TANROADS YATOA UFAFANUZI KUHARIBIKA KWA BARABARA YA KIGOMA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ก.ย. 2024
  • Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) umeeleza kuwa uchunguzi wa awali unaonesha uharibifu wa barabara eneo la Busunzu kwenye barabara kuu ya Kigoma-Mwanza umetokana na mabadiliko ya kimazingira (Geo-Environmental).
    Akitoa ufafanuzi wa suala hilo, Meneja wa TANROADS Mkoa wa Kigoma, Mhandisi Narcis Choma amesema eneo hilo liko kwenye mradi wa barabara ya Mvugwe hadi Nduta Jct yenye urefu wa kilometa 59.35 na taarifa za kuonesha nyufa walizipokea tangu Februari 24 mwaka huu.

ความคิดเห็น • 2

  • @agreyaloyce432
    @agreyaloyce432 5 หลายเดือนก่อน

    Bhana ee watu wa maabara wa kazi gani mzee hapo ni watu wa geology kuchunguza nature ya aridhi sehemu hizo

  • @matukutajuma156
    @matukutajuma156 5 หลายเดือนก่อน

    ENGINEER KUNA SIASA HIVO UNAPO ONGELEA JAMBO ZITO FAFANUA MAELEZO YOTE KWA KISWAHILI ILI KUONDOA TAFLANI! ASANTE