Samia ahojiwa BBC: Akasirishwa na Maswali ya KIKEKE!!

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 149

  • @pastoribrahimonlinetv
    @pastoribrahimonlinetv ปีที่แล้ว +9

    Baada ya issue ya bandari,ni wazi sasa Kikeke nimekuelewa katika mahojiano haya japo mwanzoni sikukuelewa,big up bro...wewe ni mwandishi jasiri

  • @thomasnyarusanda2608
    @thomasnyarusanda2608 2 ปีที่แล้ว +23

    Inatuumiza sana Watanzania, rais amekufa akiwa madarakani lakini kifo cha utata utata. Kumbukizi inabidi kutusononesha mno. Miaka yake 5 tu makubwa yalifanyika na hakuna atakayeweza kama yeye. Mungu ibaraki Tanzania.

  • @erickmsigwa88
    @erickmsigwa88 2 ปีที่แล้ว +6

    Mwandishi mzuri ni yule anauliza maswali ya mojakwamoja hii ndo BBC good you made

  • @glorydenis5111
    @glorydenis5111 2 ปีที่แล้ว +19

    Huyu Rais hakujibu kama alivyo ulizwa ametumia jazba amejibu kana kwamba sio Rais

    • @margarethpolepole7438
      @margarethpolepole7438 2 ปีที่แล้ว

      Glory denis toa uchadema wako kajibu vizuri sana

    • @hamisijuma3276
      @hamisijuma3276 2 วันที่ผ่านมา

      ​@@margarethpolepole7438 waandishi wa habari wanaogopwa sn, Ila Nyerere alikuwa kiboko Yao iwe kiingereza au kiswahili bila kusoma

    • @rkcomercialenterprises3209
      @rkcomercialenterprises3209 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Uchadema na kujibu maswali inatoka wapi. Vague answers

  • @jitulakaleboymastr6477
    @jitulakaleboymastr6477 2 ปีที่แล้ว +7

    Asante sana mtangazaji maswali mazur san

  • @mussamalogo5640
    @mussamalogo5640 2 ปีที่แล้ว +9

    Maswali magumu kikeke kweli nimwandishi 🤣🤣🤣🤣

  • @elijahsolomon3260
    @elijahsolomon3260 2 ปีที่แล้ว +8

    Huyo mama anatokwa povu la nini kwenye swali la katiba mpya na mpaka aibu hiyo, ameonyesha madhaifu yake ya wazi kuwa hana hata chembe ya uwezo wa kujibu hoja kidiplomasia halafu eti ni mkuu wa nchi, loooh.... Hii ni hatari sana kwa mstakabali wa nchi yetu

  • @jitulakaleboymastr6477
    @jitulakaleboymastr6477 2 ปีที่แล้ว +8

    😃😀😀😃😆 umepaniki errrrrrrooooo🤣🤣🤣

  • @Benjamin-n9x
    @Benjamin-n9x 6 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu ndo yule Mungu wa Tz watanzania kazi ipo hapa

  • @EdwardMashauri-e7e
    @EdwardMashauri-e7e 2 วันที่ผ่านมา

    Safi sana umemjibu vzr sana Big up our president

  • @cottamanywele9279
    @cottamanywele9279 2 ปีที่แล้ว +7

    Katiba mpya ni muhimu Tanzania huwezi pata tume huru pasipo kuwa na katiba mpya.

  • @OscarBethel
    @OscarBethel ปีที่แล้ว +2

    Kwajinsi Samia anavyomjibu Salim kikeke anaonyesha hayuko tayari kuleta katiba mpya kwamweelewa uta mweelwa hivyo kutokana namjibu yake,mabadoliko ya katiba kwahuyu mama itakuwa ndoto

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 2 ปีที่แล้ว +1

    Sawa sawa mama umemjibu vizuri sana kikeke arudi tu usalama wake uko kwa mkewe kwani sisi ni ukraine na urusi aje akae kama sisi watanzania

  • @goodjoseph220
    @goodjoseph220 2 ปีที่แล้ว +2

    Tanzania Bado wako mbali kidemokrasia hii inadhihirika kwa jinsi anavyo jibu maswali raisi. Njoo Kenya uone raisi anavyo jibu swali moja kwa moja bila kumdharirisha wanahabari .

    • @habibukitwana1552
      @habibukitwana1552 2 ปีที่แล้ว

      Demokrasia ni upuuzi wamarekani na ndy maana kwenye chaguz zenu mnauana kila wakat baadae akina odinga wanakula maisha na kenyatta si hakili hamna , Trump alikuwa anawajibu hovyohovyo wandishi wa habar au ulikuwa mdogo

    • @margarethpolepole7438
      @margarethpolepole7438 2 ปีที่แล้ว

      Good joseph Kenya ni kenya na Tanzania ni Tanzania hao wanaotaka kuliweka hilo zee kama museven asiyetaka kuachia madaraka kafie mbele huko

  • @mamayohana9461
    @mamayohana9461 2 ปีที่แล้ว +6

    Huyu no raise kweli sijawahi kusikia nice unaulizwa Mambo muhimu unajibu mbovu huwezi mama nchi haiendi ivo krmwe nakingine utaki kukosolewa kwanin mama? Wew ninani? Raise imeandikwa kukosolewa kupo hta ndan unajiendesha xio?

    • @mangwembecompany7039
      @mangwembecompany7039 2 ปีที่แล้ว

      Mhe. Rais anafanya vizuri ameleta matumaini makubwa! Hofu kwa wafanya siasa na biashara imepungua Sana!

    • @ndogoroedson9438
      @ndogoroedson9438 2 ปีที่แล้ว

      Nenda kawe rais ww! Unaropoka tu ulitaka huyo mjinga mwenzio ajibiwe nn kwa upumbavu?

    • @margarethpolepole7438
      @margarethpolepole7438 2 ปีที่แล้ว

      Mama yohana huyu ndiyo Rais kama una chuki zako binafsi kakae huko chadema yako moshi ndiyo maana wanasema wanawake hatupendani roho mbaya tu inakusumbua

    • @shedrackjoshua834
      @shedrackjoshua834 2 หลายเดือนก่อน

      @@mangwembecompany7039 Akili kisoda

    • @shedrackjoshua834
      @shedrackjoshua834 2 หลายเดือนก่อน

      @@ndogoroedson9438 Hata jina lako limekaa kimwehu mwehu

  • @isayandolomindolomi1853
    @isayandolomindolomi1853 2 ปีที่แล้ว +3

    Mmm chezea mama Samia wewe majibu ya Katiba kaupiga mwingi sanaa.

  • @AyubuMasaka
    @AyubuMasaka 5 วันที่ผ่านมา +3

    Tumepigwa Ee MUNGU tusaidie hapa hatuna Raisi

  • @gtv3409
    @gtv3409 2 ปีที่แล้ว +2

    Ukipaniki kwenye Uongozi Ni Picha Halisi kwamba Unaongoza Nchi Bila Misingi ya Democracy Bali Ni Mawazo yako wew... na Kwa Namna nyingne Wew Mama Hujui kero za Watu wa Chini But unaangalia Upande wa Vigogo walio Wekeza kwaajir ya Maslahi yenu Viongoz But sio Kwaajiri ya Watanzania wa Hali Ya Chini na Kibaya Zaid....KODI, Rushwa Manyanyaso yote umeyaibua Wew 🤔✍🏼

  • @rehemamsuya2263
    @rehemamsuya2263 2 ปีที่แล้ว +9

    Salim una moyo huyu mama majibu yake hayaridhishi kabisa

  • @maggiehiza5884
    @maggiehiza5884 3 วันที่ผ่านมา

    Laa!
    Ameshindwa kujibu.

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 2 วันที่ผ่านมา

    Mbona unajibu kana kwamba unajibu kuhusu nyumbani kwako. Hii ni serikali ya kila mtu usidhani hii ni serikali yako tu. Kwahiyo ukiudhi watu waje wakusifu. Kama Mbowe alikuja kukushukuru wakati wewe ndiyo ulimuweka ndani bila tatizo lo lote alafu unataka Mbowe akuombe msamaha kweli tumekufaham vizuri

  • @EliaHiluka-ep3tp
    @EliaHiluka-ep3tp 8 หลายเดือนก่อน +2

    Hayo siyo majibu Kwa waandishi

  • @gibsonjosephat6352
    @gibsonjosephat6352 2 ปีที่แล้ว +6

    Ameshindwa kujibu maswali kama Rais. Jazba na hasira. Huwezi kuulizwa swali na BBC chombo kinachofanya Tafiti pia una sema niache na Watanzania. Toa majibu kama Kiongozi wa Taifa.

    • @rosetreffert4179
      @rosetreffert4179 2 ปีที่แล้ว

      BBC ni nini Mama hayumbishwi na tumaswali twa mtengo

    • @shedrackjoshua834
      @shedrackjoshua834 2 หลายเดือนก่อน

      @@rosetreffert4179 Hii ngo'mbe inayotoa damu na haifi ndio hujipendekeza inaelekea huna ufanyacho zaidi ya sehemu za risi kuumia.

  • @cottamanywele9279
    @cottamanywele9279 2 ปีที่แล้ว +4

    Watanzania wanataka katiba mpya tu.

  • @davidjohn8908
    @davidjohn8908 4 วันที่ผ่านมา +1

    Mh!!

  • @otmarmkali8883
    @otmarmkali8883 2 ปีที่แล้ว +3

    Maswali ya katiba mpyaa yanatakiwa yajibiwe kisiasa zaidi, dunia nzima inasubiri majibu sasa isije ikaleta picha mbaya.

  • @kwisa4899
    @kwisa4899 4 วันที่ผ่านมา

    Ccm Mungu anatuona.

  • @tanzanite9944
    @tanzanite9944 2 ปีที่แล้ว +3

    Mama yuko Vizuri Sana na anajiamini. Big Up Madame President. You do know how to defend your territory.

    • @daudmaboni
      @daudmaboni 2 หลายเดือนก่อน

      😂

  • @salmamrembo4360
    @salmamrembo4360 2 ปีที่แล้ว +2

    Majibu ya kwenye modem taarabu weweeee sikia iyo Tanzania yetu buanaaaa

  • @majjemajada5216
    @majjemajada5216 ปีที่แล้ว +2

    Wana Habari tupo hatarini

  • @shedrackjoshua834
    @shedrackjoshua834 2 หลายเดือนก่อน +1

    Rais alijibu haya maswali kiwaki sana..yaani kama sio rais aseee

  • @hemedrashid2921
    @hemedrashid2921 2 ปีที่แล้ว

    Mama uko vzr Sana mungu akupe ulinzi zaidi inshaallah dhidi ya wenye wivu na Nia mbaya juu yako nchi yetu wote ss anaedhani atajaribu kusubutu kukutingisha atakuja shangaaa hakuna wajinga hapa

    • @margarethpolepole7438
      @margarethpolepole7438 2 ปีที่แล้ว

      Hemed tena yuko vizuri sana mama ana majibu mazuri sana katiba yetu hatuingiliwi na yeyote watanzania tuna maamuzi yetu mama samia oyeeeee kazi inaendelea

  • @FadhiliDolla
    @FadhiliDolla 4 วันที่ผ่านมา

    🇹🇿 we were finished the time they deletedt our precious late honorable 💜🌹 present dk. J,j,pmagufuli🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @ndogoroedson9438
    @ndogoroedson9438 2 ปีที่แล้ว +1

    Kwa majibu hayo kwa viandishi vya habar vyenye kiherehere Kama huyo kikeke ndyo yanatakiwa! Anadhani kuwa BBC ni kukaa upande wa upinzani! No mjinga huyo jamaa na ndyo wanaofarakanisha nchi Mara nyingi!

    • @margarethpolepole7438
      @margarethpolepole7438 2 ปีที่แล้ว

      Ndogoro tena sana yuko kama ngurumo mpaka kakimbia mwenyewe sasa ana kazi ya kubwabwanya mitandaoni

  • @emmanuelmzungu7232
    @emmanuelmzungu7232 3 วันที่ผ่านมา

    Huyu mama na hii kiburi atasumbua watu. You have to send her home in 2026

  • @raismalingumutz8473
    @raismalingumutz8473 3 วันที่ผ่านมา

    Tumechoka sana hakuna haki hivi hakuna umoja au

  • @stanslausbukulu4330
    @stanslausbukulu4330 2 ปีที่แล้ว +1

    Thanks

  • @binwellsiyame7722
    @binwellsiyame7722 2 ปีที่แล้ว +3

    Hongera sana mama kwa majibu yako ya msingi

  • @godfreysudi7264
    @godfreysudi7264 14 วันที่ผ่านมา

    Majibu konzi mama huyu 🤣

  • @salmamrembo4360
    @salmamrembo4360 2 ปีที่แล้ว +1

    Yaani hii Tanzania

  • @hellendamian7782
    @hellendamian7782 2 ปีที่แล้ว +1

    Uko sawa mama

  • @elijahsolomon3260
    @elijahsolomon3260 2 ปีที่แล้ว +4

    Surprise ya maswali ya kisomi kama hayo unategemea atajibu nini zaidi ya majibu kama yale ya mipasho ya taarabu? Head of the State eti anakuwa na majibu kama ya hadija kopa kwenye suala nyeti la katiba mpya ya nchi ambayo ndiyo Mungo's wa takriban Watanzania milioni 60 na zaidi halafu huyu mama anajibu just kama vile wanajibishana na mashoga zake... Hebu ajitahmini

  • @omaryiddy1652
    @omaryiddy1652 2 ปีที่แล้ว +3

    Mama hapakua na sababu ya kupaniki mbn nimaswal yakujibu tu

    • @margarethpolepole7438
      @margarethpolepole7438 2 ปีที่แล้ว

      Omary iddy kamjibu vizuri sana nimefurahi ajabu wasaka tonge la urais kwa katiba wamesikia kwa raha zote chadema haipati urais kamwe pengine kitokee chama kingine nani anataka chama chenye fujo kinachonunuliwa na mabeberu kuvuruga Tanzania siye tunapenda amani tu

    • @omaryiddy1652
      @omaryiddy1652 2 ปีที่แล้ว +1

      @@margarethpolepole7438 achana na mihemko ya mapenzi ya vyama kando, ww umeelewa nn hapo! Maana binafsi cjaelewa nikiwa km mtanzania wakaida ambae sina chama chchete ila nilikua nataka ufafanuz kuhusiana na alicho ulizwa baasi.. nilitaman nipate elim kupitia rais wetu ambae ni mama yetu sasa

  • @MichaelBahati-o8h
    @MichaelBahati-o8h 13 วันที่ผ่านมา

    Jibu vizuri basi mama 😁😁

  • @charlesmelami8028
    @charlesmelami8028 2 ปีที่แล้ว +2

    Nikweli.tunataka.katimbampiya

  • @meshacknyandongo577
    @meshacknyandongo577 4 วันที่ผ่านมา

    Hivi haya mazungumzo ya raisi wetu huwa anayasikiliza au mwanzo alikua anafanya kwa hofu

  • @michaelchombo9764
    @michaelchombo9764 2 ปีที่แล้ว +2

    Unaulizwa kuhusu katiba unasema waachie watanzania

  • @EliakimNelson
    @EliakimNelson 2 วันที่ผ่านมา

    Akuna kazi

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 2 วันที่ผ่านมา

    Hata ukijazwa na jaziba wewe utamaliza tutapa raisi mwingine atupe KATIBA. HIVI WEWE HUJUI KUWA HII NI MUDA TU USIDHANI UTAWALA MILELE UKIULIZWA TUNAITAJI KATIBA. Watanganyika

  • @rosetreffert4179
    @rosetreffert4179 2 ปีที่แล้ว +2

    Safi sana Mama Mungu akutunze

  • @jzsomi705
    @jzsomi705 2 ปีที่แล้ว +1

    Kikeke umetumwa mbn unakua una maswali ya kipuuzi acha uo upumbav na siku nyingine akuna kuongea na mama

  • @erastomapunda1444
    @erastomapunda1444 2 ปีที่แล้ว +1

    Maswali ya msingi hayana majibu ila polojo utsjibiwa fast

  • @karimhgau9020
    @karimhgau9020 2 ปีที่แล้ว

    Safi mama.usionyeshe udhaifu kwa sababu.mambo ya katiba yayakuanza leo na c lazima utimize wewe

  • @shabanisaid2171
    @shabanisaid2171 2 ปีที่แล้ว +1

    Kikeke maswali gani hayo muulize maswali ya msingi nch inamipango gani ya kufanya kwa wananchi

  • @radhiamohamed4743
    @radhiamohamed4743 2 ปีที่แล้ว +1

    Utafungiwa kikeke ,aupgp wye

  • @SaidiSelemani-l1n
    @SaidiSelemani-l1n 2 วันที่ผ่านมา

    Ww samiya watu wanaumiya

  • @FocusmachumuMwizarubi
    @FocusmachumuMwizarubi 4 วันที่ผ่านมา

    Huyu samia ni mtu hatari kuliko watanzania wanavyo fikiri

  • @francochimenywa7864
    @francochimenywa7864 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Alikuwa anajua nn kinatokea sijaelewa vizue

  • @rukiammanyi-qm9iz
    @rukiammanyi-qm9iz 3 วันที่ผ่านมา

    Huwezi kutoa majibu kama hayo wewe kama raisi wa nchi tena mbele ya media

  • @peternkonjera261
    @peternkonjera261 2 ปีที่แล้ว +5

    Huyu Ni mpelelezi, sio mwandishi wa habari,
    Nakumbuka hata wakati Magufuti kafa, BBC walikuwa wanatangaza Mabaya tu kumhusu magufuli.
    Mara Ni Dikteta,Mara alibania Uhuru wa waandish wa habari Mara vyama vya siasa,.
    Mama ametambua kuwa huyu katumwa ndio maana Anamjibu mkato,,
    Unaambiwa mwandishi wa habari ukimpa Sana Uhuru atakufuata Hadi bafuni, au hata Chooni ukiwa unakunya

    • @margarethpolepole7438
      @margarethpolepole7438 2 ปีที่แล้ว

      Na katumwa kweli na mwenzie kamkuta majibu kama kazi na hayati magufuli alikuwa chuma cha pua kila mtu mavi debe hakuna kumsumbua hao chadema kama wametumwa na mabeberu na mama nae wamemkuta yuko vizuri jasho litawatoka wawashukuru viongozi wa dini angeozea huko jela

  • @AyubuMasaka
    @AyubuMasaka 5 วันที่ผ่านมา

    Hapa hatuna Rais

  • @masudially5535
    @masudially5535 2 ปีที่แล้ว +1

    Leo tunauziwa mafuta dumu 115000 dah
    I R P magufuli

    • @margarethpolepole7438
      @margarethpolepole7438 2 ปีที่แล้ว

      Masoud acha lawama za kujinga kwani hujui wenye mafuta wana vita huko siye Tanzania tuna visima vya mafuta

  • @HamisWawila
    @HamisWawila 4 วันที่ผ่านมา +1

    Raisi wetu upovizuri kwakujibu maswari vizur ongera

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 2 ปีที่แล้ว +1

    Sawa sawa mama unamjibu vizuri sana anataka kukusumbua akili kwa ajili ya hao wasaka tonge la urais chadema hamna kitu hao kama wanatumwa na mabeberu washindwe na walegee nchi hii hatukupata kwa kumwaga damu hata bendera yetu haina alama ya damu wao sare zao ni alama ya damu hatuwataki kabisa

  • @hajikadoma1652
    @hajikadoma1652 3 วันที่ผ่านมา

    Kakeke acha uzushi ww kwena huko ulikoto

  • @ShaliMwile-mb5ni
    @ShaliMwile-mb5ni หลายเดือนก่อน

    😂😂ila samia ogopa

  • @LuganoAmwamsojo
    @LuganoAmwamsojo 4 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂😂nomasanaa

  • @babujinga4511
    @babujinga4511 2 ปีที่แล้ว

    Majibu mhuu

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ 2 ปีที่แล้ว +8

    Yaani waje kivingine, mara nyingine Bi Mkubwa hakuna kufanya nao mahojiano wapuuuzi kama hao, Sisi tuko nyuma na tunakuombea saana , maombi ya mtu ambae humfaham na Wala hatafuti cheo yanakubalika mara moja, Bi Mkubwa anaupiga mwingi mno hadi mabeberu wanaweweseka maana wanachezea kichapo hatari bora Sisi tushazoea shida, mfumuko wa bei unawaua Mabeberu, ila na Sisi pia tujitahidi hata kulima kabustani, kama umejaliwa kakiwanja kidogo lima mbogamboga maana mfumuko wa bei ni kilio dunia nzima ila Sisi tunafaida tunaweza kuwa na bustani uani kwetu

    • @erastomapunda1444
      @erastomapunda1444 2 ปีที่แล้ว +2

      Hujitambui sio kosa lako

    • @highcancara1993
      @highcancara1993 2 ปีที่แล้ว +1

      *Boya wew mfumuko wa bei tunaumia masikini siyo mabeberu make kuna baadhi ya vitu havkwepek lazima ununue na bei ipo juu, alafu unaongelea bustan unazan kila mtu anacho hiko kipande cha ardhi?.*

    • @fransiscomalimae7562
      @fransiscomalimae7562 2 ปีที่แล้ว +1

      Huyu jamaa k kweli

    • @malakimoses6115
      @malakimoses6115 2 ปีที่แล้ว +1

      Amos kweli ww kavu

  • @rashid3562
    @rashid3562 2 หลายเดือนก่อน

    Hayo majibu ni sahihi kwa upande mmoja maana hao ni chawa tu kutoka BBC

    • @shedrackjoshua834
      @shedrackjoshua834 2 หลายเดือนก่อน

      @@rashid3562 Ngombe ingine hii isiyojielewq

  • @smartonlinetv5144
    @smartonlinetv5144 7 หลายเดือนก่อน

    Mama naona ana pete konki

  • @valenakomba9218
    @valenakomba9218 2 ปีที่แล้ว +4

    Waambie mama, kwa majibu yako kuhusu Lisu yananifurahisha Sana.

    • @margarethpolepole7438
      @margarethpolepole7438 2 ปีที่แล้ว

      Valena hata mimi nimefurahishwa sana mama alivyo mjibu huyo tundu ni nani aje tu tumemchoka na kelele zake apambane na hali yake na alindwe na mkewe

  • @bapesampendwa671
    @bapesampendwa671 2 ปีที่แล้ว

    Mwanaumee ukitumwaa umbeyaa kazii hasaa kama unakiparaaa na madevu hunaaa

  • @erickjackson918
    @erickjackson918 2 ปีที่แล้ว +1

    B.mkubwaaa 🔥🔥

  • @shekifuyonah1042
    @shekifuyonah1042 2 ปีที่แล้ว +3

    Wengine wanasema Rais ameshindwa kujibu maswali, hiyo siyo kweli, muuliza maswali ndio alikwama kuweka maswali vzr, alipaswa kuuliza ni yapi mawazo ya Rais ktk maeneo hayo yote!!!

  • @BarakMasawe
    @BarakMasawe 8 หลายเดือนก่อน +1

    Kikeke.we.jasiri.sana

  • @kenedymwilikwa7979
    @kenedymwilikwa7979 2 ปีที่แล้ว

    Kwahiyo nchi hii niyawafuasi wa hicho chama ulichokitaja peke yake kiasi kwamba kila wanachokitaka kifanyike???!!!!!!
    Jitahidi ufanye mahojiano na putin,jiping ili upate sifa zaidi

  • @derickcowly6681
    @derickcowly6681 ปีที่แล้ว

    Safi sana mama uyo jamaa ni mchonganishi mkubwa sana asante kwa kuliona jambo fulani ktk upeo wake wa kigeni kibaraka uyo wa wazungu ktk Africa

  • @aishambise6529
    @aishambise6529 2 ปีที่แล้ว

    Samia Kama samia Rais w tz unajibu maswali vizur sn 🙏🏻🙏🏻🇰🇪

  • @harunakiongozi9796
    @harunakiongozi9796 2 ปีที่แล้ว

    Acha unafiki weww

  • @laurentbabu153
    @laurentbabu153 2 ปีที่แล้ว +2

    Mama uko makini sana na unajibu kwa ufasaa sana, mwenyezi mungu aendelee kukulinda mama yangu Rais wetu mpendwa

  • @elizabethtarmo3711
    @elizabethtarmo3711 2 ปีที่แล้ว

    Pole

  • @chikually3467
    @chikually3467 2 ปีที่แล้ว

    Safı sana, hatujasahau cku anafanya mahojıano na Alhabııb ,almarhuum Maalım Seıf akıjıona mtangazajı ccm hata fursa hatoı yakuongea, mbona mama kakukata ulımı,

  • @LinahLinahmgweno
    @LinahLinahmgweno 4 หลายเดือนก่อน

    Mama yupo makini maamuzi yake ,unawasiwasi gani

  • @frankkwigeza1770
    @frankkwigeza1770 2 ปีที่แล้ว

    Hongeraa nani kama mama

  • @jitulakaleboymastr6477
    @jitulakaleboymastr6477 2 ปีที่แล้ว

    Ipo kazi rais tunae

  • @SharifuKombo-rb6vk
    @SharifuKombo-rb6vk 3 วันที่ผ่านมา

    Mh hy mjb niabu2

  • @moricemorice75
    @moricemorice75 2 ปีที่แล้ว

    Hua napenda majibu ya hivi

  • @ezekielsabiyumva8048
    @ezekielsabiyumva8048 10 หลายเดือนก่อน

    Doctor Samia yupo makini hongera zako

  • @deusdedithjoseph7588
    @deusdedithjoseph7588 2 ปีที่แล้ว +1

    Mbona kikeke anauliza maswali ya kiupelelezi , siku nyingine mama Samia usikubali kuhojiwa hao ni vibaraka

  • @khamismbwana8981
    @khamismbwana8981 2 ปีที่แล้ว

    Kikeke please please kisha please usimsumbuwe mama mungu anakuona

  • @aishakarimu8037
    @aishakarimu8037 2 ปีที่แล้ว

    Atajijua mi namtafuta ht kibaba Cha unga nakosa

  • @yahyahamad1802
    @yahyahamad1802 2 ปีที่แล้ว

    Mhhh mama

  • @happinessmwenda2773
    @happinessmwenda2773 2 ปีที่แล้ว

    TULIMJULIA KTK KUTAFUTA KATIBA MPYA.

  • @deusdedithjoseph7588
    @deusdedithjoseph7588 2 ปีที่แล้ว

    Mbona kikeke Kama sielewi vile

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ 2 ปีที่แล้ว +4

    Mama kama Mama, waache dharau wakina Kikeke na vibaraka wote, kama kweli kidume aandae kipindi na maswali na akamuulize Malikia wa Uingereza, kama Kweli Hao waliomtuma na kumuajiri wanaamini kwenye democracy, Kazi buti Mama uko vizuri mnooo Tena mnooo, Mwenyezi akupe umri mrefu na akulinde na wenye chuki na vijicho, na kama Kuna kiumbe ana chuki na Raisi wetu hiyo chuki yake immalizie mbali, nasema kwa msisitizo: Kazi iendelee

    • @felixmsale9244
      @felixmsale9244 ปีที่แล้ว +3

      Raymamba jitathamini wewe mwenyewe unaweza ukawa ndio Kibaraka !!!🤷🏿‍♀️🤷🏿‍♀️

  • @SalvatoryMtunga
    @SalvatoryMtunga 3 หลายเดือนก่อน

    Mama uko bomba sana.

  • @eliyahango4278
    @eliyahango4278 2 ปีที่แล้ว +1

    Mama usiyumbushwe kabisa✍️

  • @allymansur8155
    @allymansur8155 2 ปีที่แล้ว

    ACHENI UONGO, UHURU ULIONAO USIUCHEZEE KUTANGAZA VISIVYO MTAKUJA FUNGIWA KISHA MSEME MUMEONEWA

  • @deohaule9183
    @deohaule9183 2 ปีที่แล้ว

    Samia unazingua