Mbarikiwa -Nenda shujaa Magufuli nenda. Nenda simba wa Afrika- video song

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 205

  • @julieluziga1095
    @julieluziga1095 3 ปีที่แล้ว +3

    Hakika Magufuli alikuwa zawadi tuliyopewa na Mungu. Alikuja kuonyesha njia Tz. Aisee yaani km alijua atatwaliwa mapema, ndo maana alikuwa anakimbizana kufanya maendeleo. Asante Mungu wa Mbinguni kwa zawadi uliyotupa Tanzania. Na sasa Baba wa Mbinguni umempumzisha Mtumishi wako Magufuli katika amani yako!!

  • @febronianyangwala7524
    @febronianyangwala7524 3 ปีที่แล้ว +17

    Mwendo umeumaliza,Vita vizuri umevipiga,nenda shujaa hakika umetetea maisha ya watanzania wote

  • @Mapitoyazamani-y7n
    @Mapitoyazamani-y7n 11 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa kadri ya siku zinavyoendelea, ndivyo machungu ya kumkumbuka MAGU, yanaongezeka, Mungu akoa Tanzania.2024

  • @ceciliamaganga8101
    @ceciliamaganga8101 3 ปีที่แล้ว +3

    Huu wimbo unaniliza zaidi nikikumbuka kazi kubwa aliyoifanya shujaa wetu Magufuli siishi kulia ..Nenda shujaa ...Asante mtumishi wa Mungu kwa wimbo huu

  • @lilyrose7983
    @lilyrose7983 2 ปีที่แล้ว +2

    😭😭😭 Nimelia kwa mara nyingine😭😭Nenda Magufuli mwendo umeumaliza😭😭😭

  • @essiemwende3608
    @essiemwende3608 3 ปีที่แล้ว +9

    Nimependa Sana hii wimbo...kuliko ya kina diamonds ....approaching part is very touching...alazwe kwema kwenye wema ......Sisi wakenya tuko nanyi

  • @yohanamoikan932
    @yohanamoikan932 3 ปีที่แล้ว

    No one like mwimbaji, na hayati JPM Rais Mungu awabariki na hiyo Imani, na najua watu wengine hawatakoment, juuu ya wimbo huu, watu ambayo majina Yao yametoka uarabuni????!!!?

  • @alexsamaga8401
    @alexsamaga8401 3 ปีที่แล้ว +9

    😭😭😭😭macho yamejaa machozi hakika ulikuwa mfano watasema Sana hakika na umekuwa shujaa kwa taifa letu kututetea kwetu Leo aupo lakin yupo YESU mtetezi wa kila mwenye mwili hakika nenda shujaa Mwema Kati ya kundi kubwa la watu🙏😭🙏tutakukumbuka hakika

  • @gastorypatrmusoma626
    @gastorypatrmusoma626 3 ปีที่แล้ว +7

    Nenda Shujaa, Nenda na Kura zangu, Kwa ushujaa wako wengi tumejifunza mengi, wimbo huu umebeba ujumbe mkubwa Sana Hongera mtunzi , RIP Baba yetu JPM

  • @davidjumanne9950
    @davidjumanne9950 3 ปีที่แล้ว +18

    Jaman hakka wachache wenye moyo huu, this song makes me cry , RIP our president 😭😭😭😭😭

  • @ceciliamaganga8101
    @ceciliamaganga8101 3 ปีที่แล้ว +3

    Mbarikiwa hakika umeniliza sana ...maneno yako ni kweli ...Shujaa kafa kwa ajili ya utu wa wengine hakika mwenyezi Mungu amsamehe pale alipokosea na ailaze roho yake mahali pema peponi

  • @japhetdaudmaneno8440
    @japhetdaudmaneno8440 2 ปีที่แล้ว +2

    Shujaa mzalendo mwana wa Africa 🇹🇿🇹🇿🇹🇿💪✋

  • @lilyrose7983
    @lilyrose7983 2 ปีที่แล้ว +1

    Nenda shujaa nenda umemaliza kwa ushujaa nenda😭😭😭

  • @faustinaurio3703
    @faustinaurio3703 2 ปีที่แล้ว +1

    Alienda na kila kitu nchi ipo ipo tu RIP maghufuli 😭

  • @modestapeter2997
    @modestapeter2997 3 ปีที่แล้ว +17

    Nenda shujaa nenda. Hakika Ni moyo adimu Sana kufa kwajili ya kutetea utu watu. Na Kwasasa nimebaki na shujaa mmoja tu ambae Ni wewe muimbaji wa wimbo huu baba yangu Mbarikiwa umebaki wewe tu.

  • @langsontembo7274
    @langsontembo7274 3 ปีที่แล้ว +11

    Tanzanians we are with you in this trying moment,there is a reason why Lord allowed it to happen let just put everything in God's hands 🙌 as we mourn our African leader

  • @neemakapasi7751
    @neemakapasi7751 3 ปีที่แล้ว +1

    Hakika alikua shujaa alikubali hata kufa kwaajili ya watanzania mungu akupumzishe kwa amani baba etu

  • @harrietcheredi9768
    @harrietcheredi9768 3 ปีที่แล้ว +8

    Poleni wa Tanzania pia Kenya twaomboleza pombe magufuli

  • @ombendaud5938
    @ombendaud5938 3 ปีที่แล้ว +2

    Mugufuli umeondoka Shujaa Mungu mshike baba yng Shujaa Mbarikiwa.Hakika Magufuli umekufa Kishujaa Raisi wetu mpenda haki kwa watu wote

  • @happykajeli5453
    @happykajeli5453 3 ปีที่แล้ว +1

    Nenda shujaa nenda baba umetufundisha kuukataa umaskini sisi nchi yetu ni tajiri nenda msema kweli

  • @marthaanton6967
    @marthaanton6967 3 ปีที่แล้ว +1

    Kaka Leo umeniliza machozi kwa upya Da😭😭😭

  • @pendomathayo2667
    @pendomathayo2667 3 ปีที่แล้ว +3

    😭😭😭😭😭😭😭😭shujaa nenda shujaaa 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 Eeeh Bwana kazi yake ikumbukwe daima 🇹🇿❤️

  • @veronicamatebya7564
    @veronicamatebya7564 3 ปีที่แล้ว +1

    Neenda Shujaa😭😭mwanachato wewe😭😭mvuvi Mwenzetu,,Engenia wa wanyonge😭😭😭😭Tutaonana Baba😭😭😭

  • @kiazikitamu3985
    @kiazikitamu3985 ปีที่แล้ว

    Asante sana Mchungaji Mbarikiwa na wewe tunataka wakutoe gerezani wamekuonea 😢

  • @esperancenahimana70
    @esperancenahimana70 3 ปีที่แล้ว

    Eeh Mungu wangu,uchungu mwingi,Lala Shuja,Umelala kama Shuja tu,pole kwetu

  • @nuriathabdulkarim6891
    @nuriathabdulkarim6891 3 ปีที่แล้ว +16

    It still hard for me to believe that our hero is gone😭😭 we will miss you 😓 ❤️ 💕 ❤️ 💔💔💔

    • @jimani4529
      @jimani4529 3 ปีที่แล้ว

      Unbelievable, Dunia haina huruma jamani!!!

  • @fediruben5009
    @fediruben5009 3 ปีที่แล้ว +1

    Jamani nitakuja kuamini kweli Mimi kuwa shujaa hatunae Tena😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @rosetreffert6727
    @rosetreffert6727 3 ปีที่แล้ว +5

    Hero wa Tanzania Magufuli 💔💔💔😭😭😭😭

  • @dottompangala9161
    @dottompangala9161 3 ปีที่แล้ว +2

    nenda baba umetutea na mbingu inajua nikweli kuzimu in furahi lakini mungu awezi kukuacha

  • @marymyonga3808
    @marymyonga3808 3 ปีที่แล้ว +1

    Nimejikuta nalia Tena😭😭😭 Magufuli tumeshakukumbuka baba nenda shujaa nenda

  • @jimani4529
    @jimani4529 3 ปีที่แล้ว +7

    Elijah has flown away home, let Elisha Arise with his company!!!

  • @dionisiakaimuri8296
    @dionisiakaimuri8296 3 ปีที่แล้ว +5

    You made me to cry again 😭😭 even kenyan we recognized him prezzo wa wanjongee 🕊️😭😭😭

    • @bahatijacob7430
      @bahatijacob7430 2 ปีที่แล้ว

      Tutaendelea,kukumbuka,magufuli,milele

  • @Bukelebengelela
    @Bukelebengelela 3 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe sana ulitetunga huu wimbo.

  • @josephmwinuka3982
    @josephmwinuka3982 3 ปีที่แล้ว +1

    Safi mbarikiwa wimbo umenitoa machozi

  • @fredrickfilbert3922
    @fredrickfilbert3922 3 ปีที่แล้ว +1

    Tulimtetea akiwa hai, mpaka leo hayapo tutamtetea.😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @avitusmichael5
    @avitusmichael5 3 ปีที่แล้ว +2

    Wimbo mzuri sana, hisia za kweli hadi nmelia asee

  • @jimani4529
    @jimani4529 3 ปีที่แล้ว +2

    Ombi langu Mungu Muweza Yote Awainuwe Magufuli wengi sana Tanzania na Africa nzima ili Jina lake litukuzwe!

  • @tumainipeter1650
    @tumainipeter1650 3 ปีที่แล้ว +1

    Nenda shujaaa nenda magufuli hakika tutakumbuka daima

  • @estameryngogo594
    @estameryngogo594 3 ปีที่แล้ว

    Good wimbo

  • @lilianiwandelage7081
    @lilianiwandelage7081 3 ปีที่แล้ว +5

    Nenda baba nasi tupo nyuma yako njia yetu moja Rip😭

  • @mellenoseko2101
    @mellenoseko2101 3 ปีที่แล้ว +5

    Nenda salama shujaa Wa Afrika nzima...may The Almighty Lord take care of your family.. May his soul R. I. P

  • @rebeccalaizer4066
    @rebeccalaizer4066 3 ปีที่แล้ว +1

    Nmebaki nalia tuu hakika maumivu haya tuliopata Mungu aingilie kati kutuponya

  • @zawadimwaibako4065
    @zawadimwaibako4065 3 ปีที่แล้ว +5

    Shujaa aliyeitikisa dunia(tishio kwa mabeberu), nenda shujaa nendaa( mtetezi wa wanyonge) nenda baba

  • @danielmwampeta3338
    @danielmwampeta3338 3 ปีที่แล้ว

    Naam Shujaaa umeondoka Bila mawaa ndani ya moyo wangu zaidi ni maumivu tu NENDANENDANENDAAA SHUJAA NENDANENDANENDAAA.......

  • @selemsigala4771
    @selemsigala4771 3 ปีที่แล้ว +1

    Hakika kweli Baba ulikua shujaa wa kweli Mungu akuhifadhi mahara pema peponi rais wetu kipenzi ulie mtanguliza Mungu kila wakati 😭😭😐

    • @jacklinejosam3713
      @jacklinejosam3713 ปีที่แล้ว

      Nyie hivi huyu jamaa kunamtu anamuelewa maudhui ya wimbo wake? Du? Kweli alitunga na Rohomtakatifu

  • @juliethfurgence1968
    @juliethfurgence1968 3 ปีที่แล้ว +2

    Mungu mweza wa yote. Mpokee Shujaa wetu, Mwanga wa milele umwangazie.

  • @invocavitmbise5296
    @invocavitmbise5296 2 ปีที่แล้ว

    Basii tuu..ila moyoni mwangu utaishi daima

  • @alanusrespicius1796
    @alanusrespicius1796 3 ปีที่แล้ว

    Msikate tamaa. Tupo wengi mno japo wengine hatusikiki.

  • @lennajonson8761
    @lennajonson8761 3 ปีที่แล้ว +4

    💔💔💔💔💔💔💔💔
    Iyi ndirimbo irambabaje
    Pole ni ndugu zangu💘💘💘💘💘💘💘💘💘💘

  • @emillynatecho1252
    @emillynatecho1252 3 ปีที่แล้ว +1

    Kwa nyimbo zote huu ndo wimbo umefanya nikatoa machozi 😭😭😭😭

  • @Neema-m6s
    @Neema-m6s 8 หลายเดือนก่อน

    Tutakukumbuka daima Magufuli.

  • @kasbetymwashambwa2714
    @kasbetymwashambwa2714 3 ปีที่แล้ว +4

    Hongera mtumixhi siku za kuixhi sio nyingi one day tutaonana huluma 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

    • @magnifiquentkrtmna320
      @magnifiquentkrtmna320 3 ปีที่แล้ว

      JEWE NDAYIMAZE NDI MUGUSADUKA NUKURIRA.

    • @jolemerci2155
      @jolemerci2155 2 ปีที่แล้ว

      Nange nuko namaze ndi kuria 😭😭😭😭

  • @hoseamwampeta240
    @hoseamwampeta240 3 ปีที่แล้ว +1

    Nenda kamanda, nenda shujaa ulikua msaada na mtetezi wa utu wa watu, Asante kwa kuamini katika Mungu daima

  • @shukranimpomwa7460
    @shukranimpomwa7460 3 ปีที่แล้ว +3

    Nenda nenda_🙏🙏🙏🙏umemaliza kwa ushujaa.

  • @eunicerehema4291
    @eunicerehema4291 3 ปีที่แล้ว +4

    Its so painful...huyu ndio ndugu ameomboleza kwa wimbo uliotika mwoyoni wake kabisa.

  • @marynyangweso8401
    @marynyangweso8401 3 ปีที่แล้ว

    Nenda shujaa Nenda.. Huu wimbo hakika niwahuzuni sana.. Mungu muweke pema peponi

  • @francoisnduwumunsi7818
    @francoisnduwumunsi7818 3 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe sana muimbaji

  • @daudiwiston5485
    @daudiwiston5485 3 ปีที่แล้ว

    Kikosi kazi mko vizur

  • @noelmwembe6419
    @noelmwembe6419 2 ปีที่แล้ว

    Hakika alikuwa shujaa wa kweli wa Tanzania ,nenda mzalendo wa kweli wa taifa .

  • @rosekaunda9807
    @rosekaunda9807 3 ปีที่แล้ว

    Hatuna la kusema Mungu tusaidie kwa kipindi hiki kigumu kuondokewa na shujaa wetu mtetezi wa wanyonge

  • @joshualwinga
    @joshualwinga 3 ปีที่แล้ว

    Oooooooh Yesuuu ,nendaaa shujaaaaa kamanda nendaaaa vita umevipiga na mwendo umeumailiza !!!

  • @josephinanikwelimdacki3330
    @josephinanikwelimdacki3330 3 ปีที่แล้ว

    Wanaoliitia jina la Mungu maisha yao huwa mafupi stefano alipigwa mawe mpka akafa

  • @yusuphchankwa4759
    @yusuphchankwa4759 2 ปีที่แล้ว

    Daaah nenda shujaa nenda shujaa

  • @sinbadwilliam3508
    @sinbadwilliam3508 3 ปีที่แล้ว

    Amekwenda mtanzania wa kweli amekwenda shujaa wetu

  • @samuelmwakatika3412
    @samuelmwakatika3412 3 ปีที่แล้ว +8

    Well,God you know better why you've taken him from us. We need him now Most than ever.

  • @alexsamaga8401
    @alexsamaga8401 3 ปีที่แล้ว

    Umeitambua thamani ya mtanzania hakika patriotist mzalendo hakika shujaaaa moyo wa Simba nyikan misitu imekutambua

  • @sammycharomwalili6728
    @sammycharomwalili6728 3 ปีที่แล้ว

    Mtumishi umeniliza sana

  • @Farajahelene23031
    @Farajahelene23031 3 ปีที่แล้ว +1

    wow nice gospel song

  • @Farajahelene23031
    @Farajahelene23031 3 ปีที่แล้ว

    ilove you from congo zaire

  • @gosppediapinnacle4230
    @gosppediapinnacle4230 3 ปีที่แล้ว +1

    Utu na haki! Ni njia yetu na kila shujaa! Umepigana hata mwisho, wewe ni shujaa.

  • @tumainivenance7333
    @tumainivenance7333 3 ปีที่แล้ว +1

    Aminaaaa mtumishii

  • @stephensandiko6049
    @stephensandiko6049 3 ปีที่แล้ว

    Kweli umemaliza kazi shujaa nenda

  • @machendetv
    @machendetv 2 ปีที่แล้ว

    Mbarikkwa umenifanya nilie leo kwa mala nyingine kwa huu wimbo

  • @gervasanthony7655
    @gervasanthony7655 3 ปีที่แล้ว +2

    Maoombi kwake

  • @boscoadaudytv8222
    @boscoadaudytv8222 3 ปีที่แล้ว

    barikiwa sana mwakipesile..

  • @KsaC711
    @KsaC711 3 ปีที่แล้ว +1

    Huu wimbo nililia sanaaa alfajiri 18/3/2021

  • @nyamangaking6608
    @nyamangaking6608 3 ปีที่แล้ว

    Roho za uzalendo zisizo na chuki ndani yake,toho zinazomwamini Mungu,hakika shujaa nenda umetufundisha tumefundishika nenda simba.

  • @MariaAlfred-iw9yl
    @MariaAlfred-iw9yl ปีที่แล้ว

    Mbona unaniliza dah

  • @ombendaud5938
    @ombendaud5938 3 ปีที่แล้ว

    Mungu Mungu hakika shujaa ameondoka lakini ulisimama na Mungu umetufundisha kushikamana na Mungu

  • @sofyakahnsofya6049
    @sofyakahnsofya6049 3 ปีที่แล้ว

    Poleni sana jamani yauma

  • @simonaminamunguwetunimwema4227
    @simonaminamunguwetunimwema4227 3 ปีที่แล้ว

    Nenda rais wetu nenda mwenye uwezo wa kucheza namba zote uwanjani uliweza kila sekta nenda jembe letu

  • @lilychepkoech3486
    @lilychepkoech3486 3 ปีที่แล้ว +4

    such a good leader surely,rest in peace our hero!

  • @selinamideva459
    @selinamideva459 3 ปีที่แล้ว +1

    Lala salama Shujaa Magufuli

  • @joanbenezeth8677
    @joanbenezeth8677 ปีที่แล้ว

    Tutakukumbuka Baba wa Taifa Magufuli

  • @tusubilegemtafya5532
    @tusubilegemtafya5532 3 ปีที่แล้ว

    Nendaaaa Magufuliiiiii nendaaa shujaaaa umemaliza kwa ushujaaaaa

  • @catherineanthony4671
    @catherineanthony4671 3 ปีที่แล้ว

    Kweli kitu kizur hakidumu mungu mpe haki yake mwanga wa milele umuangazie Bwana

  • @ombendaud5938
    @ombendaud5938 3 ปีที่แล้ว +1

    Ni kweli shujaa umeenda Mungu Mungu

  • @lidyasambayeti3815
    @lidyasambayeti3815 3 ปีที่แล้ว

    Hakka alijitoa sadaka ktika Taifa Mungu tupe uvumilivu

  • @CynthiaJohnson-rl2yq
    @CynthiaJohnson-rl2yq 3 ปีที่แล้ว

    Wema wako baba magufuli ndio twakumbuka nenda shujaa wa kweli

  • @ignaskifunda5541
    @ignaskifunda5541 3 ปีที่แล้ว

    Kwel umegushwa kaka yangu kama mm

  • @jessicarasigu2220
    @jessicarasigu2220 3 ปีที่แล้ว

    Kweli vita kaimaliza kwa mazuri Daima tutamkumbuka,shujaa nenda kapumzike kwa amani baba yetu hakika JPM ulitutetea watanzania hasa wanyonge,lala salama😭😭😭😭😭😭😭😭😭 Ila kifo chako kimetuumiza moyo saba

  • @rubenmedia2973
    @rubenmedia2973 3 ปีที่แล้ว

    Ama kweriii shujaa umemarzaa kishujaaa pumzikaa kwa Amanii

  • @dorahy1579
    @dorahy1579 3 ปีที่แล้ว +1

    Kweli kabisa. Hata mabango tu barabarani yanawababaisha wanaanza kuyangoa. Hakuna hata haja ya kutoa mabango yake. Uzuri muda wa dunia ni mfipi.

  • @abdulazizali7701
    @abdulazizali7701 3 ปีที่แล้ว

    Amen amen amen kwa heri..bye bye tusalimie

  • @febronianyangwala7524
    @febronianyangwala7524 3 ปีที่แล้ว

    Kweli shujaaa,Simba wa Tanzania

  • @erastojoseph3322
    @erastojoseph3322 3 ปีที่แล้ว

    Nenda shujaa nenda baba umemaliza mwendo kwa ushujaa nenda mwanaume umeacha alama Tanzania na duniani kote mabeberu walitahayari uliwaacha midomo wazi nenda kamanda nenda

  • @christinaheslon7134
    @christinaheslon7134 3 ปีที่แล้ว +1

    Very touching song

  • @godfreybikukana2079
    @godfreybikukana2079 3 ปีที่แล้ว

    Ukweli alikua shujaa tutalia Hadi mwisho katuachia matatizo makubwa wanatunyanyasa tunalia

  • @melchiadgodwine9192
    @melchiadgodwine9192 3 ปีที่แล้ว

    Nenda Hayati Magufuli simba wa Africa hakuna mfano wako baba

  • @hopenduhura9197
    @hopenduhura9197 3 ปีที่แล้ว +1

    Kwanini Kifo kimetufanyia ivi Kifo mimi sikuelewengi Kifo hanu huluma mbona wewe Kifo unaendelea kutuumiza ivi 😭😭 Kifo chenye kutupasua myoyo 💔💔💔 Nenda ukapumzike mahali peponi baba Magufuli we're Lost