ไม่สามารถเล่นวิดีโอนี้
ขออภัยในความไม่สะดวก

KAMANDA MULIRO: USO KWA USO NA SALIM KIKEKE/ KUTEKWA/ DAR IPO SALAMA/ AJIBU KUHUSU UTEKWAJI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ก.ค. 2024
  • Follow us on Social Media Platforms
    Instagram:
    Crown FM - / crownfmtz
    Crown TV - / crowntvtz
    Twitter (X):
    CROWN MEDIA SWAHILI: / crownmediatz
    CROWN MEDIA ENGLISH: / crownmediaen
    Facebook:
    CROWN MEDIA: profile.php?...
    TIKTOK:
    - www.tiktok.com/@crownmedialiv...
    SUBSCRIBE & WATCH OUR SHOWS: / @crownmediatz

ความคิดเห็น • 196

  • @jameschali6023
    @jameschali6023 21 วันที่ผ่านมา +4

    Mm nimeacha kufwatilia hii intaviu maana naona kikeke anakaribia kula makofi mtaniambia imeishaje😂😂😂

  • @ASALABOY
    @ASALABOY 26 วันที่ผ่านมา +13

    Salim kikeke Anaipeleka CROWN NAMBA MOJA 1

  • @kelvinmwenda1013
    @kelvinmwenda1013 14 วันที่ผ่านมา +2

    Muliro anakwepa maswali anajibu ki Tz zaidi mjanja mjanja huyu.. Sema Kikeke kajitahidi sana 💪💪 😊😊

  • @awemaqway1201
    @awemaqway1201 27 วันที่ผ่านมา +6

    Tunahitaji kuiona crown tv katik dstv azam pamoja na startimes🎉🎉

  • @luqmanomary3558
    @luqmanomary3558 25 วันที่ผ่านมา +5

    Oyaa muriloo kapaaaniikiii sema anajikaza sana

  • @OnlyRuky
    @OnlyRuky 25 วันที่ผ่านมา +9

    Mmeona tofauti ya International Muandishi wa habri na wa Tz? 😂😂😂😂😂😂😂😂Kamanda kabanwa but hata yeye yupo vizuri

  • @bazilmateru915
    @bazilmateru915 27 วันที่ผ่านมา +10

    Kwanini watu wanatekwa ? Mtu akivunja sheria inabid awe arrested siyo kutekwa . Hujajibu swali

  • @Bambagatz
    @Bambagatz 27 วันที่ผ่านมา +6

    ila Kamanda Murillo
    amejibu Kikamanda sana
    maswali ya Kikeke ni ya Mtego sana😂😂😂😂

  • @hajimkilikiti
    @hajimkilikiti 27 วันที่ผ่านมา +9

    Kaka kazi nzuli mzee sn kiba ajafanya kosa kukusaini unabaya uyo umemkaba kwenye kooo

  • @DenisTarimo-bf4zq
    @DenisTarimo-bf4zq 25 วันที่ผ่านมา +6

    Kikeke upo vzr sana umebobea kwenye skta ya hbr mkuu

  • @stn4873
    @stn4873 27 วันที่ผ่านมา +3

    KAMANDA WA POLISI WA KANDA MAALUM YA DAR ES SALAAM...KAMISHNA MSAIDIZI MWANDAMIZI WA JESHI LA POLISI MULIRO JUMANNE MULIRO 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾

  • @user-ov3pk3wv1s
    @user-ov3pk3wv1s 23 วันที่ผ่านมา +2

    Muliro anakwepa msenge sana..

  • @nunuuali5316
    @nunuuali5316 25 วันที่ผ่านมา +2

    Mko juu kazi imeanza vyema kabisa,Allah awaongoze muendelee kupasuwa anga

  • @SawayaNm
    @SawayaNm 26 วันที่ผ่านมา +2

    Kamanda katulia sana! Mimi hapa America nili mpa my employee a car aka potea na gari ya kazi! 2 days later nika report to Police! Wakasema same thing huyu kamanda ana sema! Baada ya 5 days, this guy bring car back 😢😮😅

  • @salumuseif3324
    @salumuseif3324 27 วันที่ผ่านมา +3

    hongereni crown media

  • @SylivesterKilunga
    @SylivesterKilunga 27 วันที่ผ่านมา +4

    Hawezi kusema ukweli

  • @allymohamedclaud7626
    @allymohamedclaud7626 26 วันที่ผ่านมา +2

    Kamanda muliro yupo sawa kabisaaaa

  • @user-lt7yx2ms7h
    @user-lt7yx2ms7h 27 วันที่ผ่านมา +6

    Kwa mwenye akili timamu keshapata jibu kama kuna kitu gani kinaendelea kamanda anakwepa maswali sana Dar kila siku watu wanalia vijana wao wanatekwa nahawapati majibu yupo mtoto mdogo wa miaka Minne kasoro namdada wa kazi hadi leo hawajulikani alipo mtuhumiwa yupo polisi lakini polisi hawamuhoji mtuhumiwa watoto wako wapi halafu mnasema tupo salama

  • @peacemwakyombe
    @peacemwakyombe 27 วันที่ผ่านมา +6

    I love commander Muliro He is super Inteligent to handle tricky questions from Salim hhahahah

  • @tungarazalucas1478
    @tungarazalucas1478 27 วันที่ผ่านมา +5

    Mbona mlilo anajibu kienyeji sana

  • @theglorious8290
    @theglorious8290 26 วันที่ผ่านมา +6

    Kifupi watu hawapendi maswali

  • @ChidAlly
    @ChidAlly 28 วันที่ผ่านมา +8

    Safi san salim kikeke kujuwa kusimama ktk maswali na kutaka wana nchi tujiwe 😂

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ 27 วันที่ผ่านมา +10

    BBC Kwisha habari yao tumerudi nyumbani

  • @user-mb8ov2ic1i
    @user-mb8ov2ic1i 27 วันที่ผ่านมา +3

    Asante kikeke hiki ni kipindi bors.
    Na kanda maluum amenibu kwa mujibu wa kazi yake

  • @lovisfrederick3629
    @lovisfrederick3629 25 วันที่ผ่านมา +4

    Hamna kitu hapo ukimsikilza vizuri.

  • @YusuphuMakange
    @YusuphuMakange 22 วันที่ผ่านมา +1

    Safi sana

  • @heronimomsefya3190
    @heronimomsefya3190 25 วันที่ผ่านมา

    Kamanda yuko sahihi, mara nyingi ni matatizo ya kifamilia kisha wanalitupia lawama Mamlaka husika hususan Jeshi La Polisi. Kudos kamanda Muliro🎉🎉

  • @kassimshaka2722
    @kassimshaka2722 16 วันที่ผ่านมา

    Mtangazaji mahiri vs Mwanasiasa wa polisi...this is Tz

  • @bintibaibe1958
    @bintibaibe1958 14 วันที่ผ่านมา +2

    Majibu ya hovyo kabisa haijawahi tokea,hata aliempiga lissu risasi mpk leo hajulikani lakini kujitia mnafanya uchunguzi usioisha wala kueleweka aaahg hapo mmetisha,,salim your the best maswali so technic and forensic lakini anaejibu sasa ni zero brain! No wonder polisi wote ni form 4 failure div 0000

  • @josephfrank4446
    @josephfrank4446 27 วันที่ผ่านมา +2

    Kikeke ndo mwanahar bora tanzania na africa sio wengne machawa❤

  • @dicksonmwano9822
    @dicksonmwano9822 25 วันที่ผ่านมา +1

    Interview makini sana both team to score😊

  • @eliasmakoye3939
    @eliasmakoye3939 25 วันที่ผ่านมา +1

    Kamanda Murillo yuko vizuri isipokuwa watanzania tunateswa na siasa na wanasiasa

  • @theteacherchance6750
    @theteacherchance6750 27 วันที่ผ่านมา +4

    WANASHERIA BWANA:
    RES GESTAE
    The common law doctrine only admits evidence which, if not absolutely contemporaneous with the action or event in issue, must at least be so closely associated with it in point of time, place and circumstance, as to be part of the thing being done. “Facts which, though not in issue, are so connected with a fact in issue as to form part of the same transaction are relevant, whether they occurred at the same time and place or at different times and places”.
    ***
    Wanasheria kwa herini.

  • @Traveller_-zl9zm
    @Traveller_-zl9zm 27 วันที่ผ่านมา +1

    One of the best interview

  • @bakariyusuph-uf7nc
    @bakariyusuph-uf7nc 27 วันที่ผ่านมา +4

    Kamanda mtulivu Sana

  • @emilioadremaneadremane2706
    @emilioadremaneadremane2706 27 วันที่ผ่านมา +5

    Muito bom trabalho

    • @Kuminamoja1995
      @Kuminamoja1995 27 วันที่ผ่านมา +1

      Kazi nzuri muito bom trabalho

  • @chande2k250
    @chande2k250 27 วันที่ผ่านมา +3

    😂😂 kamanda muliro anakwepa swali issue Kuwa kijana katekwa dar es salaam na kuwekwa kitho cha police oysterbay jibu swali Hilo

  • @starjay3052
    @starjay3052 27 วันที่ผ่านมา +5

    uyo anajua kinachoendelea angalia ata majibu yake na anavokwepa maswali

  • @mwanakitenge
    @mwanakitenge 27 วันที่ผ่านมา +6

    Polic hatumuelewi kabisa na majibu yake ila siwezi kuongea mengi kinga yangu ndodo

    • @shaurimtanda8285
      @shaurimtanda8285 25 วันที่ผ่านมา

      utamuelewaje na wakati umevaa Dela la Bonyokwa

    • @AlhajiIssa-jb9hr
      @AlhajiIssa-jb9hr 20 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂 Hana mwanasheria.​@@shaurimtanda8285

  • @user-fl1xz3ln3c
    @user-fl1xz3ln3c 27 วันที่ผ่านมา +6

    Tulio soma Cuba tumeelewa kwamba kwenye katiba imeandikwa ukiikosoa serikali lazima utekwe hii wachache wameelewa ila ipo siku

    • @Juli-ep9dn
      @Juli-ep9dn 27 วันที่ผ่านมา +1

      😂😂😂😂😂 upo sawa

  • @seneu.2128
    @seneu.2128 26 วันที่ผ่านมา +3

    Maswali ya msingi lakini majibu ya ujanja ujanja tuu.

  • @petromahava865
    @petromahava865 25 วันที่ผ่านมา +1

    kamanda anaulizwa kunasehemu ipo chini osterbay inaitwa karakana , anasema tupo tunafanya uchunguziii daaahhh😅😅. hii noma....

  • @PaschalGerad-xq4lw
    @PaschalGerad-xq4lw 27 วันที่ผ่านมา +2

    Kasiri la kikeke tulikumis hom boy endelea kuzidisha ubunifu crown ninyumbani

  • @Kuminamoja1995
    @Kuminamoja1995 27 วันที่ผ่านมา +3

    Shikamoo kamanda Muliro🤝

  • @hellenngwilla550
    @hellenngwilla550 27 วันที่ผ่านมา +4

    Safı sana Kikeke 🙏

  • @user-fr6th1mu7e
    @user-fr6th1mu7e 27 วันที่ผ่านมา +1

    Nakubali sana

  • @goodluckmbazi
    @goodluckmbazi 23 วันที่ผ่านมา +1

    Yan mwananchi hana haki kabisa katika nchi yake 😢😢

  • @frenkfarm1139
    @frenkfarm1139 27 วันที่ผ่านมา +3

    Tanzania ipo salama kabisa 😢mama acha apinge kazi nakazi iendeleee 😅

  • @patrickkimathkimath6992
    @patrickkimathkimath6992 27 วันที่ผ่านมา +3

    uongozi ni mgumu jamaniiii😢😢😢

  • @JacksonTemba
    @JacksonTemba 25 วันที่ผ่านมา +1

    Kamanda yupo makini sanaa, hana papara kwenye kujibu,

  • @deusdeditsimba4452
    @deusdeditsimba4452 27 วันที่ผ่านมา +3

    Body Language yake haendani na taarifa na majibu anayotoa

  • @hamidamussa-sy4fm
    @hamidamussa-sy4fm 24 วันที่ผ่านมา

    Wao tuna kikakao wcb simbaa wasafi diamond platnumz salamu kikeke kutoka bbc swahili mpaka kwa alikiba crown fm

  • @dr.barakankondo1919
    @dr.barakankondo1919 27 วันที่ผ่านมา +2

    Hapa tu ukisikiliza kwa kutafakari unaona kabisa hakuna haja ya kusubiri uchunguzi katika suala hili

  • @johnmessi6831
    @johnmessi6831 27 วันที่ผ่านมา +2

    Siasa nyingi sana jeshini

  • @nikky4757
    @nikky4757 26 วันที่ผ่านมา +1

    Aina ya majibu yanatia mashaka kwa nini mtu usitoe jibu lililonyoona wakati mtu alitokea dar means kuna kukwepa maneno yasije yakapishana

  • @samniza1763
    @samniza1763 27 วันที่ผ่านมา +1

    Police is the first place to go hata kama mtu amekutwa amefariki, sasa watu waende wapi? Kama hamuwezi ongelea matukio ya kupotea. Haijalishi kazi ndio hiyo, so you need to do it until that person is found. If the police can't be the first to come out then the country is not safe.

  • @mdbosco1640
    @mdbosco1640 27 วันที่ผ่านมา +1

    ❤❤

  • @stn4873
    @stn4873 27 วันที่ผ่านมา +1

    Hahahahahah hapo chini kweli chumba kipo karibu na baharini kabisa, panaitwa bondeni😂😂😂😂😂

  • @mchumasamwel1789
    @mchumasamwel1789 27 วันที่ผ่านมา +2

    Hot chair, just sticking to the point Salim

  • @SamweliHozza
    @SamweliHozza 21 วันที่ผ่านมา

    Uyu Afande Anajibu kiakili Sana anakwepa swali Anazunguka

  • @sadiqadam7971
    @sadiqadam7971 22 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂😂 dah, ngoja nikaushe tu maana mwanasheria wangu amesafiri 😂

  • @ceciliamagalabajimmy4391
    @ceciliamagalabajimmy4391 25 วันที่ผ่านมา

    If you're not curious it's true that you can not understand what is meant. Have a beautiful flower Mr. Kikeke.

  • @LameckZakaria-qg9vv
    @LameckZakaria-qg9vv 27 วันที่ผ่านมา +2

    Crown atari

  • @user-fn2lo1mx9i
    @user-fn2lo1mx9i 16 วันที่ผ่านมา

    Mtangazaji mahiri vs Mwanasiasa wa jeshi.

  • @benikillahjoseph3505
    @benikillahjoseph3505 27 วันที่ผ่านมา +2

    Mimekoment nikafuta😂😂

  • @Mwamba-hc1jy
    @Mwamba-hc1jy 26 วันที่ผ่านมา +1

    Kamanda katulia hadi raha!!

  • @dinosmack
    @dinosmack 24 วันที่ผ่านมา

    Africa

  • @eplace3428
    @eplace3428 28 วันที่ผ่านมา +3

    Kikeke🙌

  • @Bongoonly1
    @Bongoonly1 27 วันที่ผ่านมา +2

    Ila Kamanda 😂😂😂🙌

  • @SawayaNm
    @SawayaNm 26 วันที่ผ่านมา +1

    Shida kubwa ya wananchi wana ona Police ni kama Mungu! Communication between police and citizens is very rough all over the world! At the same time police abuses their power no wonder wananchi don’t trust Police institutions! 😢😮

  • @EmmanuelNdahya-ud5nj
    @EmmanuelNdahya-ud5nj 27 วันที่ผ่านมา +2

    Apo Sina comment 😂

  • @rashidyally4336
    @rashidyally4336 25 วันที่ผ่านมา

    Saws

  • @spendjulius-qz9mt
    @spendjulius-qz9mt 27 วันที่ผ่านมา +2

    Kwanini kwa mfano ni nyingi saaaana.....😮

  • @Andrewbendera
    @Andrewbendera 27 วันที่ผ่านมา +1

    Ila Murilo..😢

  • @IbniAbbas-yz3kt
    @IbniAbbas-yz3kt 27 วันที่ผ่านมา +2

    Salim umesahau kumuuliza kwanini hao wasio julikana hawajawahi kujulikana mpaka mpaka leo!!?

  • @SamEducationFoundation
    @SamEducationFoundation 28 วันที่ผ่านมา +8

    Wakwaza nipe like zangu

  • @AlyPidas
    @AlyPidas 24 วันที่ผ่านมา

    Kamanda muliro atuambie lini uchunguzi Uta kamilika

  • @MaghobaGeorge-lq4yg
    @MaghobaGeorge-lq4yg 27 วันที่ผ่านมา +1

    Elewa neno tunalipokea na tunalifanyia uchunguzi mbona mbishi kikeke?

  • @abdalahgunda1319
    @abdalahgunda1319 19 วันที่ผ่านมา

    Hawezi kujibu huyo jamaa anarooho mbaya mtamsikia ktk uchaguzi wa serekali za mitaa mtomuona tuu hata dodoma mlimuona wakati wa uchaguzi wa 2020 pale dodoma kauli zake katokewa dodoma kaletwa daresalama

  • @soundstv4006
    @soundstv4006 27 วันที่ผ่านมา +3

    Ofisa kama amepanic hivi

  • @mohamedallyrajabu8301
    @mohamedallyrajabu8301 16 วันที่ผ่านมา

    Polisi wetu hawana ushirikiano na jamii hata umjue mhalifu wapi yupo hawa wezi kuku saidia niwazembe wa hali ya juu

  • @user-qq8lv7kx6p
    @user-qq8lv7kx6p วันที่ผ่านมา

    Hamna kitu hapo wala hakuna jibu aliolijibu just kazunguka zunguka2 na Dar kweli hamupo salama

  • @nchanchoommy02
    @nchanchoommy02 27 วันที่ผ่านมา +5

    Mmh napata mashaka IQ ya huyu polisi

  • @michaelkessy5740
    @michaelkessy5740 27 วันที่ผ่านมา +4

    Mr Salim Kikeke hapa kama umepunguza speed ya maswali na kurudi nyuma kidogo.
    Notes: Umetuondolea utamu wa kikao Cha maojiano.
    Kwenye kikao tunataka, Maswali magumu, Kujua uwezo wa VIONGOZI kufikiria.
    Next time kwenye kikao, Speed 120.
    #HonMichaelDeusdedityKessy.

  • @Alute-son2003
    @Alute-son2003 25 วันที่ผ่านมา

    Habari ya kiuchuguzi 👏👏👏

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 27 วันที่ผ่านมา +1

    👍✌️👊.

  • @AlyPidas
    @AlyPidas 24 วันที่ผ่านมา

    Kamanda uko sawa

  • @yussbreezy918
    @yussbreezy918 27 วันที่ผ่านมา +1

    Huyu Afande mbona ana story za kitoto san😂 ni msomi kweli huyu?

  • @abdymons3596
    @abdymons3596 25 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂Watu wamechukua Camera 📷 mchana kweupe
    Dar es salama kunautulivu lakini hatuna u

  • @jameskyando178
    @jameskyando178 24 วันที่ผ่านมา

    Kikeke unakumbuka ulivomuhoji mama ??? Usiwe mjuaji sana hi bongo ina wababe afande anakuvungia tu hapo ila hayo maswali unamchanganya

  • @CosmicWorld2024
    @CosmicWorld2024 25 วันที่ผ่านมา +1

    Muliro yupo vizuri sana, nimependa namna anavyojibu. Very professional

    • @geofreyj.1986
      @geofreyj.1986 25 วันที่ผ่านมา +2

      umeishia langap?

  • @josephmkinga9509
    @josephmkinga9509 27 วันที่ผ่านมา +1

    kamanda anakwepa kiakili sana

  • @sundaymushi9640
    @sundaymushi9640 27 วันที่ผ่านมา +1

    😀😀 kifua kimejaaa nishikeni😂😂😂😂

  • @GaradiGaradi-zq1wf
    @GaradiGaradi-zq1wf 27 วันที่ผ่านมา +1

    Je kama angekutwa amekufa uchunguzi usingefanyika?

  • @drallan6879
    @drallan6879 24 วันที่ผ่านมา

    issue ilianzia oysterbay kamanda;tell us something from that angle

  • @MaghobaGeorge-lq4yg
    @MaghobaGeorge-lq4yg 27 วันที่ผ่านมา +1

    Kurukaruka kwa maharage ndio kuiva kwake

  • @albertkamala6843
    @albertkamala6843 19 วันที่ผ่านมา

    Mwandishi Salim Kikeke kaonyesha weledi ktk taaluma yake kwa miongoni mengine kuhoji shauku kubwa ya wananchi kuhusu kuwepo kwa karakana ya binadamu!

  • @edsonmnego4030
    @edsonmnego4030 27 วันที่ผ่านมา +1

    We askar si ujibu Kuna sehemu ya kutesea watu Kwan Kuna shida gani

  • @DoubleClick-b4u
    @DoubleClick-b4u 27 วันที่ผ่านมา +1

    Sema inaomba akili kubwa sana kujibu haya maswali...

  • @GeorgeGibson-lc1kj
    @GeorgeGibson-lc1kj 22 วันที่ผ่านมา

    Sifa ya kwanza kuwa askari police Tanzania ni kuwa MUONGO