Zogo Mchongo S2EP4 (Sehemu ya 1): Eti ni kweli Ali Kamwe na Ahmed Ally haziivi!

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ก.ย. 2024
  • Soka la Tanzania limekuwa ni ushabiki tu, vipi kuhusu uchumi na kuongeza thamani kwenye vilabu na kwa mashabiki?
    Kwenye Episode hii ya nne ya Zogo Mchongo tutakuwa na wasemaji mashuhuri kutoka timu kubwa za mpira nchini, Ali Kamwe kutoka Yanga na Ahmed Ally kutoka Simba. Kupitia wao tutajua mbivu na mbichi kuhusu maisha yao binafsi, kazi zao na anga la soka la bongo, lakini pia tutapata ufumbuzi kutoka Benki ya CRDB juu njia ya vilabu kunufaika na mashabiki pia kunufaika
    Usikose kutazama Zogo Mchongo kila siku ya Jumanne saa 3:00 Usiku kupitia Clouds TV na marudio ni kila Jumatano saa 8:30 mchana na Jumamosi saa 9:00 mchana na hapa hapa kwenye chaneli yetu ya TH-cam.

ความคิดเห็น • 126

  • @MeshaShoo
    @MeshaShoo หลายเดือนก่อน +34

    Hiii ndo maana halisi ya utani wa jadi hongereni sana sana

    • @JoshuazNgoir-e2x
      @JoshuazNgoir-e2x 25 วันที่ผ่านมา +1

      Hawa Leo wamenichrkesha sana😂😂

  • @HusnaNjoka
    @HusnaNjoka หลายเดือนก่อน +13

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤simba na semaji lake I love bila kusahau kwa mtan Ali kamwe

  • @Sumaiyafisoo
    @Sumaiyafisoo หลายเดือนก่อน +24

    Yanga Ali kamwe 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @MarckyCholla
    @MarckyCholla หลายเดือนก่อน +14

    Nawakubali sana mko vizuri mno.kamwe huyo manara akacheze na wajukuu

  • @dsmtourssafaris
    @dsmtourssafaris 15 วันที่ผ่านมา +1

    mi nawapenda sana hawa watu wakiwa wanaongea pamoja huwa na enjoy saanaaaa mungu awasimamie maashaallah🙏🙏

  • @user-ql2hc7zt6b
    @user-ql2hc7zt6b หลายเดือนก่อน +18

    Wasemaji bora muda wote

  • @VicysebaNyambeta
    @VicysebaNyambeta หลายเดือนก่อน +33

    Nimecheka sanaa jamaniii, nyie mashabiki maandaz mnaofikiria mpira ni uadui mjifunze hapa na hii ndiyo maana halisi ya utan wa jad.

  • @kolosii4351
    @kolosii4351 หลายเดือนก่อน +9

    Nimewapenda wanahabari wetu wote wawili. Wanapendana sana.

  • @danielayubu
    @danielayubu หลายเดือนก่อน +9

    Nimeipenda hii ngoma ya watani wajadi kalibuni tena alikamwe

  • @BigZhumbe
    @BigZhumbe 27 วันที่ผ่านมา +2

    Ahmed Ali semaji la dunia ndio mwalimu wa Ali Komwe, anamu inspire na kumfundisha kazi. Sema hakuna ugomvi, utani sio vita. Let's GO SIMBA na YANGA 🎉🎉🎉🎉

  • @PanchoValentino-wh7wt
    @PanchoValentino-wh7wt หลายเดือนก่อน +13

    Familiar Mmetisha Sana

  • @user-pp7im3us3v
    @user-pp7im3us3v หลายเดือนก่อน +49

    NAOMBENI LIKE ZA ALIKAMWE WANANCHI 💚 💛

  • @ahmedhussein8553
    @ahmedhussein8553 29 วันที่ผ่านมา +5

    A love you AHMED ally

  • @emmanuelkarwana4506
    @emmanuelkarwana4506 หลายเดือนก่อน +7

    Mungu awape nguvu musaidiye inchi I'm Congolese but I love tanzania 🇹🇿 I'm living now in Canada but I'm yanga

  • @GraceJohn-m4z
    @GraceJohn-m4z หลายเดือนก่อน +5

    Daaaaah😂😂😂 Nimecheka sana!!
    "Eti kwa akili zako na hii timu mnaendana🤣🤣🤣

    • @RabiaWahadh
      @RabiaWahadh หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂😂

  • @ifmknowledgepower7333
    @ifmknowledgepower7333 หลายเดือนก่อน +5

    Hawa watu ni pacha wasiofanana 😂😂. Ni kidole na kucha, kwenye usirious wao wanashauriana mambo ya maana 🎉🎉

  • @mbaruksaid5775
    @mbaruksaid5775 หลายเดือนก่อน +8

    Ahmed ali makof👏👏👏👏kidogo simba🦁

  • @NelbatKasekwa
    @NelbatKasekwa หลายเดือนก่อน +8

    Nawakubali wote mnafanya kazi mzuri saana

  • @flova7022
    @flova7022 หลายเดือนก่อน +4

    Manara plz waache hawa vijana.. wanaliweza taifa

  • @daisyurassa6581
    @daisyurassa6581 หลายเดือนก่อน +3

    Nawapenda wasemaji, mpo vizuri, Hii ndio inavtotakiwa.

  • @Sumaiyafisoo
    @Sumaiyafisoo หลายเดือนก่อน +8

    Familia yanga 🎉🎉🎉🎉

  • @DrMbonea
    @DrMbonea หลายเดือนก่อน +11

    Kama kuna kitu na penda ni kuona Ahmed Ally na Ally Kamwe wakiwa interview moja
    Ni burudani 😂😂😂

  • @KS-iw7qv
    @KS-iw7qv หลายเดือนก่อน +10

    Ati ulifanya shughuli gani msimu ulopita ilokuchosha msimu ulopita......

  • @hanceraphael5455
    @hanceraphael5455 หลายเดือนก่อน +3

    So fantastic

  • @ashuramhandoashuramhando6798
    @ashuramhandoashuramhando6798 หลายเดือนก่อน +4

    Kamwe Umeuwa ❤

  • @LeyvanaPeter
    @LeyvanaPeter หลายเดือนก่อน +1

    Alikamwe jamani mi natamani nionane nawewe live maana Duuuh! Ni mtu wa watu ❤❤❤

  • @Sumaiyafisoo
    @Sumaiyafisoo หลายเดือนก่อน +9

    Ali kamwe 🎉🎉🎉🎉

  • @Sumaiyafisoo
    @Sumaiyafisoo หลายเดือนก่อน +8

    Alikamwe 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @habibaIddi-h1p
    @habibaIddi-h1p หลายเดือนก่อน +10

    Yaaan me nilikua naserch kila siku siipat

  • @SYLVESTERCHAMBO
    @SYLVESTERCHAMBO 29 วันที่ผ่านมา +2

    Nakubali sana zogo

  • @erickshayo5904
    @erickshayo5904 หลายเดือนก่อน +3

    Sasa ndo mvae sare jamani 😂😂❤❤❤❤

  • @VeredianaKalembi-gs4vs
    @VeredianaKalembi-gs4vs หลายเดือนก่อน +1

    Jamani inapendeza sana tujifunze sana mashabiki

  • @user-jw7pw4jy5f
    @user-jw7pw4jy5f หลายเดือนก่อน +3

    Nzuri sana hii😍😍👌

  • @mimihuyo8239
    @mimihuyo8239 29 วันที่ผ่านมา +2

    Ahmed ana akili sana hata ujibuji wake wa maswali yupo very smart

  • @emmanuelmayunga1518
    @emmanuelmayunga1518 หลายเดือนก่อน +4

    😂😂😂hawa vijana wapuuzi kwel

  • @ShughuliSalim-gp8gh
    @ShughuliSalim-gp8gh หลายเดือนก่อน +7

    Stori yako ya kusoma ilikuwa fupi sana😂😂😂

  • @mosessarya2174
    @mosessarya2174 หลายเดือนก่อน +4

    😂😂😂 ila kamwe anamueza sana ahmed

  • @ntibashimadicksonmathiasna2915
    @ntibashimadicksonmathiasna2915 29 วันที่ผ่านมา +1

    Nimewapenda sana vzr😂😂😂

  • @newgeneration9524
    @newgeneration9524 หลายเดือนก่อน +4

    Kipindi kizuri sana

  • @hamiesuhail9146
    @hamiesuhail9146 หลายเดือนก่อน +15

    😂😂😂nilikua naisubiri sana hii mbona mmechelewa

    • @annalubango9899
      @annalubango9899 หลายเดือนก่อน +1

      Ysani wamechelewa kweli

  • @KidotiTwiga
    @KidotiTwiga 29 วันที่ผ่านมา +1

    Hadi raha❤️

  • @khadijaselemani2185
    @khadijaselemani2185 หลายเดือนก่อน +1

    Nimewapenda sana,

  • @OmaryDizange
    @OmaryDizange 27 วันที่ผ่านมา +2

    Mimi ni mzaliwa wa mtwara lakini nimezaliwa Shinyanga
    how?👆😮

  • @RayNittu
    @RayNittu หลายเดือนก่อน +3

    Hawa jamaa ni comedian sana

  • @DennisFandi
    @DennisFandi 27 วันที่ผ่านมา +2

    Mpira ndio unatakiwa uwe hivyo mm ni simba ila yanga mwacheni Ali kamwe msikubali akaingia manara atahamasisha chuki kwa mashabiki, ona vijana upendo unaonekana umetawala sio maigizo

  • @yasrikomba7874
    @yasrikomba7874 หลายเดือนก่อน +3

    😂😂😂😂😂nimecheka sana

  • @patrickkaite3822
    @patrickkaite3822 หลายเดือนก่อน +2

    Nimezipenda SASA hapo manyara unamuweka wp

  • @shadiabalekao899
    @shadiabalekao899 หลายเดือนก่อน +3

    Ahmed ni mmoja tu

  • @avithamosi2061
    @avithamosi2061 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂this was so much interesting…..big up kwa kipindi

  • @Adventzambery2311
    @Adventzambery2311 หลายเดือนก่อน +3

    💚💛💚💛

  • @ClaraNsalanga
    @ClaraNsalanga หลายเดือนก่อน +1

    Saf sana

  • @JUU-lw2je
    @JUU-lw2je หลายเดือนก่อน +6

    😂😂😂😂😂 Ali kamwe wewe mchekeshaji eti timu inafanana na wewe

  • @hafidhmohd8696
    @hafidhmohd8696 หลายเดือนก่อน +2

    naona munapost kidg kidg weka mzigo wote

  • @kizakizapetro6205
    @kizakizapetro6205 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi niko apa South Africa ,kweli awa watu wa wili wananifanya nuwe nafatilia hichi kipindi

  • @FrankoAbel
    @FrankoAbel หลายเดือนก่อน +5

    Ila Ahmed mbon Kam wanakuonea

  • @NLCG100
    @NLCG100 หลายเดือนก่อน +1

    Hawa ndio wasemaji bora

  • @juliusgeorge1381
    @juliusgeorge1381 หลายเดือนก่อน +2

    🎉🎉🎉

  • @user-vf5pp2wn1f
    @user-vf5pp2wn1f หลายเดือนก่อน +2

    Mko vizuli san jmn

  • @danielmllay8332
    @danielmllay8332 หลายเดือนก่อน +4

    😅😅😅😅😊 ila ali kamwe

  • @williamdungumaro6668
    @williamdungumaro6668 20 วันที่ผ่านมา

    Et kwa akil zako na hii tim mnaendana

  • @ibrahimpengele6362
    @ibrahimpengele6362 หลายเดือนก่อน +1

    Kipindi kinafundisha pia kinafurahisha😂

  • @eliasthomas1547
    @eliasthomas1547 หลายเดือนก่อน +2

    Ally kamwe unafurahisha.

  • @IsaiahAndrew
    @IsaiahAndrew 10 วันที่ผ่านมา

    HIKI KIDOGO KWA UBAYA😂

  • @farajibuteta6258
    @farajibuteta6258 29 วันที่ผ่านมา

    you guys mko vzur sio yule zeruzeru kila kitu kwake ugomvi

  • @SaumAsha
    @SaumAsha หลายเดือนก่อน +1

    Mepagana kuvaa blue nyote

  • @pendaelmollel1847
    @pendaelmollel1847 หลายเดือนก่อน +1

    Kamwe anakabia juu

  • @SaidAdam-my5ru
    @SaidAdam-my5ru 26 วันที่ผ่านมา

    Wasemaji

  • @kolosii4351
    @kolosii4351 หลายเดือนก่อน +2

    Mzaliwa wa mtwara ila nimezaliwa shinyanga.

    • @rizikiabdalla2501
      @rizikiabdalla2501 หลายเดือนก่อน

      Asiliyake ni mtwarabila wakati wanazaliwa wazazi wake walikuwa mtwara

    • @rizikiabdalla2501
      @rizikiabdalla2501 หลายเดือนก่อน

      Walikuwa shinyangaaa

    • @sufibinshihab1275
      @sufibinshihab1275 29 วันที่ผ่านมา

      Kiswahili icho wazee wake apo

    • @latifahkambi453
      @latifahkambi453 29 วันที่ผ่านมา +1

      I think ni mmakonde but kazaliwa shinyanga

  • @Sumaiyafisoo
    @Sumaiyafisoo หลายเดือนก่อน +3

    Crdb bank

  • @sabtinaramadhani5413
    @sabtinaramadhani5413 29 วันที่ผ่านมา

    ❤❤

  • @jamesmwakila5866
    @jamesmwakila5866 หลายเดือนก่อน +1

    😁😁😁😁daaahh

  • @greennationmedia7987
    @greennationmedia7987 หลายเดือนก่อน +2

    Hahahahahahahahahaha😂😂😂😂 Kweli Hii Familia Nawapenda Mabro MUNGU Awatunze Kweli Mpira Sio Magomvi ni UPENDO

  • @augustinejr25
    @augustinejr25 28 วันที่ผ่านมา

    Ahmed ally asipokuwa na simba yuko poa sana nimejua leo

  • @davidmalila9221
    @davidmalila9221 หลายเดือนก่อน +1

    Ahmed Ally kuzaliwa kwako hatujaeleawa hapo

  • @hassanlukope133
    @hassanlukope133 หลายเดือนก่อน +1

    🎉🎉🎉🎉❤

  • @hemedjackson2261
    @hemedjackson2261 10 วันที่ผ่านมา

    Ahmed hana maneno 10 atakayozungumz asichekesh

  • @PeterMaguta-pv3wr
    @PeterMaguta-pv3wr 29 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂😂😂😂 ndy mvae suruali znazofanana

  • @EMAPLUSTV
    @EMAPLUSTV หลายเดือนก่อน +3

    AHMED LEO MBONA KAMA UMEPOA 😂

    • @mariahshechambo4034
      @mariahshechambo4034 หลายเดือนก่อน

      Kazidiwa akili ujue😂😂😂😂

    • @EMAPLUSTV
      @EMAPLUSTV หลายเดือนก่อน

      @@mariahshechambo4034 Usiseme hivo bas😂😂

  • @habsammussa8176
    @habsammussa8176 28 วันที่ผ่านมา

    Huyu mdada ni Lulu au macho yangu

  • @luluray2115
    @luluray2115 21 วันที่ผ่านมา

    Hakuna interview yao imewai kuchukiza

  • @ilomogold1715
    @ilomogold1715 21 วันที่ผ่านมา

    Huyu adam mzima kweli😢😢

  • @yugemasanza1008
    @yugemasanza1008 หลายเดือนก่อน

    Hongereni

  • @bashirukajembe4165
    @bashirukajembe4165 หลายเดือนก่อน +1

    Irudiwe kila mwezi

  • @RamlaIssa
    @RamlaIssa 29 วันที่ผ่านมา

    Alliy kamwe wananchi tunakuamini

  • @MomadeMudimoz70-cs2ud
    @MomadeMudimoz70-cs2ud 22 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂😂😂😂

  • @HawaKusaga-x8r
    @HawaKusaga-x8r 26 วันที่ผ่านมา

    Kweli zogo

  • @badendavid8456
    @badendavid8456 27 วันที่ผ่านมา

    Tofari za ofisi vipi ?

  • @hassanlukope133
    @hassanlukope133 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂😂😂🎉

  • @AndresBALYAKAIJUKA
    @AndresBALYAKAIJUKA 27 วันที่ผ่านมา

    What next

  • @dhunthegun
    @dhunthegun หลายเดือนก่อน +1

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @jacquelinegaudence8756
    @jacquelinegaudence8756 28 วันที่ผ่านมา

    Ni washkaj tang wakiwa wadogo ndy mana ata wakikutana ni furaha t

  • @gabrielmnangala7822
    @gabrielmnangala7822 24 วันที่ผ่านมา

    Ka Lulu kazur jmn

  • @user-hy4zb3eg1z
    @user-hy4zb3eg1z 29 วันที่ผ่านมา

    kama Mungu na Shetan zaman walikuwa wanaongea

  • @shabanimnahanjer7643
    @shabanimnahanjer7643 16 วันที่ผ่านมา

    kwann mvae surual sale

  • @PeterMaguta-pv3wr
    @PeterMaguta-pv3wr 29 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @janethelly4986
    @janethelly4986 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤🤍🤍🤍

  • @albanymalley1774
    @albanymalley1774 หลายเดือนก่อน +1

    😂

  • @Ibbz-sk3vv
    @Ibbz-sk3vv หลายเดือนก่อน +4

    semaj n m0ja tu, ahmed

  • @stanslaussilas3904
    @stanslaussilas3904 หลายเดือนก่อน +4

    Ahmed Ally ,,,mzaliwa wa Mtwara lakini umezaliwa Shinyanga ,,boss ulizaliwa Mara mbili au

    • @NailaMickey
      @NailaMickey 29 วันที่ผ่านมา

      Mzaliwa wa mtwara amekulia shinyanga au mwenyeji wa shinyanga

    • @user-lw7kq1su4k
      @user-lw7kq1su4k 28 วันที่ผ่านมา

      Yaan kwao n mtwara ila amezaliwa shinyanga umeelewa dr😂

    • @furahachuma9039
      @furahachuma9039 26 วันที่ผ่านมา

      Amemaanisha asili ya baba yake

  • @ibrahimurichard377
    @ibrahimurichard377 25 วันที่ผ่านมา

    huyu mtangazaji wa kiume he sound feminine,its a turn off

    • @DanielleMendel-tt2ik
      @DanielleMendel-tt2ik 18 วันที่ผ่านมา

      sʜᴏɢᴀ ʜɪʟᴏ ᴋᴜᴍᴀᴍᴀᴋᴇ