KAMWE NA AHMED WAJA NA JAMBO LAO JIPYA/TAMBO ZA WACHEZAJI WAPYA/NANI MTATA ZAIDI?

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2024
  • Mafahari wawili Ahmed Ally na Ally Kamwe waja na jambo jipya mjini kupitia kampuni ya Rockmax international limited.
    Ambapo Leo Aug 20 wametangazwa rasmi kama Mabalozi wa Kampuni hiyo.
    Hapa wamepeana Tambo kuhusu Timu zao na kiasi cha Pesa wanacholipwa kwenye Ubalozi huo.

ความคิดเห็น • 110

  • @emmanuelsimpamba80
    @emmanuelsimpamba80 22 วันที่ผ่านมา +17

    Mungu Awabariki sana, wasemaji wa Timu zetu

  • @mpambanajitz7026
    @mpambanajitz7026 22 วันที่ผ่านมา +4

    Hii nimeipenda SANA
    JAMBO jema SANA wasemaji wa TIMU KUBWA KUWA pamoja.
    HONGERENI SANA 🙏🙏🙏

  • @hamzaabdallah8637
    @hamzaabdallah8637 22 วันที่ผ่านมา +9

    Hii ndo safi kabisa, msiamiji vilabu hivi kesho mnaweza mkatupwa nje, sasa hapa mnaanda kesho yenu ,pongezi kwenu tumieni utani wenu kujinufaisha maidha yenu.

    • @boscojulius532
      @boscojulius532 22 วันที่ผ่านมา

      Ni kweli kabisaaa kaka mkubwa

  • @hassanjemadari9881
    @hassanjemadari9881 22 วันที่ผ่านมา +13

    hii duo ndo inafaa zaidi kwenye utani wa simba na yanga, narudia hii duo, ondoa na ogopa matapeli wengine

  • @IbrahimRashidi-co8hf
    @IbrahimRashidi-co8hf 22 วันที่ผ่านมา +6

    Ukweli ndugu zangu nawakubali sana mnafanya poa sana mko wamoja mno

  • @Taito-brand
    @Taito-brand 22 วันที่ผ่านมา +12

    Combination yenu nzuri mnapambn hongereni?

  • @jensennashon6147
    @jensennashon6147 22 วันที่ผ่านมา +20

    😅😅😅mkiendelea kuwa wasemaji uadui wa Vilabu vikubwa kwa mashabiki ...utapotea jumla

  • @Heisbry_
    @Heisbry_ 22 วันที่ผ่านมา +20

    Hawa jamaaa wanapendana sana kama mwijaku na baba levo😅

  • @veelmng7746
    @veelmng7746 22 วันที่ผ่านมา +7

    mpu juu sana vijana. hongera sana

  • @AgnesJohn-f1r
    @AgnesJohn-f1r 22 วันที่ผ่านมา +15

    Safi sana vijana pigeni kazi ila angekuwepo Ashura cheupe hapo kingenuka

  • @LindaMbilinyi-n3n
    @LindaMbilinyi-n3n 22 วันที่ผ่านมา +13

    Ila Ahmed jmn😂😂😂😂sema nimewapenda sana co yule madonda mdomoni kila kitu kwake vita

    • @Rizikialiamechannel763
      @Rizikialiamechannel763 22 วันที่ผ่านมา +2

      Subhannallah 5:00

    • @victormkini2708
      @victormkini2708 22 วันที่ผ่านมา +2

      Neno baya sana hilo ulilotamka kwani hujafa hujaumbika ila kaa ukijua madonda hakuyaomba

  • @bashirukajembe4165
    @bashirukajembe4165 22 วันที่ผ่านมา +8

    Mm ni yanga ila ahmedi nakukubali hususani vichekesho nikiwa mawazi yanapoa

  • @edsonmalcel4478
    @edsonmalcel4478 22 วันที่ผ่านมา +2

    Oooooh wow,,, welcome mwanzaaa wasemajii ,,,, mwanzaaaa tupoo tumejaaaaa teleeee,,,, Wana rock city mikonooooo juuuu🤚🤚🤚👋🤚

  • @jensenjr88
    @jensenjr88 22 วันที่ผ่านมา +9

    Mnafaa kuwa comedian kabisa 😂😂

  • @chamimdesa148
    @chamimdesa148 22 วันที่ผ่านมา +8

    Ila hawa jamaa wapo vizuri sana

  • @philbertmyinga6344
    @philbertmyinga6344 22 วันที่ผ่านมา +7

    Hongereni kuwa pamoja

  • @malietamaliet
    @malietamaliet 22 วันที่ผ่านมา +14

    comedian ni comedian tu ata mumuweke wapi anataka achekeshe tu😂😂

    • @ByserMfaume
      @ByserMfaume 22 วันที่ผ่านมา

      @@malietamaliet 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @frankmlalila1705
      @frankmlalila1705 21 วันที่ผ่านมา +1

      😂😂😂😂😂

  • @christinaKufakulala
    @christinaKufakulala 22 วันที่ผ่านมา +12

    Ila nawapenda Sana Hawa vijana wanapambana Sana 😅

  • @DominicMakamba
    @DominicMakamba 20 วันที่ผ่านมา

    Mungu azid kuwatunza wasemaji mzidi kupendana utani ni uwanjani mkitoka maisha mengine yanaendelea

  • @edsonmalcel4478
    @edsonmalcel4478 22 วันที่ผ่านมา +1

    Nmeipendaaaa safi San this is football,,,, big up xn Kwa wasemajii,,,

  • @ZachariaPetro-gn8qc
    @ZachariaPetro-gn8qc 22 วันที่ผ่านมา +5

    Inshallah shukran kwenu Kila hatua dua

  • @AugustinoNgereja
    @AugustinoNgereja 21 วันที่ผ่านมา +1

    Huu ndio utani wa simba na yanga ulioletwa na kuasisiwa na wazee wetu. Jerry muro na haji manara ndio walileta haya maugomvi huwa yanaendeleaga. ila hawa ni utani mtupu big up sana

  • @abdulkanyika1293
    @abdulkanyika1293 21 วันที่ผ่านมา +1

    Nimecheka sana😂😂😂😂😂😂

  • @user-sd2zt6it7i
    @user-sd2zt6it7i 21 วันที่ผ่านมา +1

    Ila kuna watu vilaza mnawaambia yanga watafute msemaji mwingine kwa kipi alichofanya apo? Unategemea atakaa yanga milele ayo maisha nje ya yanga lzm wajiongeze

  • @christinaKufakulala
    @christinaKufakulala 22 วันที่ผ่านมา +7

    Ila nyie inabidi Mpenja uandae mpambano ambao utaisaidia jamii ilo pambano Liwe la ngumi wakutanishe Alikamwe na Ahmed Ally😂

  • @ByserMfaume
    @ByserMfaume 22 วันที่ผ่านมา +27

    Yani ahamed ally akiwa anaongea bas unakaa antetion tu kucheka uyu anaongea serious km yuko msibani😂😂😂😂😂

    • @gladnessmushi-ge6fd
      @gladnessmushi-ge6fd 22 วันที่ผ่านมา +9

      Unaleta ushabiki hadi huku? Ww unataka kucheka au kuelewa wanachoelewesha

    • @user-qs9gw7bd3v
      @user-qs9gw7bd3v 22 วันที่ผ่านมา +5

      ​@@gladnessmushi-ge6fdBora umwambie

    • @malietamaliet
      @malietamaliet 22 วันที่ผ่านมา +5

      yani mashabiki wa Simba mnataka tu mcheke cheke ata kama sio kitu yakuchekesha alikamwe ayupo hivo ni professional 👌uyu anakatisha mada anaweka jokes Ili mcheke

    • @Yuleyule-u6c
      @Yuleyule-u6c 22 วันที่ผ่านมา +1

      Wote wameongea vizuri tu.

    • @TeddyElisha
      @TeddyElisha 22 วันที่ผ่านมา +1

      Mbna kam na wew unaleta uyanga hap

  • @richlymo
    @richlymo 22 วันที่ผ่านมา +6

    Semaji la caf Amedy ally ❤❤❤❤😊

  • @experymassawe3521
    @experymassawe3521 22 วันที่ผ่านมา +2

    Good job boys❤

  • @user-ro7cs9yn5g
    @user-ro7cs9yn5g 22 วันที่ผ่านมา +5

    Hakunanga uadui wa yanga na Simba siku zote ni marafki ila biashara baba inaongea mashabiki tunapumbazwa ili tuendelee kuish hivyo na kuwaingizia pesa kwa kushindana kwetu

  • @PanchoValentino-wh7wt
    @PanchoValentino-wh7wt 22 วันที่ผ่านมา +2

    Godd boys 🔥💥💯

  • @BabMuniwe-pg7el
    @BabMuniwe-pg7el 22 วันที่ผ่านมา +9

    Hamna kitu hayo maputi yenu alli kamwe Rudi kwenye timu yanabanduka skimming nzuri ni stucco gundi ya cement Bora wallput decco plus minat decco hayo sio

    • @Yuleyule-u6c
      @Yuleyule-u6c 22 วันที่ผ่านมา +1

      😁🤣😁 Ww ni Muongo ujawai TUMIA hii au unataka na ww kufanya biashara ( matangazo)

  • @frankstarson2403
    @frankstarson2403 21 วันที่ผ่านมา

    nimeipenda sana hii, Upendo wa hali ya juu sana

  • @KiboJoseph-cc5eu
    @KiboJoseph-cc5eu 19 วันที่ผ่านมา

    rock max nitawaunga mkono wakati wafinishing ya ujenz wangu,

  • @user-jh3lv7ow5u
    @user-jh3lv7ow5u 22 วันที่ผ่านมา +2

    Awa jamaa wp vzr sana

  • @RwechungulaLeonidas
    @RwechungulaLeonidas 17 วันที่ผ่านมา

    Good talents

  • @Mumlion2624
    @Mumlion2624 22 วันที่ผ่านมา +2

    Raha sana nyie mnapendana nimechek jmn

  • @SamuelJoshua7
    @SamuelJoshua7 22 วันที่ผ่านมา +4

    Ila ahamedi comedy sana

  • @Hashimmadenge
    @Hashimmadenge 22 วันที่ผ่านมา +1

    Alikamwe 🎉

  • @BigZhumbe
    @BigZhumbe 22 วันที่ผ่านมา

    Wasemaji wa nguvu, good move 💪🏾💪🏾💪🏾💪🏾

  • @hemedjackson2261
    @hemedjackson2261 11 วันที่ผ่านมา

    Hawa madogo wak vzr san😂😂😂

  • @Sammy-x8w
    @Sammy-x8w 22 วันที่ผ่านมา +3

    Utani wa raha sana😂😂😂

  • @linnahcasmir5275
    @linnahcasmir5275 22 วันที่ผ่านมา

    Kamwe km kamwe💚💛 kichwa kilichotulia kwa madini

  • @Lo-33
    @Lo-33 22 วันที่ผ่านมา +2

    Mpaka nimecheka

  • @neohthug3108
    @neohthug3108 22 วันที่ผ่านมา

    Mtafika mbali sana mnapendana sana

  • @analisacecy
    @analisacecy 22 วันที่ผ่านมา +3

    Pwagu na pwaguzi

  • @Taito-brand
    @Taito-brand 22 วันที่ผ่านมา +4

    Nawish siku moja kukutan na mmoja kat yenu kupiga story mbili tatu

  • @rachelsamwel5359
    @rachelsamwel5359 22 วันที่ผ่านมา +2

    Kweli Ahmed ni Mr bin😂😂😂

  • @DevidAlex-g2l
    @DevidAlex-g2l 22 วันที่ผ่านมา +1

    So we'll see 👀

  • @kapondadr5840
    @kapondadr5840 22 วันที่ผ่านมา +3

    🔥🔥

  • @Abrahambarnaba
    @Abrahambarnaba 22 วันที่ผ่านมา

    Mependa sana hii

  • @pillynaya
    @pillynaya 22 วันที่ผ่านมา

    tunawapenda nyie ndo mmekuja kuufanya mpira ushabikiwe na kila jinsia Allah awabariki

  • @user-xi7fw3ej1n
    @user-xi7fw3ej1n 22 วันที่ผ่านมา

    Watafute msemaji mwingine wanini huyo nimsemaji halali nahayo nimaisha mengine umeambiwa watadumu milele kwenye hizo club.umecoment chini yakiwango.

  • @johnsonmpwepwa2348
    @johnsonmpwepwa2348 22 วันที่ผ่านมา +1

    😂😂😂 semaji

  • @NuhuLameck-r1g
    @NuhuLameck-r1g 22 วันที่ผ่านมา

    Hapana Ali kamwe tuachie timu
    Endelea na kazi ya balozi skill putty

  • @Mumlion2624
    @Mumlion2624 22 วันที่ผ่านมา +3

    Mashaallah

  • @Prince-rafael
    @Prince-rafael 21 วันที่ผ่านมา

    Hersi akiwa na interview nchi inatulia kumsikiliza kuliko hata rais wa nchi maana Kuna madini anatema ambayo yanatusaidia wengi ambao ata sio mashabiki wa mpira sio kma yule anaetutambulishia dada zake🤣🤣

  • @VeronicaNyondo
    @VeronicaNyondo 22 วันที่ผ่านมา

    Unaruhusiwa kuchekesha😂😂

  • @YussufMaliki-y9d
    @YussufMaliki-y9d 22 วันที่ผ่านมา +3

    😂😂😂😂

  • @kelvinefuronielisha4039
    @kelvinefuronielisha4039 22 วันที่ผ่านมา

    Yaaan hapo manarq roho inamchomoka

  • @DevidAlex-g2l
    @DevidAlex-g2l 22 วันที่ผ่านมา +1

    Kw nn watafut msemaj

  • @AdrianAdrea-by8pn
    @AdrianAdrea-by8pn 22 วันที่ผ่านมา

    Huku mikoani lini haijafika!!

  • @MAGOHABENEDICTOTv
    @MAGOHABENEDICTOTv 22 วันที่ผ่านมา +4

    Uyu mbwa armedy ally afanye mazoezi pumzi Hana anahema sana😅😅

    • @AdamMbwana-p6n
      @AdamMbwana-p6n 22 วันที่ผ่านมา +6

      Unapt nguvu wap mtu kumwita mbwa

    • @Haruni-e4d
      @Haruni-e4d 22 วันที่ผ่านมา

      ​@@AdamMbwana-p6nHizi ni chuki binafsi..mwache

    • @Mumlion2624
      @Mumlion2624 22 วันที่ผ่านมา +3

      Looh huna haya ww

    • @victormkini2708
      @victormkini2708 22 วันที่ผ่านมา

      Jamani tumieni lugha za staa Mbwa hapa anaingiaje?

    • @marystambuli8045
      @marystambuli8045 22 วันที่ผ่านมา

      Hiyo ni tabia Yako kutukana. Sasa hapo kakosa nn? Una matatizo ww

  • @paulwalker4383
    @paulwalker4383 22 วันที่ผ่านมา

    Yani ahamed ally amekea kuchekesha kila sehem

    • @ibrahimufande
      @ibrahimufande 22 วันที่ผ่านมา

      Nawaza alikuwa anajivumilia sana kipindi yuko azam tv

  • @manyotanyanguleti2058
    @manyotanyanguleti2058 22 วันที่ผ่านมา

    Ali kamwe usijiingize mtegoni mumeacha usemaji wa mpira achana na muhamedi

  • @NuhuLameck-r1g
    @NuhuLameck-r1g 22 วันที่ผ่านมา

    Narudia Ali kamwe tuachie yanga yetu
    Utavujisha Siri zetu

    • @HusseinMrisho-cu9rf
      @HusseinMrisho-cu9rf 22 วันที่ผ่านมา +3

      Nyie ndo wachawi wa maendeleo ya wat we umeona ametoa sili jitahidi kukunjua roho maisha ayataki usiliaz ww yanga wanakujua au we ndo unaifaham 😮😮😂

    • @PanchoValentino-wh7wt
      @PanchoValentino-wh7wt 22 วันที่ผ่านมา +2

      TIMU Yako ipi iyoo tumia Akili boy

    • @nzalionlinetv7728
      @nzalionlinetv7728 22 วันที่ผ่านมา +1

      We una timu ganii msee kwel

    • @mariahshechambo4034
      @mariahshechambo4034 21 วันที่ผ่านมา +1

      We una timu nan anakujua

  • @mustaphasegeja1712
    @mustaphasegeja1712 22 วันที่ผ่านมา +2

    Yanga tafuteni msemaji mpya

  • @SaidMayona-t9r
    @SaidMayona-t9r 22 วันที่ผ่านมา +4

    🔥🔥🔥🔥