Kimewaka tena!-Leo ataja orodha kamili ya waliohusika kumuua mwanae. Wamo wachungaji, mama mzazi...

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 175

  • @MugeniClaudine-y8l
    @MugeniClaudine-y8l 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu awakute mutu mwema kama mubarikiwa mungu awaurumiye watu wote munapiganisha mutumishi wa mungu mubarikiwa hata mumuuwe injiri itaendereya

  • @NeemaMinga-pl8ty
    @NeemaMinga-pl8ty ปีที่แล้ว +1

    Nimekuelewa sana, pole sana, mungu akuponye majeraha. Na mpaka Sasa wajue hyo damu isiyo na hatia itadaiwa ktk mikono Yao!

  • @yamunguwistone6371
    @yamunguwistone6371 ปีที่แล้ว +3

    Wewe Ni Jitu la Mbinguni akili ako Ni kubwa mno ya Mbinguni mtu wa kawaida ni ngumu kukuelewa mchungaji,wew n genius

  • @EsterBernardoVumo
    @EsterBernardoVumo ปีที่แล้ว

    Mtumishi Mungu Atakujibu Mwavhie Muachie Mungu Mungu Stawajibu KwaUbaya Wao.

  • @elisantemasaki
    @elisantemasaki ปีที่แล้ว +2

    Tumia silaha za Moto kuwapiga utawashinda wote

  • @deusmasalyuka7683
    @deusmasalyuka7683 ปีที่แล้ว +2

    Ni kweli nabii hakubaliki nyumbani kwao! Pole sana baba!

  • @noeleliasi8401
    @noeleliasi8401 ปีที่แล้ว +19

    Kwa hakili zangu timamu bila kushawishiwa na mtu, ntakufuata MBARIKIWA MWAKIPESILE kama unavyomfuata YESU. FULL STOP"

    • @elizabethdonat1344
      @elizabethdonat1344 ปีที่แล้ว

      unaumwa ww

    • @noeleliasi8401
      @noeleliasi8401 ปีที่แล้ว +1

      Kwa injili hii naumwa hakika.. Babu zako walimwambia YESU ana mapepo ya belzeburi sembuse mimi??

    • @PHANUELPHANUEL-tr1up
      @PHANUELPHANUEL-tr1up ปีที่แล้ว

      @@elizabethdonat1344 mti mwema huzaa matunda mema
      Na mti mbaya huzaa matunda mabaya
      Watanzania hatipendi ukweli ndo mana

  • @KessaBlessing
    @KessaBlessing ปีที่แล้ว +1

    Pole sana mungu atakujibu maombi

  • @majigedioniz8049
    @majigedioniz8049 ปีที่แล้ว +6

    Tunao mjua mkuu huyo wa mkoa gonga like au andika ya mwanzoni ya jina lake ila anajulikana

  • @MrJumaLOkal
    @MrJumaLOkal ปีที่แล้ว +1

    Mungu Asimame nawe katika hii na haya😢.
    Ninachoelewa mimi tangu kuharibikiwa kanisani 2018 , yapo masinagogi yasiyofwata msingi wa Kanisa la Yesu. Yana siasa kali sana na tangia hapo wamenihubiria sana Ayubu.

  • @mapendomeela7166
    @mapendomeela7166 ปีที่แล้ว

    Mungu akutie nguvu mtumishi kazi iliyobaki ni kuomba mungu tu kwa sababu haki imetoweka

  • @MugeniClaudine-y8l
    @MugeniClaudine-y8l 2 หลายเดือนก่อน

    Injiri ya mubarikiwa ni injiri ya uzima muzuri kabisa tunamupenda sana sana injiri inatubariki sana baba Yesu atakupiganiya atakama bike hivo

  • @RehemaGodfrey
    @RehemaGodfrey ปีที่แล้ว

    Mmh, mimi naogopa ngoja nimwachie uyu mungu ajibuye kwa ukubwa , ole wake umwitae mubarikiwa mpumbavu hujui kwasabbu so mtu wa rohoni huwezi kuelewa hiyi vita chazo chake ...

  • @MugeniClaudine-y8l
    @MugeniClaudine-y8l 2 หลายเดือนก่อน

    Aca Yesu akupiganiye wewe uko mutumishi unasemesha ukweri baba jinyamanziye baba

  • @epafraditopajenga4650
    @epafraditopajenga4650 ปีที่แล้ว +5

    Kweli Watu Weusi(waafrika)Hatuna Akili,Tunaishi Kwa Kuoneana Kwa Maneno Ya Masingizio Hatu Angalii Haki Tunaangalia Nafasi Ya Wanyanyasaji Na Matajiri, Masikini Hawana Chao,Hata Wakipatwa Na Mabaya,Hawana Wakuwa Upande Wao Hata Baadhi Ya WATUMISHI DINI Nao Unafiki Wanakutenga,Zaburi 37:25-28
    [25]Nalikuwa kijana nami sasa ni mzee,
    Lakini sijamwona mwenye haki ameachwa
    Wala mzao wake akiomba chakula.
    I have been young, and now am old; yet have I not seen the righteous forsaken, nor his seed begging bread.
    [26]Mchana kutwa hufadhili na kukopesha,
    Na mzao wake hubariki.
    [28]Kwa kuwa BWANA hupenda haki,
    Wala hawaachi watauwa wake.
    Wao hulindwa milele,
    Bali mzao wa wasio haki ataharibiwa.

    • @victorsiambe
      @victorsiambe ปีที่แล้ว

      Ww kwann usime Biblia ni kitabu cha shetani. Utabaki hivyo hivyo.omba Rehema na toba kwa Bwana wa majeshi

  • @MugeniClaudine-y8l
    @MugeniClaudine-y8l 2 หลายเดือนก่อน

    Yesu we Yesu weeeeee niwakawako nikikombe ukinweye baba Yesu yup atakupiganiya kama danyeri

  • @meryshekoloa961
    @meryshekoloa961 ปีที่แล้ว +1

    Watu wa saikorogia msaidieni huyu mtu jamani

  • @christianchando7041
    @christianchando7041 ปีที่แล้ว +5

    KWA CRIP HII MBARIKIWA NIMEKUELEWA SANA SANA SANA, NA KILA MWENYE MOYO SAFI USIO NA HILA NDANI YAKE, ATAKUWA AMEKUELEWA. UMEFAFANUA VIZURI SANA

  • @greysonmalila1296
    @greysonmalila1296 ปีที่แล้ว +1

    Yesu alistahili kufa ili agano litimie na hakufa mpaka muda wa kutoa sadaka ulipo fika saa9 akasema Mungu Baba Roho yangu naiweka mikononi Mwako ndipo akafa. Maana yake aliruhusu kifo chake so ili agano litimie

  • @luckymsomba4818
    @luckymsomba4818 ปีที่แล้ว

    Mungu akusaidie

  • @shukranimpomwa7460
    @shukranimpomwa7460 ปีที่แล้ว +4

    Maneno haya niliyoyasikia yamenifumbua macho sana na kuujua ukweli.
    Kumbe mnyororo mpaka Yesu anakufa ulikuwa si kwa wale tu waliomsurubisha....
    Aiseee nimekuelewa saaaaana.
    Nakusikiliza Baba tena nakuelewa.
    (LIKIJA LOLOTE, HAKUNA KURUDI NYUMA.

  • @dennismbote4771
    @dennismbote4771 ปีที่แล้ว

    Anayeweza kukuelewa ni tule wa Rohoni tuu.KAZA MWENDO USIRUDI NYUMA,TAJI YAKO IPO MTUMISHI.

  • @ramadhanimtetu3656
    @ramadhanimtetu3656 ปีที่แล้ว

    Mtumishi Pole kwa kufiwa na Mtoto wako
    Pole sana nashauri samehe 7 × 70
    Nadhani ni Sehemu ya Hekima za Neno la Mungu
    Kuwa mfano wa kusamehe ili wengine tujifunze kwenu kutoa Msamaha kwa wanaotukosea

    • @thomastarimo
      @thomastarimo ปีที่แล้ว

      mungu yupo na wewe usiofu ila Toni LA machozi yako atakaye yafuta ni mungu peke yako ila ibilis mungu ipo siku ambayo aina jina mungu ata mfamia ibilisi

  • @Solace577
    @Solace577 9 หลายเดือนก่อน

    Tulia basi dogo imetosha sasa khaa😂

  • @Commentsplus
    @Commentsplus ปีที่แล้ว +1

    yani kama unalaaana ya mama utatoboa kweli

  • @godsonanthonymshairi-tanza4088
    @godsonanthonymshairi-tanza4088 ปีที่แล้ว +1

    Hapo ndipo penye subira ya watakatifu hao,wazishikao amri za MUNGU na imani ya Yesu.Ufunuo 14;12.

  • @Expedito2512
    @Expedito2512 ปีที่แล้ว +1

    Huyu bwana ana shida ya kisaikolojia. Sijui watu hawa wanaweza msaada wapi!

  • @greysonmalila1296
    @greysonmalila1296 ปีที่แล้ว

    Si uwafungulie mashtaka..aise huyu jamaa asaidiwe kisaikolojia

  • @ThobiasMarandu
    @ThobiasMarandu ปีที่แล้ว

    Mtoto Wako Aliuawa Lini, Na Nani Kwa Njia Gani? Unaweza Ukawa Unaeleza Kitu cha Maana LAKINI SIKUELEWI UNAONGEA NINI.

    • @Mbarikiwa_Mwakipesile
      @Mbarikiwa_Mwakipesile  ปีที่แล้ว

      Hata kwenye comment ya kwa tulikujibu. Mtoto aliuawa tar 25/8 /2022 aliuawa kwa sumu. Aliuawa kwa mipango iliyoratibiwa na mkurugenzi mkuu wa usalama wa taifa. Ambayo alikiri mwenyewe kama tulivyosikia kwenye clip uliyocomment mwanzo

  • @barakahhawu2324
    @barakahhawu2324 ปีที่แล้ว +2

    ILA HUYU JAMAA AITWAYE MBARIKIWA MWAKIPESILE HATA AKIONDOKA DUNIANI HAWEZI AKAWA KAMA MWANAKIJIJI WA KAWAIDA

  • @SmilingCityMap-xb9md
    @SmilingCityMap-xb9md 7 หลายเดือนก่อน

    Ee jamani kumbe mtoto aliuwawa mimi nilifikili ameumwa jamani jamani

  • @VictorNgosi
    @VictorNgosi ปีที่แล้ว

    Serekali ilie muuwa yesu nakumbuka waligusa maswala ya ushuru kulipa Kodi nihalali yesu akawaanbia pesa sura ya nani wakataja nae yesu akawajibu basi ya MUNGU mpeni MUNGU yakalisali mpeni karisali mungu akupe nguvu mtumishi wa kweli

  • @wadeelegbogun3015
    @wadeelegbogun3015 ปีที่แล้ว +10

    Hao ndo walivyo, JPM mwenyewe walimuuwa hata nyerere

    • @mestonisimzosha203
      @mestonisimzosha203 ปีที่แล้ว

      Du!!Kumbe na JPM Wali Muuwa??
      Kumbe wana Uwa Ili Watawala??watoshe kwenye Vyeo??Yatawatokea puwani.

    • @sifawayesu7079
      @sifawayesu7079 ปีที่แล้ว

      ​@@mestonisimzosha203Ni kweli kabisa!!

  • @cathelinematondo3992
    @cathelinematondo3992 ปีที่แล้ว +2

    MUNGU wewe utabaki kuwa Mungu.😭😭

  • @sayunimkongwa9830
    @sayunimkongwa9830 ปีที่แล้ว +3

    Kweli ni wa Kati tu soon kila kitu kitakua wazi.

    • @NicodemusKithi-xe7mg
      @NicodemusKithi-xe7mg 9 หลายเดือนก่อน

      Muachie mungu mchungaji ju makanisa yamegeuzwa kua biashara 😢😢

  • @ThobiasMarandu
    @ThobiasMarandu ปีที่แล้ว

    Sijawahi Kusikia Mtu anaongea Mkorogo kama Huyu, Is he OK?

    • @Mbarikiwa_Mwakipesile
      @Mbarikiwa_Mwakipesile  ปีที่แล้ว

      Una lako jambo. Comment zote ulizo comment mwanzo ulijibiwa vyote ulivyovihitaji. Mwanzo tulijua unatafuta taarifa ili uwe sehemu ya mlalamikaji. Na kumbe unatafuta taarifa ili kusherehekee vizuri. Hapo hujibiwi tena. Endelea kusheherekea

  • @catherinekakwaya7274
    @catherinekakwaya7274 ปีที่แล้ว +1

    Msamehe mama tu kisasi ni juu ya BWANA

  • @barakahhawu2324
    @barakahhawu2324 ปีที่แล้ว +2

    KULE KWETU WANAPOTEZA WATOTO WAO ILA WANAUMIA ROHONI TU ILA HUYU JAMAA DUNIA NZIMA ITAJUWA DAMU YA SHUJAA WANGU WOKOVU HAIPOTEI KIZEMBE

  • @EsterBernardoVumo
    @EsterBernardoVumo ปีที่แล้ว

    Atawajibu TuMingu Ndie Kimbilio Letu.

  • @barakahhawu2324
    @barakahhawu2324 ปีที่แล้ว +2

    Kote ni kufa tu BABA hawa wanywadamu wamezidi sana wamesahau kama na wao watakufa tena KIFO CHA MBWA MWIZI

  • @BlandinKalistus
    @BlandinKalistus 6 หลายเดือนก่อน

    Ni kweli kwani kuna wengi hawajakuelewa baba so MUNGU atawajibu but niseme pole sana

  • @ugalidona-cs2yn
    @ugalidona-cs2yn ปีที่แล้ว +3

    Kama Hauna Atia na Aina ya UOVU Na DHAMBI kinachowasumbua/Kinachotusumbua/Kinachonisumbua Nini Sasa,INJILI Si Ndo Inachimbachimba kama kiduduMtu.
    Nukuu:
    Msidhani ya kuwa nimekuja kuleta amani duniani; la! Sikuja kuleta amani, bali upanga. Kwa maana nalikuja kumfitini mtu na babaye, na binti na mamaye, na mkwe na mkwe mtu; na adui za mtu ni wale nyumbani mwake.
    Apendae baba au mama kuliko mimi, hanistahili;
    wala Apendae mwana au binti kuliko mimi, hanistahili.
    wala mtu asiyechukua msalaba wake akanifuata, hanistahili.
    Mwenye kuiona nafsi yake ataipoteza; na mwenye kuipoteza nafsi yake kwa ajili yangu ataiona.
    AMINA.
    TUNASHUKURU MUNGU KWA YOTE YAJAYO TWAPOKEA WEWE JINSI WEWE UONAVYO YASTAILIVYO BWANA WA MAJESHI TWAPOKEA,
    AMINA.

  • @rahelmwasyoge8586
    @rahelmwasyoge8586 ปีที่แล้ว +1

    baba tunajua unapia wakati mgum sana mwachie mungu ndio akao wadabiasha

  • @JanethEmmanuelEmmanuel-qo9fq
    @JanethEmmanuelEmmanuel-qo9fq ปีที่แล้ว

    aliuawaje mtoto,alipigwa lisasi au aliugua?au alipata ajari?sote uwa tunaumia anapofiwa mwenzetu,ila pia hatutoi lawama kwa mtu,ikiwa mtu amekufa kwa Ugonjwa au ajari inayoeleweka,nimesema ivi kwa sababu nimesikia kirip Moja dada ake akisema kua mdogo ake alimuomba MUNGU afe kabla ya baba ake,sasa kama alijibiwa na akafa kifo Cha ajari au Ugonjwa,lawama za Nini?tuache tumlilie mpendwa wetu kwa aman bila kulaum watu,au mtujilishe wazi kua alitekwa akabakwa au akapigwa au akadungwa sindano ya sumu

  • @johnmalembo6464
    @johnmalembo6464 ปีที่แล้ว +2

    Mungu ni Mungu the

  • @Petronasari
    @Petronasari 8 หลายเดือนก่อน

    Ubirieni watu waokoke watoke kwenye dhambi punguzeni majungu na vijembe mitandaoni jamanii

    • @Mbarikiwa_Mwakipesile
      @Mbarikiwa_Mwakipesile  8 หลายเดือนก่อน

      Naamini hata kuokoka kwenyewe hujui. Injili yenyewe hujui ndio maana uekazana tu hubirieni watu. Ungejua kuokoka au injili ni nini ungetambua kuwa kuwakemea wauaji kuacha kuua au kuzini kwa kuwawekea mifano ya wanavyoua au kuzini ndio kuokoka /injili. LAKINI KWA KUWA NI MSUKULE NA LIMBUKENI WA SMART FONE UTABAKI TU UKIJAMBA-JAMBA TU NA HICHO KI COMMET CHAKO. na kuwaamb

  • @balikimashukla9955
    @balikimashukla9955 9 หลายเดือนก่อน

    Hufai kuwa mchungaji

  • @SaviorAfrica
    @SaviorAfrica ปีที่แล้ว

    CCM. MUST GOOOO

  • @galusikiliani6228
    @galusikiliani6228 ปีที่แล้ว

    Da! Lazima iume da! 😭😭😭😭😭😭😭

  • @paulomsafi
    @paulomsafi ปีที่แล้ว

    Free mbarikiwa

  • @LucianSanga-q8j
    @LucianSanga-q8j ปีที่แล้ว

    Usi ogope wanao ua Mwili sindio Mnasema wenyewe Asha Tanguliatu wote huko hakika tuta kwenda AMINA

  • @simonjohn2784
    @simonjohn2784 ปีที่แล้ว +1

    Mtumishi sikuzote watu wanao uwa watu wasio na atia hawata pona damu ni nzito nao wataangamia

  • @rashidmtengule3681
    @rashidmtengule3681 ปีที่แล้ว

    unatapatapa tu wewe kama kweli munguanakupenda wewe mbona hujatoka gerezani pumbavu we

  • @Expedito2512
    @Expedito2512 ปีที่แล้ว +1

    Ila mie ningekuwa na madaraka huyu jamaa alitakiwa kushikwa ili aongee vizuri isije kuwa kifo cha mtoto wake anajua kimekujaje ili apate pakusemea

  • @VenanceMwaisanga
    @VenanceMwaisanga 7 หลายเดือนก่อน

    Huyo mama yako anatakiwa kukamatwa nakufungwa miaka 30.pia huyo ima anatakiwa aperekwe mahakamani akahojiwe uhakika wa mbalikiwa alivyojiunga filimasoni.ila kwamaerezo ya wachungaji unaowatuhumu unamkosea munguu.pia unalazimisha mtu kukusaidia mimi nazani ukipata shida huwezi razomisha watu kukusaidia.nahuyo aliye mkuu wa usalama taifa unaesema alikuambia kuwa amemuuwa mtoto wako iliatoshe kwenye cheo huo ulikuwa ndio ushahidi wako. Mfungulie mashtaka.lakini ukienderea kuwasema wachungaji wenzako mungu atakushugulikis hautakuwa salama

  • @elisantemasaki
    @elisantemasaki ปีที่แล้ว

    Hawa maadui zako si kuwa hawana makosa lkn badili mbinu tumia maombi ya Vita UA wote

  • @mawazomolani2677
    @mawazomolani2677 ปีที่แล้ว

    Mtumishi wa JEHOVA sisi na watoto wetu wote tu Mali ya MUNGU na hayupo ambaye hatakufa anaye ua atakufa pia imeandikwa auaye kwa upanga atakufa kwa upanga hivyo jifunze kwa ibrahimu pale alipoambiwa amtoe sadaka mwanae pekee ambaye alimpata uzeeni jibu la ibrahimu lilikuwa ni (NAJUA NITAMUONA TENA MWANANGU)
    hivyo mtoto wako si wako wewe ni mtoto w MUNGU (pia ayubu aliambiwa ni MUNGU tu ajuaye thamani ya mwanadamu) japo MUNGU hutuzihilishia hakika ya kuwa thamani ya mwanadamu ni ndani ya nafsi zetu.
    Mtumishi wa MUNGU akupe neema ili ujue namna ya kustahimili hili
    Mwisho
    Mimi umenifunza mengi sana juu ya MUNGU hivyo neema ya MUNGU NA IWE JUU YAKO PAMOJA NA NYUMBA YAkO
    MTETEZI WETU YU HAI

  • @Expedito2512
    @Expedito2512 ปีที่แล้ว

    Hallo yaaani Watanzania wote wameua mtoto wa mbarikiwa yaani. Huyu jamaa wamsaidie siyo mzima mjue. Kuna siku anakiwa Makenzie

  • @GeemsonErnest-cq9ey
    @GeemsonErnest-cq9ey ปีที่แล้ว

    Ameni

  • @Commentsplus
    @Commentsplus ปีที่แล้ว

    huyu jamaa ashukuru anamke mwenye akili ingawa kamuambukiza uchizi

  • @dianamdaku9802
    @dianamdaku9802 ปีที่แล้ว

    mmh! haya mambo kumbe bado mazito?!!

  • @annamushi5702
    @annamushi5702 7 หลายเดือนก่อน

    Watu wakifa tunasema wameuwawa, je wanaoitwa na Mungu hawapo?

    • @Mbarikiwa_Mwakipesile
      @Mbarikiwa_Mwakipesile  7 หลายเดือนก่อน

      Kwa hili wazungu wamewaweza.yaani wanaitwa watoto wadogo wa kiafrika wa kwao ndio Mungu hapendi Kuwait. Ndugu yako aliyeua amejitapa kuua huyo ndiye Mungu wenu anayetwaa? Unaichoka kwa kuwa una roho ya uuaji.

  • @VictorNgosi
    @VictorNgosi ปีที่แล้ว

    Nakuombea uwe na amani ongea ukweli hata wakifanya dhambi ya kukuumiza MUNGU YEHOVA tumaini letu afanya ujuzi pole

  • @scolasticakaduma5143
    @scolasticakaduma5143 ปีที่แล้ว

    Imeandikwa wazazi wasiwachokoze watoto. Huyo Mama yako anastahili kwenda jela kwa sababu mamako ni mchokozi.

  • @fcbooktest1154
    @fcbooktest1154 ปีที่แล้ว

    Ndugu zake

  • @ssalimsalim3864
    @ssalimsalim3864 ปีที่แล้ว

    Issue ya bandari imeisha sasa ni issue ya kuuliwa mtoto wa mchungaji na hii ikiisha what will be the next??

  • @aminaasia-jl8fk
    @aminaasia-jl8fk ปีที่แล้ว +1

    Mimi naonaungemuachia MUNGU

    • @Mbarikiwa_Mwakipesile
      @Mbarikiwa_Mwakipesile  ปีที่แล้ว

      Kwa nini wewe haujamwachia Mungu ku comment? Ungemwachia Mungu a comment na mimi ningemwachia Mungu aseme.

  • @janeraphael5430
    @janeraphael5430 ปีที่แล้ว

    Heeee mmm

  • @SaviorAfrica
    @SaviorAfrica ปีที่แล้ว

    CCM. WAMESHINDWA KUTAWALA KWA SASA

  • @NuruMbongo
    @NuruMbongo 4 หลายเดือนก่อน

    Sijawahi kuniuliza swali km Hilo kuwa Nani alimuwa yeah mmmmmmm ajili ni nywele

  • @PonsSalimu
    @PonsSalimu 4 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @wadeelegbogun3015
    @wadeelegbogun3015 ปีที่แล้ว +1

    Hakuna kesi, hatupo wa kukutesa mwakipesile na mke wako ,dunia nzima tunajua.

  • @sagandamalechampullo659
    @sagandamalechampullo659 ปีที่แล้ว +2

    UMESEMA UKWELI KABISA

  • @elibarikimanjia8391
    @elibarikimanjia8391 ปีที่แล้ว

    DAWA NI KATIBA MPYA TU.

  • @peterkifaru7655
    @peterkifaru7655 ปีที่แล้ว +2

    Tatizo la mbalikiwa anataka kila anacho ongea umsapoti

    • @Mbarikiwa_Mwakipesile
      @Mbarikiwa_Mwakipesile  ปีที่แล้ว

      Na tatizo lako ni nini? Uliwahi kusapoti nini. Hata kama husapoti yote lakini kutukana wakati wa kufiwa kwa sura kama hii ni sawa na waliohusika kumuua Yesu.

    • @jenyyusuph4973
      @jenyyusuph4973 ปีที่แล้ว

      ​@@Mbarikiwa_Mwakipesile amekwambia hivyo?

    • @shukranimpomwa7460
      @shukranimpomwa7460 ปีที่แล้ว

      Peter Upo upande gani, Je? Upo upande wa Mbarikiwa au upande wa wauaji?

    • @estermsigwa1476
      @estermsigwa1476 ปีที่แล้ว +1

      Ndo shida ipo opo Yesu mwenyewe hakutaka kujulikana hadi aimalize kazi iliyomleta ila mwakipesile anatafuta kujulikana kwa nguvu

    • @shukranimpomwa7460
      @shukranimpomwa7460 ปีที่แล้ว

      @@estermsigwa1476 Upo upande gani, Upande wa wauaji au upande wa Mbarikiwa.

  • @Commentsplus
    @Commentsplus ปีที่แล้ว

    majinga mengi yanajiamini na hili jinga linajiamini kwa ujinga

    • @SaraGidioni
      @SaraGidioni 10 หลายเดือนก่อน

      Usiombe likukute jaman kufiwa mmmh

  • @annamushi5702
    @annamushi5702 7 หลายเดือนก่อน

    Mtoto ameuwawa kwa njia ipi sasa, kweli hapo kazi ipo. Maana tumechoka na hii story, je una jipya lolote?
    Nakushauri ukiachana na mambo ya watu, ukafanya kazi Mungu alokuitia kama kweli umeitwa, utakaa sawa sana, ila kwa sasa unaonekana chizi ndugu yangu, sikufichi😂

    • @Mbarikiwa_Mwakipesile
      @Mbarikiwa_Mwakipesile  7 หลายเดือนก่อน

      Kwa hili wazungu wamewaweza.yaani wanaitwa watoto wadogo wa kiafrika wa kwao ndio Mungu hapendi Kuwait. Ndugu yako aliyeua amejitapa kuua huyo ndiye Mungu wenu anayetwaa? Unaichoka kwa kuwa una roho ya uuaji.

  • @shadrackwilfred2606
    @shadrackwilfred2606 ปีที่แล้ว +5

    *HUYU NI MTU WA MUNGU KWELI*

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 ปีที่แล้ว

    Hata sielewi

  • @barakahhawu2324
    @barakahhawu2324 ปีที่แล้ว

    Waswahili wanasema mficha maradhi kifo humwumbua, ubaya ni ubaya tu

  • @frenkfarm
    @frenkfarm ปีที่แล้ว +1

    duuuuuuu nimungu tu kiukwer

  • @jeremiajakobo-o4s
    @jeremiajakobo-o4s ปีที่แล้ว

    Ukwel kaz umeifanya

  • @sifawayesu7079
    @sifawayesu7079 ปีที่แล้ว

    Mpaka hapo mtu asipoamini kuwa Wokovu aliuwawa basi hakuna maelezo yatakayokuja kueleweka.

    • @markodaniel2662
      @markodaniel2662 ปีที่แล้ว

      Sasa kama Wokovu ameuwawa mahamuzi yenu ni yapi?
      Mtahamua nini?

    • @sifawayesu7079
      @sifawayesu7079 ปีที่แล้ว

      @@markodaniel2662 Maamuzi yangu mimi ni kuwasema sema sana wauaji ili wachukue hatua ya kutubu au kuniua na mimi ila haki,utu na ubinadamu Tanzania utawale.
      Ameeeeeen

  • @Commentsplus
    @Commentsplus ปีที่แล้ว

    kumbe analaana 16:12

  • @AnithaJoseph-d6e
    @AnithaJoseph-d6e ปีที่แล้ว +1

    Ukiwa rohoni utajua anaongea nn lkn ukiwa mwilin ni ngumu kujua anaongea nn

    • @SimaNestory
      @SimaNestory 4 หลายเดือนก่อน

      Kwa kweli

  • @fredynjige5663
    @fredynjige5663 ปีที่แล้ว

    ❤ now I agree you pastor you have too much trouble & psychological problems ukikosana na mama na ndugu zako huwezi kuwa sawa mirembe inakuhusu la sivyo kanisa lifunge lakini pia tumia vizuri youtube

  • @janemhangomhango5841
    @janemhangomhango5841 ปีที่แล้ว +1

    Kwanza niulize huyo mtoto aliumwa au maana niliona msiba wa mtoto mtandaoni

    • @HelbethMlelwa
      @HelbethMlelwa ปีที่แล้ว

      Wewe u mgeni katika TANZANIA hata usijue hapa za mtu hodari kama huyu ambazo zimeenea nchi nzima??

    • @estermsigwa1476
      @estermsigwa1476 ปีที่แล้ว

      Alikua na maladhi yake ila mambo ya kibinadamu kutaka mtu mmoja akisema jambo anataka nchi nzima asikilizwe yeye tu pasipo kusikilizwa kinachobaki kuendelea ni masimango na maneno makali makali na malalamishi yanakua mengi

    • @HelbethMlelwa
      @HelbethMlelwa ปีที่แล้ว

      @@estermsigwa1476 Hayo maradhi si mlimpa ninyi wenyewe. Au wewe haujasikia kwamba na wewe ulihisika kuua mtoto ili iseme kwamba alikuwa na maradhi yake.

    • @estermsigwa1476
      @estermsigwa1476 ปีที่แล้ว

      @@HelbethMlelwa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mmeshapotelea humo humo

    • @HelbethMlelwa
      @HelbethMlelwa ปีที่แล้ว

      @@estermsigwa1476 Huo ndio ukweli, asilimia 99.999 ya magonjwa ya waafrika ni wazungu/maabara.

  • @SaviorAfrica
    @SaviorAfrica ปีที่แล้ว

    CHEO NI DHAMANA. TU

  • @Kasa.c
    @Kasa.c 7 หลายเดือนก่อน

    Please dont talk much. It isnt right. Haikusaidii na chochote. Pray that God fights your battles for you.

  • @yusufumahendeka2456
    @yusufumahendeka2456 ปีที่แล้ว

    Baba kwa hali yoyote mimi niko upande wako kwa yote siwezi nikakusaliti baba

  • @nurunswebe4203
    @nurunswebe4203 ปีที่แล้ว

    Mr zwangendaba tuliza moriiii

    • @sifawayesu7079
      @sifawayesu7079 ปีที่แล้ว

      Hatulii mpaka na nyie machawa makubwa makubwa mnyamaze kwanza.

    • @lilyrose7983
      @lilyrose7983 ปีที่แล้ว +1

      Hilo jina na wewe umelitoa wapi?😳

    • @nurunswebe4203
      @nurunswebe4203 ปีที่แล้ว

      @@sifawayesu7079 we kuma lambwa nini

    • @sifawayesu7079
      @sifawayesu7079 ปีที่แล้ว

      @@nurunswebe4203 Matusi yanayotoka moyoni mwako yanaonyesha ulivyo mchafu kama baba yako shetani.

  • @aggreyprince3983
    @aggreyprince3983 ปีที่แล้ว +1

    Kumbe wewe ni kichaa ulimkataa hadi mama mzazi neno msamaha kwako halipo.

    • @Mapitoyazamani-y7n
      @Mapitoyazamani-y7n ปีที่แล้ว

      Kama kawaida ya chawa, hamkosi kuwepo.

    • @shukranimpomwa7460
      @shukranimpomwa7460 ปีที่แล้ว

      Umesikiliza kwa sikio la mbuzi.
      Hapo ninani wa kuomba msamaha

    • @sifawayesu7079
      @sifawayesu7079 ปีที่แล้ว

      Nakushangaa wewe mwenye akili zako timamu kumsikiliza kichaa bila shaka na wewe ni kichaa tena hata zaidi yake.

  • @charlesgasper-wo9hc
    @charlesgasper-wo9hc ปีที่แล้ว

    Wayahudi wenzake ndiyo waliomuua kwakulazimisha.

    • @VictorNgosi
      @VictorNgosi ปีที่แล้ว

      Serekali waliuwa wakaandaa watu wakafanya kile walie agizwa serekali ndio chazo Cha matatizo hapa duniani

  • @aggreyprince3983
    @aggreyprince3983 ปีที่แล้ว +3

    Huyu Mzee ni chizi watu wengi wamefiwa na watoto yeye ana fananisha kifo cha mwanaye na YESU.

    • @musajulias3392
      @musajulias3392 ปีที่แล้ว +1

      Wewe ndio chizi yakobo aliomboleza Kwa miaka mingapi kifo Cha yusufu

    • @zuleyvendor6577
      @zuleyvendor6577 ปีที่แล้ว +1

      ​@@musajulias3392 kwahiyo na wewe ni yakobo au sio 😂😂😂😂 acha kushika watu uchawi mtoto wako alikuwa binadamu wa kawaida na kufa ni lazima kwa kila mtu tulia bwana unatuchosha

    • @shukranimpomwa7460
      @shukranimpomwa7460 ปีที่แล้ว +2

      Kipimo cha kusema Mbarikiwa ni chizi kimewapelekea mkafanya mauaji ya kuua mtoto?

    • @Mapitoyazamani-y7n
      @Mapitoyazamani-y7n ปีที่แล้ว

      ​@@zuleyvendor6577 Subiri siku utakayofiwa ndo utaseme upumbavu kama huo.

    • @shukranimpomwa7460
      @shukranimpomwa7460 ปีที่แล้ว

      @@zuleyvendor6577 hatukatai kufa tunachokataa kitendo cha ukatili cha kuua kwa rugayako hiyo inaonyesha unasapoti wauaji.

  • @Yeshuatv729
    @Yeshuatv729 ปีที่แล้ว

    Pointlesssssss

    • @Mbarikiwa_Mwakipesile
      @Mbarikiwa_Mwakipesile  ปีที่แล้ว

      But massage sent and delivered. Najua wewe uko kwenye kikundi cha wazuri ambao mnajua kuwa mna uwezo wa kuua lakini hamwezi kufa. Lakini swali ni je kweli wazuri hamfi?

  • @jozeeshirima9231
    @jozeeshirima9231 ปีที่แล้ว

    KWAIYO UNAITAJI KITU GANI KIFANYIKE AU UNAITAJI MALIPIZO,UCHUNGU UTAKUKOSESHA MBINGU,SAMEHE 7×70:

    • @Mbarikiwa_Mwakipesile
      @Mbarikiwa_Mwakipesile  ปีที่แล้ว

      Mitume na wahubiri wanaohubiri kuuawa kwa Yesu na mitume wengine walikosa mbingu? Hawakujua kusamehe 7*70? Basi huko mbinguni utaenda wewe tu na wauaji tu ndio wazuri. Na wazuri mnasema hamfi.

    • @jozeeshirima9231
      @jozeeshirima9231 ปีที่แล้ว

      @@Mbarikiwa_Mwakipesile Nosens

    • @Mbarikiwa_Mwakipesile
      @Mbarikiwa_Mwakipesile  ปีที่แล้ว

      @@jozeeshirima9231 umeshinda

  • @janemhangomhango5841
    @janemhangomhango5841 ปีที่แล้ว +1

    Walimuuwa kwa uchawi au sijaelewa

  • @jacksonsilvery5963
    @jacksonsilvery5963 ปีที่แล้ว

    MTOTO WAKO AMEKUFA SASA ENDELEA NA KAZI YA MUNGU.ACHA KABISA KUMUSEMA MAMA YAKO KWENYE MTANDAO WA INTERNET.

    • @Mbarikiwa_Mwakipesile
      @Mbarikiwa_Mwakipesile  ปีที่แล้ว

      Musingeua ningenyamaza. Ila kwa kuwa mlimuua nitasema sana ili msiue wengine kirahisi hivi.
      Atakapokushawishi kwa siri ndugu yako, mwana wa mamaako, au mwana wako, au binti yako, au mke wa kifuani mwako, au rafiki yako aliye kama moyo wako, akikuambia, Twende tukaabudu miungu mingine usiyoijua wewe wala baba zako;.... usimkubalie wala usimsikize; wala jicho lako lisimwonee huruma, wala usimwache, wala usimfiche; Nawe mtupie mawe hata afe; kwa kuwa alitaka kukupotoa na Bwana, Mungu wako aliyekutoa katika nchi ya Misri, katika nyumba ya utumwa. Na Israeli wote watasikia na kuogopa, wasifanye tena uovu mfano wa huo katikati yako (KUMB 13:6-11)
      Yesu alimsema mama yake kwenye Biblia inayosomwa vizazi na vizazi aliacha injili?

    • @VictorNgosi
      @VictorNgosi ปีที่แล้ว

      Yesu aliwakataa mama yake na ndugu zake mlinzi alimwambia yesu Kuna mama Yako na ndugu zako wanakuita yesu akajibu hawo sindugu zangu wara simama yangu ndugu zake wanae shika neno la MUNGU mama anae fata maagizo yamungu usijibu mambo kama hujuwi ukiuliwa na mwanao utayajuwa haya

  • @allanlyombile7014
    @allanlyombile7014 ปีที่แล้ว

    Ulisema wewe ulikuwa wa kwanza kupata wazo la kutafuta shamba polini kusiko na watu ili uhamie na waumini wako kabla ya Mackenzie, vipi wewe umeahirisha au msimamo wako uko palepale?

    • @musajulias3392
      @musajulias3392 ปีที่แล้ว

      Wewe pita kule

    • @Mapitoyazamani-y7n
      @Mapitoyazamani-y7n ปีที่แล้ว

      Kawaida ya ma-slow leaner, mada na swali havihusiani kabisa.
      Si hamia wewe porini tatizo liko wapi kwani!!.

    • @shukranimpomwa7460
      @shukranimpomwa7460 ปีที่แล้ว

      Kripi hii sijaona au kusikia mada hiyo.
      Au ndo wale wanawaita machawa, ambao kazi yao ni kupotosha ukweli?

    • @rebekamoshi2623
      @rebekamoshi2623 ปีที่แล้ว

      @@Mapitoyazamani-y7n haha

    • @sifawayesu7079
      @sifawayesu7079 ปีที่แล้ว

      Mbona ameeleza vizuri kabisa?
      Na hapa hajamzungumzia huyo taperi mwenzio au wewe ni chawa na unatoa komenti bila hata kusikiliza?
      Au wewe pia ni......

  • @ArcoiriscelestialTv
    @ArcoiriscelestialTv ปีที่แล้ว

    Mtumishi naomba yako ya whatsap nataka to talk at you