Kwa jina lako Yesu, nipe kuomba maombi ya masafa marefu, nipe kuomba maombi ya kujitenga, nipe kuomba maombi ya mfungo ya muda mrefu. Asante Chief Apostle kwa mafundisho haya...It's a wake up call kwa maisha yangu ya kiroho. Mungu akuhifadhi mno, akuongeze.
Nashukuru Mungu kila nkisikiliza maneno mazuri Ya kujenga na kupiga hatua ya watumish wa mungu yananibariki sana Naamin Mungu anakusudi na mm kipitia mafundisho ya mtandaon
AMEN GLORY be to God, wonderful messages, I receive it, am going to work on it, may the holy spirit of God strengthen my inner man. God bless you sir ❤🙏
Your preaching is so touching mtumishi wa Mungu. Inanitia moyo sana wakati huu tumeshakaa lockdown for six months. Watching kutoka ujerumani kila usiku na mchana. Mungu akubariki sana6.
Nisupocomment kitu nitakuwa nakukosea baba angu ,,,najuta muda wote nilikuwa wapi kukusikiliza ,,,aiseee siku mbili tu nimekusikiliza lakini naona kabisa napata kitu ,,kwa nn nisikuimbee pia kwa mungu uzidi kuishi baba ,,mungu akulinde sana .
Amen Apostle.... Kusema ukweli mimi nashindwa hata kuomba misali moja tu lakini sijai sikiza maubiri yako ni Mungu akanifunilia hii page yako siku ya leo na umenipa nguvu zaidi nimeyasikiza mafuzo mengi yako leo na kusema ukweli mihuenda kanisani kila wakati lakini haya yote unayahubiri hatujai huriwa Mungu azidi kukuinua uzidi kutupea nguvu yakukaa ndani ya YESU
Na masuluali yao wanawake hao masikio yao macho yao hayasikii wala hawaoni tunamtamani mtalemwa akekuwa mtumishi.wetu.nyie mmedebwedeka.wanawake na misuluali mnanikera mm Mungu.anisamehe katika hili
THANK YOU LORD FOR THESE TEACHINGS🤲🔥🤲YOUR NAME BE GLORIFIED LUKE 5:16 withdrew to lonely places and went TO MY PRAYERS💪💥🙌💥💪I RECEIVE🤲🔥🤲🔥TO STAND ALONE💪🔥💪🙌💥🙌💥🙏🙏🙏
Asante MUNGU kwa Kumtumia MTUMISHI WAKE CHIEF APOSTLE MTALEMWA , Kwani Nimefunguka Kiuelewa KUHUSU MAOMBI YA MDA MREFU NA FAIDA ZAKE... HAKIKA NIMEBARIKIKA.. MUNGU AZIDI KUMWINUA MTUMISHI WAKE HADI MATAIFA NA MATAIFA KOTE DUNIANI WAPATE KUMJUA MUNGU KUPITIA MTUMISHI WAKE CHIEF APOSTLE MTALEMWA...
Beloved, I don't know you in person but God knows you. God minister to me a revelation when I was on your profile to see things around you,I saw blessings but spiritual attacks holding on to them,in prayers,i saw a woman in the realm of the spirit monitoring and plotting delay be in your life, with an evil mirror, and a motive to destroy. But as I speak to you now her time is up, Render hand of favour with Anything you can afford to these motherless foundation (OSOMOIGHO ENDURANC MOTHERLESS FOUNDATION) in kebbi state nigeria before 2DAYS with faith, as I Rise my hands towards heaven and pray for you they shall serve as point of contact where ever you are, you will receive double portion of grace to excel and total restoration of breakthrough in your life and in the life of your family. Deliver them to the MD in charge of the orphanage to get their details on (WhatsApp or call them now on +2349058384543) tell him I sent you. For it is not by might nor by in power but of the spirit saith the lord (zechariah 4:6). You shall testify to the Glory of God in your life. God bless you
Jaman naombeni mnidaidie naota hii ndoto na inajirudia rudia sana nini maana yake kibiblia jaman m sjaokoka ila nimkristo mwili wangu unapasuka unatoa wadudu,wakat meingin mende wakat mwingin mafinyo finyo wakati meingin kobra anaejua kutafsir ndot anisaidie jaman
Ingia kwenye maombi mazito sala, hiyo ni mauti haipo mbali na wewe. Ingia kwenye maombi ya Toba Kwa kutumia 2 mambo ya nyakati 7: 14-16. Omba maombi ya muda mrefu utaona yooote. Mungu akubariki
By the way makaniza wa Leo, nashangaaza mahana, jinzi ya mafazi na style ya beauty, wakina dada, ni viashara Yao kanisani, kristo ayupo moyoni mwao, kina baba kaa radha
Baba yetu wa Kiroho ni Mungu, Huwezi kujiita jina la ukoo la muhubiri mwingine This isnt biblical& Its Heressy,Bushiri isnt even real as well as he accumulated mass wealthy through Fraudlent means he isnt straight forward but a crook who glorifies himself than Christ,He is a business man not A man of God
Baba nimekuelewa sana Mungu akubariki sana kwa mwendo huu lazima tupone thanks man of God
Kenyans tulikosea wapi hauwezi Pata mutumishi wa Mungu Ana mafunzo hivi watanzania mulibarikiwa really na mubarikiwe Napenda saana moto 🔥🔥🔥🔥
Kwa jina lako Yesu, nipe kuomba maombi ya masafa marefu, nipe kuomba maombi ya kujitenga, nipe kuomba maombi ya mfungo ya muda mrefu.
Asante Chief Apostle kwa mafundisho haya...It's a wake up call kwa maisha yangu ya kiroho. Mungu akuhifadhi mno, akuongeze.
Nashukuru Mungu kila nkisikiliza maneno mazuri Ya kujenga na kupiga hatua ya watumish wa mungu yananibariki sana Naamin Mungu anakusudi na mm kipitia mafundisho ya mtandaon
Wao great wisdom of Solomon still working. Passing out to others.
Papa Asante! Blessings
Amen Apostle nabarikiwa sana na Mafundisho unayotupatia
Umeongea point nyeti sana Baba, Mungu akutie nguvu uzidi kuwafungua wengi, watu wanapaswa kujifunza kujisimamia kwa Kuliishi NENO
Wangapi wanabariwa tukiwa Mombasa,Kenya gonga like hapa chin
Imagine Kenya pastor asimame kama huyu tutanyooka
Hili fundisho linagusa sana
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙏🙏🙏🙏
Powerful prophetic message much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🔥🔥🔥
Napenda mahubiri hata sana🇰🇪🇰🇪🙏🙏
Anaye namba za mchungaji annipe tafadhali
🙏
Ombi langu kwa huongozi wa ECG Church mtuletee brunch Nairobi Kenya. Asante kwa mafundisho ya kweli bila uoga.
Napenda sana mafundisho yako Mtu wa MUNGU.
AMEN GLORY be to God, wonderful messages, I receive it, am going to work on it, may the holy spirit of God strengthen my inner man. God bless you sir ❤🙏
Nimepata ujumbe wakudumu maishani be blessed Apostle
I was waiting for this subject
Baba umenifundisha kitu kikubwa Sana, nakupenda baba, Mungu akutunze🙏
Your preaching is so touching mtumishi wa Mungu.
Inanitia moyo sana wakati huu tumeshakaa lockdown for six months. Watching kutoka ujerumani kila usiku na mchana. Mungu akubariki sana6.
amen
Wonderful! Am so much humbled and blessed. I sure needed to hear this. May God bless you Chief.
Asante kwa ujumbe mzuri 🙏🙏🙏 Mungu akubariki zaidi.
Really you're good to preach Nimependa kabisa na Mungu wa Amani na akuongoze kila wakati God bless you more and more
🙏🙏barikiwa mtumishi na Mungu
Thanks apostle, nimekuelewa mungu anisaidie kuyafanyia kazi
Nisupocomment kitu nitakuwa nakukosea baba angu ,,,najuta muda wote nilikuwa wapi kukusikiliza ,,,aiseee siku mbili tu nimekusikiliza lakini naona kabisa napata kitu ,,kwa nn nisikuimbee pia kwa mungu uzidi kuishi baba ,,mungu akulinde sana .
Amen Apostle.... Kusema ukweli mimi nashindwa hata kuomba misali moja tu lakini sijai sikiza maubiri yako ni Mungu akanifunilia hii page yako siku ya leo na umenipa nguvu zaidi nimeyasikiza mafuzo mengi yako leo na kusema ukweli mihuenda kanisani kila wakati lakini haya yote unayahubiri hatujai huriwa Mungu azidi kukuinua uzidi kutupea nguvu yakukaa ndani ya YESU
Blessings My Man of God, This is Extra deep
These pastor is just amazing,ana upako wa yesu.
This is very useful..thank u lord!!
Ahsant MTUMISHI kwaujumbe mzur
Asante kwa mafundisho mazuri kuna kitu MUNGU amasema nami
Love the teaching
Wonderful message
Thank you Apostle.
Mungu azidi kukubariki
Ahaaaaaaaaa achaaaaaaaaaaa asante Apostle Mungu akubariki sana umekua baraka kubwa kwangu Asante
Mafundisho yamenibariki,Mungu akutunze Mtumishi
Kweli kabisa mtumishi ahsante kwa mafundisho mazur
Hallelujah. Asante sanaaaa Pastor 🙏🙌
Amen mtumishi
Amina bishop,nakuelewa.
Asante kwa ujumbe mzuri, Mungu akubariki sana mtumishi wake
Na masuluali yao wanawake hao masikio yao macho yao hayasikii wala hawaoni tunamtamani mtalemwa akekuwa mtumishi.wetu.nyie mmedebwedeka.wanawake na misuluali mnanikera mm Mungu.anisamehe katika hili
Chief 💛 unanisaidia Sana Mungu wa Major1 akutunze
Asante kwa msg nzuri
THANK YOU LORD FOR THESE TEACHINGS🤲🔥🤲YOUR NAME BE GLORIFIED
LUKE 5:16 withdrew to lonely places and went TO MY PRAYERS💪💥🙌💥💪I RECEIVE🤲🔥🤲🔥TO STAND ALONE💪🔥💪🙌💥🙌💥🙏🙏🙏
Amen Amen
Umebarikiwa Amen Amen
Amen Apostle.
Powerful teachings
Amen apostle
Fact nilishakesha sana mabaa clubs but nimeishinda hizo roho
This message is powerful and I'm going to put it in practice! And how can someone speak in language!
Asante sana kwa mafunzo mazuri Mungu akubariki mtumishi
Hivi kuna watu bado wanaabudu kwa hawa jamaa akina bushiri pamoja na shuhuda zoote za akina Israel, Ramabulana, etc. Haya chezeni na shetani-ibilisi.
Mtumishi ubarikiwe kwa mafundisho yako haya ndio mafundisho yanayotakiwa kwa wakristo
Asante kwa kunikumbusha tena, ubarikiwe sana
Wow Glory to God
Asente past
Ameen dady
Aminaaa🙏🙏🙏🙏
Amen papa
Amina mtumishi wa Mungu, sema ili niponywe🙏🙏
Somo Kali Chifu
Ameen.
Amen
Leo napokea Niko Na Nguvu Niko suuri ni ujinga pumbavu
Ooooh!!! Yes .....Amin
More blessings apostle
Asante MUNGU kwa Kumtumia MTUMISHI WAKE CHIEF APOSTLE MTALEMWA , Kwani Nimefunguka Kiuelewa KUHUSU MAOMBI YA MDA MREFU NA FAIDA ZAKE... HAKIKA NIMEBARIKIKA.. MUNGU AZIDI KUMWINUA MTUMISHI WAKE HADI MATAIFA NA MATAIFA KOTE DUNIANI WAPATE KUMJUA MUNGU KUPITIA MTUMISHI WAKE CHIEF APOSTLE MTALEMWA...
Beloved, I don't know you
in person but God knows
you. God minister to me a
revelation when I was on
your profile to see things
around you,I saw
blessings but spiritual
attacks holding on to
them,in prayers,i saw a
woman in the realm of
the spirit monitoring and
plotting delay be in your
life, with an evil mirror,
and a motive to destroy.
But as I speak to you now
her time is up, Render
hand of favour with
Anything you can afford
to these motherless
foundation (OSOMOIGHO ENDURANC
MOTHERLESS
FOUNDATION) in kebbi
state nigeria before
2DAYS with faith, as I
Rise my hands towards
heaven and pray for you
they shall serve as point
of contact where ever you
are, you will receive
double portion of grace to
excel and total
restoration of
breakthrough in your life
and in the life of your
family. Deliver them to the
MD in charge of the
orphanage to get their
details on (WhatsApp or
call them now on
+2349058384543) tell him I
sent you. For it is not by
might nor by in power but
of the spirit saith the lord
(zechariah 4:6). You shall
testify to the Glory of God
in your life. God bless you
Amen and Amen
@@pastorginojennings3125 you're a scammer.....I cast out the spirit of lying
Stand your ground definitely God will open your mind, Amen
Powerful message sir. I like your teachings
Amina
Ameen kubwa mtumish
Asante Mungu kwa kulisikia neno lako
Asante chief
Mungu akutumie atakavyo katika jina layesu
Kweli kbs,neno ni muhimu sana kulisoma.
Pastori Niko Finland lajini napokea
Powerful
AMEN 🙌🙏
Yaaan Kaka napenda sana mahubiri yako mpaka natamani usife bora nife mm tu
What?
Mungu awenawe tumepona
Ameeen
Ndiooooo da! Nukuelewa unachokifundisha,mafundisho haya wengi hawayapati baba
Jaman naombeni mnidaidie naota hii ndoto na inajirudia rudia sana nini maana yake kibiblia jaman m sjaokoka ila nimkristo mwili wangu unapasuka unatoa wadudu,wakat meingin mende wakat mwingin mafinyo finyo wakati meingin kobra anaejua kutafsir ndot anisaidie jaman
Ingia kwenye maombi mazito sala, hiyo ni mauti haipo mbali na wewe. Ingia kwenye maombi ya Toba Kwa kutumia 2 mambo ya nyakati 7: 14-16. Omba maombi ya muda mrefu utaona yooote. Mungu akubariki
Mwalimu Mtalemwa ..fungua chuo cha Bible study...jmn
Nimepokea
Safiiiii
By the way makaniza wa Leo, nashangaaza mahana, jinzi ya mafazi na style ya beauty, wakina dada, ni viashara Yao kanisani, kristo ayupo moyoni mwao, kina baba kaa radha
Ooooh yes!
Am soo blessed
Mungu azidi kukulinda
great
This generation needs the pastor's like You apostle mtalemwa.Barikiwa sanaa🙏🙏
Postor tonykapola
Mungu wangu nisaidie nisoee kukaa mwenyewe
usoee mhh lugha ya malaika au ...
Namba yako ya simu nitumane family
Uko sehemu gani. Nimekupenda Bure
Please brothers and sisters where is this church found? Naombeni msaada
Kanisa liko Dar, Makongo juu, karibu na chuo cha Ardhi
@@zawadijoel7516 Asante sana dada
Barikiwa nime jifunza kitu man of God
Baba yetu wa Kiroho ni Mungu,
Huwezi kujiita jina la ukoo la muhubiri mwingine This isnt biblical& Its Heressy,Bushiri isnt even real as well as he accumulated mass wealthy through Fraudlent means he isnt straight forward but a crook who glorifies himself than Christ,He is a business man not A man of God
Napenda mafunzo yako, very different from your spiritual father!!
Amen
Mungu azidi kukubariki mtumishi
Amen