Samia tunakuomba mama mteue huyu mwamba ubunge mpe uwaziri wa mambo ya ndani atatusaidia taifa letu kuwa sarama sana akiwa ndani ya wizara hiyi tafadhali mama yetu samia mpe huyonmambo ya ndani utamuona uwajibikaji wake
KAULI YAKE HAIKO KISHERIA. POLISI WANAFANYA KAZI KW MUJIBU WA SHERIA. UKAGUZI UTAENDELEA MPAKA WAIFUTE SHERIA. ALIKUWA ANAWAFURAHISHA. POLISI KAZI IENDELEE.
The fully means of creativity and innovative RC Makonda the one and only ever seen ever happened except you. Never quit the majestic of Arusha
Mzee mbona kiingereza chako kichafu sana
M/Mungu akupe maisha marefu uko vzuri makonda
Dah Tanzania haitawahi kupata chuma kama Makonda. MAKONDA for the PRESIDENT
The truly meaningful of leadership
The becoming presido of Tanzania makonda juuuuUUUUU❤❤❤❤
Mheshimiwa Makonda ni aina ya viongozi wanaohitajika sana Tz
Chukua fom ya urais bac bwana kwani unasubiri nini mwamba
MHESHIMIWA MKUU WA MKOA bwana yesu asifiwe asifiwe sana kwanza ongera sana naomba ubarikiwe sana lakini ninachangamoto mkuu wangu
mkuu wa mkoa nikupateje baba jamani natokea mara huku changamoto yangu unaweza kunisaidia mkuu wangu hata number yako tu jamani
Good Mungu akutunze mkuu wa mkoa wetu
Mheshimiwa makonda nakupenda sana naomba kuonana na ww Nina malalamiko makubwa juu ya mfanya biashara aliyenidhulumu
Nakukubali Sana Malinda .Nakusubiri kama waziri was Mambo ya ndani mwakani
Kichwa🎉🎉🎉🎉
Samia tunakuomba mama mteue huyu mwamba ubunge mpe uwaziri wa mambo ya ndani atatusaidia taifa letu kuwa sarama sana akiwa ndani ya wizara hiyi tafadhali mama yetu samia mpe huyonmambo ya ndani utamuona uwajibikaji wake
God Bless Makonda,, huyu ndio Kiongozi sahihi kwa Tz, tupate viongozi wengi kama huyu.
Njoo chadema tukupe form ya uraisi minafikiri unafaa kua raisi wa tanzania karibu m4c
Heko mr Makonda
Wapambanie wananchi Makonda
Kwa nn usipewe uwaziri mkuu kaka
Your a good leader mh
Chachil show imeenda international 😅
MAKONDA, WEWE SIO MKUU WA MKOA, NI RAIS UJAO FANYA KAZI YAKO WW UMELETWA NA MUNGU KUWATUMIKIA WANANCHI MUNGU AKUPE AFYA NJEMA
Mwizi
Hao sio askari wa usalama barabarani . Ni waviziaji kulipisha faini tuuu usalama mtajijua na bodaboda zenu
❤❤❤
Makonda tunatarajia uwe rais Wa tz🎉🎉🎉🎉🎉
Hahahahaa acha ujinga!
Kama ni rais sawa ila siyo awe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania!
lakini natokea chato mkuu wangu kiongozi wangu naomba nipate neema kunena nawe
MWAMBA
KAULI YAKE HAIKO KISHERIA. POLISI WANAFANYA KAZI KW MUJIBU WA SHERIA. UKAGUZI UTAENDELEA MPAKA WAIFUTE SHERIA. ALIKUWA ANAWAFURAHISHA. POLISI KAZI IENDELEE.
Achaushamba wakuleta sheria iyo comedy show kachekesha kama mfungua show 😂😂😂😂😂ushamba mzigo