Mungu Wetu Ana Huruma - Kwaya ya Mtakatifu Fransisco wa Asizi Magulilwa

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ก.พ. 2025
  • Karibu tena kwa tafakari na wimbo huu mzuri ulioimbwa na kwaya ya Mtakatifu Fransisco wa Asizi Magulilwa,

ความคิดเห็น • 58

  • @CostantinoKimbe
    @CostantinoKimbe 5 หลายเดือนก่อน

    Mwenyezi abariki kazi zenu maan kwa nyimbo hizi takataifu Malimwengu yanatakatifunzwa na Mungu anatukuzwa kwazo

  • @cosmasgalanda4572
    @cosmasgalanda4572 3 วันที่ผ่านมา

    Saaf saan aisee❤❤❤❤

  • @JaylessKiteve
    @JaylessKiteve หลายเดือนก่อน

    Mungu wetu ni mwema sana kila wakati ❤

  • @beatrizmar9636
    @beatrizmar9636 2 หลายเดือนก่อน

    Bonita unidad, Betty desde Perú 😍👍👌

  • @franciskinyae7514
    @franciskinyae7514 2 ปีที่แล้ว +1

    ..Inguluvi Nyalusungu ...kwa kweli mungu wetu ana huruma .
    A very nice song , God bless you for the good work.

  • @VictoriaNduva-n3d
    @VictoriaNduva-n3d 4 หลายเดือนก่อน

    Kwakweli mungu awabaliki kwa ujumbe mzur.mngeimba kihehe tu ingependeza zaidi

  • @jamesmagoma5812
    @jamesmagoma5812 2 หลายเดือนก่อน

    More of such music😌🥳

  • @emmanuelnjogu713
    @emmanuelnjogu713 7 หลายเดือนก่อน

    A very sweet song!.....Just listen to the beats and the mood of the song!!🔥🔥💥💥

  • @michaelmatinya7179
    @michaelmatinya7179 ปีที่แล้ว

    Kazi zuri sana mtadumu kwa msaada wa Mungu

  • @DevotaKalinga
    @DevotaKalinga 8 หลายเดือนก่อน

    Wana magulilwa mmenibari Sana na huo wimbo hongeleni Sana

  • @PaskalinaDaudi
    @PaskalinaDaudi ปีที่แล้ว

    Mungu awalinde katika utume wenu mioyo yenu yetu ifanye mabadiliko amina 8:38

  • @SundownAfricanAdventures
    @SundownAfricanAdventures ปีที่แล้ว

    Hongereni sana wa hehe Kwa wimbo huu Mzuri

  • @antoniabukuku5060
    @antoniabukuku5060 7 หลายเดือนก่อน

    Mungu awabariki saaaaana

  • @johnmhali8679
    @johnmhali8679 5 หลายเดือนก่อน

    Kweli Mungu wetu anahuruma.mbarikiwe sana.

  • @rachelmbalo9735
    @rachelmbalo9735 ปีที่แล้ว

    Nikisikiliza hii nyimbo nabalikiwa sana lnguluvi inyarusungu love ♥️

  • @BiteDamas
    @BiteDamas ปีที่แล้ว

    Wimbo mzuri mungu awabariki

  • @mercykavaya5284
    @mercykavaya5284 ปีที่แล้ว

    From tiktok to here its very amazing welldone

  • @magdalinemulah
    @magdalinemulah ปีที่แล้ว

    Pongezi kumchezea mungu kwa vifaa viote

  • @FastonRobert
    @FastonRobert ปีที่แล้ว

    Nmeupenda sana naomba nota yake

  • @chrisnyongesa3858
    @chrisnyongesa3858 ปีที่แล้ว

    A very nice song, listening from Kenya. Be blessed.

  • @AdelaMalata
    @AdelaMalata 7 หลายเดือนก่อน

    Nice 👍

  • @erneosingogo2907
    @erneosingogo2907 ปีที่แล้ว

    Hongereni

  • @octavinaalphonce6898
    @octavinaalphonce6898 2 ปีที่แล้ว

    Next level
    Nitawatembelea nikija kukaye nawapenda sana

  • @EricMhongole
    @EricMhongole ปีที่แล้ว

    Very impressive

  • @anifakihongosi9637
    @anifakihongosi9637 2 ปีที่แล้ว

    Ameni wimbo umenibariki Sana wana magulilwa kweli iguluvi inarusungu mno🙏🙏🙏🙏

  • @leonardosala5781
    @leonardosala5781 2 ปีที่แล้ว

    Absolutely perfect.Its the song of the year.Congratulation guys,and bigup good job.We love you guys..

  • @magdalenemativo3142
    @magdalenemativo3142 2 ปีที่แล้ว

    This song is sooo inspiring. Keep up. Magdalene from Kenya

  • @liliankhavasinya9386
    @liliankhavasinya9386 2 ปีที่แล้ว

    From kenya am blessed with the song avery nice song

  • @adrophndokole6417
    @adrophndokole6417 2 ปีที่แล้ว

    Mlijipanga sana

  • @erneosingogo2907
    @erneosingogo2907 ปีที่แล้ว

    Nimekuona devotha mdende

  • @ezekielmatinya8314
    @ezekielmatinya8314 2 ปีที่แล้ว

    Mungu wa mbinguni awatunze na ahsante kwa baraka ya uimbaji

  • @josephambrose2215
    @josephambrose2215 2 ปีที่แล้ว

    Aiseee MUNGU huko mbinguni anatikisa miguu yake tu kwa ujumbe huo mzito wainjilishaji. Hongeraaa🙏🙏🤔🤔

  • @Winfridankalupia-t8d
    @Winfridankalupia-t8d ปีที่แล้ว

    Amazing

  • @simonsebastian9477
    @simonsebastian9477 ปีที่แล้ว

    Nyimbo nzuri avahehe vayangu ila kaka sebastian naomba msaada wa copy napataje

  • @judithemali1454
    @judithemali1454 2 ปีที่แล้ว

    Sauti nzuri sana yakuvutia Mungu awabaliki

  • @emmymgonto4110
    @emmymgonto4110 2 ปีที่แล้ว

    Hongereni jamani nimeona clip kwenye status ya mtu Ila nimewafuata Huku Mungu azidi kutukuzwa 👏👏👏👏

  • @wolfgangmsigwa94
    @wolfgangmsigwa94 2 ปีที่แล้ว

    Mbarikiwe sana wapendwa wanakwaya, kwa hakika Inguluvi Nyalusungu wimbo umenibariki.
    Naomba mawasiliano ya mwalimu Sebastian wapendwa.

  • @dovickybruno3861
    @dovickybruno3861 2 ปีที่แล้ว +1

    KRISTO aendelee Kutukuzwa Daima.

  • @markomagubika8585
    @markomagubika8585 2 ปีที่แล้ว

    Amina daima Inguluvi yinyalusungu ! Safi sana wanaparokia ya Nyabula kigango cha magulilwa

  • @philipkimutai4852
    @philipkimutai4852 2 ปีที่แล้ว

    Inguluvi.... A very nice song sang in traditional mode. Congrats team. God bless you abundantly

  • @stephanomatiku660
    @stephanomatiku660 2 ปีที่แล้ว

    Je naweza pata nota za huu wimbo?? Nmekupenda sana.

  • @yovinampale4873
    @yovinampale4873 2 ปีที่แล้ว

    Nimependa hii jamani. Hongereni Sana.

  • @benedictlongolongo5536
    @benedictlongolongo5536 ปีที่แล้ว

    Sante

  • @edwardmasembe5061
    @edwardmasembe5061 2 ปีที่แล้ว

    Thanks for this piece of music and performance. Thanks for the all the effort you all put in in order to make this production. It is lovely and impressive.

  • @LimbuMabula1
    @LimbuMabula1 2 ปีที่แล้ว

    tumsifu yesu kristu
    naomba kopi hii mkuu

  • @mwalimujerrymathew9403
    @mwalimujerrymathew9403 ปีที่แล้ว

    kazi safi sana..je huu wimbo wapitakana SMN? nimeutafuta ila sijaupata...tafadhali nitumie link hapa ..natanguliza shukrani

  • @MethodKingani
    @MethodKingani 11 หลายเดือนก่อน

    Mkangale vaya inguluvi ilipanwinga nanyenye

  • @ezekielmatinya8314
    @ezekielmatinya8314 2 ปีที่แล้ว

    Vijana wetu hawa na hapa ndipo kwetu

  • @superiuspaschal5979
    @superiuspaschal5979 2 ปีที่แล้ว

    Safi saana wanatulipamwinga. Kabila gan jamani me napenda muimbe kilugha tu ndio kinaleta Radha ya wimbo

  • @cathykamura3521
    @cathykamura3521 2 ปีที่แล้ว

    Sauti tamu ajabu

  • @zawadinoelmbilinyi551
    @zawadinoelmbilinyi551 2 ปีที่แล้ว

    Kazi ni zuri sanaaaaaa,naomba namba ya huyo mtunzi

  • @sofiamauwa7146
    @sofiamauwa7146 2 ปีที่แล้ว +1

    Imina

  • @shepherdhermas6763
    @shepherdhermas6763 2 ปีที่แล้ว

    Kindly add the lyrics of the song.Both in your language and in English or Kiswahili.We will appreciate.

  • @BiteDamas
    @BiteDamas ปีที่แล้ว

    Wimbo mzuri mungu awabariki k