Huyu Asemahle hana uwezo wa kupigana na Mwakinyo.Ikitokea amepata hiyo nafasi,Basi ajue Asemahle atapigwa na Mwakinyo kwa KO.Team mwakinyo naomba like zenu.
Mm sio mtaalamu sana wa huu mchezo ila najaribu kufuatilia baadhi ya mapambano naona makosa kwa huyu bondia wa Tanzania mda anaoupata kutaka kushambulia anashusha mikono na kufuta glavu zake nyuma kama anakutan na bondia aliyekuwa shapu kwenye kushambulia anaweza kupigwa ngumi mbaya kabla mikono yake haijalud kwaajili ya kujilinda❤❤
Yote yate shagembe ndio man of the match wa mapambano ya tarehe 26 sio Mleba bukoba na sio Masaki dar huyu dg kaonesha kitu cha tofauti shida ni moja tu Nabii hakubaliki kwao ata assemel Mwenyewe alikubali ila wa Tanzania mlitarajia dg atapoteza dg kawashangaza sasa❤🥊🥊💯
Mafanikio ya chochote ni maandalizi kutoka mwanzo hauwez niekeea kama hauna D 2 kwa boxing wetu wa 🇹🇿 hakuna wa kumsumbua wellem......!!!! Wellem kaja kufanya promotion ya Mafia Wala si kingine trust me
Tunaunajisi mchezo wa ngumi kwa matukionyakipuuzi kama haya!refa game imemshinda anaonekana anapendelea hadi anatoka kwenye sheria za taaluma yake na hichi kimekuwa kinatuponza hata mabondia wetu wakienda kimataifa hawatoboi,ndio naanza kumuelewa mwakimyo sasa.
Lile yalikua mapambano ya bonanza kupeana moyoo tu..kuna bondia kapigwa ngumi za kutosha,kadondoshwa mara tatu na kashinda mkanda..sasa kuna ngumi gani hapo
Safi sana huyu dogo Yuko vzr watz tuwe wazalendo wellem kawatesa mabondia wetu ila na yeye Leo japo alikuwa anapiga za kisogo ila kwisha Tena nilitaman Ile knockdown ingekuwa Tko
Pambano lilipaswa kumalizwa na referee kwa knockout kwa sababu huyo mtanzania ameonywa mara kadhaa lakini bado ameendelea kukumbatia karibu dakika zotee 2 za round ya mwisho .
sijawahi ona game ya hovyo kama hiii kwanza watangazaji hampo balanced ,pili huyo Frank sijaona ameshinda wapi mnabeba sana mtu muda wote anashika ameshinda saa ngapi sasa
Hawa MAFIA sidhani kama wanania nzr na BOXNG naona wanaleta ujanjaujanja tu nahawa majaji na marefa watafanya sikumoja bondia afie ulingoni kwa uzembe wao
Wachakuchezatanzania game wanapendelea tu hakunagame yyte amecheza narife sio rife mwenye ukweli huyo shageme anashika shika hakunamchezo alocheza wamaana niliona wakati ile nyengine walicheza na yule askari alimpiga lkn pia alinyimwa
Nyie majaji machoko sana,huyo msenge muda wote alikua anakumbatia kama shoga alafu mumempa ushindi,wapumbavu sana nyie,mmemuonea tu huyo msouth,huyo msenge alitakiwa akatwe point kibao kwa ajili ya kukumbatia,kalegea kama mlenda ,bado sana kwenye boxing huyo choko wenu mliempa ushindi👎👎🖕
Huyu Asemahle hana uwezo wa kupigana na Mwakinyo.Ikitokea amepata hiyo nafasi,Basi ajue Asemahle atapigwa na Mwakinyo kwa KO.Team mwakinyo naomba like zenu.
Mwakinyo amekataa kucheza na asimale
Kwasasa mwakinyo anauwezo wa kumpiga hata juma choki Sasa uyu atamuweza
hujui kuangalia ngumi ww
Tupo
Hata mm nimeliona hilo hana uwezo kabisa kupigana na mwakinyo ila huyu dogo yupo vzr sana amehishimisha na kuwapa nguvu mabondia wengine
Hakunakitu hapo kushika kumemsaidia
Mtangazaji ujui kutangaza
Mm sio mtaalamu sana wa huu mchezo ila najaribu kufuatilia baadhi ya mapambano naona makosa kwa huyu bondia wa Tanzania mda anaoupata kutaka kushambulia anashusha mikono na kufuta glavu zake nyuma kama anakutan na bondia aliyekuwa shapu kwenye kushambulia anaweza kupigwa ngumi mbaya kabla mikono yake haijalud kwaajili ya kujilinda❤❤
HILI PAMBANO HAPANA TUSIBEBANE ASEMALE AMESHINDA
KASHINDA KIALALI KABISA LEO SELEM KAPIGWA KANGUKA KUMBI ZAKE AZIFIKI nakuhusu kukumbatia nikujilinda nakulinda ulicho nacho ukishindwa kulinda ulicho nacho hata kwamaisha yakawaida umasikin ndio atima yako 🇹🇿🇹🇿🎉🎉🎉
Wabongo ila kwa kukumbatia Wallah Kwakweli kwa kujigamba Bado sana
Yote yate shagembe ndio man of the match wa mapambano ya tarehe 26 sio Mleba bukoba na sio Masaki dar huyu dg kaonesha kitu cha tofauti shida ni moja tu Nabii hakubaliki kwao ata assemel Mwenyewe alikubali ila wa Tanzania mlitarajia dg atapoteza dg kawashangaza sasa❤🥊🥊💯
Kweli familia wew ni mzalendo wa kweli aiseee nilitarajia kusikia maneno kama haya kutoka kwa mtanzania mwenzangu❤❤
🫡🇹🇿
akacheze amachaa huko..proo hawezi huyuu
Watangazaji wa hovyoo sana cjui wamewaokota wapi😅😅
Shegembe ❤❤❤❤❤❤ thanks brother
Hongera. Dogo. Umerudisha. Hesjimaaa. Tz
Shagembe hongera,, huyo msauz nae ni hodar wa kukumbatia,, nae kimemlamba 😂😂😂
Hamna kitu hapa, shagembe mtoto mdogo sana
Tz tumeshinda ❤❤❤❤❤
Mafanikio ya chochote ni maandalizi kutoka mwanzo hauwez niekeea kama hauna D 2 kwa boxing wetu wa 🇹🇿 hakuna wa kumsumbua wellem......!!!! Wellem kaja kufanya promotion ya Mafia Wala si kingine trust me
Hayuko fiti kabisa
Kuwa na eshima ww jamaa kapgwa vzur tu
Mimi nilishasemaaa ili niamini MTANZANIA KADHINDA KWELI AKAPIGANE NJEE. siyo hapa Bongo Ni kujibrand Na Kubrandi Mapromota tu Hakuna Ngumii hapo
Mwakinyo VP hawezi mziki huu wa msouth
Mbon mech ya mwisho kapoteza kwa. tko. round ya 8 pia kule ameenda kufanya prom
Shegembe anakumbatia amezidiwa sana ingekuwa round 12 shegembe angekufa,hakuna ushindi Apo
Bila shaka ww utakuw mrugulu
Pale mtangazaji anapogeuka shabiki🤣🤣
Tunaunajisi mchezo wa ngumi kwa matukionyakipuuzi kama haya!refa game imemshinda anaonekana anapendelea hadi anatoka kwenye sheria za taaluma yake na hichi kimekuwa kinatuponza hata mabondia wetu wakienda kimataifa hawatoboi,ndio naanza kumuelewa mwakimyo sasa.
Lile yalikua mapambano ya bonanza kupeana moyoo tu..kuna bondia kapigwa ngumi za kutosha,kadondoshwa mara tatu na kashinda mkanda..sasa kuna ngumi gani hapo
Frank Anakumbatia Utazani Anafanya Mapenzi 😅
Big up sana Frank shagembe umetufurahisha sana watanzania
Wabonge tunajua kuiba sana😅 hatuwezi game😢
😂😂😂😂😂😂😂😂 dun juma choki kutangaza acha hujui kabsa kutangaza
Akuna ngumi frenk uchafu tu
😂😂 Uuniuwongooo,, banah uyu shegembe akienda kwa watu kwa huu ujanja janja yake atoboi
Apongezwe frank mana kaka zake twaha na kidunda walichakazwa kweli kweli lkn yy kaonesha yuko na hari nzur kbsa
Sio kwamba kiwango kimeshuka kijana frank ni mzuri sana....na hyo kushika ni mbinu za ngumi ulitaka ashinde alafu aje apigwe kwan kijana kajitaidi
Hakuna haki hapo huyo shagembe amepigwa hawo majaji vipofu
Safi sana huyu dogo Yuko vzr watz tuwe wazalendo wellem kawatesa mabondia wetu ila na yeye Leo japo alikuwa anapiga za kisogo ila kwisha Tena nilitaman Ile knockdown ingekuwa Tko
Pambano lilipaswa kumalizwa na referee kwa knockout kwa sababu huyo mtanzania ameonywa mara kadhaa lakini bado ameendelea kukumbatia karibu dakika zotee 2 za round ya mwisho .
Tende na maziwa 😂😂😂😂😂❤
sijawahi ona game ya hovyo kama hiii kwanza watangazaji hampo balanced ,pili huyo Frank sijaona ameshinda wapi mnabeba sana mtu muda wote anashika ameshinda saa ngapi
sasa
Hamna wachambuzi wa ngumi ap😂😂😂
Wabongo tuna vituko sana,,yani tunasapotiana ata kwa upumbavu,,Sasa apo ni ubora upi wa boxing aliouonesha shagembe???🤣🤣🤣
Ukiwa ugenn kushinda kaz😂😂😂
Huyo referee kumanina zake round ya mwisho kamkonyeza mbongo uquma mtupu
Du! Aise round mbili za mwisho naona aibu mimi.
Akacheze kukamatana huko mtaani kwakee
Uyu dogo apongezwe Sana umetupa heshim kubwa
Mcheza kwao tu, but Asemale ndo mshindi
Shagembe umejiandaa Kwa %70 unasubiri ushambuliwe ndo ujibu na ww alafu guard Yako haikai juu km ya mpinzani wako
Mmmh bongo nyoso shegembe walitaka hadi ufe ndo wampe ushindi msouth au maana umebondwa kwakweli sema pole😂😂😂
Hawa MAFIA sidhani kama wanania nzr na BOXNG naona wanaleta ujanjaujanja tu nahawa majaji na marefa watafanya sikumoja bondia afie ulingoni kwa uzembe wao
Mim sijaona ushindi umetokea wap
Msiseme mtangazaji hajui,ni kweli kashinda halali hakuna alichocheza maamuzi, mpaka kawekwa chini, hongera bondia wetu, wengine wanasema asiingie kwa mwakinyo huyo msauzi,lakini niwaambie mechi ni mechitu .
Mtangazaji unakigugumizi kazi uiwezi unaboa😂😂
Shagembe kacheza vizuri kwa tahadhari...anapiga jab nyingi on target na kumkataa
Sahihi kabisa
Jamaa watanzania wamembeba mtanzania mwenzao hii sio sawa
Daaah c wote watanzania lakn shagembe kapewa amna uwezo wake mdogo sn kwa.uyo msouth to be honest
Aisee bongo jau hahahaaaa hahahaaa kashindaje frank!!!!!!!!
Huyu mbongo kabebwa hamwezi dogomsauzi
Yaani mnapandisha wapiga ngeta mtaani ndio waje wcheze ngumi...watakufa sana hawa wahuni wavuta bangi wanacheza ngumi hazina mfumo,tafuteni mabondia wanaocheza ngumi sio watu wanakuja kushikanashikana jukwaani.
Ushindi gani wa uwongo bnaa shagembe kapigwa live tunaona
mtangazaji 😂😂😂😂😂
Shagembe upo poa sana,kuliko walio pita
Respect sagembe, tumeona
Binafsi pia nampongeza Frank, ameonyesha kitu kikubwa snaa ktk mchezo huo dhid ya mpinzan wke Asemahle, kijana anajiamin snaa, ikumbukwe pia bdo chipukizi ukilonganisha na mpinzan wke, hvo wito wngu kwke asijivune, afanye mazoez kw bidii Pia DUA mhimu, naamin atafka mbali.
Kwahiyo unaamin huyo Frank Angekuwa hata Zimbabwe tu hapo Kwa Pambanano Hilo la KUKUMBATIA Asemalle.. Angeshinda ??
Bongo Nyosooo Bado sanaaa
Ameonesha kitu Gani .....KUKUMBATIA Mwili wa Mwanaume mwenzake? Hicho ndo kitu cha Tofauti Kwa Frank sijaona cha zaidi
Hzo minutes ww acheni ushamba.....Ata Mayweather alikua anakumbatia Sana tuu na hajawahi kupigwa
Kwa mieleka alio cheza shagembe kashinda ila kwa ngumi ajashinda😂
Mhhhhh
Eti shegembe mshindi duuuuuh
Ngumi mchezo wa wazi jamanii.
Majaji mnatiuaaa
Majaji wameshapewa fungus lao
Shagembe jitahidi kufanya mazoezi ya kuongeza pumzi.ili uweze kupunguza kumkumbatia mpinzani muda mwingi.
Yani huyu jamaa hafai hata kushika hiyo bendera 🇹🇿ya nchi wamezingua majaji ushindi hauna uwarisia
Frenk uwezo Bado kidunda ndo dawa yake arafu pia uyu msauth ni bondia wa kawaida tu sio wa kutisha
Huyo msukuma anakumbatia sana hiyo siyo sawa, Bado sana msukuma mwenzangu
Well performed
amba kati ndio ngumi gani..we mtangazaji jua ngumi bana.sema upper cut..😮
Uwo ni uwonevu
Mm binafsi niwapongeze mafia boxing kwa kweli kutuletea michezo na kuzidi kuupaisha mchezo huu,,,,wa ndondii,,,,kwa Tanzania yetuu!!
Mbongo hajui kupigana
Mtangazaji anaonesha ushabiki kbs 😂😂
Kweli mi mtanzania ila nimeona refa akimfinyia macho bondia wake mpaka nimechoka
Waongo watanzania hovyo kbsa
Uyu mtangazaji, kutoa kigugumiz wa TikTok uyu ni WA wasafi Sasa,tumewapata wawili sasa
Amsemi kama jamaa yenu ukumbatia2😂😂Kuba ake
Makumaninq zenu wote umepanga pambano hamna kitu apa 😂😂😂
Boxing ya bongo kuendelea ni ngumu sana amjui kitu majaji miyeyushoo
Wachakuchezatanzania game wanapendelea tu hakunagame yyte amecheza narife sio rife mwenye ukweli huyo shageme anashika shika hakunamchezo alocheza wamaana niliona wakati ile nyengine walicheza na yule askari alimpiga lkn pia alinyimwa
Huyu jamaa hata na ibrah class anapigwa vizur TU
Hahahaha
Daaah
Yaani wewe mtanzania unaelaum matokeo unauzalendo alafu ngumi ufuatili kwasababu mabondia wengi wakitoka nje wanaonewa sana atakwenye mpila watuwanatesekasana sematatozommekuamalimbukeni kwaiyo yoyote amelaumu shegembe amechaza vibaya k lamamaake😂
Tusiwe wabinafsi kubebwa tu frenki papigwa vibaya
Kama alivyopigwa mwakinyo na Tina mpei
Hamna kitu hapo ni uzawa tuu
Kachoka huyo bondia week mbili nyuma katoka kupigika Asemele
Mi ni mtanzania lakini bondia wetu Bado anashika sana hakuna ngumi hapo
Tanzania boxng bado ase
Bado sana
Kunawatanzania wengine vimeo sana kaweza iweje tuache kumpa mauwa yake shangembe jamaa kapambana vizuri tusivunjane moyo jamani watazania tupendane
Waangazaji machoko woote kutagaza kipaji
Hakuna ushindi hapo
Ila huyu mtangazaji kwann kila kitu eeeeee!
Uyu fank kuma sio bondia
Upuuzi tu kumpa kichwa huyu Frank. Maana hakumuangusha wellem kwa ngumi amemuangusha kwa kumsukuma. Ni bado sana Frank kwa Wellem.
Acha chuki mtanzania
Ushndi gan huo wa kukimbia kimbia
Kuweni na aibu huyo frank hakuna bondia hapo
Kapgwa kwa style yake huyo msouth mjanja mjanja sna uwanjan kapgwa kwa style yake
Hakuna bondia humu sifieni tu
Kesho punguza kukumbatia umecheza vizuri
Mmemnyima ushindi wake asemahle mnampa mkumbatiaje
😂😂 uo ni uonevu kabisa
Ilipambano linge kuwa laundi atakumitu shegembe angezimia
😂😂😂
We myangazaji utajinyea Bure acha kutangaza
Frank kapigana vizuri ila kakumbatia sana
Shegembe bado
Saaana
Sijaelewa mimi
Duuuu bongooooo
Achen kumfagilia shagembe ngumi gani anayo cheza iyoo kama anajifunz leo