Aisee Kuna majina sio ya mchezo mchezo Mary, Magreth, Elizabeth, Victoria, Isabella, Anne... Yaani ufalme ulikotoka hata sio blood line... Hawa ndo malkia waliopita...Gorge,William,Edward,.... Kwa wanaume..
Daaaah Kuna Muda Unatufanya Tufurahie Stori Nzuri Kama Hizi Kaka Jitahidi Kutuletea Na Zingine Nyingi Maana Unaweza Kuchambua Kwa Ushahihi Na Ufupi UlioBora
Brother Sky Pamoja Na SNS Nina Ombi Moja La Kupenda Kujua Stori Au Uchambuzi Wa Kuhusu Milango Bahari (Suez Canal, Panama Canal N.k) Maana Naona Ni Makala Nzuri Ambazo Napenda Kujua Zaidi Uchambuzi Wake Mpk Kufkia Juzi Meli Iliyosababisha Mlango Bahari Kuzuia Meli Zingine Ni Ombi Langu Kaka Sky Pamoja Na Wana Sns.
Rest in peace my beloved father, it has been 6 years now I miss you dad, kila mtu atamaliza mda wake in a certain what, super power or lower power, mavumbini tutarudi
Najua uko hapa baada yakusikia Queen Elizabeth II amefatiki 🤦♂️
Kweli bwana
Kabisa na kumbe hii story iliwekwa mtandaoni tangu mwaka jana
Ni kweli baada ya kufatiki kwa malkia wote tupo hapa.
Aisee Kuna majina sio ya mchezo mchezo
Mary, Magreth, Elizabeth, Victoria, Isabella, Anne...
Yaani ufalme ulikotoka hata sio blood line...
Hawa ndo malkia waliopita...Gorge,William,Edward,....
Kwa wanaume..
RIP Queen Elizabeth. Thanks very much simulizi for this research
Dah? Huyu jamaa mkali Sana wa documentary, Mzee inatakiwa uwe na vipindi kwenye Discovery channels au NAT GEO
Very informative. Thank you sns. Keep on inspiring me.
Greatness 🔥🔥🔥🔥
Hii stori naitaka lakn tatizo muda wangu leo hautoshi asante kaka sky hizi ndizo habbari tunazo zitaka
Hii makala nimeipenda sana
HISTORY PAPER 2 PALE FORM SIX
Asante broo nakukubali mnoo
Kama ahuko makini iyi story huwezi kuhielewa 🙏🙏Sky
Hii story uliwahi tupatia kipindi mumewe alipo faliki Asante sana kwa kutukumbusha tena
Sasa cndio iyo umeangalia tena coz ina 1yr ajaregelea kuisoma
Daaaah Kuna Muda Unatufanya Tufurahie Stori Nzuri Kama Hizi Kaka Jitahidi Kutuletea Na Zingine Nyingi Maana Unaweza Kuchambua Kwa Ushahihi Na Ufupi UlioBora
Story safi👏👏👏👏👏👏Sns ndio maana nawapenda kwa job zenu ❤️🌞🙏🇰🇪.
Haya mambo si yapo kwenye Wikipedia.
Pppppp
Namimi wapili nipeni 🤗🤗
Yani napenda hii story ya kifalume 👌
Bravo 👏👏👏
Hizi ndio historia sasa hadi mtu unaenjoy unatamani hadi isiishe
Kabisa
Asante kwa kutuelimisha
Nitarudi kuangalia vizr ngoja nikamzeke Queen 11
Isabella ametisha
Yaani slimpindua mmewe akawe malkia 🙌
Sasa mwanaume mzima wapinduliwaje na mkeo kama si uzembe na upimbi uliopitiliza
Nakuelewa saana.iyi nimambo yawasomi
Hiyo siku queen elizabeth aliitwa kwenda kutawazwa ufalme alikuwa kenya
Ila we jamaa unajua 🙏👊👊
Brother Sky Pamoja Na SNS Nina Ombi Moja La Kupenda Kujua Stori Au Uchambuzi Wa Kuhusu Milango Bahari (Suez Canal, Panama Canal N.k) Maana Naona Ni Makala Nzuri Ambazo Napenda Kujua Zaidi Uchambuzi Wake Mpk Kufkia Juzi Meli Iliyosababisha Mlango Bahari Kuzuia Meli Zingine Ni Ombi Langu Kaka Sky Pamoja Na Wana Sns.
Ni wazo zuri sana Robert, ngoja tulifanyie kazi
@@SimuliziNaSautithanks
Njoo Panama ntakupokea 🙏
Isabela nmempenda kampindua mume😀
Wewe tena😂😂😂😂
Asante Isabella! Alituwakilisha vyema wanawake 😂😂
Wametuharibia history zetu za nnchi zetu bado mnawaona wazuri hao
What a story 😘😘👏👏 asante bro sky 👍
Naam
Hapo sawa mkuu
Io noma
Rest in peace my beloved father, it has been 6 years now I miss you dad, kila mtu atamaliza mda wake in a certain what, super power or lower power, mavumbini tutarudi
Pumzika kwa aman malikia Elizabeth
Sns💥
katika vitu na penda sns ni pamoja na hizi story
Asante sana
Leo 🤗🤗🤗after 1yers
Thanks 👌
Asante skai
Very bright bro
Henry jina lng
Pleas kipind cha the money talk sijakiona this week sns
Safi
Hii ndo kitu tunataka sio story za udaku
Huyo edward wa pili mzembe sana.unapinduliwaje na mwanamke aisee😁
Mzembe sanaaa sema huyo mama ni noma
Nimecheka kwa sauti!
Mzembeeee!
Usicheze na utamu wa papa wewe! Alipewa akalewa, chalii na kupinduliwa juu! 🤣😜
Bro siuende wasafi media tu
Ye mwenyew ni wasafi tayar ...tatizo nyie mnajua wasafi ni finest
Akienda wasaf ndo kwishaaa anakufa kabisa yupo wap lil ommy the best mvp kazimika ziiiiii jamaa alikua anafanya vizur sana zaid ya sana tunammiss sana
Hi!
Wa kwanza leoo nipeni likes zenu
Hatukupi utakufa kwani?
@@rademm8924 🤣🤣🤣🤣🤣
Tulia uko umbwa wewe
@@rademm8924 mbna umempa maneno makali usifanye ivo 😂😂😂
@@dodoedward2424 🤔🤔🤔
Mdogo wake malkia bado yupo hai?
Dah Henry wa 5 mala edwad oyaa ushanpoteza apa naish tyu naupenz wastor 😂
kwahio the tudors sio historia ya england??
Hii story ni tamu
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌️✌️
Sky
Tuleteye historiya ya #empireroman
Hayandio mambo tunataka
History ndefu mpaka sijaelewa k
Na Mimi hata cjaelewa
Unasikia tu yok yok wa 10 henry wa 8😀😀😀 imebd nipeleke mbele
@@nurukhalifa9413 😄😄
Inabidiii uelewe meishowake tu
hta mm kwakwel😂😂😂😂
Utajiri uo
KOVU?
Kumbe ni 1yr agoo
Rest in peace kwa malkia
😋😋😋 Iraq
Dahh h family inauroh wa madarak 😂
Umeona dear
Mbona me wake atumjui mtoto alipata wamchongo nini
Mimi hata sijaelewa
kichwa chako ni cha mbuzi
@@ivaniavianarodrigo7201 haha...anaelewa udaku huyo
Nitakupa special lecture baadae! Unajua wengine huwa wanaelewa baada ya kipindi kuisha!
7
Man uje utupe historia ya wahabeshi wa Ethiopia
Watu wabad sana wale itakuwa noma sana hiyo story