Hongereni kwa kazi nzuri Sana ya kumsifu Mungu kwa kupitia utume wa uimbaji pia kuinjilisha dunia. Hakika Mungu ahimidiwe na kusifiwa milele yote Amina
Hongereni sana wapendwa kwa kazi hii, naweza kusema, "Hakika nimeuona ukuu wake Mungu, Asante Mungu wangu kwa wema wako." Ni mapito mengi tunapitia ila bado yeye anatupigania asante kwa mtunzi kutufanya tutafakari kwa pamoja ukuu wa Mungu kwetu sisi mbarikiwe nyote 😇😇😇🙏🏾🙏🏾
Wimbo mzuri sana hongereni sana
Ongereni sana kwa uimbaji mzuri
Hongereni kwa kazi nzuri Sana ya kumsifu Mungu kwa kupitia utume wa uimbaji pia kuinjilisha dunia. Hakika Mungu ahimidiwe na kusifiwa milele yote Amina
Hongereni sana kwa unjilishaji
Mungu awabariki sana, hakika hapa Mungu katukuzwa kwelikweli, mm nimebarikiwa.
Bwana azibariki kazi za mikono yetu. Mbarikiwe sana 🙏🙏
Hongeleni sana kazi nzuri
hongera wapendwa. kwa hakika tumeuona mkono mtakatifu wa bwana. mbarikiwe sana. antony kutoka nairobi kenya
Wimbo safe huuuu
Kazi nzuri sana hii, nawaombea mto nzuri zaidi!
Hongereni kwa wimbo mzuri sana mungu awabariki kila siku muendeleee kufanya vizuri
🙏🏽🙏🏽
Aminaaaa
Hongereni sana wapendwa kwa kazi hii, naweza kusema, "Hakika nimeuona ukuu wake Mungu, Asante Mungu wangu kwa wema wako."
Ni mapito mengi tunapitia ila bado yeye anatupigania asante kwa mtunzi kutufanya tutafakari kwa pamoja ukuu wa Mungu kwetu sisi mbarikiwe nyote 😇😇😇🙏🏾🙏🏾
Daima Tuwe watu wa Shukrani
Hongereni saana 👏
Asantee
one of the best choir in the world
Asante sana ❤❤❤❤
Well-done, and God bless you all. raising and fall sounds, sauti zimepagwa zikapangika,
Aminaaa ❤❤❤❤
Kweli kabisaaa
❤❤❤❤
Hongereni sana
🙏🏻🙏🏻🙏🏻
🙏🙏🙏❤️
Swadakta