I’m so grateful to have the grace to hear this truth revelation 🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙇🏽♀️🙇🏽♀️🙇🏽♀️ Thank you Lord God almighty in the name of Jesus Christ Amen amen 🔥🔥🔥 God bless you and give you revelation Apostle 🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙇🏽♀️🙇🏽♀️👏🏽👏🏽🤗 you are a gift man from God
Shalom and blessing thanks so much apostle mtoto wangu anachekwa ana dharauliwa apostle naomba umuombee mwanangu afunguliwe. Thanks kwa haya mafundisho god bless you apostle mungu azidi kukutumia.
Amen...Ni Mimi mtumishi Ni Mimi nimekusikliza kwa makini mahubiri yako yamenilega Mimi napitia uchungu katika familia yangu tuko kumi kwa mama moja baba moja. Kwenye ukoo Ni Joseph njoroge
Mungu atusamehe kwa kutojua maarifa haya ni kweli kuna wengi tumewapoteza kwa kuona hawafai , asante Mtumishibwa Mungu kwa mafunuo haya Mungu aendelee kukupa mafuo tupone.Mungu turehemu.
Hakika mtumishi tuna kuombembea afianjema Mungu azidikukutumia nawatuwoote wenyemapenzi mema tufunguliwe katika familia zetu,koozetu,mijiyeetu,vijiji vyetu,wilaya,mikoa na hatimae Taifazima balikiwa MTU wa MUNGU
Siongei Sana apostle mung azidi kukuongoza kwa huu unabii ulio tumwa kwangu maana unanihusu kiundani zaidi nandio maana nasema siongei Sana nina mengi baba nina mengi itatimia siku yangu nikija kukuona apo ecg church mungu akulinde na mimi anilinde maana bwana ndio mchungaji wetu azidi kutulinda 🙏
Oooh hallelujah kumbe nimetengwa na Mungu amenikomboa nafunguliwa vifungo walivyonifunga.kwasababu nimebeba hatima ya familia na ndio maana wanapesa Ila hawana furaha wanahangaika sasa
Shalom Mtumishi Gilbert kuwa live uwa hatuna siku maalum Wala muda Ila naomba uwe unatufuatilia kwenye mitandao ya kijamii uwa tunatoa Tangazo Kama siku Fulani na kuanzia muda Fulani tutakuwa live Asante Sanaa kwa kutufuatilia Mtumishi.Mimi Samuel Ntevi Kiongozi wa Media ECG Dar.
@@samwelntevi9620 asante sana mtumishi wa MUNGU kwa kunijibu, Mombasa,Kenya ndiko nyumbani na ninafuatilia sana vipindi vyenu na huwa nabarikiwa sana na mahubiri/mafundisho, mimi nami ni mtumishi kiongozi ila naomba mniombee katika huduma yangu pia ikiwezekana nataka tuongee zaidi 'in private'
@@gilbertwanje Nimekuelewa Mtumishi mm ni Kiongozi wa Media Kama unataka kupiga kwa maombi au ushauri au chochote kile piga no hizi zipo juu ya screen hapo Mtumishi Asante sanaaa

Uishi myaka mingi apostle Mungu akuinue zaidi katika huduma yako
Amen nabarikiwa mnooo namafundisho yako Apostle
Asante MUNGU kwakutupatia mtumishi huyu mwenye mafundisho mazuri yakutufungua
Nashukuru mungu Kwa kunielekeza hapa,mungu anasababu ya kunichagua,hizi mapepo zitaniachia ili nikauone baraka za familia yangu.
Nimebarikiwa sana asubuhi ya leo KWA ajiri ya hilo neno mpakww mafuta wa Bwana ubarikiwe zaidi ya kubarikiwa
Shalom and blessing thanks so much apostle mtoto wangu anachekwa ana dharauliwa apostle naomba umuombee mwanangu afunguliwe. Thanks kwa haya mafundisho god bless you apostle mungu azidi kukutumia.
Najiunganisha nami ktk jina la Yesu na mafundisho haya
Barikiwa sana apostle
Amen...Ni Mimi mtumishi Ni Mimi nimekusikliza kwa makini mahubiri yako yamenilega Mimi napitia uchungu katika familia yangu tuko kumi kwa mama moja baba moja. Kwenye ukoo Ni Joseph njoroge
Amen .Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu.
Amen, barikiwa mtumishi
Love the way you explained everything
Asante mtumishi kwa neno zuri nahisi kufahamu zaidi na zaidi 🙌🙌
Ubarikiwe sana kwakweli,sipati cha kisema nimeguswa,Daudi wetu 🙏🙏🙏
Huyo Daud wenu ! Inatakiwa kwenda kanisani na apate wazazi wa kiroho ili wam link na roho mtakatifu.
Yes yes sir. Very true God bless you apostle
Nashukuru kwa mahubiri yako pastor, God bless you 🙏🙏🙏 amen 🌹🌹🌹🌹🌹
Amèeeeeeeeeen. Glory to Almighty God.
Powerful...Thank you Apostle! Be Blessed Always...Amen!
Ahsante pastor kwa huduma yako unatufunulia na unatujengea ufahamu ktk neno
Amina nimewaleta madhibahuni mtoto wangu valarie vigehi na ndungu wangu Gilbert kabusundu haoi ndiyo yusufu wa kwetu
Thx Jesus kwakuwatoa ndugu zetu mashimoni🙏
With this teaching,God is good
Ameen Apostle kunaktu nimejifunza
Ahsantee Apostle Mtalemwa, hakika nabarikiwa na huduma unayoifanya.
Napeta sana mafudisho yako. Inatuba nguvu. Barikiwa sana
Pray for us dear Apostle. God bless you 🙏
Hii injili ni yangu,barikiwa mtumishi wa.mungu
Asee Apostle
Haya mafundisho ni konki..
Nimekuelewa sana
Nimeelewa Mungu Ahsante kwaajiri yamtumishi uyu
Aminaaaaaaaaaaa.nimejifunza baba ubarikiwe sanaaa
Am here after the viral video of Muzina...u made my day mtumishi
Ameeen, ameeen, ameeen watumishi, nimebarikiwa Sana na somo hili.
Sema baba
Apostle Mungu akupe Nguvu katika maisha ya Huduma yako
Mungu atusamehe kwa kutojua maarifa haya ni kweli kuna wengi tumewapoteza kwa kuona hawafai , asante Mtumishibwa Mungu kwa mafunuo haya Mungu aendelee kukupa mafuo tupone.Mungu turehemu.
Amen
Naomba unifungulie brother yangu JOASH IDAKWA
Naomb inifungulie mume wangu elvis zacharia
Thanks so much apostle god bless you
Apostle ayo mambo unayo ongea nmekuwa nkiptia plz qwetu iko naopa maobii plz
Amen waliofungwa wakafunguliwe.
Amen nakuelewa vizuri 🔥
Asante yesu kwa kutufungua
Baba nimekuelewa barikiwa sana
😍😍😍😍mungu akuinue
Amina baba nme barikiwa sana sana
Amen,wewe ni msema kweli,kutoka kenya
Hakika mtumishi tuna kuombembea afianjema Mungu azidikukutumia nawatuwoote wenyemapenzi mema tufunguliwe katika familia zetu,koozetu,mijiyeetu,vijiji vyetu,wilaya,mikoa na hatimae Taifazima balikiwa MTU wa MUNGU
Amen man of God
Powerful revelation. Barikiwa mtumishi wa Bwana
Deliver us from those demons Man of God amen I receive in Jesus powerful name Amen
Toka.zanzibar wapooo dady
Thank you Apostle 🙏🏿
Baba baba baba ubarikiwe hakika nimefunguliwa
Mungu azidi kukupa mafunue maana najivunia kukufam napenda injili unayoubir
Duuuh hii Ni Hatari Sana
Amina! MUNGU akubariki sana kwa kuelimisha WATU wa MUNGU.
I love the message
God bless you.
You have blessed me.
Naomba mtumishi FARAJA na CAROLINE
afunguliwe. Ubarikiwe sana
My brother Fregustus my sister zipporah Paul mwaniki and my brother in-law musyoka my beatrice
Asante kwa enlightening
Amina mtumishi
Amen! Asante sana
Glory to Jesus Christ in Heaven and Earth. Amen
Yusufu alikua na Hatima Ya Dunia nzima Maana njaa ilikuepo dunia yote!!!!
Amen Mtumishi
Somo Tamu zuri
I'm so so blessed
Nimeguzwa,maombi kwa kijana wangu,Emmanuel.
Aristark,Daudi,
Mafundisho mazuri Sana..nafarijika sana
Amazing grace to God ,break those chains of evilness in our families in the might Name of Jesus Christ. Amen
Siongei Sana apostle mung azidi kukuongoza kwa huu unabii ulio tumwa kwangu maana unanihusu kiundani zaidi nandio maana nasema siongei Sana nina mengi baba nina mengi itatimia siku yangu nikija kukuona apo ecg church mungu akulinde na mimi anilinde maana bwana ndio mchungaji wetu azidi kutulinda 🙏
Mungu anirehemu na mm katika maisha yangu yote
SHALOOM🙋♀️VERY TRUE🙇♀️IT MAKE SENSE🙇♀️KWA KWELI BINAFSI NATAKIWA KUFUNGULIWA😭SI KWA MAPITO NA MATESO HAYA🙌🙌
Jamani sisemi kitu Yesu tutembelee ktk familia zetu
Wapooo kabisa ata kwetu wapo mtumishi tupone Leo
Na manabii wengi baadhi yao wanatumia nguvu za giza sana chuma ulete
Jeremias Priska Antônio Martina
Hakika mungu Ni mkuu
Soor +ombeni Mungu wafungue
My son Caleb Moses my wife Mary
Natamani kila anaekusikiliza akuelewe kama mimi.
Mungu baba nimewaleta kwako watu wa kwetu Frank Rweyemamu na Wichlaus Baguma
ASANTE BWANA YESU CHRIST 💕🙏
Hélio
Amen
Miami nawaweka ndugu zangu madhabauni wafunguliwe katika jina LA Yesu.
Amen.
amen
kwann hauna kipnd kwenye tv jaman s wakt wote tuna bando napenda san hYa mahubr
Oooh hallelujah kumbe nimetengwa na Mungu amenikomboa nafunguliwa vifungo walivyonifunga.kwasababu nimebeba hatima ya familia na ndio maana wanapesa Ila hawana furaha wanahangaika sasa
Martin hillary
I receive in Jesus name🙏
Very true and powerful
Faustine
Samweli polly na saraphina saidi
Rosa
Apostle unafundisha hatarii yaaaani unarikiwe na Bwana
Apostle unakuwa-live siku gani na inaanza saa ngapi?
Shalom Mtumishi Gilbert kuwa live uwa hatuna siku maalum Wala muda Ila naomba uwe unatufuatilia kwenye mitandao ya kijamii uwa tunatoa Tangazo Kama siku Fulani na kuanzia muda Fulani tutakuwa live Asante Sanaa kwa kutufuatilia Mtumishi.Mimi Samuel Ntevi Kiongozi wa Media ECG Dar.
@@samwelntevi9620 asante sana mtumishi wa MUNGU kwa kunijibu, Mombasa,Kenya ndiko nyumbani na ninafuatilia sana vipindi vyenu na huwa nabarikiwa sana na mahubiri/mafundisho, mimi nami ni mtumishi kiongozi ila naomba mniombee katika huduma yangu pia ikiwezekana nataka tuongee zaidi 'in private'
@@gilbertwanje Nimekuelewa Mtumishi mm ni Kiongozi wa Media Kama unataka kupiga kwa maombi au ushauri au chochote kile piga no hizi zipo juu ya screen hapo Mtumishi Asante sanaaa
@@samwelntevi9620 MUNGU Awabariki kwakipindi namafundisho haya nabarikiwa sana Mtumishi Samwel Ntevi
Apostle naomba unifungue hata kwa njia ya simu natafuta mawasiliano yako siyapati....
AMINA KUBWA AMINA AMINA 🙏🏿
Tekla na tedy