Daaa Madame Speaker Mungu aendelee kukulinda saana,yaani umelifafanulia vizuri sana Bunge kama na ww ni Mhanga kama mimi maana nikiona hy sifa ya kupitia JKT au JKU sihangaiki hata kusoma kwingine nabaki naumia saana,maana wengne tulikosa fursa ya kwenda JKT ni umri tukachujwa....kwa hy hizo ajira nikawa naziona za upendeleo
Kwahiyo mnawachukuwa watoto wenu ili waweze kupewa kazi.Tunawafahamu sana maccm mmeisha chukulia hii Inchi ni yakwenu tu. Tumewachoka sana sana hata nanyi kujiweka maccm bungeni ni kufanya Inchi hii iendelee kuwa yenu. Siku moja mtajibu mbele ya Mungu.
JAMANI HII INAFANYA KAZI KWASASA MTUSAIDIE KWA HILO ILO SWALA LA WALIOPITA JKT LIPO NA LINAFANYA KAZ YAN AJIRA ZOTE ZINAZOTOKA MAGEREZA, ZIMAMOTO, UHAMIAJI, police yoote kigezo awe amepita jkt kwanini jaman watu sio wote wamepata fulsa ya kupita uko jkt
Mh spika nimekuelewa vizur kwa hilo angalieni sana juu ya hilo swala watoto wanaenda kujitolea lakini bado manyanyaso chungu nzima kama ni ajira ya moja kwa moja ni maonezi makubwa sanaa
Madame Speaker has a point. Ukiangalia fairness, muajiriwa hatakiwi kunyimwa haki kwa sababu serikali haijatekeleza wajibu wake wa kuwapa fursa vijana wote kupitia JKT. By the way JKT ya sasa wenyewe tunajua iko kwenye level zipi 😊
Ushauri wangu kila mwana nchi aende jeshini wakachukue uzarendo wa Taifa lao na kurinda nchi yao pia Dunia inaweza ingia vita kuu ya 3 ya Dunia Taifa letu tuta linda kwa nguvu zote ,hizo ajira zina kuwa za kindugu siku ngoma ikiwa shindwa watazolewa nawatu ambao hawjui
Muanze kwa ku assess hayo mafunzo yana apply vipi kwenye maisha ya Mtanzania kwenyevmaisha yake ya kawaida baada ya kujifunza wengi hawatoingia Jeshini. mafunzo yawe incorporated kwenye syllabus from primary to secondary school..kama sababu ni uzalendo ..uzalendo uanze na hao wanao hujumu uchumi
Hii Inakera sana suala la jkt Yan saiv ajira zote za police,magereza uhamiaji,zimamoto Yan huwez pata kaz kama hujapita jkt kwanini serikal inafanya ivyo????????hii ishu ipo na inafanya kazi kila tangazo la ajira saiv utakuta kigezo jkt😢😢😢
Waliopita jkt tu ajira hamna, ni shida sasa tukisema tuchukue moja kwa moja uraisi si itakuwa tabu zaidi, Hapo tutakuta wasiopita jkt ndo wanajaa kwenye majeshi.
Kasoma Nini? Wewe unaona ni sawa watu kukosa ajira kwa kigezo Cha jkt ? Why serikali isiseme Kila Mtu akimaliza Form 4 na six wote waende jkt ili atakae kaidi siku nafasi za kazi zikitoka na Hana kigezo hicho asichkuliwe lakini now day's Wana chagua baadhi ya wahitimu waende jkt.
Kupingwa kwingi kwa Waziri yoyote hua inaonyesha waziri huyo hatoshi, Mwigulu ni muhanga wa hili ktk kila wakati, na hua anaonyesha usanii fulani, hekima na busara ya kuigiza imemjaa sana, sasa sijui hua yupo hapo kwa sababu labda anarahisisha mambo binafsi ya watu ama ni nini sielewi, lakini kiukweli Mwigulu ni msanii msanii
Mh.Spika hata walewaliopitia Jkt naohawapati ajira. Badotunaangalia huyu ni mtoto wa mkubwa fulani,na wengi wawalalahoi hawpati ajira. Nitatizokubwa sana.
Wabunge hawajui mambo ya ulinzi. Anaweza kuchukuliwa raia, akaenda kushindwa mambo ya ukakamavu, je, afukuzwe? Lkn aliyepita JKT Amesha julikana kuwa anaweza mambo ya ukakamavu. Hivyo wataajiriws toka uraiani lkn wakienda kwenye mafunzo wakashindwa watafukuzwa tu.
Kipindi kile JKT imefutwa kuanzia mwa 1994 watoto walikuwa hawaajiliwi? Acheni ubaguzi wa waziwazi. Aidha wapelekwe wote JKT then ajira ije au wakiondoe kabisa hicho kigezo .
Kunatafiti yoyote inayoonyesha kuwa ambao hawakupita JKT walifeli mafunzo? Kati ya mwaka1994 hadi 2000 ambapo kulikuwa hakuna JKT, watu hawakuajiliwa? Kama ajira ziliendelea kuwepo, sasa huo ukakamavu unaousema unadhani unayonafasi kabla ya mafunzo? Nadhani ipo haja ya kuendelea kuitafakari hoja.
wewe naye kuwa unajuwa maana hizi mbili mosi mafunzo ya JKT KWA MUJIBU NA MAFUNZO YA JKT, maana yake nini ni kwamba jkt kwa mujibu ni wale vijana waliyo maliza form six kwa mujibu wa shelia wanatakiwa kuuingia jkt na wakihitim wataendelea na masomo ya vyuo mbalimbali hapa nchin lakini jkt mafunzo yake yanachukuwa had miaka miwili ukiwa kambini baada ya miez sita ya mafunzo sasa unaweza pata ajira kwenye majeshi yetu mbalimbali ikiwemo usalama wa taifa, polisi, magereza,zimamoto na jeshi lenyewe sasa wewe unapinga nini unataka mtu aende kule mafunzo yamshinde tena arud
hili jambo limenitesa sanna nilikuwa najiuliza hili kweli viongozi wetu hawalioni hili ahsante spika Tulia kwa kutuwakilisha vizuri tunataka viongozi kama nyinyi wenye maono
IQ Yako wewe unayeitwa users ni kinye tupu. Watu wanatoa hoja za maana unaleta habari zako za kiushabiki ushabiki wa kijichama chako Cha kipuuzi huko! Acha ujinga
Walioenda JKT watakuwa wamepita bure? Mimi nadhani ni suala PRACTICAL zaidi. Waanze wa JKT wakiisha kwenye list ya walioomba waje wale wa kawaida. Hamuwezi kuyapangia Majeshi mambo serious kizembekizembe hivyo! Mwigulu yupo sahihi practically! Tulia yeye anaweka kifungu ambacho practicality yake itachukua muda sana ku-materialize. Watachukua wa JKT kwanza halafu wakiisha kwenye waombaji ndipo watachukua wasio wa JKT ili wakapitie mafunzo ya JKT wakiwa ajirani kama anavyoshauri/taka Tulia!!!
Hakuna, wewe hujaielewa hoja. Hoja ni kwamba, kwa nini kuajiliwa katika majeshi lazima uwe umepitia JKT na unacheti cha JKT wakati si watoto wote waliopata nafasi ya kwenda JKT?
@@furahachuma9039 nina wasiwasi wewe ndo hujaelewa. Iko hivi: hata hiyo Tume ya Haki Jinai imetaja Polisi na Magereza na kama Mwanasheria Mkuu alivyosoma Ripoti hiyo ni kwamba hata Tume imeona kwa Polisi na Magereza JKT isiwe kigezo kwa BAADHI ya fani. Kigezo cha JKT kiuhalisia mnajaribu kukizunguka lakini hamwezi kukikwepa! Ni kigezo! Kwani Mwalimu hana uwezo wa kuwa Engineer? Si akasome uhandisi? Vivyo hivyo kwa JKT. Hata Usalama wanachukua,wanakupeleka JKT kwa sharti kuwa UKISHINDWA kufuzu unarudi nyumbani. Mambo ya Ulinzi na Usalama siyo ya kuchezea kiasi hiki aisee.
Safi sana mh Tulia nimekupenda bure
Hongera sana Mh: Spika kwa kuliweka sawa hili ,Mungu akupe maisha Marefu.Asante sana kwa kijali vijana wote
Hongera mh kwa point
Msimamo wako mzuri dadangu,hongera
Mamaangu hongera kwakuriongoza binge vizuri hongera kwa werewa
Mungu akubaliki sana tulia
Spika uko vizuri ,JKT si taaluma
Hongera Mh. Sipika kwa ufafanizi mzuri sana
Daaa Madame Speaker Mungu aendelee kukulinda saana,yaani umelifafanulia vizuri sana Bunge kama na ww ni Mhanga kama mimi maana nikiona hy sifa ya kupitia JKT au JKU sihangaiki hata kusoma kwingine nabaki naumia saana,maana wengne tulikosa fursa ya kwenda JKT ni umri tukachujwa....kwa hy hizo ajira nikawa naziona za upendeleo
Kombole mh Spika dr Tulia na kweli umetulia.
spika uko vizuri asiyekuelewa ni dungamawe
Hilo ni kweli spika ,maaana wengi tunauwezo wa kwenda jkt
Huyu mwiguru ni jipu tangu zamani ningekuwa Mimi ningeshamtumbua zamani🎉
Hapa umesena kweli mngekuwa hivi tungejivunia bunge kuisimamia serikali
Baada ya kidato cha nne, Mwaka mmoja wote utumike kwa ajiiri ya mafunzo na sio form six, watu waende kwa awamu Miezi 3 kila awamu.
Kwahiyo mnawachukuwa watoto wenu ili waweze kupewa kazi.Tunawafahamu sana maccm mmeisha chukulia hii Inchi ni yakwenu tu. Tumewachoka sana sana hata nanyi kujiweka maccm bungeni ni kufanya Inchi hii iendelee kuwa yenu. Siku moja mtajibu mbele ya Mungu.
Mungu akulinde madame Spika uko sahihi sana
Huyo mbung tunamfatili sana kwahiyo anatetea vijana kukosa ajir eti tunamsubili jimbon
JAMANI HII INAFANYA KAZI KWASASA MTUSAIDIE KWA HILO ILO SWALA LA WALIOPITA JKT LIPO NA LINAFANYA KAZ YAN AJIRA ZOTE ZINAZOTOKA MAGEREZA, ZIMAMOTO, UHAMIAJI, police yoote kigezo awe amepita jkt kwanini jaman watu sio wote wamepata fulsa ya kupita uko jkt
Mwigulu we siyo mwakilishi wa wananchi we ni mwakilishi WA tumbo lako na familia yako.
Logic Speaker
Mnajitekenya wenyewe
❤Mh/dadayangu tuliya umetuliya vizuri sana 🙏 mngu aendelee, kukuongoza na kukusimamiya,🙏🙏🥰
Mh spika nimekuelewa vizur kwa hilo angalieni sana juu ya hilo swala watoto wanaenda kujitolea lakini bado manyanyaso chungu nzima kama ni ajira ya moja kwa moja ni maonezi makubwa sanaa
Kama ambavyo watu wengi wanatamani kuwa wabunge. Toeni nafasi zaidi watu wengi wapate nafasi ya ubunge.
Nakuelewa Saba mh spika
Tulia.unaakili.migulu.waziĺi.hajui.mambo.amewekwa.kujuane.maswali
Tusichanganye JKT na JKU,hizi ni nchi mbili tofauti.
Uko sawa Mheshimiwa spika
Mheshimiwa kaongea point Sana tulia
Madame Speaker has a point. Ukiangalia fairness, muajiriwa hatakiwi kunyimwa haki kwa sababu serikali haijatekeleza wajibu wake wa kuwapa fursa vijana wote kupitia JKT.
By the way JKT ya sasa wenyewe tunajua iko kwenye level zipi 😊
Vyombo vya usalama pamoja kuwa ajira lakini kumbukeni kuna principle maalum. Wao wameweka vigezo vyao. Hakuna uonevu hapo.
Ushauri wangu kila mwana nchi aende jeshini wakachukue uzarendo wa Taifa lao na kurinda nchi yao pia Dunia inaweza ingia vita kuu ya 3 ya Dunia Taifa letu tuta linda kwa nguvu zote ,hizo ajira zina kuwa za kindugu siku ngoma ikiwa shindwa watazolewa nawatu ambao hawjui
Nashauri kila wananchi apite jeshini
Kwaio mwiguli alinyamaza hajasema siooooooo😂😂😂😂
Huyo ni pointless wakati wote
Tunamwomba Rais atumbue ,Ziara zamakonda zimewamulika wanaohitaji kutumbuliwa ni mhimu na nilazima watumbuliwe
Nakuelewa sana Tulia, the coming president
Nakuelewa Sana mh spika
Maneno tu hayo ya mwigulu hayo.
Muanze kwa ku assess hayo mafunzo yana apply vipi kwenye maisha ya Mtanzania kwenyevmaisha yake ya kawaida baada ya kujifunza wengi hawatoingia Jeshini.
mafunzo yawe incorporated kwenye syllabus from primary to secondary school..kama sababu ni uzalendo ..uzalendo uanze na hao wanao hujumu uchumi
Hii Inakera sana suala la jkt Yan saiv ajira zote za police,magereza uhamiaji,zimamoto Yan huwez pata kaz kama hujapita jkt kwanini serikal inafanya ivyo????????hii ishu ipo na inafanya kazi kila tangazo la ajira saiv utakuta kigezo jkt😢😢😢
Mambo fire
Huo utashi wako tu mwigulu unajiona kama mjuaji sana kuliko wengine
Next
Huu muungano... muda mwengine nikigugumizi Hata Spika wa Jamhuri hajui yapi ni ya muingano ua lah tufikiri upya juu ya muktadha wa Muungano wetu
Kiondole au wawe wanapeleka wote kwanza.
Huyu dada mimi nilikuwa simuelewi lkn kumbe ni bonge la kiongozi
Waliopita jkt tu ajira hamna, ni shida sasa tukisema tuchukue moja kwa moja uraisi si itakuwa tabu zaidi, Hapo tutakuta wasiopita jkt ndo wanajaa kwenye majeshi.
Tena mwigulu tunaomba atolewe kuwa wazili wafedha kunamadudu mengi anatuhujumu
Wabunge ni shida. Siasa mbaya sana. Inaharibu taifa hili.
Akili kubwa Kwa spika wetu
Mwiguli alisoma shule gani hivi ni doctor kweli? Mbona jamaa anakwepa kujibu huyu chenga sana sasahivi hatufai tena!!!
Mwigulu kasoma,tuacheni kumpamba speaker kwa mambo yasiyo na msingi.
Kasoma Nini? Wewe unaona ni sawa watu kukosa ajira kwa kigezo Cha jkt ? Why serikali isiseme Kila Mtu akimaliza Form 4 na six wote waende jkt ili atakae kaidi siku nafasi za kazi zikitoka na Hana kigezo hicho asichkuliwe lakini now day's Wana chagua baadhi ya wahitimu waende jkt.
Kupingwa kwingi kwa Waziri yoyote hua inaonyesha waziri huyo hatoshi, Mwigulu ni muhanga wa hili ktk kila wakati, na hua anaonyesha usanii fulani, hekima na busara ya kuigiza imemjaa sana, sasa sijui hua yupo hapo kwa sababu labda anarahisisha mambo binafsi ya watu ama ni nini sielewi, lakini kiukweli Mwigulu ni msanii msanii
Huyu mama anampelekeaga moto huyu jamaa hadi raha … Kiboko ya huyu jamaa ni huyu mama..
Jkt na nafasi ya ajira ni vitu viwili tofauti
Hongera sana supika mungu akubariki sana
Spika water vijana mama
Ila hiyo mm naona ni sawa kikweli
Kwani huyomwigulu alisoma wap
Safi sana Speaker. I appreciate this common sense 3:36
Tunaomba serikali iwasaidie madereva wa malori. Wapate haki zao.
Yavulundeni mfunzoya JKT baadayahapo watuwanabakinyumbani hayasawa lakini mkumbuke kuwa panyaroad wanasumbua wananch nahawaishi hapo hawajuikutumiasilaha hebumniambie vipiwakipewa mafunzo yasilaha itakuwaje??
Hiyo hoja ni ya ubaguzi ikiwezekana mwiguru uambiwe ukweli acha ubinafsi nchi sio ya kurithishana
Huyu hujamaa anasumbua taifaletu kwanza watoto wa vyuovikuu wamakosa mikopo yaaninishida tupu. Keleletupu hukumitaani waziri wa fetha hafai kabisa
Usicheze na siasa
Mh.Spika hata walewaliopitia Jkt naohawapati ajira. Badotunaangalia huyu ni mtoto wa mkubwa fulani,na wengi wawalalahoi hawpati ajira. Nitatizokubwa sana.
Spika wetu wasasa ni sipik kweli
Ana uwezo
Ni kama tunavyokosa kununua magari chakuvu yanayo uzwa na serikali kwa sababu si watumishi wa umma, wakati yananuliwa kwa kodi zetu wote
Tunakosaje?... mbona nafahamu watu wamenunua na sio watumishi...minada inatangazwaga.
Mwigulu Yuko sahihi
Wabunge hawajui mambo ya ulinzi. Anaweza kuchukuliwa raia, akaenda kushindwa mambo ya ukakamavu, je, afukuzwe? Lkn aliyepita JKT Amesha julikana kuwa anaweza mambo ya ukakamavu. Hivyo wataajiriws toka uraiani lkn wakienda kwenye mafunzo wakashindwa watafukuzwa tu.
Kipindi kile JKT imefutwa kuanzia mwa 1994 watoto walikuwa hawaajiliwi? Acheni ubaguzi wa waziwazi. Aidha wapelekwe wote JKT then ajira ije au wakiondoe kabisa hicho kigezo .
Ukakamavu wa nini mzee
Kunatafiti yoyote inayoonyesha kuwa ambao hawakupita JKT walifeli mafunzo? Kati ya mwaka1994 hadi 2000 ambapo kulikuwa hakuna JKT, watu hawakuajiliwa? Kama ajira ziliendelea kuwepo, sasa huo ukakamavu unaousema unadhani unayonafasi kabla ya mafunzo? Nadhani ipo haja ya kuendelea kuitafakari hoja.
wewe naye kuwa unajuwa maana hizi mbili mosi mafunzo ya JKT KWA MUJIBU NA MAFUNZO YA JKT, maana yake nini ni kwamba jkt kwa mujibu ni wale vijana waliyo maliza form six kwa mujibu wa shelia wanatakiwa kuuingia jkt na wakihitim wataendelea na masomo ya vyuo mbalimbali hapa nchin lakini jkt mafunzo yake yanachukuwa had miaka miwili ukiwa kambini baada ya miez sita ya mafunzo sasa unaweza pata ajira kwenye majeshi yetu mbalimbali ikiwemo usalama wa taifa, polisi, magereza,zimamoto na jeshi lenyewe sasa wewe unapinga nini unataka mtu aende kule mafunzo yamshinde tena arud
@@AlphanMbundamilawewe umewahi kupita JKT?
Hii ni ajira ya serikali wapitie jeshi letu utakutana na watoto wa walalahoi
Mwigu anataka kukupanda jizi hilo
Kwenye vyombo vya usalama tuache siasa.
hili jambo limenitesa sanna nilikuwa najiuliza hili kweli viongozi wetu hawalioni hili ahsante spika Tulia kwa kutuwakilisha vizuri tunataka viongozi kama nyinyi wenye maono
Yaaan mim linaniuma sana saaana hili swala
Tunashukuru sana mheshimiwa tulia ackson kwa kututetea wananchi unastahili kuendelea kuwa spika wa bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzani.
11
Safi mama spika
mwigulu hatufai hata kidogo
Kweli Kila kijana anatakiwa aende j k t
Hatutaki kumfanyia mtu campaign ya urais katika comments.
Huyu mama anafaa kua rais
Mwigulu hupo sahihi kwa ilo jeshi sio chipikizi ni lazima vijana wawe wazalendo Jkt ni misingi ya ulinzi na usalama
Uzalendo unaharibiwa na wengi waliokwenda jkt maana ndio wala rushwa wakubwa
Hili siyo bunge la wanainchi bali la ccm
Mungu ametupa jembe mbeya
Vyombo gani? Zanzibar wana serikali yao kamili hatuwaitaji wanaweza kuwa JK yao ili watanganyika wapate nafuu.
Mwapingana wenyewe mkiwa kwenye shimo moja nani atawaokoa?
IQ Yako wewe unayeitwa users ni kinye tupu. Watu wanatoa hoja za maana unaleta habari zako za kiushabiki ushabiki wa kijichama chako Cha kipuuzi huko! Acha ujinga
kwa mara ya kwanza nimekuelewa Mhe. Spika!!
nchi ya ajabu san
Walioenda JKT watakuwa wamepita bure? Mimi nadhani ni suala PRACTICAL zaidi. Waanze wa JKT wakiisha kwenye list ya walioomba waje wale wa kawaida. Hamuwezi kuyapangia Majeshi mambo serious kizembekizembe hivyo! Mwigulu yupo sahihi practically! Tulia yeye anaweka kifungu ambacho practicality yake itachukua muda sana ku-materialize.
Watachukua wa JKT kwanza halafu wakiisha kwenye waombaji ndipo watachukua wasio wa JKT ili wakapitie mafunzo ya JKT wakiwa ajirani kama anavyoshauri/taka Tulia!!!
Hakuna, wewe hujaielewa hoja. Hoja ni kwamba, kwa nini kuajiliwa katika majeshi lazima uwe umepitia JKT na unacheti cha JKT wakati si watoto wote waliopata nafasi ya kwenda JKT?
Hicho kigezo kiondolewe.
Amin kwamba binadamu yeyote ana kipawa cha kujifunza. Ni moyo
Sio lazima kuna vijana wamesoma vizuri nje wazazi wamewekeza kwenye elimu wanata kuja isaidia serikali ,ili waweze onyesha ulimwengu unalekea wapi wapeni vijana hao nafasi.muone mtakayojifunza toka kwao na wala
hawakwenda JKT!
@@furahachuma9039 nina wasiwasi wewe ndo hujaelewa. Iko hivi: hata hiyo Tume ya Haki Jinai imetaja Polisi na Magereza na kama Mwanasheria Mkuu alivyosoma Ripoti hiyo ni kwamba hata Tume imeona kwa Polisi na Magereza JKT isiwe kigezo kwa BAADHI ya fani.
Kigezo cha JKT kiuhalisia mnajaribu kukizunguka lakini hamwezi kukikwepa! Ni kigezo! Kwani Mwalimu hana uwezo wa kuwa Engineer? Si akasome uhandisi? Vivyo hivyo kwa JKT. Hata Usalama wanachukua,wanakupeleka JKT kwa sharti kuwa UKISHINDWA kufuzu unarudi nyumbani. Mambo ya Ulinzi na Usalama siyo ya kuchezea kiasi hiki aisee.
Hivi Kwa nini ubunge na uwaziri isiwe ni kazi ya kutuma maombi?
Muiguru uelewa wake ni mdogo , sijui kasoma kweli huyu mmm sina uhakika kabisa
Yeye ana ajira na anauhakika na wanae na ndugu zake kupata ajira hawezi kukumbuka wengine
Wewe Spika unaongea tu kuna watu walichaguliwa kwenda JKT lakini hawakwenda hao inakuweje?
Kwani Kuna Nini mbona mnalazimisha kwenda ?
Lazima wote waende JKT kuanzia wabunge mbaka watumishi wote wa Umma na baadae kila mwananchi aende Jeshini tutatengeneza taifa lenye uzalendo
Sipika upewe maua yako hongela sana mama
Vitabu
UMEFAFANUA VIZUTI SANA UMEELEWEKA MUIGURU MSIKILIZE TULIA ANANIA NJEMA NA VIJANA
A
Ninyi serikali ni utumbo ccm tumeichoka na ubaguzi wenu
Spika uko vizuri sana
Hakuna muwakilishi
Ilo fisadi tu ilo
Penye nia pana njia na mimi nataka nije JKT ila kabla ya 2025.
😅😅😅