Hayatakuwa ya bure haya maneno yako. Tenzi 67 imeimbwa upya na Mbarikiwa kwa hisia kali.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 28

  • @AstrideMtewele
    @AstrideMtewele 6 หลายเดือนก่อน

    Kazi zako zinamfanya Mungu aone duniani bado watumishi wapo,wanaojua wokovu ukwako 2 sio nyumba wala magari wala hizo suti,(Jambo moja2 Neno lako tulijue na roho wako utupe Bwana),Amina.

  • @Mbarikiwa_Mwakipesile
    @Mbarikiwa_Mwakipesile  4 ปีที่แล้ว +2

    Sitamuangusha Mungu na mtu wake... Hayatakuwa ya bure.

  • @daudirubibi5026
    @daudirubibi5026 3 ปีที่แล้ว +1

    Hayatakuwa ya buree haya maneno yako Bwana. Eee BWANA nisaidie niweze kuyashika sawa sawa haya maneno yako. Ni tayali Bwana nitume Mimi.

  • @maryandrew7873
    @maryandrew7873 4 ปีที่แล้ว +1

    Ameeeeen .hatukuwaa hivi maneno yako si buree

  • @pendomathayo2667
    @pendomathayo2667 3 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe mtumishi

  • @rehemanziku7097
    @rehemanziku7097 4 ปีที่แล้ว +1

    Amen; hayatakuwa ya bure haya maneno yako

  • @faithjoan2969
    @faithjoan2969 3 ปีที่แล้ว

    Hata injili inapojaribiwa kuzushwa Kristo anabaki kuwa yule tu habadiliki,tafadhali subscribe tunataka kurejesha channeli hii palepale 🙏na mengine tuwachie mungu anayo kila sababu kila mwanzo mpya 🙏mnaenda mbali mwakipesi maombi yangu kwenyu🙏

  • @PastorsTz
    @PastorsTz 4 ปีที่แล้ว +1

    Aminaaaa sana..kweli hayatakuwa yabure haya maneno

  • @weinnyasi5894
    @weinnyasi5894 3 ปีที่แล้ว

    Huyu ni Sauti nyuma yake IPO nguvu ya ufalme. Sikuijua kabla. Mungu akuvushe

  • @yamungumbarikiwamwakipesil401
    @yamungumbarikiwamwakipesil401 4 ปีที่แล้ว +1

    Ameen kamanda hakika hayatakuwa ya bure

  • @davinesfarm2178
    @davinesfarm2178 4 ปีที่แล้ว +1

    Ameeen mubakiwe saana Watumishi wa Mungu.nijengwa saana. Hakika hayatakuwa ya bure.

  • @neemangusi9035
    @neemangusi9035 4 ปีที่แล้ว +1

    Mungu nisaidie nizidi kupiga mbio.Hayatakuwa ya bure haya maneno yako

  • @peternjelutv1273
    @peternjelutv1273 4 ปีที่แล้ว +1

    Amen amen,.

  • @ericksanga9952
    @ericksanga9952 4 ปีที่แล้ว +1

    hakika wakili wa mungu

  • @josephramsonmtukufu3149
    @josephramsonmtukufu3149 4 ปีที่แล้ว +1

    Ameen

  • @modestapeter7355
    @modestapeter7355 4 ปีที่แล้ว +1

    Hayatakua yabure hakika na Hata machache niliyoyasikia hayajawa bure pia. Hayatakua ya bure nakuahidi Bwana nitakua nimimi umtafutae ktk ibada hizi

  • @partrickmtama7864
    @partrickmtama7864 4 ปีที่แล้ว +1

    Ameni Ameni

  • @nsimirenshokano9585
    @nsimirenshokano9585 4 ปีที่แล้ว +1

    Ameen ubarikiwe. Sana

  • @madesauni.3135
    @madesauni.3135 4 ปีที่แล้ว +1

    Baba asante sana! Haýatakuwa ya burr....!

  • @shukranimpomwa7460
    @shukranimpomwa7460 4 ปีที่แล้ว +1

    Nikikumbuka nilivyo kuwa na mateso mengi kwenye ufahamu(maisha) nasema,
    EEEEEE BWANA, HAYATAKUWA YABURE HAYA MANENO YAKO.

  • @angeliquemwamini4791
    @angeliquemwamini4791 ปีที่แล้ว

    Ameeeeeen

  • @nicholausangumbwike1222
    @nicholausangumbwike1222 3 ปีที่แล้ว

    Mtumishi wa Mungu Mwakipesile, ubarikiwe sana, hakika uimbaji ndiyo huduma yako hasa. Tumia muda wako sana katika hiyo.

  • @sifawayesu4193
    @sifawayesu4193 4 ปีที่แล้ว +1

    Kama kuna kitu ambacho huwa k inanifanya kupambana kila wakati ni zile gharama zitolewazo ili mimi kubadilika.
    HAYATAKUWA YA BULE HAYA MANENO YAKO.

    • @sifawayesu4193
      @sifawayesu4193 4 ปีที่แล้ว

      Hayatakuwa ya bure haya maneno yako.

  • @DrMlelwaLectures
    @DrMlelwaLectures 4 ปีที่แล้ว +1

    Hapa nathibitisha hata sasa tu hayajawa ya bure. Kwani naona hata hii tenzi ilivyokaangizwa, inathibitisha kazi ya ibada. Yaani ni tenzi no 67 ile ile, ila huu ukaangizaji inaonesha kweli ibada si bure.

  • @weinnyasi5894
    @weinnyasi5894 3 ปีที่แล้ว

    Huyu ni Sauti nyuma yake IPO nguvu ya ufalme. Sikuijua kabla. Mungu akuvushe