WAZIRI SILAA AWASIMAMISHA KAZI MAAFISA WIZARA ya ARDHI MUME na MKE MWANZA....

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ก.ย. 2024
  • WAZIRI SILAA AWASIMAMISHA KAZI MAAFISA WIZARA ya ARDHI MUME NA MKE MWANZA....
    CHOTA MAPENE ndiyo mchongo mpya town! Kwa shilingi 1,000 tu, yaani BUKU unajichotea mapene kibao au kupata nafasi ya kujishindia ZAWADI MBALIMBALI KILA SIKU, KILA WIKI kupitia Global TV, Global Radio na mitandao ya kijamii!
    ========================
    Ingia kwenye simu yako📲, sehemu ya kufanyia malipo, andika namba ya kampuni 553111, kumbukumbu namba 255 au andika neno GLOBAL. Weka kiasi cha shilingi 1,000, weka namba yako ya siri, thibitisha na tuma.👍 PESA UTATUMIWA MOJA KWA MOJA KWENYE SIMU YAKO!🤝👍💰
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

ความคิดเห็น • 29

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  8 หลายเดือนก่อน

    JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==> whatsapp.com/channel/0029Va7u...

  • @wilfredmaimu1958
    @wilfredmaimu1958 8 หลายเดือนก่อน +4

    Waziri unapiga kazi sana mungu akulinde mkuu tetea wanyonge

  • @priscangimba6194
    @priscangimba6194 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu aendelee kukubariki. Kutetea wanyonge pia tunamwombea na mkeo azid kukupa furaha ili uendelee kupiga kazi

  • @ashangonyani7989
    @ashangonyani7989 6 หลายเดือนก่อน +3

    Kwa Mara ya kwanza Tanzania imempata waziri wa Ardhi. Mama Samia oyeeee!

  • @shantungamaumba7159
    @shantungamaumba7159 8 หลายเดือนก่อน +2

    Big up Minister

  • @AleiHadji-js3ed
    @AleiHadji-js3ed 8 หลายเดือนก่อน +4

    Jerry Unapiga Kazi Brother

  • @kilogreekachananawatuwasio4054
    @kilogreekachananawatuwasio4054 6 หลายเดือนก่อน +2

    Katika viongozi wanapiga kazi wewe na makonda mnamuakilizha mama samia vyema matajiri chiki na vyama vya upinzani kwenu kazi hiendele ☝️🤲🙏🙏🙏👍🇹🇿

  • @Mateen7912
    @Mateen7912 3 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana

  • @mayaally2512
    @mayaally2512 8 หลายเดือนก่อน +3

    Safari hii nchi imepata Waziri wa Ardhi

  • @BJMKANGALA1
    @BJMKANGALA1 8 หลายเดือนก่อน +2

    Mkuu piga kazi. Barikiwa!

  • @ismailmshana2828
    @ismailmshana2828 6 หลายเดือนก่อน +1

    Tanzania imepata kiongozi unafaa kuwa waziri mkuu

  • @NardhisMhagama-sy3eq
    @NardhisMhagama-sy3eq 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mama Samia alimchungulia lukuvi akamshitukia

  • @evampuya-mp9vf
    @evampuya-mp9vf 5 หลายเดือนก่อน

    Mheshimiwa hatuna hati na tulishalipa miaka 5 iliyopita huku ilemela tusaidie mheshimiwa waziri

  • @benedictmrisho1800
    @benedictmrisho1800 8 หลายเดือนก่อน +1

    Bila malengo utendaji utakuwa mgumu.

  • @abdull_hafidh
    @abdull_hafidh 8 หลายเดือนก่อน +1

    SAFI SANA HUKU KWETU ZANZIBAR TUNGELIPATA VIONGOZ WAZALENDO KAMA HAWA TUNGELIFIKA MBALI SANA

    • @jedidahbintidaudi8241
      @jedidahbintidaudi8241 2 หลายเดือนก่อน

      mbona sie twasikia Zbar hakuna dhuluma, mawaziri wanahofu sana ya Mungu pia Rais wenu ndio mwelelevu na anapigania haki kweli..huku bara watu wengi husema hivo kaka yetu mwema. iweje ww useme vengine? tufungue kaka yetu basi tuelewe sie dada zako

  • @jacksonsawe2301
    @jacksonsawe2301 8 หลายเดือนก่อน

    Njoo Ndachi Dodoma uone walivyomega

  • @benedictmrisho1800
    @benedictmrisho1800 8 หลายเดือนก่อน

    Mh waziri wasaidie wananchi wa Mwanza waliolipa pesa za upimaji shirikishi hawajapatiwa hati wala namba zaidi ya miaka 5. Ushaidi ni bank pay in slip na bank statements za hayo makampuni yaliyoshiriki upimaji shirikishi. Mh Waziri utakumbuka Mwanza ilipewa kipaumbele na RIP Mh Magu.

  • @user-oh6pc7zd4s
    @user-oh6pc7zd4s 6 หลายเดือนก่อน

    FIDDA HUSSEIN NO MWIZI EA ARDHI ZAWATU

  • @benedictmrisho1800
    @benedictmrisho1800 8 หลายเดือนก่อน

    Ubabe umezidi mno. Yaani govt inakosa mapato mengi ya ardhi ama kucheleweshewa mapato kutokana na ubabe ubabe tuu wa badhi ya watendaji. Wengine hata sheria za ardhi hawazijui vizuri na hata hawanazo mezani kama kitendea kazi. Hawaonezhi wateja sheria hizo. Mh famya transaction aging kubaini wababe.

  • @benedictmrisho1800
    @benedictmrisho1800 8 หลายเดือนก่อน

    Mkataba wa huduma kwa wateja ardhi na halmazhauri muhimu kuanzishwa . Je kupata hati kunaitajika kumbukumbu zipi na procedures ni zipi na zikishakamilika kwa nini mteja asipewe hati. Muda uwe spscific. Mteja anajibiwa kwa mameno tuu bila andiko ama kusainishwa popote. Hivi utendaji wa leo nimehudumia watu wangapi ardhi na halmashauri wanapimwaje ikiwa hata pa kusaini kuwa umehudumiwa ama la hakuna pa kuandika? Wapewe malengo ya siku, wiki, mwezi na mwaka idadi za hati za kutolewa.

  • @usafiaps318
    @usafiaps318 8 หลายเดือนก่อน

    Hekima Yako Waziri Ni Kweli Tajk Yako Utakpata.

  • @MichaelKidiki
    @MichaelKidiki 8 หลายเดือนก่อน

    Kiongozi kumbuka na jimboni kwako jitahidi uweke alama ili wanainchi walio kuchagua mpaka umefika hapo waje wakukumbuke

  • @opportunities2767
    @opportunities2767 8 หลายเดือนก่อน

    Yani Idara ya Ardhi ina matatizo sana na hii kazi walipaswa kusolve hao hao watimishi wa chini , lakini anafanya Waziri

  • @ClalenceMtewele-ke1hq
    @ClalenceMtewele-ke1hq 8 หลายเดือนก่อน

    Hili lakwetu daaaa wanging'ombe na makete

  • @loishiyesamwel1374
    @loishiyesamwel1374 8 หลายเดือนก่อน

    Piga kazi Waziri,Wizara hii ina Mambo mengi ya Uonevu Kumbuka hawa wanaojiita Warasimishaji wa Ardhi.

  • @samwelidomayo6195
    @samwelidomayo6195 5 หลายเดือนก่อน +1

    Ange kua na magu rahasana

  • @abdulkarimabdallah9536
    @abdulkarimabdallah9536 8 หลายเดือนก่อน

    M