifungu cha sheria cha kuwashtaki😢😢??? Ila hakuna bodaboda mwnye akil sishangai ni majijga sijawah kuona

    • @lailatmalik7515
      @lailatmalik7515 วันที่ผ่านมา

      Ingekuwa ni ww ungeenda? Hemu acheni kulaumu watu loooh Hovyoooo Kutype mnaweza mnazani msaada unatolewa tu kiholela yy pia angekuwa hatarini

  • @MaurusMpinga
    @MaurusMpinga 2 วันที่ผ่านมา +1

    Uelewa mdogo wengine hawana akili unachukua video baada ya kuokoa

    • @CarlCare-yl4wi
      @CarlCare-yl4wi 2 วันที่ผ่านมา

      We unaokoaje chuma ndo ishawaka

    • @CasmirKiwale
      @CasmirKiwale 2 วันที่ผ่านมา

      Kwani watu wanaokoaje ​@@CarlCare-yl4wi

  • @JUMAMARCO-w1d
    @JUMAMARCO-w1d วันที่ผ่านมา

    R.I.P

  • @CatheGiann
    @CatheGiann 2 วันที่ผ่านมา

    😭😭😭😭

  • @Namtumbo
    @Namtumbo 2 วันที่ผ่านมา

    Jamani

  • @mussakimaro5588
    @mussakimaro5588 2 วันที่ผ่านมา +1

    Alilala huyo shida mtu akinunua gari anaendesha mjini baadae wanajiona maderva wanataka kusafiri

    • @shalomchaula4420
      @shalomchaula4420 2 วันที่ผ่านมา

      Sio ivyo kaka wakati mwingine unaweza Kuta ni mzoefu lakini ikatokea ajali mim ni dereva na kama walikuwa wote marafiki lazima kupiga story ,japo usingizi ni mbaya Sana

    • @mussakimaro5588
      @mussakimaro5588 2 วันที่ผ่านมา

      @shalomchaula4420 hizo mi.naziellewa sema tuseme mungu awapokee salama

  • @daltontemboTv
    @daltontemboTv 2 วันที่ผ่านมา

    So sad

  • @delsonandrea5223
    @delsonandrea5223 2 วันที่ผ่านมา

    Kwel unaona gar inawaka unashindwa kuonesha kusaidia unachukua video duh

    • @hassanrashidi1267
      @hassanrashidi1267 วันที่ผ่านมา

      Binafsi hata siwalaumu maana ile akili ya kusema kuchukua jiwe kuvunja vioo huwa inakuja baadae sana, istoshe moto mkubwa unawaka kweli, sema kama hamna umuhimu wa kurekodi hapo ndo tuseme lakn kulaumu et hawajawasaidia sidhan kama ni rahisi tu

  • @MagrethJoseph-u2b
    @MagrethJoseph-u2b วันที่ผ่านมา

    😭😭😭😭😭😭