SANGOTEE AIBUKA ARUSHA, AMCHOMA VISU VITATU ASKARI "HAJAMALIZA KIFUNGO YUPO MTAANI"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 18

  • @patelokoh5828
    @patelokoh5828 หลายเดือนก่อน +4

    Wamebeba laana kubwa sana juuu yakuumiza wazee kama huyuu

  • @deonicemollel4205
    @deonicemollel4205 หลายเดือนก่อน +1

    Baada ya dangoteeee amekuja tena songateeee dar arusha mji wangu jamani

  • @leokamil6284
    @leokamil6284 หลายเดือนก่อน +1

    Pole sana 😢

  • @johnnziku5810
    @johnnziku5810 หลายเดือนก่อน +1

    Pore sanaa mkuu # Namba za mchango nitume chochote kituu

  • @martinamsae
    @martinamsae หลายเดือนก่อน +2

    juzi hapa niliona mapolisi wengi uku mtaani daraja mbili wakipita inaamana hawakukamata hawa vibaka maana niliona wakiwa wamekamata watu weng

  • @preciousbenedict6220
    @preciousbenedict6220 หลายเดือนก่อน

    Laana hii

  • @dorcasassenga2005
    @dorcasassenga2005 หลายเดือนก่อน

    😢😢

  • @najmahamisi3511
    @najmahamisi3511 หลายเดือนก่อน

    Yaani hapo wanatakiwa polisi watumie akili Sana ikiwezekana apatikane mtu mmoja ambae anapesa Hasi avishe vitu vya kuzuia vitu vyenye ncha Kali kumziru alafu wao wasambae pande zote zeni huyo mtu akivambiwa basi alarm zinawajulisha wanawakata waliwa pale pale yaani huyo mtu awe na kengele Ile ya kusensi hatari

  • @user-sr8tc8ke6q
    @user-sr8tc8ke6q หลายเดือนก่อน

    Wauwaji hawa mmh 😢

  • @user-sr8tc8ke6q
    @user-sr8tc8ke6q หลายเดือนก่อน

    Jamaa alikuwa anataka kuona utumbo live

  • @john-gb2ge
    @john-gb2ge หลายเดือนก่อน

    Waandishi wa Arusha bana utopolo mtupu kila siku habari za upande mmoja tu hapo
    hatujawasikia polisi wanasemaje huenda uyo jamaa alishakamatwa...Godi uwe unatumia taaluma yako ya uandishi...sio kukurupuka tuu

  • @avitusmichael5
    @avitusmichael5 หลายเดือนก่อน

    Mheshimiwa makonda naomba usitishe likizo yako kama ni kweli uje uokoe jahazi, amekuja Sangote anaua wazee wetu

  • @Jacklinejohn7
    @Jacklinejohn7 หลายเดือนก่อน

    Asa mzee kama huyu jamani ana linda nn jamani 😢😢

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 หลายเดือนก่อน

      Ugumu wa maisha ndugu

    • @Jacklinejohn7
      @Jacklinejohn7 หลายเดือนก่อน

      @@leokamil6284 dah sema sawa

  • @shamzone388
    @shamzone388 หลายเดือนก่อน +1

    Paulo makonda upo wapi arusha hiyo mauwaji bado yanaendeleA

  • @AgripinaMollel-d2s
    @AgripinaMollel-d2s หลายเดือนก่อน

    uyu jamaa bana bangi tupu, ulikua bize na habari za chadema ila saiv umeona hawana jipya umebakia majungu tu kazi kufuatilia migogoro ya familia.