Gb64 apo kwachama nd umeyumba Mzee ifike mahali utawala wachama uishe Mzee wetu Simba tunaweza fka mbali lkn kla mwaka tukiwndelea kumlilia sjui lkn kla mtu namawazo yake
simba tuachee mapenzii yakisengee kwanii chama yeye ndy mchezajii mkubwaa too,,,,,waliondkaa wakina ronaldoo lakni saiv tuna V JR madrid yamotoo saivvv,,,,Bwana weee aendeee tyuuu hana ishuuu
WE NANI BHANA,NENDA ZAKO HUKO; WEWE SIYO MWANA SIMBA KUMBE UNAPENDA MTU.....KONDE BOY NA CHAMA INABIDI WAONDOKE TU, HAWANA MSAADA WOWOTE, UMRI UMEENDA.NA KONDE BOY HAKUNA KITU.
Acha ubwege wewe inaonekana baada ya kuwekwa ndani akili imekuja sasa umeanza uchawa zama za Chama ,Miqison ,Kibu Onana Babakari sari, Jobe, hata Ngoma wote hawafai kucheza simba mwingine Saido fyeka ni wavivu
Leo mnapendekeza wacezaji wenu kramo cama wasiondoke kesho mntaanza kulaumu uwongozi eti wamesajili vibaya kumbe nyiye ndo mnawavuruga viongozi
Kramo abaki asilia100
Chama anatakiwa abaki bado anamuchango mkubwa ndani ya simba
Gb64 apo kwachama nd umeyumba Mzee ifike mahali utawala wachama uishe Mzee wetu Simba tunaweza fka mbali lkn kla mwaka tukiwndelea kumlilia sjui lkn kla mtu namawazo yake
Gb64, nimwehu hata messi na Ronaldo walitoka kwenye timu zao pendwa. Ifike hatua tutafute mbadala wake, simba tafuteni pesa tununue wachezaji wazuri.
Chama mikisoni kibudii wa Baki
Aah anach xem ni kwel ximna ibadilixhwe tunataka uxhindi
Hapo kwa chama hata mm staki aondokeee
Brother unajitahidii Sana kutoa mtazamoo ila jitahidii kutoaa mapenzii Kwa mchezajii mmojaaa😂😂
Li jamaaa lishamba kweli kweli Chama by now hawezi cheza dakk 90
uyu jamaa skuiz nae anazngua anajikuta km yuko mbele sana na viongoz kila kitu analaum yeye tu
hupend simb un mpnda cham ushafel
Koma kbx kumfananisha Chama na wa2 wa ajaab
Gb64 hapo umechemsha. Kumbe wewe huipendi Simba unampenda Chama.
Mara nyingine wahovyoo,chama ndiyo Nini ameisha muda wake.
Kramo asondo asimia 200
Ww usha kua chaw
😳
Aondoke chama
Aende amezeeka
Sawa GB 64
Si uondoke kwani wewe nani
Kweli me naon wafungue account 2change her 2letewe wachezaji wazuri
simba tuachee mapenzii yakisengee kwanii chama yeye ndy mchezajii mkubwaa too,,,,,waliondkaa wakina ronaldoo lakni saiv tuna V JR madrid yamotoo saivvv,,,,Bwana weee aendeee tyuuu hana ishuuu
WE NANI BHANA,NENDA ZAKO HUKO; WEWE SIYO MWANA SIMBA KUMBE UNAPENDA MTU.....KONDE BOY NA CHAMA INABIDI WAONDOKE TU, HAWANA MSAADA WOWOTE, UMRI UMEENDA.NA KONDE BOY HAKUNA KITU.
Acha ubwege wewe inaonekana baada ya kuwekwa ndani akili imekuja sasa umeanza uchawa zama za Chama ,Miqison ,Kibu Onana Babakari sari, Jobe, hata Ngoma wote hawafai kucheza simba mwingine Saido fyeka ni wavivu
Ujui kitu brooo football ni committement time space na HIV vyote vinaletwa na uongoz Bora
Hahahahahahaba😂😂😂😂😂😂 🤣😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣
Mjinga huyo
Namimi chama ikiondoka simb naacha simb
Comment ya kijinga sana hii
Comment ya kijinga sana hii