DOTTO MAGARI AMJIBU MWIJAKU "ILE NYUMBA AU KIBANDA NITOKEE, WATU WAMEJENGA BANGALO

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 222

  • @hajimbaruku9537
    @hajimbaruku9537 5 หลายเดือนก่อน +27

    Nyumba nzuri bana acheni wivu, simpendi Mwijaku lkn amepiga hatua sana

  • @MultiMbongo
    @MultiMbongo 5 หลายเดือนก่อน +61

    Kweli nyumba ya peter msechu ni nzuri sana,hii ya mwijaku kama ofisi ya chama Cha siasa

    • @princekarani7836
      @princekarani7836 5 หลายเดือนก่อน +4

      Ukweli ndo uho ile nyumba ya msechu ni kali kinouma nouma,na inawezekana million 100 ikawa inafika coz decoration zake ni moto wakuotea mbali mzee

    • @abednegochija-uf3ey
      @abednegochija-uf3ey 5 หลายเดือนก่อน +3

      We unayo? Mungu amsaidie kambarik sana achen chuki zenu kigoma champion boy mwijaku anapambana sana hongerah sana 💯💯💯💯💯💯👍👍👍👍🙏🙏🙏

    • @zaburi2386
      @zaburi2386 5 หลายเดือนก่อน +8

      ​@@princekarani7836kaka milion 100 sio nyumba ya vile Ile ya msechu ni zaid ya milion 800

    • @babatidaawa6550
      @babatidaawa6550 5 หลายเดือนก่อน +2

      Ahahaha

    • @diasalicastro5353
      @diasalicastro5353 5 หลายเดือนก่อน +2

      Milion 100 Hela ndogo sanaaaa

  • @allykayanda6930
    @allykayanda6930 5 หลายเดือนก่อน +10

    Nyumba ya mwinjaku ni kali sana sana ,bonge moja la mjengo....huo ni wivu tuu

  • @khalidballeth5957
    @khalidballeth5957 5 หลายเดือนก่อน +4

    Mwijaku noma saana,,,,Ati alifikiria kumpa chumba DOTO kile chumba cha mlinzi wake Matias

  • @user-il1kv9zv9j
    @user-il1kv9zv9j 5 หลายเดือนก่อน +11

    Kweli doto magari nyumba ya chini ilio changamuka kweli kabisa.

  • @user-el6mm4lh4m
    @user-el6mm4lh4m 5 หลายเดือนก่อน +6

    wivu2...we unayooo...🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤..mwijaku juuu...Dotto bwege2 mchovu...

  • @user-gy7mk8ur1f
    @user-gy7mk8ur1f 5 หลายเดือนก่อน +7

    Peter msechu nyumba kali sana

  • @lovemusicnoreen9185
    @lovemusicnoreen9185 5 หลายเดือนก่อน +3

    Dotto kongea FACTS kuna watu wamejenga tena watoto wadogoooo mnoooo na midomo iko kimya tena mijumba haswaaa sema doto na nyingine zimepangishwa twala kodii tuu mwaka wa 4 sasa lak 5 5 kwa mwezi wapangaji 5 na bado real estate inaendelea mpk tufike 40s....... Wtu washasahau kujenga.doto bana eti kaja mganga😊😊😊😊😊😂😂😂😂

  • @Mumewangu
    @Mumewangu 5 หลายเดือนก่อน +5

    Hongera mwijaku anae kuzarau ni wivu na choyo tu

  • @christianbihemo8211
    @christianbihemo8211 5 หลายเดือนก่อน +11

    Kila nikijaribu kumskiliza huyu jamaa nagundua anaongea zaidi kuliko akili zake zinavyofanya kazi😮

    • @CelinCelineort
      @CelinCelineort 5 หลายเดือนก่อน +1

      😅😅😅 htr

  • @marcoeliezer2207
    @marcoeliezer2207 5 หลายเดือนก่อน +3

    Mwijaku ameamua kujenga shule kaanza na madarasa😊

  • @suleimansaid2633
    @suleimansaid2633 5 หลายเดือนก่อน +5

    Nakuaminia Doto unasema kweli

  • @abubakarsuleman1983
    @abubakarsuleman1983 5 หลายเดือนก่อน +4

    Doto ukija canada please tuonane bro.

  • @shabanikitula645
    @shabanikitula645 5 หลายเดือนก่อน +10

    Nampenda doto hana mambo mengi kaka huyu Mungu amtie nguvu

    • @edwardtrigga5701
      @edwardtrigga5701 5 หลายเดือนก่อน +1

      Ila uwa Kuna watu uwa ni vichaa na mahaba yatawaua yaani huyu kichaa ndo unasema hana mambo mengi au akili yako haisomi

  • @mbanga6759
    @mbanga6759 5 หลายเดือนก่อน +10

    Jamani muwe wakweli nyumba nzuri sema hamumpendi na mawavu tu

    • @bakariomari8758
      @bakariomari8758 5 หลายเดือนก่อน

      Yaani watz wanawivu dah

    • @bakariomari8758
      @bakariomari8758 5 หลายเดือนก่อน

      Yaani watz wanawivu dah

    • @bennamush4616
      @bennamush4616 5 หลายเดือนก่อน

      Hawa wanajuana Wala hawanaga shida 😂

  • @hemedjackson2261
    @hemedjackson2261 5 หลายเดือนก่อน +4

    Yaan ujing maish y bongo unajenga nyumb unaalik watu kweli 😂😂😂 uko sahihi doto

    • @KassimAlly-xp4dz
      @KassimAlly-xp4dz 5 หลายเดือนก่อน +1

      Yule ni star maarufu ili azidi kujulikana lazima afanye ivo

  • @AwaziRajab
    @AwaziRajab 5 หลายเดือนก่อน

    Mimi Sioni Kama Doto Yuko Na Zalau Nachoona Apo Jamaa Anajua Aibu Ya Mke Kukwambia Baba Mwenye Nyumba Anadai Hela Yake Ni Aibu Kubwa

  • @medidaudi8335
    @medidaudi8335 5 หลายเดือนก่อน

    Chawa mpya

  • @mwakiosalim2914
    @mwakiosalim2914 5 หลายเดือนก่อน +1

    Dottooo😂😂😂 kaja mganga😂😂 unachekesha sana😂😂😂😂

  • @constanciapeter2497
    @constanciapeter2497 5 หลายเดือนก่อน +3

    Hapo dotto umepigwa za Usoo😅😅😅.. umri wako ni mkubwa kuliko adui zako... yaani bado unamawazo ya urithi?!!!😅😅😅😂😂😂

  • @hansperson1012
    @hansperson1012 5 หลายเดือนก่อน +2

    Kama ulishawai kuiona nyumba ya Peter msechu Basi mdomo mdomo wote utaisha hapa

  • @user-zb2mj5nd5g
    @user-zb2mj5nd5g 5 หลายเดือนก่อน +3

    mzaramo yeyote hana vibe na mijengo, nyumba yamzaramo banda la uani kwahiyo hapo mnapoteza muda wenu bure kumhoji Dotto kuhusu mjego,

  • @user-qh3hb1tp8r
    @user-qh3hb1tp8r 5 หลายเดือนก่อน

    ÇloudTV ni TV ya linings sana huwa sipotezi muda muda kuangalia

  • @Barakatabudul
    @Barakatabudul 5 หลายเดือนก่อน +2

    Mama Kizimkazii na Hapa ipoo!😂😂😂😂

  • @user-tm8lq3rc1l
    @user-tm8lq3rc1l 5 หลายเดือนก่อน +3

    Tanzania nitaipenda hadi kufa jamani yaani uchawa ndo habar ya mjini

  • @erickchitumbi1308
    @erickchitumbi1308 5 หลายเดือนก่อน +2

    😂😂😂😂doto hutaki kuumia akili yako😂😂😂😂

  • @zerochanneltanzania3797
    @zerochanneltanzania3797 5 หลายเดือนก่อน +1

    Watu awaelewi kinacho endelea.
    Talent industry imekuwa ikichukuliwa poa sana. Talent industry (music, movie, utangazaji , art, dance, film, photography n.k.) imekuwa ikichukuliwa kama kitu fulani “by the way”….so its time kuwaonyesha watu kuwa industry hii inalipa vizuri tu. Na inawazidi wote ambao wanajifanya wanaela kumbe mikopo inawazonga.

  • @mwakiosalim2914
    @mwakiosalim2914 5 หลายเดือนก่อน +3

    Banda la jiwa🕊🕊😂😂🕊🕊

  • @hallin9561
    @hallin9561 5 หลายเดือนก่อน +6

    nyumba ya msechu ndio top. naipenda mpaka kufa

    • @bennymochiwa4800
      @bennymochiwa4800 5 หลายเดือนก่อน

      Jenga yako na ww uwipende

    • @AdenAdiliano-rh8zf
      @AdenAdiliano-rh8zf 5 หลายเดือนก่อน

      Unaipenda ya kwako Jenga ya kwako nyau wewe

    • @melanialeonard4031
      @melanialeonard4031 5 หลายเดือนก่อน

      Eti unaipenda😂😂😂😂

    • @bennamush4616
      @bennamush4616 5 หลายเดือนก่อน

      Ewe Mungu tujalie na sisi tujenge tuache kisifia tuu nyumba za watu

  • @user-qw6tt4zn3e
    @user-qw6tt4zn3e 5 หลายเดือนก่อน +1

    Msechu katisha sanaaa

  • @Tiffany340
    @Tiffany340 5 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂 zile ofisi za chama,nyumba inajengwa vile we uliona wapiii🤣🤣

  • @GodfreyJames-zt6ig
    @GodfreyJames-zt6ig 5 หลายเดือนก่อน +1

    Acheni wivu nyumba ni nzr sana Sema nyie wivu unawatafuna mjengo wake mzr uko sawa wivuuuuuuuuu

  • @rerisamba
    @rerisamba 5 หลายเดือนก่อน +3

    Wivu mbaya kweli

  • @bakariomari8758
    @bakariomari8758 5 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂 Eti doto mrefu kuliko gorofa la mwijaku

  • @edgerza3754
    @edgerza3754 5 หลายเดือนก่อน

    😅😅😅gea aache kaz

  • @jamesbilafumba6902
    @jamesbilafumba6902 5 หลายเดือนก่อน +3

    Hiyo ni kawaida kwenye maendeleo, huwez sifiwa na wote

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 5 หลายเดือนก่อน

    Vijana mna kazi

  • @user-ti6wm7hy5b
    @user-ti6wm7hy5b 5 หลายเดือนก่อน

    Hahaha 😂😂😂😂😂 Dotto umeniacha hoy kumbe Bado upo kwenye chati kijana wangu

  • @minnahhers7437
    @minnahhers7437 5 หลายเดือนก่อน

    kila mmoja na anavopenda ..hata vyumba 2 ni nyumba tu

  • @user-sd8jz7zj2l
    @user-sd8jz7zj2l 5 หลายเดือนก่อน

    Ule mneeeneeee hhh

  • @sidikassim6759
    @sidikassim6759 5 หลายเดือนก่อน +5

    leo nakukataa doto bro hpo umeongea unafki na wivu kka

    • @awadhally1052
      @awadhally1052 5 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂kwel kabisa wivuu huo

  • @user-ch2it3qt5z
    @user-ch2it3qt5z 5 หลายเดือนก่อน +8

    ila bongo Rahaa Sana 😂 et nyumba ya chini iliyo changamka😂

    • @Nalitumpaboy-dm4tk
      @Nalitumpaboy-dm4tk 5 หลายเดือนก่อน

      Mwingine ety nyumba yenye ngazi na sio ghorofa😂😂

  • @alhadkatundu2142
    @alhadkatundu2142 5 หลายเดือนก่อน

    Gea habibu maji ya jioni😂😂😂😂😂

  • @user-ue6pq8zl3s
    @user-ue6pq8zl3s 5 หลายเดือนก่อน +1

    We mwenyewe Huna nyumba kama ile asa unapondaje we yako ipo wapi?

  • @user-mz2mr4ib2o
    @user-mz2mr4ib2o 5 หลายเดือนก่อน +1

    Una ndangu yakuto kujenga dototumeshajuwa ukweli

  • @ChiefKisensiOnline
    @ChiefKisensiOnline 5 หลายเดือนก่อน

    Wote Wanachechemea tu😂😂😂

  • @elianifammari3212
    @elianifammari3212 5 หลายเดือนก่อน

    Yako iko wapi mmmmhh

  • @user-qu1dz2ed1b
    @user-qu1dz2ed1b 5 หลายเดือนก่อน

    Nimekukubali dotto .magari hiyo imeeenda

  • @user-rm3lp9hi1n
    @user-rm3lp9hi1n 5 หลายเดือนก่อน +1

    Japo zinna ata banda ila ya kawaida sana

  • @sidikassim6759
    @sidikassim6759 5 หลายเดือนก่อน +3

    aah hpo bos wngu doto leo nakukataa leo unaongea sivyo lile jengo tukutae tukubali

  • @user-wq2fh5rx4s
    @user-wq2fh5rx4s 5 หลายเดือนก่อน +1

    Ww mwehu kila ck mama kizmukz sukal kg 4000 unalopoka use

    • @saidahmad5559
      @saidahmad5559 5 หลายเดือนก่อน

      Kwa hyo unataka upewe bure

  • @user-ys8dv8lk7k
    @user-ys8dv8lk7k 5 หลายเดือนก่อน +1

    Onyesha yakooooooo sasa

  • @mwanaidmaulid4763
    @mwanaidmaulid4763 5 หลายเดือนก่อน +1

    Kiusingiziii😅

  • @HappyForestTrees-gc6hs
    @HappyForestTrees-gc6hs 5 หลายเดือนก่อน +2

    Ss acheni kusifia watu fanya kazi ujipe heshima bila kusifia watu

  • @MbossoMbosso-rw4ox
    @MbossoMbosso-rw4ox 5 หลายเดือนก่อน

    Anachokisema doto n kweli kigambon Kuna mijengo w a mwijaku ukasome na uwa awayangaz I kuwa nmejenga xo😂😂😂😂😂😂

  • @user-qu1dz2ed1b
    @user-qu1dz2ed1b 5 หลายเดือนก่อน

    Niakukubali saaaana😮😮😮

  • @user-ph2tk3cy9s
    @user-ph2tk3cy9s 5 หลายเดือนก่อน

    Sasa naye kabinga rangi gani hiyo

  • @kisjohn3435
    @kisjohn3435 5 หลายเดือนก่อน +4

    Wivu ni mbaya sana haya endelea kulala chooni

  • @emmanuelnkwabi8610
    @emmanuelnkwabi8610 5 หลายเดือนก่อน

    Balaaa😂😂😂😂😂

  • @habisnasalum-nz4zo
    @habisnasalum-nz4zo 5 หลายเดือนก่อน

    Wew unayo acheni wivu tafteni ela

  • @nafuwswedi2465
    @nafuwswedi2465 5 หลายเดือนก่อน +1

    Tanzania yangu mweee😂😂

  • @bennymochiwa4800
    @bennymochiwa4800 5 หลายเดือนก่อน

    We fala acha wivu😂😂

  • @mickdad8309
    @mickdad8309 5 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂 kama sckakaah

  • @user-zs7nf7ph5n
    @user-zs7nf7ph5n 5 หลายเดือนก่อน

    Yeye Kapuenda ,nene jenga wewe.kila mtu anachokipenda.

  • @elianifammari3212
    @elianifammari3212 5 หลายเดือนก่อน

    Toa kwanza hayo mapete

  • @mrsinia3064
    @mrsinia3064 5 หลายเดือนก่อน

    ila waja wana maneno...ama kwer wivu mbaya sana tutafute hela vijana tuache makasiriko

  • @beautyafrica254
    @beautyafrica254 5 หลายเดือนก่อน

    Mm namshangaa sana mwijaku na kiki zake ,hiyo nyumba ni ya kawaida mbona kiki sana au ni ushamba

    • @KassimAlly-xp4dz
      @KassimAlly-xp4dz 5 หลายเดือนก่อน

      Sio ushamba yule anatafuta content ili azidi kutajika kwako inaweza ikawa ya kawaida lakini kwake ni hatua kubwa sn na ametuonesha ili 2zidi kumzungumzia kama hivi sasa

  • @ismailimpaukha2773
    @ismailimpaukha2773 5 หลายเดือนก่อน

    Karibu Canada na aap ipoo ninjaa

  • @ismailimpaukha2773
    @ismailimpaukha2773 5 หลายเดือนก่อน

    Wapake haoo una usemi wako awashibi mpaka wapinde mgongo😂😂😂😂

  • @AwaziRajab
    @AwaziRajab 5 หลายเดือนก่อน

    Uyu Sasa Ukimuona Unajua Amejaa Wivu Inje Moyoni Mwake Anajua Kama Mwijaku Kapga Atua Jamani Watanzania Mtu Yetote Mwenye Akili Timamu Aliepanga Anaeishi Nyumba Za Kupanga Mwenye Familia Yake Akuna Aibu Naludia Akuna Aibu Kama Mwanamke Kukwambia Mwanaume Kua Baba Mwenye Nyumba Anadai Hela Yake Apo2 Mwenye Akili Anakubali Kama Kijana Akijenga Mpe Sifa

  • @majaliwamsigwa6206
    @majaliwamsigwa6206 5 หลายเดือนก่อน

    Tuonyeshe ya kwako iliyochafua kiwanja,kweli mmekereka

  • @dominicngeno4227
    @dominicngeno4227 5 หลายเดือนก่อน

    Wacha wivu tia bidii,be focused and invest

  • @zachaamaster5378
    @zachaamaster5378 5 หลายเดือนก่อน +1

    bola mwijaku kuliko ww una olala kweny vuru

  • @edwardtrigga5701
    @edwardtrigga5701 5 หลายเดือนก่อน

    Wanaume wa dar bana uwa sijui akili hamna alafu kuna watu wanasema dotto ana akili kweli!?? Mtu anaishi ukweni na haoni ata aibu

  • @muyangetv
    @muyangetv 5 หลายเดือนก่อน

    Tuoneshe Yako sasa

  • @ismailimpaukha2773
    @ismailimpaukha2773 5 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂 wanaumia sanaaa ukipaka mafala wasio jielewa mafyoooo

  • @OchoaHomeDecor_
    @OchoaHomeDecor_ 5 หลายเดือนก่อน

    5:08 PICHA MSECHU 😂😂

  • @happynkya9770
    @happynkya9770 5 หลายเดือนก่อน

    kusema ukweli mwijaku kakosa tu la kuongea kwa peter msechu,maan binafs yangu naona kwa msechu ni pakali kuliko kwa mwijaku

  • @mnaromajengo9155
    @mnaromajengo9155 5 หลายเดือนก่อน

    Tatzo akili zetu zpo kwny gorofa tuu nikali Peter msechu nyumba kali sanaaa ila Mwijaku alikuwa naharaka

  • @injilihalisitv2023
    @injilihalisitv2023 4 หลายเดือนก่อน

    Kwel kabis 😅😅😊😊

  • @twahaanyoni9120
    @twahaanyoni9120 5 หลายเดือนก่อน

    Vitu vya mahana hamvipi sapoti wapuuzi ndo mnawapa time kuna watu wapo wanaitaji kufikiwa watanzania wawape msahada nyinyi mpo na wapumbavu tuuu

  • @oscarjohn477
    @oscarjohn477 5 หลายเดือนก่อน +1

    AMBA SADA ila dotto😂😂😂😂

  • @ashaali7154
    @ashaali7154 5 หลายเดือนก่อน

    Hivi Dotto anajua maana ya bungalow au anaongea tu? Muonyesheni bungalow inavyofanana anyamaze.

  • @moseskulola6913
    @moseskulola6913 5 หลายเดือนก่อน +2

    Dotto anaakilisana mwijaku hajanfaya kama mwanaume

    • @edwardtrigga5701
      @edwardtrigga5701 5 หลายเดือนก่อน

      Kweli wajinga ni wengi Sasa ana akili Gani teja huyu anaishi ukweni

  • @user-yo8mm9hj8c
    @user-yo8mm9hj8c 5 หลายเดือนก่อน +2

    Kweli kabisa nyumba yapita msechu kali

  • @Emedroadtocanada
    @Emedroadtocanada 5 หลายเดือนก่อน

    Povu ilo mzee

  • @paskaziasholla7471
    @paskaziasholla7471 5 หลายเดือนก่อน

    Minaomba tumpongeze Mwijaku kwa alichokifanya sema apunguze sifa

  • @rajabually869
    @rajabually869 5 หลายเดือนก่อน

    Hahahaha hii wiki mmetupotezea mawazo yakuwanza Anda za wanafunzi

  • @celestinomarianomatias9537
    @celestinomarianomatias9537 5 หลายเดือนก่อน +1

    Kkk😂 Tanzanianos hiiii Falam muito

  • @gabrielzakaria2810
    @gabrielzakaria2810 5 หลายเดือนก่อน

    Huna nyumba

  • @morjanoman5181
    @morjanoman5181 5 หลายเดือนก่อน

    Tumewajua mmepatakiki za kula mb zetu povulinakutoka na jasholameno latiririka nawewe unaakiri unajisnika mtandaoni kumponda mwanaume mwezio mishipayashingo imekusimama kama umepigwanashoti ya umeme😂😂😂😂😂

  • @hansperson1012
    @hansperson1012 5 หลายเดือนก่อน

    OYA NYUMBA YA PETER MSECHU NI MFANO WA KUIGWA YANI Mwijaku BADO SANA KUMFIKIA PETER

  • @husseinhussein3638
    @husseinhussein3638 5 หลายเดือนก่อน

    Doto acha zalau kaka😂

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 5 หลายเดือนก่อน

    Huyu mwandishi hamna

  • @marymanoni5536
    @marymanoni5536 5 หลายเดือนก่อน +1

    Nyumba ya aristote na msechu

  • @user-fo8yc8xo8s
    @user-fo8yc8xo8s 5 หลายเดือนก่อน +1

    WIVU WIVU WIVU WIVU WIVU WIVU UTAWAUWA

  • @Ibrahim-me6cd
    @Ibrahim-me6cd 5 หลายเดือนก่อน

    Dotto unamdomo san

  • @FaruMgawe-mf7gd
    @FaruMgawe-mf7gd 5 หลายเดือนก่อน

    Mmmmmm😂😂😂😂😂😂 so pw

  • @user-fo2ip9xv6n
    @user-fo2ip9xv6n 5 หลายเดือนก่อน

    Kukù ww muache mwijaku wetu coco ww

  • @user-ss1em5ye3d
    @user-ss1em5ye3d 5 หลายเดือนก่อน

    Acheni wivu si kajenga lakin