Dah.. The Story book kali sana.. Ubarikiwe kwa kutuletea hizi mambo... Tunajifunza mengi broo... Respect to you... Hakika usichoke kutupa madini haya... Endeleza nitapoteza Mb zang kufatilia... Na hakika sitojutia... #Jamal April.. Big Salute
Professor my brother is in form 2 he is in kenya but he never miss your programmes..he even have your pic on the wall ...ukimtaja in one of your programmes I will really appreciate 🙏 thanks
Habari ndugu,katika Afrika hii wapo watu wengi tu walio hishi mia mia na hamsini,wengine walikawia zaidi ya masaa tatu chini ya maji ukitaka kupata picha zao ni vyepesi sana. Watu hao walikuwa wazaliwa wa kongo Tarafani fizi ni wabembe wabondo
Huyu mwamba mi namkubali sanaa sema ningemuomba atufanyie tafiti ya histolia ya Mechake na Abdinego watatu simukumbuki wale walio tupwa kwenye tanule la mwoto tafadhali
Hi professor Jamal, love the way u inspire me with your history stories which I find them true n believe in them...honestly I really love your stories which makes me aware of what it's happening in this world 💕💕
SubhanAllah Yarab tupe mwisho mwema...km umeguswa na hii story gonga like tuende sawa
bitflgal
Dah.. The Story book kali sana.. Ubarikiwe kwa kutuletea hizi mambo... Tunajifunza mengi broo... Respect to you... Hakika usichoke kutupa madini haya... Endeleza nitapoteza Mb zang kufatilia... Na hakika sitojutia... #Jamal April.. Big Salute
Hawa wapuuzi watakuja kujielezea kesho mbele za Mungu kwamba ni kwann waliamua kujibadilisha baadhi ua maumbile yao...sijapenda huu ujinga wao
Kwani wakati wakifanya hayo Mungu hakua anaona??
@@BigZhumbe Mungu anawaona ila anawaacha huenda wakatambua makosa yao kisha wakamrudia mungu
@@binhussain3445 na aitokuja kutokea wakajitambuwa hata siku1, wenyewe wanajiona wapo sahihi sana na wala awajutii Never
@@neemazee1864 Mbona mimi nipo cool halafu naelekezeka believe it
@@binhussain3445 hata me nipo cool
Tunaomkubali Professor Jamal Tujuane Kwa Likes Hapa👍🏿
Dunia Ina majabu🤔🇰🇪🇰🇪
Asante Sana kwataharifa nzuri😅
Mambovipi
LUIZNHO❤😮
Wangap Tunaoenjoy sn hich kipindi gonga like twende sawa
Subhannallah...daah kwel Mung anatuvumilia sana
Subhanna'Allah anatisha mwenyezi mungu atupe mwisho mwema🙏
Kaka unaweza sana 😭😭😭 I'm watching from 🇲🇿
Mungu akupe maisha malefu professor uzidi kutupa mambo ya Guinness book
Professor must get an award for his sweet stories
Mungu akupe hitaji la moyo wako uzae mwanadamu wa adabu kama ilivyo matamanio yako
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙆♀️
mashallah may god bless you and give you many more lives here on earth
Mungu akupe maisha marefu duniani
Subhanallah Mungu atuepushi ss na vizazi vetu
Pande za Lusaka Zambia wasafi for life
Aaawh 🤗 wow
Hi Professor Jamal Napenda hii simulizi endelea kutupa mengi support 100% from Kenya Mombasa.
Asante sana my brother from another mother
ALLAH UWAKBAR
mekuwa wakwanza leo big up bro hukoseagi💪💪
Tunakubali sana The story Book Professor Jamal April
Subba an Allah oooh mungu wangu mwenyezi mungu azidi kitu rehemu
Na Mungu atawafufua hivyo hivyo na kuwakana kwamba yy hajaumba binaadamu wa aina hyo
Subuhanallah yupo kama sweitwani daa Azabu aikwepi huyu anaogavipi abanawaje akiamka a nalala vipi huyu si anachomwachomwa hafai kuishi Duniani huyu
Duh hii dunia hii, ina watu wa hovyo sana
😁😁😁😁
Waombe Wasife waishi Duniani tuu,watakutana na Mungu wao
Mnasema baba levo ana pua kubwa mnamuona Mehmet ozurek nyieeee😂😂😂😂😂
😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣
Wasafi Kenya tunawapenda❤❤
Daah.. aiseh!! Mungu tusaidie
Nimekua wa 17 kukomenti na nime kua wa 71 ku like plz Ni like bc wewe mwana chama .wa the store book
Ahsante saaaana jamani hakuna wa kukuzidi....tafadhali tunaomba story ya mendusa pia🙏
Yani hawa jamaa motoni moja kwa moja🔥
mungu tupe mwisho mwema maana ya dunia yanatisha🙏🙏🙏🙏
Noma sana
Unajuw nn proffesor we ndo unanifany nisonge mbele you are my hero
Kwenye miguu hamfikii rafiki yangu
jama na ukubali story ZAKEE wanao kubariki gonga like
Mungu wa mbingun wahurumie jaman
Innalillah wainnailaih rajighun binadam kmkosoa muumba wake acha 2 huo moto uwake hko akhera
Aiseeee...wewe kaka fundi sanaaa unajua kutangaza hadi unatuteka
We jamaa nakukubali sana unavosimulia unakipaji mnoo
Professor my brother is in form 2 he is in kenya but he never miss your programmes..he even have your pic on the wall ...ukimtaja in one of your programmes I will really appreciate 🙏 thanks
Wasafi for life
Nina maswali mengi Sana juu ya simulizi hii ya leo nilitaka I hata nipate wasaa wa kumuuliza maswali professor 😔
Inalilai kwaiyo mungu alifanya makosa kumba watu n wanyama 😭😭
SubhanaAllah
subhanallah yarabi😢 tunusuru🙏
Uko vizuri na najifunza sana kwako
Unawezaaa boss
Habari ndugu,katika Afrika hii wapo watu wengi tu walio hishi mia mia na hamsini,wengine walikawia zaidi ya masaa tatu chini ya maji ukitaka kupata picha zao ni vyepesi sana. Watu hao walikuwa wazaliwa wa kongo Tarafani fizi ni wabembe wabondo
nakubali sana brother
professor never disappoints
🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥

#Mizimu ktk hiphop th-cam.com/video/1Qr4-oxvImY/w-d-xo.html
Kesho,turushie kuhusu lil Tunechi ..Wayne
The story is a touching and educating
One love proffessor🥂
Jamali mungu akubariki sana umenifumbua vingi sana
Eeh ypo mibibi mmoja juzi katika katimixa miaka Mia 250 Tanzanian hyo maasha alllah
Mwenyezi Mungu atusamehe
god bless you mr jamali
super b professor Jamal🇹🇿🙏🙏
history stories by jamal big up man👊👊💯🔥🔥
Napenda kazi
Gud jamal
Professor again ...well done 👏✔👍👌🙌😀ur are very professional 👏👌🙂
Namkubal jamal april big up sana
Mungu awasaidie
Naishi kama jua vile❤❤❤
Jamal ujawai kuniangusha big up bro...
Story nzuri inafunza na kufurahisha
Hizi ndo kuni za moton Allah atusamehe
Duuuuuuh jamali unaweza mungu akuogezee akili
Mzee wapo watu wenye umri mrefu nitafute nkupe data
More than history..tunu ya Africa 🌍 ✌️🙌
Hi profesor mimi ni mkongomani Nina bibiangu âme ishi miaka zaidi ya 130!
Amazing!!!😮😮😮
wewe ni TUNU ya TAIFA🇹🇿❤
Yesu atakaporudi hakika sijui kutatokea nini!!!
The story book 💥
Congo kuna mzee aliye Fariki mwaka jana na miaka 160
Ongera sana Jamal
Huyu mwamba mi namkubali sanaa sema ningemuomba atufanyie tafiti ya histolia ya Mechake na Abdinego watatu simukumbuki wale walio tupwa kwenye tanule la mwoto tafadhali
Hi professor Jamal, love the way u inspire me with your history stories which I find them true n believe in them...honestly I really love your stories which makes me aware of what it's happening in this world 💕💕
🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥
🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥
🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥
🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥
🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥
Narudia tena unajua kaka Prof
Kwetu Congo kuna nyoka anaye useful wa zaidi12M
N nzur Sana
Mungu nisamee mungu tu samee kabisaa maana hatujui nn shida
Subhana allah
More than history
and story.
Safi sana nakubali
Saf Sana Mr April
UNBELIEVABLE
Professor
Love you professor
Yes......ulicho.....zaliwa....nacho...bakia..nacho....ila.....kufany....kuzidisha.....unamkufulu.....MUNGU..
Nitaingia mimi kwenye hizo records
u are the best
dah mwanangu up vzr sana brow yaan unamfanya mtu akuskulize kwa makin saa big up brow nakubaly💯👊
Yup mweny hap mkoa wa arush wilay meru mtaa sur
jamal u r the best 🎉
Atamimi nimlefu sanatu
Kenya iko love.
uish miaka mingi professior
duuu innalinlah wainna ilaih rajiiuun
Nimujiga sana