MAJONZI: KIGOGO WA MICHEZO BMT RIZIKI MAJALA AUAWA, MWANAE ADAKWA “ALITISHIA KUMUUA BABA”

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 329

  • @mwanaishamasoud
    @mwanaishamasoud 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +25

    mungu tustiri sisi na vizazi vyetu ya rabii na utujalie mwisho mwema.poleni wafiwa mungu awape subra.

  • @Moha-l3c
    @Moha-l3c 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +70

    Watoto ni fitna kubwa na unaweza kuzaa mtoto ukafikiri umepata mtoto kumbe umezaa hasidi Allah atujaalie vizazi vyema vyenye hofu ya Mungu amen.

    • @LuluAquai
      @LuluAquai 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

      Aamin rabbilg'aalamin

    • @HaruniHaruni-jy7hw
      @HaruniHaruni-jy7hw 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

      Allahumma aamiiin

    • @SaudaShabani-b6c
      @SaudaShabani-b6c 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Amiin thumma amiin tuwaombee watoto wetu mtihani sanaa walah

    • @RoseMrimbo
      @RoseMrimbo 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Kweli kabisa kuzaa sio kupata

    • @HamisMghuna-fj3vz
      @HamisMghuna-fj3vz 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

      Walladukumu fitinaa,,huyo n Allah, Quran hio sasa jipendekeze,kua na kisu,mama yake alikua ale para, kazi ipo,eee mibange,hio,unajizalia Izirael,

  • @Zuu673
    @Zuu673 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +13

    Mungu atujaalie vizazi vyetu,km ukujaaliwa uzazi wala husikuful mungu anamakusudi yake unaeza kuzaa kumbe umezaa shetwan

    • @kamarhelo
      @kamarhelo 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Hasbullah wa neemar wakir😢😢😢😢😢😢

  • @SuleimanKhdija
    @SuleimanKhdija 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +9

    Allah atujaalie vizazi vyema Subhanallah 😢😢Yani mtoto Umleye akishakuwa anakufanyia unyama sio mzi6wa akili labda yuwavuta bangi

  • @shakilamasoud2983
    @shakilamasoud2983 15 นาทีที่ผ่านมา

    Haya matukio ya watoto kuua Wazazi yamekuwa endelevu.💔. Mwenyezi Mungu tujaaiye wtoto walio wema nasi😭. Poleni sana wanafamilia.

  • @omanmct135
    @omanmct135 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +6

    Subhanalllah watoto hawana imani tujaliye mwisho mwema yarab

  • @Bongovillagex
    @Bongovillagex 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +6

    Milembe PUNGUZENI Ada

  • @ukweli255
    @ukweli255 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +7

    Poleni sana Wanafamilia,Poleni sana watoto wa Sheikh,Poleni wafanyakazi wenzake
    Kijana wa Pili muhimu simamia hiyo nyumba isiuzwe kamwe Na Serikali wapeni ushirikiano wanafamilia hao wapate Sitahiki za mzee na huyu Mjomba mtu apatiwe Wakili mwingine !

  • @Awezae-w8o
    @Awezae-w8o 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +16

    Duuuh!!! Tanzania Vita akuna lkn matukio Ni hatare MTT anauwa babake sijaway Ona mungu wangu

    • @allythabiti8150
      @allythabiti8150 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

      Hii hatar unajua kwann sahz watoto hawapewi elimu ya dini na kuwajengea hofu, mtoto anakuwa tu huku aendi hata kanisa,Wala msikitin yan hawawekewi mazoea matokeo mtoto anakuwa tu huku anajua miziki tu, michezo na mambo ya hovyo huyu hawez jua ukubwa wa mzaz

    • @Zuu673
      @Zuu673 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@allythabiti8150wallah umenena mungu atujaalie vizazi vyetu

    • @Ayuminchasi
      @Ayuminchasi ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Pia hata wakati wazazi wanamtafuta huyo Mtoto hawakuanza na bismillah kisha wanze ili kumkinga mtoto na shetan endapo watapata mtoto​@@allythabiti8150

  • @boniphaceNyankena
    @boniphaceNyankena 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Da Mungu atusaidie pia watoto wetu tuwaweke karibu na ibada zitawafanya wawe na hofu ya Mungu na tuwape haki zao na tuwafunze kutafuta vya kwao, ila pia tusiyafumbie macho matatizo tuombe msaada wa watu wakaribu angeondolewa nyumbani akakae sehemu rasmi tusifumbie macho

    • @chrispinantabaye4866
      @chrispinantabaye4866 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Ni kweli kuna uzembe na kupuuzia mambo fulani kulikopelekea madhara haya makubwa,halafu jumba lote Hilo hakuna watu wengine wanaokaa hadi muuaji anafanya mauaji anamaliza mpaka anapata na nafasi ya kupigia simu watu kuwa kaua,🙄🙄?!!Gharama ya kumpeleka mtoto Milembe ilikua kubwa kiasi gani kulinganisha na maisha ya hati hati na wasiwasi anaoleta kwenye familia na uhai aloupoteza,duh🙌!!!

  • @jayjay4313
    @jayjay4313 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Mwanangu, wa miaka sana aliponitamkia " Bora ufe au ufungwe Ili niwe huru" Kisa anahisi sheria zangu za kumlea ni kali. Nikaona maneno huumba. Alipofika miaka tisa tu, nikamrudisha kwa mama yake. Mungu tuokoe wazazi.

  • @OfficialA83640
    @OfficialA83640 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Innalillah wainnailaihi rajiuun poleni wafiwa. Mjumbe point uliyoongea mtoto hana hatia km kichwa hakipo sawa na unathibitisha hilo basi kesi hakuna hapo Allah amrehem marehemu na kijana apelekwe milembe la sivyo ataleta madhara makubwa kwenye hiyo nyumba Subhannallah

  • @NairatHassan-nm2dg
    @NairatHassan-nm2dg 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Inna lillah wainna ilayhii raji'unn Allah atupe mwisho mwema poleni sn wafiwa😢 allah awape subra na awatie nguvu Inshallah 🙏

  • @AtifaIslam-t6g
    @AtifaIslam-t6g 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +6

    Subhanallah yaallah tusamehe waja wako tulipokosea yarab mana huu mtian mkubwa

  • @daslamonline4665
    @daslamonline4665 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +22

    Kuzaa sio kupata mungu atupe mwisho mwema

    • @halimamnyati9311
      @halimamnyati9311 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Hakikaa

    • @hamidaalhabsi8568
      @hamidaalhabsi8568 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Ewemwenyezi Mungu tupe mwisho mwema yaarab pamoja na watoto wetu wawe wenye roho ya huzuni na ya upendo

    • @aminakasim1198
      @aminakasim1198 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Nimeamini kweli kuzaa siyokupataa

    • @tinnahagustinolyelu4247
      @tinnahagustinolyelu4247 50 นาทีที่ผ่านมา

      Jamani mtihani mkubwa uwiiiii Mungu tunusuru

  • @erickalbert4460
    @erickalbert4460 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +6

    R.I.P Mwalimu wa advanced Mathematics Kibaha, pumzika Fundi, pumzika Legend🫡

    • @abasmwika3432
      @abasmwika3432 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Poleni sana

  • @GiftAbduly
    @GiftAbduly 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Allah utusamehe dhamb zetu adhabu zako unazotupa hapa dunian ni nzito na ngumu daaah polen kwakwel pia tuwafundishen watoto dini ili wawe na hof ya mungu

  • @jadetoto
    @jadetoto 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +9

    Watu wanapitia meengi na huwezi jua..tupendane sana

    • @MichelleMobasa
      @MichelleMobasa 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kabisaa

  • @Latifaally390Latifa
    @Latifaally390Latifa 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Allah awafanyie wepesi wa safari yke nasie Allah atupe mwisho mwema inshallah

  • @Grace-w4r5n
    @Grace-w4r5n 52 นาทีที่ผ่านมา

    Wazaa mtoto wasema nbaraka kumbe umezaa kiumbe cha ajabu mungu tulindie vizazi vyetu😢😢😢😢

  • @lisawilliam2491
    @lisawilliam2491 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    hii dunia ! mungu tusaidie! polen familia

  • @YohanaRichard-e6p
    @YohanaRichard-e6p 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +7

    Mungu atusaidie , poleni sana

  • @OmanOman-bx5du
    @OmanOman-bx5du 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Wee mtoto ulaaniwe kwani siutafute kwa jasho lako. 😢😢

  • @shabanipanya1033
    @shabanipanya1033 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +6

    Kiamaa hichoooo kimeisha fika bado kuripuka tu alafu mnakataa maneno ya mitume ""mtoto kumuua mzazi na mzazi kumuua mtoto""

    • @jamesmasome359
      @jamesmasome359 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Malezi malezi.....

    • @nikrahayubu-sz3pw
      @nikrahayubu-sz3pw 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Naam kiyama kimefika ujue wenye akili ndoo wanajua lkn wengii wawatu hawajui Hilo Dunia imiisha subhanallah ndoo hatuoni na Wala hatutak kufanya ibda tunakufa ghafla

  • @JoyceJoshua-e3l
    @JoyceJoshua-e3l 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Jaman mtaani kwetu balozi wetu mungu tusaidie

  • @w4058
    @w4058 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Inna Lilaah Wainna Ilayhi Rajioun Allaah amsameh makosa yake amzidishie mema yake Subhanallah sasa pesa zake mwenyewe zimemtoa roho

  • @DiwaniMwafongo
    @DiwaniMwafongo 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Mafunzo
    1. Hakuna mtihani mgumu ksma wa kuchagua mke wa kuoa.
    2. Maendeleo yetu ya kazi , mali na taaluma yawepe kipaumbele kuliko marndeleo ya wanetu?
    Wanaume tunapanda mbegu ya kujimaliza wenyewe!!
    R.l.P maths teacher!!!💕

  • @vincentkatabalo286
    @vincentkatabalo286 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +7

    Jamani mbona mwili wangu umesisimka! Unamuua baba yako kisa baba yako kakunyima pesa? Ee Mungu tusaidie na huu uzao wetu!

    • @thabitdaudi9815
      @thabitdaudi9815 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Tena mtoto wa kiume alafu kijana mkubwa tu. mtu mzma unaombaje hela kwa baba yako

    • @OfficialA83640
      @OfficialA83640 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

      Mmesikia mjumbe km kijana hayupo vizuri kichwani na walitaka wampeleke Mirembe ila pesa ndefu ndy kashindwa kumpeleka

  • @Hassanbaoma
    @Hassanbaoma 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +8

    Hilo toto lina laana kubwa sana

  • @RojaMoo-zh2cv
    @RojaMoo-zh2cv 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +13

    Dah!! Ww ulomuua baba yako n laana kubwa sana jmn

  • @SimonMelon-k9p
    @SimonMelon-k9p 30 นาทีที่ผ่านมา

    Bora kuwa single,no wife no kid,live your life,unazaa mtoto harafu mtoto anakuua

  • @Latifaally390Latifa
    @Latifaally390Latifa 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Ukiwa na watt mtihani usipokua na watt mtihani allah atujaalie watt wema inshallah

    • @aminakasim1198
      @aminakasim1198 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      SubhanAllah eeeeh,mungu wangu ninavyopataa shidaa mm babaa,hayupo,Leo,kijanaunamuua,babaakweli

  • @safiyanirram-pf3sv
    @safiyanirram-pf3sv 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    SubhanaAllah Allah atunusuru vizazi vyetu msiba huu unamuuwa baba kisa amekunyima pesa yeye mbona akuwa nayo na kija mkubwa tu kwann asifanye kazi anaenda kunywa mapombe na kuvuta bangi wakati anajijua anatatizo kichwani poleni sana wafiwa muacheni akanyie debe jela

  • @Mayasa-o2w
    @Mayasa-o2w ชั่วโมงที่ผ่านมา

    mungu.akupe nguvu . kijana na.poleni.wafiwa mh.mtoto unamzaa.na anakuja.kukuua kichwa.kina.matatizo alafu.kinaongezwa na.bangi tena.inakua mtihani.wallah.mwenyezi mungu.atunusuru sisi na vizazi.vyetu

  • @nourannouuran3514
    @nourannouuran3514 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mwenyezimungu sitir vizazi vyetu

  • @adelinabaitu3291
    @adelinabaitu3291 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Jamani mungu tusaidie

  • @alfredamapunda1321
    @alfredamapunda1321 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Jamani Tanzania Kuna nini mbona mbona kukicha tuuu mauaji mungu wangu

  • @SheilaOmar2007
    @SheilaOmar2007 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Wamefanana na kakake jamani 😢😢😢

  • @ShabaniSudi-d1x
    @ShabaniSudi-d1x 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kweli kuzaa watoto sio kupata.

  • @MajaliwaMhungati
    @MajaliwaMhungati 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Mmmmh 😢😢😢 Hawa watoto wa kiume mbona wanatutisha sasa

  • @RashidRamadhani-b5o
    @RashidRamadhani-b5o ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kama ana tatizo la akili haijalishi ni kubwa au dogo kikubwa ana tatizo la akili apumzike mzee wetu Mungu ampe kauli thabiti 😭😭😭

  • @LatifaAnatory
    @LatifaAnatory 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mungu tupe mwsh mwema... Vifo vimekuwa vng na vya ajab ajab sn..😭😭

  • @happinessmosala2217
    @happinessmosala2217 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Jamani kijana mdogo.kweli hiyo Ni pepo.daah poleni sana familia.

    • @aminakasim1198
      @aminakasim1198 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Yaan,ni huzuni sanaa😢😢😢😢😢😢😢

  • @ScopionScopion-zj9cd
    @ScopionScopion-zj9cd 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +13

    Mzee kayataka mwenyewe mtu ukishaona littoto halieleweki fukuza mapema lifunzwe Nawalimwengu mtaani uko

    • @AtifaIslam-t6g
      @AtifaIslam-t6g 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +8

      Wewe ni mzazi au waongea tu mana kama ni mzazi omba mungu sana awaongoze wanao mungu awaongoze watoto wetu

    • @hatibbaraka3956
      @hatibbaraka3956 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kabisa watu wengine wanaongea pumba.​@@AtifaIslam-t6g

    • @deogratiusyudatadei5658
      @deogratiusyudatadei5658 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

      ​@@AtifaIslam-t6gSasa ulitaka asemeje nyiee wazazi mnaolea kimayai mayai matokeo yake huaga ni hayo hata mm mtoto nikiona simuelewi na mtimua mapema akafiee huko Sina mapenzi na nyoka atakaye kuja kunimeza siku za mbeleni

    • @yasminjuma9146
      @yasminjuma9146 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

      Jamani . Mzazi kwa mtoto wke huna lakumwambia. Na hilo jambo ulisikie mbali tu.. Tuombeane dua tu

    • @JabirHaji-vj2nf
      @JabirHaji-vj2nf 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

      Nyie waongo musitudanganye mtoto wako wa kumzaa huwezi mfukuza nyumban aende wapi kwa mfano acheni uongo hii mitihani tuombe sisi isitukute tu na tuwalee watoto kwenye misingi ya dini

  • @husseinshabani9522
    @husseinshabani9522 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Namshukuru Mungu niliondokaga nyumbani nikiwa mdogo Sana...hii habari yakukaa nyumbani mpaka Unaota ndevu ndo mazara yake haya...poleni jamani.

  • @salamamango520
    @salamamango520 18 นาทีที่ผ่านมา

    Mali,mke,na watoto wenu ni mtihani kwenu jihadharini...poleni.allah ailaze roho ya marehemu mahali pema

  • @ShabaniSudi-d1x
    @ShabaniSudi-d1x 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Innalillahi wainna illahi rajiuni. Mungu amesema watoto ni fitina,Mali ni fitina. Hiki kizazi kipya kinaelekea wapi jamani? Kuomba hela Kuna mawili upewe ama usipewe!! Ikithibitika ni yeye hatua Kali zichukuliwe ili iwe fundisho kwa watoto wengine.

  • @josephkulija293
    @josephkulija293 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hiki ni kizazi chenye laana, watu tumrejee Mungu kwenye maombi sana. Mtu ambaye hajapata mtoto anamlilia Mungu ampe mtoto, na wengine wenye watoto wanajuta kuzaa.

  • @mnisi3694
    @mnisi3694 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    😢😢😢😢 hivi kweli mwanaume unaomba pesa kwa mzazi ukiwa nyumbani kwenu

  • @khalifa_mkakile
    @khalifa_mkakile 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Mali na watoto ni mitihani ya dunia uwe hai au umekufa

  • @Ajijji12
    @Ajijji12 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +9

    Ewe mola wetu angalia vizazi vyetu wajaalie hekma na upendo kwa wazazi wao

    • @khadijaamur6032
      @khadijaamur6032 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Allahumma Aamiin

  • @hildajoel5
    @hildajoel5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Jaman jamani kwani tumekuaje siku hizi
    Watoto tunaua wazai eti hajakupa hela😢😢😢

  • @Rich-wo
    @Rich-wo 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Tujifunze kuwaombea watoto wetu..adui anawatumia sn

    • @SaidIssa-tq3yv
      @SaidIssa-tq3yv 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Hakika brother, tuwaombee sana vijana wetu , greetings from Zanzibar.

  • @EmmanuelNdahya
    @EmmanuelNdahya 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    😢😢😢

  • @MsAisha-w4o
    @MsAisha-w4o 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Innaalillah wainna ilayh Rajiuun... huyo mtoto kitamramba muda si mrefu weh damu haina masihara.

  • @Jayhood28
    @Jayhood28 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Uchunguzi makini unahitajika sana..Mungu Amrehem.

  • @IdrisaTuppa
    @IdrisaTuppa 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Anyongwe Tu Hana Maana. Fala Uyo Unamuuwa Baba Ako.

  • @twiseghekisilu8845
    @twiseghekisilu8845 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wanandoa kutengana pia chanzo cha matatizo ya familia,Mungu tusaidie.

  • @SaumuSaidi-z2v
    @SaumuSaidi-z2v 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mh nakumbuka yule mtoto aliyemuuwa mama ake akamweka kwny chemba ya choo arsha na kesi imeisha hivyohivyo

  • @narutonaruto4303
    @narutonaruto4303 10 นาทีที่ผ่านมา

    Subhannallh 😢😢😢😢😢😢

  • @dayana5513story
    @dayana5513story 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +17

    Mbele yetu nyuma yake 💔😢kuzaa si kupata

    • @MaryNdondole
      @MaryNdondole 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Mtoto unamzaa akuja kukuuwa ..mungu atusaidie vizazi vyetu..shetan anat3ka ufahamu wao

    • @mwawekomiuda9779
      @mwawekomiuda9779 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Mbele yake yaani ametangulia nyuma yetu sisi tunafuata.

    • @hanifa9153
      @hanifa9153 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      💔😭😭😭

    • @nancyg8664
      @nancyg8664 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      mbele yetu tena😢

  • @janefrolakalinga5664
    @janefrolakalinga5664 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Polen sn ndugu, jamaa, na marafiki hasa familiya ya marehem

  • @angellomarcel5677
    @angellomarcel5677 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    ..bangi na Boda Boda aseee..? Huyu Bwege auawe ndo kauwa Mzazi wake.

  • @maryamkokani4683
    @maryamkokani4683 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Wamepoteza baba na mwana..very sad indeed

  • @Ahmed_0502
    @Ahmed_0502 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Inalillah waina lillah raji’un pumzika kww amani Sir 🥲

  • @Latifa123Latifa12
    @Latifa123Latifa12 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kumbe mgojowa jamani

  • @reubenalfred9707
    @reubenalfred9707 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Mwalimu wangu Kibaha Secondary School. RIP Mwalimu Majala

    • @fuled6358
      @fuled6358 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Teacher wa namba, Mwanamichezo

  • @Shekhahamed-v2f
    @Shekhahamed-v2f 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Innalilah wainsilah rajuuni

  • @masagabulemela3228
    @masagabulemela3228 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Unakuta kuna mtu alikuwa anamtafuta siku nyingi kaamua kupita na upepo wa dogo😢

    • @ConstanciaShangali
      @ConstanciaShangali 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Hata mimi nawaza ivo ivo.. msikilize vizuri Huyu dada..kupewa taarifa ya kifo.. Tayari keshaconclude kuwa alipigwa!! Mmmh alijuaje??? Hapa kuna dalili ya deal wabanwe wotee hao

    • @zaytounerzahran7553
      @zaytounerzahran7553 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Ni kweli ndio maana tunaambiwa tuchunge ndimi zetu,tuangalie tunayoongea

    • @aminasittusaid3830
      @aminasittusaid3830 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Inawezekana, lakini huyo mtoto wa 2 kasema kakake alikuwa akisema lazima atamua babake ndio maana wanaamini yeye ndo muuwaji. Mungu anajua zaidi.

  • @fatumaoseya9668
    @fatumaoseya9668 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Innalilah wainna ilayh rajiuuna...
    Chuki kutoka wamama jumlisha msongo wa mawazo ajali hewa ya petrol bangi

  • @Rehema-h6t
    @Rehema-h6t 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Subhananllah jaman dunia imeisha laaana sumakhaa weee na hauta iyona raha ya dunian 😢😢😮

  • @JoyceSamwel-f2s
    @JoyceSamwel-f2s 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Sasa kama huyo ni mtoto wa pili hilo toto la kwanza cni zee kabsaa lilishindwa vipi kutafuta pesa zake mpaka litake pesa ya baba ake jamani

  • @MariamKombo-s2v
    @MariamKombo-s2v 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Vijana fanyeni kazi acheni kuwa tegemezi. Ukiona babako anazo unabweteka.

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Innalillah wainnah Lillah rajuun hakika sisi ni WA m/mungu na kwake tutarejea 😢mtian sana

  • @aishaabdul9287
    @aishaabdul9287 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mzazi haui ila mtoto anaua mzazi wake yarrabby tujaalie viazi vyetu🙏🙏🙏

  • @namsifubwana2152
    @namsifubwana2152 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +7

    Tanzania pamekuwa mahali hatari pa kuishi jamani😢😢😢unatembea njiani unaona watu wa kawaida kumbe moyoni wamebeba mengi

    • @aminasittusaid3830
      @aminasittusaid3830 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kama Tz pamekuwa mahali hatari pa kuishi, je ni wapi ambapo ni mahali salama pa kuishi hapa duniani pasipo kuwa na matatizo ama mitihani yoyote?
      Tunachopaswa binadamu kufanya ni kumuomba Mungu atusamehe makosa(madhambi) yetu yote - tunayo yajua na tusiyo yajua, makubwa na madogo, ya zamani na ya sasa, ya kukusudia na ya kupitiwa bahati mbaya, ya siri na ya dhahiri. Na tuwaombee pumziko la amani wenzetu walotangulia mbele za haki, na sisi ambao bado tupo hai tujiombee mwisho mwema maana hata hatujui tutaondokaje hapa duniani. Hakika hakuna ajuae safari ya kurudi kwa Mungu wake itakuwaje.

  • @Jacklinejohn7
    @Jacklinejohn7 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wanaume wanabeba mambo mengi dana moyoni jamani😢😢😢😢😢😢😢daah

  • @itanzaniaAS
    @itanzaniaAS นาทีที่ผ่านมา

    Jinsi KULEA MTOTO KULIVYO KUGUMU,, UMLEE MTOTO AKUE ALAFU NDO AJE AKUUE?? 😢😢😢SAD. MZAZI AKIKUKWAZA ONDOKA ACHANA NAE.

  • @rukiaiddyyahaya9506
    @rukiaiddyyahaya9506 55 นาทีที่ผ่านมา

    😢😢😢Mungu wangu

  • @Raj-gs2oj
    @Raj-gs2oj 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Vijana tafuten pesa. Mtot wa kiume unamkazia mzee akupe pesa. PESA ya mzee sio yako

  • @ZainaRashid-t3m
    @ZainaRashid-t3m 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Inna lillah wainna ilayhi rajiuun

  • @SalamaNauthar
    @SalamaNauthar ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sub-hannallah!!'. Innalillaih wainnaillaih rajiuun😭😭😭

  • @GdFf-ik2eo
    @GdFf-ik2eo 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Inna lilahi waina ilayhi
    Rajiuun
    Vijana fanyeni kz
    Yaani mtt unakuwa adui kwa nzazi wako

  • @zuenajohn8325
    @zuenajohn8325 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Pumzika kwa Amani kaka yng, amakweli nimeamini maneno yasemayo mzazi hauwi mwana ila mwana anauwa mtoto.

  • @hellenmatemba5548
    @hellenmatemba5548 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Daaaah inaumiza sana jaman mtoto kumuua mzazi😓

  • @franciskasanga3491
    @franciskasanga3491 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nawapa pole wafiwa but tujifunze kitu mtoto akikua hatakiwi kukaa nyumbani kama amekua/amemaliza chuo mtafutie kitu akafanye, vinginevyo mara nyingi huwa wanaungana na mama yao kukuhujumu baba au watakuwa wanakuzingua mara kwa mara upate presha ufe au kukuua kabisa kama hivi. Muwezeshe akatafute maisha aje kusalimia tu utaishi maisha marefu sana na yenye furaha na mkeo.

    • @RoseMichael-oz7cy
      @RoseMichael-oz7cy 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Sio kila mtt anapata bahat ya kufika chuo wngine wakimaliza class 7 washaanza ununda sa unamfanyaje kijana wa miaka 12 au 13

  • @dicksonmatulile1523
    @dicksonmatulile1523 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Alikuwa mshikaji flani hivi hana makuu, RIP Mkuu

  • @mdubashella2913
    @mdubashella2913 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    😢😢😢 kweli kuzaa sio kupata

  • @SophiaKamgunda
    @SophiaKamgunda ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Jambo lakusktisha Mtoto wakuzaa anakupgia Yaarabbi tujalie Kizazi chetu knaelekea wapi

  • @bahatielias6443
    @bahatielias6443 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Aisee Mzee angejua Hilo bao angepiga nyeto tu ,

  • @ShafiiSoud-b3w
    @ShafiiSoud-b3w 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    kwan mwandishi lazim uulize vyumba, mambo mengin c lazima. si tunatak kujua tukio tu

  • @mamanabdoul4397
    @mamanabdoul4397 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Inna lillah wa inna ilayhi rajiun😭😭😭😭

  • @maryamsuleiman6340
    @maryamsuleiman6340 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Ewe Mungu wetu ,tuondoshee hili jinamizi lililoizunguuka Tanzania yetu ,kwanini mauwaji yameitanda Tanzania yetu , ninini? Tunasikitishwa kwakweli

  • @chomasongidion6047
    @chomasongidion6047 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nimeshindwa kusema

  • @MuniraYahaya-y9n
    @MuniraYahaya-y9n 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Innalilahi wainnailaihi lajiuun 😢😢😢😢

  • @magejuliani5293
    @magejuliani5293 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Dah! Wekeni picha yake huyu kijana watu tumjue vizuri tusijekutana nae mitaa yetu! Apumzike kwa amani!

  • @FatmasaidhamesaHamesa
    @FatmasaidhamesaHamesa 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Eeeeh mungu tosamehe jamani 😢😢😢😢😢

  • @stellamwakatulile
    @stellamwakatulile 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mungu tusaidie yani kuua imekuwa kawaida sana

  • @annafrancis7313
    @annafrancis7313 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +6

    Mungu tusaidie kila cku TH-cam mauaji

    • @yhasintakalenyula970
      @yhasintakalenyula970 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kweli kabisa....Yaani hali inatisha.

    • @ZenaChuo
      @ZenaChuo 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Mtihani wallah

  • @sancriffinvestment
    @sancriffinvestment 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Rest in peace Learned Advocate Majala